Search This Blog

Thursday, 19 May 2022

BODY SPRAY (HANDSOME BOY) - 5

 





    Chombezo : Body Spray (Handsome Boy)

    Sehemu Ya Tano (5)





    Yule mhudumu aliinama akampima joto la shngoni kisha akaweka mkono wake kifuani akatikisa kichwa kuashirikia hapakuwa na uhai wowote juu ya felista."kaka hili ni tatizo mtu huyu amefariki tena ameanza kuwa wa baridi kabisa ebu ngoja"yule jamaa alisonga mbele akatoa taarifa kwa wahudumu wengne na taarifa zikatoka hadi nje ya ndege abiria wakazuiliwa wasichuke mpka polisi watakapokuja kufanya uchunguzi wao. Muda wote huo natetemeka sina namna yani kama mtu aliyekuwa karibu yangu anaweza kusema naumwa degedege ule ugonjwa.Baada ya muda wale polisi wa usalama pale uwanjani waliingia ndani wakatuhoji takribani nusu saa kisha wakauchukua ule mwili na wakanichukua na mimi tukaenda hadi rumande ambapo kwa siku hiyo nililala mahabusu wakati mwili unafanyiwa uchunguzi.Kama saa mbili asubuh kesho yake alikuja mkurugenzi wa shirika letu akiwa na wafanyakazi wengne wawili wakiwa na majonzi walikuja na kuanza kuniuliza juu ya lile tukio la felista kufa, sikuwa na jipya kama nilivyowaeleza askari na wao ni hvyohivyo kuwa felista alikuwa mzima wa afya na wote tulifanya kazi kwa uzuri hapo sijui kilichotokea."ngoja nikwambie dickson unajua uchunguzi wa daktari umefanyika na inaonekana felista amekufa kwa kunyongwa ina maana alikosa pumzi na wewe ndio mtu wake wa karibu muda wote hivyo ni lazima serikali wakutie nguvuni ebu sema ukweli""jamani ukweli ndio huo sijui lolote bosi sijui kimempata nini felista sijui nani aliyemuua mbona hamniamini?""haya bwana sawa sisi tumekuja kukuona ila pia tunakuombea kesi hìi iishe urudi kazini ila ni kesi kubwa"***Usiku ule nililia sana kwanini niliamua kufanya vile, nikawa najiuliza mke wangu akijua sijui hatakuwa kwenye hali gani? Yani kweli waswahili usema "bora aibu kuliko fedheha" na "heri nusu shari kuliko shari kamili" mimi yamenikuta ya kunikuta kisa kuogopa kuchekwa kuwa mwanaume nisiyekamilika kwa kukosa maumbile ya kiume hali inayonipelekea kutoa uhai wa felista kama makubaliano ya kulimaliza tatizo najuta sana.***Siku ya hukumu ilipofika baada ya kusota kwa mwaka mzima na miezi sita jera ndio kesi yangu ilikuwa inatolewa hukumu mke wangu alikuwa amekonda kwa kulia, mama yangu pia mara zote alikuwa mwenye huzuni. Kila mtu aliniombea lakini cha ajabu upande wa washtaki walikosa ushahdi wa kunifunga na hata mwaka mmoja ule nilipaswa nilipwe fidia kwa kuonekana sina hatia, sikuamini nilipoashiwa huru nikamkumbatia mama na mke wangu pamoja na mtoto tukawa tunarejea nyumbani na furaha.Usiku ule nikiwa ndotoni niliota nafanya mauaji tena, safari hii nilikuwa na kisu namuua salma na amina wale wasichana nilipokuwa nimepanga kipindi kile nilishtuka nikakutana uso kwa uso na jini sadia akiwa ameshika kisu kikubwa kinang'aa."dickson upaswi kulala ebu amka utekeleze wajibu wako



    .Niliangalia kulia na kushoto sikubahatika kumuona jini sadia ila cha ziada nilikumbuka ile sauti yake iliyonipa maagizo nikaue lakini kwa jinsitabu niliyoipata kule mahabusu sikuwatayari kutimiza azma hiyo kama kuwa impotent ni bora niwe.Nilirudisha shingo yangu mpaka usawa wa mto nikavuta shuka hadi kifuani nikalala zangu mara mke wangu akajigeuza na kuanza kunishka shka kifua. Alinichezea kwa muda kabla ya kutaka kuchuka kwa babu nikamzuia ili kuficha aibu yangu kwani sikuwa na machne yangu kwa mwezi sasa pale nilipo aja kubwa na ndogo zinatoka sehemu moja yani ilikuwa ni mateso sana kwangu."mume wangu bwana nina mwezi wa pili sijakutana na wewe honey nina hamu""najua mpenzi ila nimechoka labda kesho mke wangu""dah yani mume wangu we acha tu, haya sawa bwana ntavumilia"Aliongea kwa unyonge akatoa mikono yake kifuani na kugeukia upande wa pili na mimi hapo roho inaniuma hamna mfano yani hasira na jini sadia zikazidi maradufu.Asubuhi palipokucha nilipaswa nirudi kazini kwa mara ya kwanza toka nilipotoka kwenye kesi yangu nami nilikuwa nimemiss sana watu wangu wa karibu na marafiki pale ofisini."wow! Mr. Dickson welcome once again in you are office/mr.dickson karibu tena kwenye ofisi yako" alifurahi david katibu wa mambo ya utendaji."nashukuru sana sana"Watu wote walifurahi ujio wangu kwa mara ya pili hata mi mwenyewe nilijisikia kuwa watu wanathamini uwepo wangu hasa kutoka na utendaji wangu wa kazi na pia mahusiano mazuri na wafanyakazi wenzangu."jamani anna, janeth, prisca, madam wa ukwee nanyie wakinababa wenzangu nilisahau kuwaambianina saloon yangu kwa ajiri ya wakinadada ipo sinza vetenari mtembelee basi hata muwapeleke wake zenu wakapendeze panaitwa DICK&ANGEL HAIR BEAUTY SALOON AND MASSAGE""khee mwenzetu kumbe umewekeza dah hongera ntampeleka shemeji yangu na nyie wakina prisca mmesikia nadhani hata bei kule mtapunguziwa si bosi mwenyewe mpo nae ofisini hahahahahaha! Alisema stanley."eeh ntakuja wikiendi hii vipi umeanza lini jamani na sisi utupe hizo chaneli jamani?" aliuliza prisca"nina muda sasa nadhani kabla sijaja kufanya kazi hapa hiyo ndo ilikuwa kazi yangu msione hapa jamani nasuka na mambo yote ya urembo nafanya na pia nina duka la vipodozi city centre pia jamani tutembeleane""khaa jamani mwenzetu umejipanga jamani yani! Nitakuja saluni kwako na nataka wewe unitengeneze nyweld zangu jamani dick mjanja wewe" alinisifia janethWote walicheka na mazungumzo yalikatisha baada ya bosi kuingia madam lucrisia wote tulimsalimia akapita ofisini kwake na kuniita."ndio bosi""kwanza pole na matatizo najua kuteleza si kuanguka sasa endlea na majukumu yako ya hapo awali ila sasa utakuwa unakaimu kiti changu na mshahara pia utaongezwa nakuomba kuwa makini sana""nashukuru sana, asante bosi""sawa wewe kaendelee na kazi haya mabadiliko nitawaeleza na wenzio pia"**Janeth kwakuwa akuniona muda mrefu alikuwa na hamu na mimi mno wakati wengne wapo lunchna mimi nilikuwa namalizia kazi kidogo niende lunch pia nilishangaa kuona mlango unafunguliwa akaingia janeth mtoto alijazia haswa na mwili wake soft soft akafunga na funguo kisha akaja moja kwa moja akasimama nyuma yangu akaanza kunichezea kidevu mara kifua.Niligeuza kiti nikamgeukia nikaingiza mguu wangu mmoja katikati ya miguu yake nikampandisha sketi yake juu mpaka kiunoni akabakiwa na chupi tu nikaitoa Mpaka chini kabisa nikaanza kumchezea k*s** chake pakaanza kulowa nikampèleka juu ya meza nikamuweka na kuanza kuingza vidole na kusugua kuta zote juu na chini kushoto kulia akawa analia sana nikamziba mdomo chezea mtoto mwenyewe katoka kuolewa ana wiki mbili tu ni mtamu sana halafu k yake ni mnto wa hatari."dia ingiza basi jamani"Nilitamani kutokwa na machozi baada ya kukumbuka kuwa mimi sina maumbile yangu palepapo flati

    Nilishndwa hata nisemaje maana janeth alikwishatepeta kwa dozi ya kumchezea mwili wake tena aliasha hata kwenda lunch on time ili mradi aonje radha aliyoikosa kwa muda mrefu niliokosekana pale ofisini."baby naona sipo sawa ebu nenda kanawe ukapate lunch""jamani baby kwanini sasa au haujisikii?""sio hvyo jane naöna sipo sawa"Nilimtoa janeth kwenye mood akaketi vizuri na kunitazama ndipo akaona ni kwa namna gani namaanisha."lakini dick ungenieleza mapema kama hauko sawa ona sasa""lakini janeth kosa langu lipo wapi? Umekuja hapaumeforce tufanye hvyo lakini sikuwa sawa""kwahiyo nimekuforce? Lakini dick ninayemjua mimi sio huyu wewe dick wa kuniambia hivyo leo! Sio bure sumbawanga imekubadilisha""lakini janeth Wewe si una mwezi toka uolewe sasa kuna tatizo gani ungekuwa single sawa""sawa dick nashukuru kwa yote najua sumbawanga imekubadilisha ngoja mimi niende chooni nikajimalize mwenyewe"Kauli ile ya janeth iliniuma sana na niliona jinsi nilivyodharaulika nilimchukia jini yule na niliapa lazima nitarudi kwenye hali yangu ya kawaida. Kweli mimi wa kumuasha mwanamke vile?***"lakini mbona sikuelewi dick""happy taratibu basi, unajua leo nina mawazo ukokazini majanga""sawa dick lakini mbona nikitaka kukupapasa hata nikutulize angalau mawazo utaki jamani""happy naomba nielewe next time tutamet""hapana dick kwahiyo lengo lako lilikuwa univue nguo na unichezee kila upendavyo kisha uniashe?""sina maana hiyo happy naomba niende nitakuja kesho""nimeshakuzoea dick kesho yako mwakani we nenda nisikubembelezesana kama una almasi"Baada ya kauli ile nilinyanyuka nikasogea hatua kama tano mpaka ulipo mlango ile nafungua happy aliniita kwa sauti ya puani."baby jamani usiende please naomba nisamehe""yameisha happy lakini nawahi nyumbani"Happy alikuja kwa madoido mpaka pale mlangoninikiwa bado nimeshikilia kitasa alisogea na kuanza kunipa romance huku akilegeza macho nasauti ya kudeka huku mkono mmoja ameuweka kifuani, niliganda kama mnara ila nilikuja kushtuka alipoweka mkono wake usawa wa zipu na kutafuta dick yangu lakini hakuöna kitu, alinyong'onyea ghafla na kuvuta pumzi uuuuuuuuh! Na kujitupa kwenye sofa puuu!"dick kwanini ukuniambia kama una tatizo?"nitaanzia wapi mpenzi wangu?"kwani ulitembea na mke wa mtu?""hapana happy ni story ndefu kidogo""haya njoo keti unieleze kinagaubaga""happy miezi mitatu sasa nipo katika hali hii, nakumbuka tatizo lilinipata nikiwa kikazi sumbawanga nilikutana na mganga aliyekuwa anafanya maajabu na mimi nikajikuta nakubali kubadilishwa jinsia kama mchezo lakini ghafla yule mganga alianguka palepale na kufa ndo mwanzo wa tatizo aliyeniroga ameshakufa""usiseme hivyo mpenzi mimi nitakusaidia kukupeleka kwa mtaalamu""mtaalamu! Mtaalamu yupi huyo wa wapi?"yupo bagamoyo uwezi amini tokea nipo form 4 hadi leo nimekuwa nikienda kwake hajawahi kushndwa mpaka leo unaniona chuo namtegemea yeye""sasa tunafanyaje?""kesho asubuhi sana tuamkie bagamoyo inabidi ulale hapa leo, weka alarm mapema tuanze safari"***Tulilala usiku ule mimi na happy lakini kama kaka na dada. Ule usiku niliota nimelala na mwanamke lakini ghafla nikaamka na kwenda kuchukua kisu jikoni nikarudi taratibu na kumchoma cha shngoni, palepale ile ndoto haikuendelea nami sikushtuka.Saa kumi na moja alarm ikaanza kuita kama mara mbili nikawa naona uvivu kuamka ila ile mara ya tatu niliamka mara nilitazama pembeni yangu."khaa! Hiki nini tena ooh my God!!



    .Sikuamini macho yangu baada ya kukuta mwili wa happy ukiwa umeuliwa kikatili na bisu la shingo hata kuangalia mara mbili sikuweza. "ni nani ameingia humu ndani na kufanya ukatili huu? Binadamu sisi mbona hatuna utu jamani mtu unamuua binadamu mwenzio? Lakini huyu mtu kapitia wapi? Ina maana bila kushtuka now ningelala na maiti mpaka asubuhi?" nilinyanyuka na kukaa pale kitandani nikiwa na ujasiri mkubwa sana kwani kwa kawaida mtu yeyote angeanza kuchanganyikiwaíla nikakumbuka mara ya mwisho niliota ndoto lakini matokeo ya ile ndoto niliua OMG! itakuwa ni mimi nimeua na ni jini sadia huyu mwanamke sijui ananitafutia nini?"sasa hapa nifanye kitu kimoja nichomoe hili bisu shngoni ili nisije kukamatwa kwa uwepo wa ushahdi" nilifumba macho na kuhesabu moja mbili taaaatu! Fyooooo, eeh jamani.Tayari nilishaipata barabara kuu na nilikuwa naitafuta sinza sikujua kwanini naenda sinza lakini nilikuwa kama mtu aliyeshanganyikiwa haswaa. Nilipaki gari langu sinza makaburini ilikuwa ni alfajiri sana kisha nikazima gari na kuwasha taa ya ndani hapo nimechoka hatari."hivi ni nini malengo ya kufanya haya mauaji? Mimi nimeshakubaliana na matokeo sina maumbile yangu sawa nitaishi nitakavyojua lakini nakubalije kuendesha na lile zombi shenzi sana lile shetani"Nilitukana sana na kumchukia yule jini kwani ameniharibia maisha yangu sana. Wakati nipo pale nikaanza kupata concept nzima ya lile tukio. Inavyoonekana yule jini alinichezea akili yangu kuwa lile tukio nilione kama ndoto kumbe naua kweli alafu baada ya kuua nilale na maiti mpaka asubuhi nitakapokamatwakirahisi kwasababu tulilala mapema jana yake lakini asubuhi nilikuwa na uchovu sana kumbe inawezekana ile mara ya tatu alarm inaita ningeendelea kulala uenda yangenikuta makubwa zaidi. Nimegundua kitu hapa huyu jini mimi anipendi kama anavyosema na ndio maana anataka niingie matatizoni. Lakini sawa nitapambana mpaka mwisho."kaka mbona leo asubuhi sana kuna nini tena?""kaka we acha tu ebu tuingie ndani nikueleze vizuri" niliongea na rafiki yangu richard baada ya kufika kwake kama saa kumi na moja na nusu."sawa kaka nimekuelewa lakini kwa hapo naona kabisa una wakati mgumu cha kufanya ni kukata tiketi alaka kwenda dubai kwa sista mery kama unaenda kuchukua mzigo wa biashara yetu""dah kaka nashukuru sana kwa kunipa wazo zuri lakini nitamwambia nini wife""we achana na hayo mambo fanya nilivyokwambia kaka usipoteze muda, kama happy amekufa jeshi la polisi litataka kujua chanzo cha kifo chake na wataanza kufanya uchunguzi hapo ndipo utakapo tiwa nguvuni sasakabla hayo hayajakukuta ebu ondoka mapema"***Nilimaliza mipango ya visa na kila kitu nikawa nimekata tiketi ya kwenda dubai lakini nitapitia egypt kisha doha na kuingia dubai ni safari ya karibia siku nzima. Mke wangu na rafiki yangu richard walinisindikizahadi airport kisha nikaagana nao nikaingia hadi sehemu ya ukaguzi nikapita na kuingia chumba maarumu ya abiria wanao subiri ndege ya kwenda dubai. Tulikuwa abiria wengi mno na pale zilibaki dakika 15 kabla ya kuingia ndani ya ndege. Nilienda chuoni mara moja wakati namaliza kujisaidia haja ndogo maraaskari akaja sijui alijitambulishausalama wa taifana kuniambia nipo chini ya ulinzi nikasurender huku nikimlia timing na kweli akanipa upenyo nilimpiga ngumi kama nane za usoni kisha nikamkalisha kwenye sink la choo kama anajisaidia haja kubwa nikafunga mlango huyo nikaondoka wakati huo abiria walikuwa wanaingia ndani ya ndge na mimi nikajifunika na koti langu nikazama ndani ya ndge kabla ndege haijaondoka mara wale jamaa wa usalama walikuwa wanaranda randa nje mara wakaingia ndani ya ile ndge hapohapo mapigo ya moyo yalinienda mbio

    Walianza kuangalia mule ndani kwa muda mfupi kisha mmoja akatoka na mwingne akawa bado anatazama tazama vizuri lakini nae akatoka wakati wapi nje alitokea mkuu wao sijui yule akawaamuru warudi tena ndani ya ndege wakague pass zetu za kusafiria maana tayari lile tukio alishaliona kwenye camera maalum zilizofungwa kila sehemu. Walirudi ndani tena wakati huo tumbo joto kama nimebeba madawa ya kulevya yani nilikuwa na hofu kubwa sana."kaka unaweza kutupatia pass yako ya kusafiria samahani kwa usumbufu""aah pass sawa hii hapa"Yule jamaa aliitazama sana tofauti na viti vyote alivyopita mwanzo au hata jirani yangu kisha akanirudishia akaenda nyuma zaidi alipomaliza akarudi tena kwangu."jamani vipi tena mnataka niwape tena pass yangu au?""kaka kama tunakutilia mashaka unaweza kuambatana nasi kwa dakika2 mpaka kwenye chumba chetu cha uchunguzi nadhani haitakusumbua sana unaweza kuasha mizigo yako""mbona sielewi kuna kipi hasa mpaka nikafanyiweuchunguzi ina maana nimeingiaje ingiaje hapa?"Mama wee wakaingia wale askari wa jeshi la polisi wa kawaida wakanitia nguvuni na kunipiga pingu mikoñoni."jamani mnanikamata nina kosa gani?""twende wewe unajaribu kuikimbia serikali? Ina mikono mirefu muuaji mkubwa wewe"***"Jamani mtaniua bure mimi sijui chochote""na hiki kitambulisho ni cha nani? Tumejaribu kuchunguza tukakuta kuna kitambulisho hapa katika nyumba aliyokuwa anaishi marehemu ebu tuambie ukweli kabla hatujakulazimisha useme""kwakweli afande happy alikuwa ni mpenzi wangulakini mimi nimeoa tayari na muda sasa tumekuwa hatuna mahusiano najua hapo kuna mtu amefanya mauaji na kuasha kitambulisho changu""je siku ya tukio ulikuwa maeneo gani?""nakumbuka nilikuwa bar mpaka saa kumi usiku nikalala guest na kesho yake nilirejea nyumbani""haukulala na happy wewe kisha ukatimiza matakwa yako kisha ukamuua?""hapana afande sikufanya hivyo""una ugomvi na nani?""hapana sina ugomvi na mtu nashangaa kwanini wamenifanyia hivi?""aah unadhani inaingia akilini hata ungekuwa ni wewe dickson unaambiwa hivyo ungemuelewa huyo mtu?"***Hakuna maisha magumu kama mahabusu yani kulikuwa na harufu mbaya na pia kulikuwa na giza muda wote ila nakumbuka siku ya nane toka nipo mule ndani alinitokea yule jini na kuniambia atanitoa mule ndani kwa kuigeuza ile kesi kwani yeye ndiye aliyeitengenezana ndio atakayo imaliza.Asubuhi yake nilikuja kuitwa na kuambiwa nimeashiwa kwa dhamana aliyenikatia dhamana simjui lakini sikutaka kuuliza ila niliambiwa siku yakusomwa kesi natakiwa niwepo mahakamani nikamshukuru sana mungu nikapewa vitu vyanguna kuondoka.Nilikuwa nikuhudhuria ile kesi mpaka nikaona kama haina nguvu tena hata watu pia waliisha kuja kusikiliza ile kesi mpaka nilipoambiwa na mahakama nipo huru.Sikuwa na la kumficha mke wangu nikamweleza yote yale ndo akanileta kanisani."jamani wapendwa napenda kuwaambia mungu yupo hayo ndo maisha yangu niliyoyapitia namshukuru mungu kwa kunipa mke muelewa kwa yale yote bado alikuwa mvumilivu kwangu, nakumbuka siku ambayo narudishiwa jinsia yangu niliambiwa na yule jini sadia kuwa nikutanenae daraja la salenda saa 9 usiku kwa lengo la kunirudishia jinsia yangu kisha nikaishi nae baharini kweli alifanya hayo yote ila baada ya hapo nikaliitia jina la bwana nilishangaa kuona kitu cha ajabu kama mwanga mweupe kisha yule jini akatoweka na kuniasha nikishangaa na tokea hapo ndo nipo huru sasa na familia yangu"Ile ilikuwa ni simulizi ndefu niliyoitoa kanisani na kuandaa kanda za kaseti na cd baada ya watu wengi kuipenda sana simulizi yangu.HAKUNA LISILOWEZEKANA KWA MUNGU..Simulizi ya THE PRETENDER{INVISIBLE MAN} itakujia karibuni ikiwa katika muonekano mpya.***MWISHO***



0 comments:

Post a Comment

Blog