Search This Blog

Tuesday, 17 May 2022

SEMA JINA LANGU MPENZI - 1

 







    IMEANDIKWA NA : PABLO



    *********************************************************************************



    Chombezo : Sema Jina Langu Mpenzi

    Sehemu Ya Kwanza (1)



    "Priiiiiiiiii!!!"ilikuwa ni sauti ya filimbi iliyotoka mdomoni mwa refarii na kuruhusu mtanange wa kukata na shoka wa mpira wa miguu ambao uliovuta hisia za watu katika Uwanja huo.licha ya kuwa ilikuwa mechi ya kirafiki katika uwanja huo ulizozikutanisha timu ya mtaani kweti The orland na timu kutoka Mtaa wa jirani iliyoitwa Black Mambaz lakini ulihudhuriwa na watu wengi ambao pia hawakusita kushangilia huku wakiwa na hamu kubwa ya kuuangalia mechi hiyo.jina langu lilikuwa likitajwa tajwa na Mademu wa timu ya mtaani kwetu huku baadhi yao wakiniita na kunitungia majina yaliozidi kunipa kichwaCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "haloow msiniumizie Pablo wangu!!!"ni maneno ambayo yalizidi kunipa morari mara nyingi macho yangu yalituwa katika demu wangu Jackline Ambaye wakati huo alikuwa Yupo hoi kwa kunishangilia.Mpira ulianza huku timu pinzani ikifanya mashambulizo ya hapa na pale yaliosababisha madhara kidogo kama kona Zilizowafanya mashabiki wetu kunyong'onyea na kuwapa nafasi mashabiki pinzani kupiga kelele.dakika zilizidi kukatika ilipofika dakika ya thelathini tukajikuta tukifanya makosa yaliotugharimu na kufungwa goli la kwanza Lilizidi kutunyamazisha.hakika katika kipindi hicho cha kwanza sikuwezi kufurukuta mbele namba tisa hii ni baada ya kukabwa na mabeki wanne waliokuwa na nguvu.Nikishika mpira nilikuwa nazomea Hali iliyosababisha nikashirike nakujikuta nikipoteza nafasi za wazi.mpaka kipindi cha kwanza kuisha ilikuwa tushafungwa moja.kipindi cha pili kikaanza Huku Maneno ya kocha wetu ya kututia moyo ndio yalizidi kutupa morali na presha ya kutafuta matokeo. hakupita hata dakika chache nilirudisha bao hilo kwa kufungwa Kwa kichwa na kusababisha Washabiki wetu kushangilia.Goli hilo liliwachanganya wapinzani wetu na kujikuta Wakinipa nafsi ya mimi kupiga shuti lililozaa goli la pili lililowazima kabisa Mashabiki wa black Mambaz.Mpira ukaisha huku sisi tukipata ushindi wa mabao mawili kwa moja ushindi ambao uliwahuzunisha blackmambaz .mashabiki wetu hawakusita kuingia uwanjani na kunibeba juu juu kwa kufanya kazi ya ufungaji.Baada ya watu wote kutawanyika baada ya kumaliza kushangilia Mimi niliwaga wachezaji wenzangu ambao nao hakusita kunisifia kwa kazi nzuri niliyofanya na Kuondoka nikiwaacha Baada wapo uwanjani.kutokana na kutokuwa mbali kati ya uwanja huo na nyumbani nilishika viatu vyangu mkononi na kutembea pekupeku huku nikiwa nimechafuka chafuka na kuvua shati langu Nakuliweka begani.

    "Pablo...!!!..pablo.!!! nisubiri jamani nisubiri" ilikuwa ni sauti nyororo iliyonifanya nigeuke nyuma na kumuangalia nani aliyeniita na kumuona mrembo halima msichana ambaye mara nyingi alikuwa anishobokea na kunitaka ambaye pia alikuwa ana mtaa huo huo wa nyumbani.nilisamama na kumuangalia msichana huyo aliyekuwa anakimbia huku nido zake zikiwa zinacheza cheza na kuja mpaka pale nilipo na kujiachia na kunikombatia zile zile nikiwa na majasho yangu niliotoka nayo mpirani.nilijaribu kumzuia lakini ilikuwa wapi alinikombatia huku akipeleka mdomo wake katika mdomo wangu ambao bila ya aibu nikajikuta nikiupokea na taratibu nikaanza kuunyonya kwa pupa na kuachia viatu vyangu nilivyobeba mkononi na kushika makalio yake aliyoyabinua na kusababisha naye aanze kutoa miguno ya raha na kujinyonganyonga.

    "Jamani una kifua kizuri daah ila leo umenifurahisha ulivyowafunga wale yaani unajua hatari..."

    "Aaha Asante jamani mbona kawaida"

    "mmh nikuambie kitu mpenzi??"

    "Nambie"

    "Leo nakuja geto lako tucheze mechi nyingine.."

    "Hahaha pouwa unakuja saa Ngapi"

    "mida si mirefu naenda hapo sokoni kwanza ndio nakuja"alinijibu kwa sauti ya kubana huku mkono wake akiupeleka kwa karoti yangu na kunifanya nisisimke kisha akaendelea kuninyonya ndimi.kisha akaniaga na kuondoka ile anatoka tu Mara demu wangu jackline akatokea na kunifanya roho inidunde huku nikimshukuru Mungu kwa sababu ilikuwa bado kidogo tu anifume.

    "Vp mbona umesimama hapo Mpenzi??"CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "hamna nimechoka tu."

    "jamani Mguu huu wa kwako baby leo nimeaga nyumbani nimekubaliwa kwa hiyo tutalala na kufanya yetu mpaka majogoo".nilijikuta nikikenua meno na kucheka kwa sababu ilipita muda kidogo mimi na jackline kufanya mapenzi nikajikuta nikimkombatia na safari ikaanza kuelekea kwenye chumva changu nyumba ambayo nilipanga.tulifika katika nyumba hiyo nyumba ambayo hakuwa na wapangaji wengi kulikuwa kimya muda wote.bila ya kupoteza muda jackline akachukua maji na kwenda kuoga baada ya kumaliza nikaenda mimi.ile narudi tu kutoka kuoga naingia chumbani nikamkuta jackline tayari kashavua nguo zake na kubaki mtupu na kunionyesha kidore na kuniita nikabaki kwa muda nikimuangalia jackline msichana ambaye kiu kweli alivutia kila sekta huku nido zake zilizosimama sawia ambazo ndizo zilizonifanya nimtamani.nikajikuta taratibu najiongeza katika kitanda alicholala Jackline lakini kabla hata sijapanda kitandani

    "Ngo!!!..Ngoo.!!!Ngoo!!!"sauti ya kugongwa kwa mlango nikaisikia na kusababisha nitoe macho na kuanza kufikiria je halima alikuwa kashawasili kama alivyosema au Nikajikuta naanza kutetemeka ghafla Na kugueka nyuma na kumuangalia jackline ambaye wakati huo alikuwa kashafura kwa Hasira.

    "Mmmh..................



    Nilijikuta nikiguna huku nikizidi kuosogelea Mlango hali ambayo ilizidi kumshangaza jackline na akaanza kuvangaa khanga yake aliyovua na kukaa katika kitanda hicho alicholala na kuanza kuniangalia huku akiangalia na Mlango kwa umakini.

    "Aaa liwalo na liwe bana" nisema kimoyo moyo na kufungua Mlango huo kwa tahadhari kubwa

    "Vp kaka Pablo samahani bana kwa kukusumbua nilikua nimetumwa na kocha nikuletee Mzigo wako"nilivuta pumzi ya furaha iliyochanganyika na uoga fulani huku nikijaribu kumuangalia jackline kwa Macho ya kuibia ambaye wakati huo Alilala tena baada ya kukaa

    "Daaa pouwa Ahsante sana"

    "ni elfu ishirini tu kidogo pokea kikubwa hatuna kaka"

    "Usijali Kaka mbona kikubwa hichi"

    "pouwa bana ila siku ukipata nafasi uje utusaidie kwenye mechi kaka maana naona chuo kimekubana sana"

    "usijali nitakuja"nilijibu kwa mkato na kupokea pesa hizo nilizopewa za kuisaidia timu yetu ya mtaani kushinda kisha kwa haraka nikaingia Ndani na kuamuangalia mrembo jackline ambaye wakati huo alikuwa kimya huku sura yake ikiwaimejikunja kwa hasira.nikapanda kitandani na kujaribu kumsemesha lakini ilikuwa wapi.nilijaribu kutumia kila Njia ya kumrudisha mchezoni kwa kuchekeshachekesha hali ambayo ilisaidia kwa kiasi kikubwa

    "Halafu wewe unaonekana Malaya kwanini ulisita kufungua mlango??"

    "haha nilikuwa nakupima tu imani yako ipo vipi lakini nikaona ghafla umekasirika"nilimjibu kwa kujiamini huku Na yeye akitoa tabasamu pana kisha akanikamata shigo yangu na kunivuta mpaka kwenye mdomo wake na kuanza kunyonyana ndimi.tulinyonyana sana huku na mimi nikizidi kupitisha mikono yangu katika kiuno chake mpaka kwenye makalio yake na kuyabonyeza hali ambayo ilizidi kututia Amshi amshi na kuanza kuzidi kujiongeza.kama kawaida nilianza kumnyonya nido zake zilizokaa vizuri huku yeye akitoa miguno ya raha na mkono wake kuichezeachezea koki yangu ilikuwa ipo tayari kwa mapambano ambayo si muda mrefu yalitaka kuvunjika.kama kawaida yangu nilizidi kumtawala kwa kupitisha ulimi wangu katika kila sehemu na kufanya azidi kulegea baada ya mimi kupitisha katika nanii yake.na yeye hakuwa nyuma alinyonya koki yangu na kuzidi kunitia amshi amshi na wote tukajikuta tukiingia katika uwanja wa mapambano huku kila mtu akitumia ujuzi wake ajuavyo.mmh kiu kweli jackline alikuwa amefundwa na kufundikwa kweli maana alizidi kunipagawisha na mauno yake aliyokuwa akiyapiga.tulimaliza usiku kabisa na kulala ambapo Asubuhi na mapema alioga na kuondoka.nilimsindikiza mpaka nje ya nyumba niliyokuwa nimepanga kisha akanibuss na kuondoka zake.ile nataka nirudi ndani tu ghafla nikarukiwa na mwanamke ambaye bila ya kuuliza alipitisha ulimi wake katika mdomo wangu na kuanza kuninyonya denda huku mkono wake ukishika ikulu yangu ambayo licha ya kuchoka katika shughuli ya jana yake ilianza kuwika tena.nilifanikiwa kumtoa na kugundua alikuwa halima.bila ya kupoteza muda nilimruhusu kuingia.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "sorry jana nilikudanganya wangu nisaheme."

    "pouwa usija.."kabla hata sijamaliza kuongea halima akaniruka na mimi nikamdaka miguu yake akipitisha kwenye mgongo wangu na mimi nikaikamata vyema na kuanza kunyonyana naye denda kwa muda.nikampeleka na kumbwaga kitandani kisha na mimi nikapanda.nikaanza kumshikashika huku na yeye akitoa miguno ya raha.lakini hakupita hata dakika Mlango wa chumba changu ukafunguliwa

    "Mungu wangu..."eee bwana ilikuwa ni hatari kwa sababu macho yangu yaligongana kabisa na Jackline ambaye Nilimshuhudia akiondoka kwangu huku aki................



    Nilimshuhudia jackline akiwa pale mlango huku Machozi yakimlengalenga huku uso wake ukivimba kwa hasira kama nyati Alikuwa akihema juujuu hali iliyonifanya hata mimi roho kunidunda nilikuwa kama panya aliyebanwa na Mlango nilibaki kutumbua macho tu na kumuangalia jackline ambaye wakati huo alikuwa bado kasimama mlangoni huku kakunja ngumi na kutuangalia mimi na halima ambaye Naye wakati huo alikuwa akivaa sidiria yake pamoja na blauzi aliyoivuua kabla ya mambo kuanza.Nikiwa katika hali ya kushangaa huku nikisubiri kwa hamu kitu kitakachotokea ghafla Jackline akaja kwa kasi ya ajabu na kumtandika konde zito halima ambaye aliachia ukelele mkali ulinifanya hata mimi nishtuke.jackline na halima walianza kufundishana Adabu wakiwa katika kitanda changu huku kila mmoja akijaribu kumtandika mwenzie kila anapopata nafasi.Nilijaribu kuwagombolezea lakini nilijikuta nikishindwa kabisa kutokana na Ngumi hizo kuwa kali sana na kunifanya Niwaache na kutoka nje nikatafute Msaada maana hali ilikuwa Mbaya kutokana na Ugomvi wao kuanza kuniharibia vitu vyangu nilivyovinunua vya thamani kama tv ya flatscreen na kabati langu la vyombo.nilifika njee lakini milio ya glasi ndio yalizidi kunichanganya nilijikuta nashindwa kuomba msaada kutoka na kuogopa kuaibika kwa sababu hakuna kijana anaheshimika sana mtaani kama mimi nilikuwa naongelewa vizuri tu na watu hasa tabia yangu ya usiri ndio ilisababisha kabisa kupendwa na watu kutokana Mara nyingi sana kutoonekana na Mwanamke.Nikiwa katika mawazo hayo ghafla rafiki yangu John aliyekuja kuniletea hela Baada ya mechi kupita nilimuona akipita bila ya kuchelewa nilimkimbilia na kumueleza Hali ilivyotokea.Bila ya yeye kupoteza muda akaanza kukimbilia kwenye chumba changu huku na mimi nikimfuatilia kwa Nyuma.Tulikuta hali ilikuwa mbaya sana kwa halima ambaye kwa wakati huo alikuwa chini huku jackline kamkalia juu na kushika glassi kwa lengo la kumbamiza nayo kichwani.john haraka akamdaka jackline na kumpokonya glassi na kumshika huku na mimi nikimshika halima ambaye baada ya kushikwa jackline yeye alisimama kwa lengo la kumvamia ili amrudishie.

    "Malaya wewe ningekuua kudandia mabwana za watu.."

    "Halooo utajiju ndio nishamkamata bwana wako sasa pyeee..utajiju"

    "ndio hivyo kantangaze na wewe niachie nikammalize malaya niachie na kwambia niachie..aaaa niachie.."Ilikuwa sauti ya jackline aliyesikiliwa na john kwa nguvu na kutaka kujaribu kutoka.Kama kawaida ya wasichana waliendelea kurushiana Maneno ya nguoni yaliosababisha umati wa watu kujaa huku wambeya ndio wakizidi kuita wenzao waje kushuhudia tibwili hilo la Maneno ambalo bado lilikuwa likiendelea.Hakika katika Maisha yangu sikuwahi kumuona jackline akiwa katika hali ile hasira zake zilikuwa hazishukiki kirahisi zilivyomfanya awe na nguvu ajabu.alifanikiwa kumporochoka john katika mikono yake na kumvaa tena halima aliyekuwa nimemshikilia mimi na kuanza kupigana tena na kusababisha miongoni mwa wasichana wambeya kushangiliaa kwa nguvu na huku miongoni mwa watu wengine wakiendelea kugombanizia ili hali itulie.

    "Aisee kumbe Na huyu pablo Malaya eee kagonganisha haloooo" hakika ilikuwa siku ambayo nikiikumbuka huaga na cheka kwa masikitiko kuna watu walikuwa wananisema wengine wakinitetea kwa hali iliyotokea.Ugomvi uliisha baada ya Mapolisi kuwatawanyisha watu na kuwakamata Halima na jackline.Mimi na john tulirudi ndani na john akaanza kunisaidia kuweka vitu sawa huku na mimi kifuta futa damu na kufagia baadhi ya vyupa vya glassi na Bakuli vilivyofunjika.

    "Mmh mbaba kumbe na wewe noma hadi umesababisha Mademu wapigane pablo'

    "Daaah acha tu jamaa"

    "ila kawaida Ndio uwanaume kama ukiwashughulikia vizuri lazima wakugombanie daa ila wewe mbaya.."

    "Hahaha hamna kawaida...ka...." kabla hata sijamaliza sentensi Mlango wangu ukagongwa nikaenda kufungua na kuwaona Maaskari waliovaa sare zao wawili wakiwa katika wamesimama

    "haloo sisi ni maaskari katika kituo cha kati unahitajika mara moja kituoni kwa maelezo" siku na hiyana mdogo mdogo Nikanyanyuka na kwenda Mpaka kituoni.Nilikuta Baadhi ya watu mtaani ambao Nao walieenda wakiwa wanawasubiria halima na jackline watoke.sikukaa sana kituoni waliniuliza Maswali kidogo na kuniruhusu nirudi nyumbani na kuwaacha Halima na jackline wakiwa bado wapo lupango.nilifika nyumbani na kumkuta bado john yupo huku akimaliza kila kitu nilimshukuru sana na haikupita hata dakika aliniaga Nakuondoka.Nilipanda zangu kitandani na kulala huku Msongamano wa Mawazo ukichukua nafasi yake iliyosababisha usingizi Mzito kuchukua Nafasi yake.Nilishtusha na Mlio wa simu yangu iliyoonekana ikiita sana.niliichukua na kuaangalia jina na kuiona Namba tu bila ya jina niliangalia saa kwanza ilionionyesha ilikuwa ni saa mbili usiku katika simu yangu kisha nikaipokea

    "Halooo"

    "Haloo wewe si ndio Pablo"

    "yaah ndio Mimi"

    "Basi mimi dada yake jackline na kutaarifu ya kwamba Jackline yupo hospitalini mwananyamala na hali yake mbaya kwa sababu alikunywa sumu.."

    "Mungu wangu" nilijikuta nikisema kwa nguvu na kisha simu hiyo ikakatika nilianza kujiandaa kwa lengo la kwenda hospitalini lakini kabla hata sijatoka simu yangu iliita tena lakini Nilipoiangalia tena niliona ni namba ngeni ambayo haikuwa na jina kwa haraka haraka nikajikuta nikiipokea.

    "Haloo"

    "Nambie"CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Natumaini wewe ndio pablo Nakutaarifu tu kwamba halima amekunywa sumu ya Panya hapo tulipo tushampa maziwa lakini hali yake Bado mbaya ndio tunampeleka MwananyaMAla Hospitali..."........

    Hakika habari zile Mbili zilinichanganya kwa kiasi kikubwa Mno nikajikuta Mwanaume nikikurupuka Ndani huku tumbo wazi shati nimeliweka begani na kuchukua Ndala zangu huku safari ya mwananyama kuanza.Kutokana na kutokuwa na umbali kutoka nyumbani Mpaka hospitali nilifika kwa haraka huku nikiwa nashauku kubwa.Nilijikuta nikishusha pumzi ndefu baada ya kufika sehemu iliyoandikwa reception(Mapokezi) Ambapo nilikuta umati mwingi wa watu ambao walikuwa wanasubiri huku watu hao wakigawanyika kwa Makundi mawili.kwa tathimini tu nilizoanza kupiga niliweza kutambua kwamba Makundi yale Mawili ya watu moja lilikuwa la upande wa jackline lingine lilikuwa la Halima.Mdogo Mdogo nikaanza kulisogelea kundi la watu waliokusanyika ambalo kwa kuangalia niligundua ni la mama halima Ambalo Mama huyo wakati huo Machozi yalichukua nafasi yake.Nikasogea mpaka pale huku nikipigipa hatua chache lakini kabla hata sijamfikia kuna mtu ghafla akaropoka.

    "Mama halima pablo mwenyewe si huyu hapa!!".Maneno yale yalionekana yalimshtusha sana mama huyo na kuacha kuliwa kisha akageuka nyuma na kuniangalia huku akiwa amefura kwa hasira ambazo wakati akiwa ananiangalia mimi alianza kuhema juujuu hali ambayo hata mimi taa ya hatari ikaanza kuniingia kichwani kwangu.

    "we Malaya mwanahizaya kwa nini unataka kuniulia Mwanangu haujui kwamba ndio mziwanda wangu huyu."

    "Unajua ni mama sikili...za yani...hi..vi.......Paaaaaaaaaaaa"Kabla hata sijamaliza kuongea nilishtukia kibao kikali kilichopigwa kwa ufundi na Mama halima kutua kabisa katika shavu langu ambalo nilisi nyota fulani ambazo nilijikuta nikawaona mama halima wawili wawili kutokana na Kibao hicho kilichonifanya nishike shavu langu.nikiwa katika maumizi yale ghafla mama yule akanikunja na mikono yake hali iliyosababisha ukelele wa umbeya ukianza kusikika katika hospitali hiyo ya Mwananyamala huku fujo vilivyosababishwa na kelele kuchukua nafasi yake.

    "Oyooo!!!!.....mpige malaya anajifanya kidume.oyooo piga!!!,piga!!!piga!!!"sauti za watu ndizo zilizidi kumpa bichwa mama halima ambaye alinikunja na kusababisha Aongeze Majonjo kwa nitingisha tingisha kisha Akachia kichwa kikali kilichonipata sawa sawa kichwani na kunifanya Tena nianze kuona nyota.

    "Mama ee kausha bana...kausha nisamehe..bana usifanye hivyo usifanye hivyo Mama..."

    "Lazima nikufundishe Adabu" kutokana na kelele zilizokuwa zinampa kichwa Mama yule Ambaye bado aliendelea kunikunja ghalfa akanianisha mgongo na kuanza kunitandika Makonde mazito Ambayo yaliniiingia sawa sawa.nilijikuta Nikiingiwa na Hasira na kupata nguvu ya kumchomoa mama huyo kisha nikampa ngumi moja iliyomtia hasira na kuanza kuendelea kunirusha vichwa.hakika mama halima sijui alikuwa mkuria maana shukrani ziende kwa walinzi waliofanikiwa kugombelezea ugomvi kwa kufanikiwa kumtaiti Mama huyo ambaye muda si mrefu daktari akasema hali ya mwanae halima na kumwambia hali ilikuwa shwari na kumfanya aondoke hospitalini hapo.Mimi sikuondoka bali nilienda katika kundi lingine ambalo lilikuwa na Mama jackline ambaye kwa macho tu nilishamgundua kwa sababu ya kufanana mno na Mtoto wake jackline lakini kabla hata sijafika

    "Wee kijana ukomi tu kule umepigwa unataka na huku wewe Nenda achana na Mwanangu ondoka baba uliomfanyia tu yanamtosha.."Maneno yale ya mama jackline yalinumiza na kujikuta nikimpiga Magoti Huku machozi yakinilenga lakini haikusaidia kwa sababu bado aliniambia niondoke kwa sauti ya juu iliyonifanya nitii na kuondoka bila ya kujua hali ya Msichana huyo jackline anaendeleaje.nilifika nyumbani huku nikiwa na mawazo kibao.siku ziliendelea kusonga Hali ya Jackline iliendelea vizuri na kupona kabisa licha ya kuwa mara nyingi nilipoenda Kumuangalia nilipigwa stop.sikuwa na hamu ya kwenda kumuangalia halima kutokana na mtiti wa Mama halima.Siku Moja Nikiwa katika pilika pilika za kununua nguo kutokana na sikukuu ya Pasaka kukaribia nilimuona mrembo.Mrembo ambaye kwa Kumuangalia vizuri alikuwa ni jackline msichana ambaye kipindi kifupi tu kutokuwa naye kulinifanya nikonde kwa kumuwaza niwe mpweke kwa ajili yake.nilimfuata na kumgusa bega ambaye hata yeye baada ya kuniona Aliachia tabasamu

    "Inakuaje jackline"

    "pouwa"

    "za masiku"

    "Nzurii"

    "Sasa jackline mbona umenichunia hivyo najua kwamba nilikukosea sana lakini mimi ni Binadamu kama binadamu wengine jackline ninakosea"

    "Mmmh Mbona mimi nimeshakusamehe ilibaki mimi tu nikuombe msamaha kwa sababu nilikuja kuvuruga Mechi yenu kati ya wewe na malaya mwenzako"

    "yaliopitwa si ndwele tugange yajayo nakuomba unisamehe turudiane jamani Jackline Please"

    "Hahaha urudiane Na nani sasa"

    "Aaaaaa na wewe jackline mpenzi"

    "haloo kama ni jembe lishapata mlimaji, am sorry pablo tushachelewa jamvini karamu imeshaliwa" Alisema Maneno yale jackline huku akinionyesha kidole chake kilichokuwa na pete iliyoonekana kama ya uchumba hali ilinifanya nipigwe Na kama shoti ya umeme nilijukuta nikaangua kilio kama chizi huku nikipiga Magoti huku kwa Mbali Nilimshuhudia jackline akaiondoka pale kwa Madaha na Malingo na kuniacha pale nikilia huku miongoni mwa watu wakinicheka wengine wakinionea Huruma..........



    Nilijikokota huku bado machozi yakichukua nafasi yake huku Nikiwaacha watu waliopo eneo hilo kusema kila wanachojisikia kuhusu tukio lililotokea kisha haraka haraka nikapanda gari la kuelekea nyumbani huku Bado nikiwa na simanzi ya hali ya juu.Nilifanikiwa kufika nyumbani mapema tu lakini kabla hata sijaingia ndani nilimsikia mtu kama ananiita na kunifanya nisimame Alikuwa ni john rafiki yangu ambaye kwa kiasi kikubwa alinisaidia kuwasuluhisha jackline na halima

    "Kaka vp Pablo mbona umechoka choka"

    "Hamna bana kawaida si unajua tena mihangaiko ya hapa na pale"

    "Vp auendi kwenye harusi??"

    "harusi ya nani"CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Si halima leo anaolewa kaka".Maneno ya John yalianza kuninyong'onyesha nikajikuta nikishika kichwa huku machozi yakinilengalenga nikajitutumua kumjibu huku nikijaribu kuficha hali ambayo ilinitokea ghafla kwa wakati huo

    "Pouwa nisubiri basi nika...oge twende"

    "Poua kaka"bila ya kupoteza muda nikaenda kuoga huku bado mawazo yakiendelea kutawala katika kichwa changu huku Nikijaribu kupoteza mawazo hayo kwa kuimba imba.nikamaliza kisha mimi na John tukaanza safari ya kwenda kwa Halima.Tulifika kwao na kukuta rusha roho la nguvu huku Baadhi watu wengine wakipiga vigelegele.Ghafla Gari kubwa likaja likiambatana na gari ndogo ambayo kwa kuangalia tu lilionekana lilikuwa la bwana harusi hali ilizidisha vegelele na kelele za furaha.bwana harusi akiwa ndani ya kanzu ndefu na kiremba alishuka kwenye gari ndogo kwa madaha huku akiwa na wapambe wake wakiwa wamfutamfuta majasho kamera nazo hazikuwa nyuma kumpiga picha hali iliozidi kuzidisha Harusi kunoga.bwana harusi akiingia ndani na hakupita hata nusu saa akatoka na bibi harusi ambaye kupendeza kwake kulimfanya hata asionekane halima niliyemzoa.uzalendo ukanishinda nikajikuta nikimtoroka john ambaye alikuwa kimya akiangalia mchezo mzima unavyoendelea.nilitembea kwa haraka haraka na kufika nyumbani kisha nikaingia ndani na kujitupa kitandani huku nikiwa na mawazo.hakipita dakika mlango wangu ukagongwa hali ilinishtua na kujikuta nikajizoazoa taratibu na kwenda kuufungua.

    "Vp anko mimi naitwa Alex nimetumwa na dada nije nikuletee mzigo wako."nilimuangalia kijana huyo aliyeonekana tunalingana kimakamo ambaye baada ya kusema hivyo alinipa bahasha ya kaki ambayo bila kusita nikaipokea kwa shauku kubwa

    "Dada gani"

    "Jackline".Baada ya kusikia jina la jackline nikajikuta furaha kubwa imeingia katika nafsi yangu nikamruhusu kijana yule ambaye bila kuchelewa akaondoka nikaingia ndani na kwa pupa nikaanza kuifungua bahasa hiyo na kukuta kadi ya mualiko kama wa sherehe fulani hizi na kukuta kikaratasi kilichoandikwa

    "Baby nimekusamehe jamani nakupenda sana naomba usikose kuudhuria katika sherehe hiyo itakayoanza kanisani pale posta la Nathan church please wahi mpenzi kwa sababu nipo peke yangu nahitaji niwe nawe".Nilisoma barua hiyo ilionifanya nipate faraja kubwa katika Nafsi yangu hali ilionirudisha katika hali ya furaha.Mungu si Athumani jumapili ikafika lakini kuchelewa kwangu kuamka kulinifanya niingie na wasiwasi kidogo.nikavaa suti kali ambayo baada ya kujiangalia kwenye kioo nilijithibitishia kwamba nilitokelezea kisha nikatoka na kuchukua taxi ambayo nilikubali kutoa kiasi chochote ili nifike haraka.nilimpa dereva elfu hamsini ambapo bila ya kupoteza muda akaanza kulikimbiza taxi hiyo na kupitumia lisaa limoja tu kutoka mwananyamala komakoma mpaka posta ambapo ndipo kanisa lilipo.nilifika na kukuta umati wa watu wakizidi kuingia katika kanisa hilo ambalo hauingii bila ya kutoa kadi ambayo alinipatia jackline akimtuma Alex.nikaingia katika kanisa hilo na kukaa kwenye siti huku macho yangu yakimtamfuta jackline ambaye licha ya kumtafuta kwenye simu namba yake hakupatikana.nilibaki kwenye kiti nilichokaa na kumsikiliza padri aliyekuwa akiiendesha Misa huku bado nikiendelea kumtafuta jackline huku mawazo yakuchelewa kwake yalitawala katika fikra cha kichwa changu.Ghalfa Mtu alivaa suti kali nyeusi Akiambata na wapambe wake wakaingia hali iliyofanya watu wote kanisani kupiga vigelele vilivyozidi kunishangaza

    "Mmh kwani vp??"nilijikuta nikijiuliza maswali kadha wa kadha huku nikiwa nipo katika kiza kinene kilichonifanya nitulie nikisubiri kitakachotokea.Kelele zingine za vigelele vilipita katika ngoma za masikio yangu kwa mara nyingine huku kwa macho yangu nikishuhudia mwanamke alivaa shela jeupe lililompendeza sana akitembea kwa hatua ndogo ndogo huku kashika mauwa akiambatana Na wapambe wanne wawili wakishika shela kwa nyuma lililokuwa likiburuzika huku wengine wakiwa wanamsindikiza kwa kutembea.nikajikuta nikisimama na kumuangalia bibi harusi huyo na Macho yangu yalimtambua kwa haraka sana hakuwa ni mwingine bali ni mrembo niliyotoka naye mbali alikuwa ni jackline.hali ya kuishiwa nguvu ilikuja mara moja na kujikuta nikaa katika kiti changu kama mgonjwa aliyepatwa na ebola.mboni ya macho yangu yalianza kubadilika huku hali ya majimaji yalitiririka kidogokidogo hali iliyonifanya nijifute ili kutoruhusu kuonekana.usingizi mzito ukanijia ghafla nikajikuta nikiegemea kwenye benchi la mwenzagu wa mbele aliyekuwa kasimama kwa kuweka kichwa changu.usingize ule hakuwa wa muda mrefu hakupita hata dakika kumi nikasikia maneno ya padri akimuuliza jackline ambaye alikuwa kafunikwa na kofia ya shela aliyovaa

    "Bibie jackline umekubali kuolewa na bwana jackson Martin na kuwa mume wako wa ndoa kwa uthibitisho wa pete hii ya ndoa.."

    "N...............................CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/





    Ndiiio nimekubali"sauti nyororo iliyoambata na vigelegele ndivyo vilipenya kabisa katika masikio yangu huku macho yangu yakiona kabisa bwana harusi akimvisha pete ya ndoa ile mkononi mwa mwanamke niliyempenda sana jackline kisha bila hiyana wakaaanza kunyonyana denda mbele ya umati uliozidi kuongeza vigelele huku kila mtu ndani ya kanisa hilo akiwa na furaha sembuse mimi tu ambaye wakati huo Nilijitahidi kuzuia machozi yasinidondoke katika mashavu yangu.nilijikuta nikinyanyuka nakuwapita watu waliosimama huku wakipiga vigelele huku hakuna hata aliyejua maumivu yangu ya moyo ambayo katika maisha yangu nilisi kama nimepoteza kitu kikubwa.

    "Wewe Fala utagongwa boya wewe chizi nini"ilikuwa sauti ya dereva wa gari aina ya costa ambaye kama isingekuwa breki baasi ningeshapelekwa Hospital baada ya kufungia breki karibia kabisa na mguu.hakika wakati huo nilikuwa sijielewi kabisa mawazo yalizidi kukuiandama kichwa changu hata nakumbuka siku hiyo usingizi haukuja kabisa kila nilipokuwa namkumbuka jackline nilikuwa nalia.hakika jackline ni msichana ambaye alinisaidia kwa vingi alijitahidi kujinyima yeye ili anipe mimi pale ninapopatwa na Matatizo alikuwa ni mwanamke mwenye kujitambua na alionyesha mapenzi ya dhati kabisa kwangu.Ndoto zangu za kumuoa ziliyayuka kabisa kwa umalaya ambao niliufanya bila hata ya msingi bali ni tamaa tu za kimwili.nilijikuta nawaza sana mwisho ilinibidi niukabali ukweli tu kwamba jackline nilimkosa.nakumbuka siku moja nilikutana naye Maeneo ya mwenge Aliiniita lakini nilimchunia si kwa sababu Aliolewa bali nilitaka nisimuone tena kwa sababu nampenda mno.

    *-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*

    Ilikuwa siku ya jumatatu siku ambayo mimi na marafiki zangu tuliwahi chuo siku hiyo cha Ifm tukiwa tunajisomea kwa sababu mitihani ilikuwa inakaribia.Hakika haikuwa mimi na tu na marafiki zangu tuliowahi bali karibia wanafunzi wote darasani kwetu tuliwahi na kuanza kujisomea huku tukimsubiria lecture wa darasa letu aje kutufundisha.ghafla lecture akaingia darasani kwetu kisha akatuambia tumsikilize na kuanza kuongea

    "Leo tutakuwa na Mgeni ambaye atakuja kuungana nasi kwa lengo la kusoma naombeni Mpeni ushiriki..."kabla hata ajamaliza mlio wa viatu vya skuna vilisikika ndani ya chuo kisha akaingia msichana Ambaye uzuri wake zikuweza kuufananisha Kwa kawaida alikuwa anafanana na nani lipsi zilizoambata na nywele ndefu huku mashavu yaliobonyea ambayo yalionyesha dimpoz kila wakati hata kama hajatabasamu huku kidevu kilichobonye pia ndio vilizidisha uzuri wa mrembo huyo ambaye Aliingia darasani kwa mwendo mdogomdogo na kuwaacha wote waliokuwa darasani kuwa mdogo wazi wakimshangaa mrembo huyo.Alifika na kukaa nyuma yetu ambapo alikaa na Msichana mwengine.kwa mbali nilisikia sauti yake ya kumtoa nyoka pangoni akimwambia msichana aliyekaa naye

    "Hey do you have a pen(Eti una peni)"bila ya kuchelewa nikageuka na kunyoosha mkono wangu na kumpa peni ambayo alipookea kwa kusita sita huku akikwepesha macho yake yasiogongane na yangu jambo ambalo kwa mbali nikasikia sauti ya lecture iliyowafanya karibia wanafunzi wote darasini huo kucheka

    "mmmmmhh vp baba usione chaka"..



    Nilijikuta nikijisikia aibu baada ya lecture kuniambia vile na kugeuka nyuma huku bado wanachuo wengine wakiwa wanacheka.ilichukua muda mrefu sana kumjua kutokana na yeye kuwa mkimya sana nilijaribu kila mbinu kujaribu kumuingia lakini Sikufanikiwa.Siku mimi tu hata wale wenye uwezo mkubwa wa fedha wenye magari hapo chuoni walijaribu kumuingia msichana lakini hata namba ya simu hawakupata.Ni steve tu ndiye mwanaume wa kwanza chuoni hapo kuongea na msichana huyo na kupewa namba ya msichana huyo jambo lililomfanya ajitape na kututambia huku akitangaza dau la Milioni mmoja ili kumpa mtu namba ya msichana huyo jambo ambalo lilishindwa na wengi.Mawazo juu ya msichana huyo yaliendelea kuandama kichwa changu nakujikuta muda mwingine nikimuota katika njozi zangu nikiwa nawe jambo ambalo lilinipa faraja kubwa katika Moyo.kutokana na kumpenda sana msichana huyo nikajikuta nikimsahau kabisa jackline na kuacha umalaya kwa wasichana wengine.nilidiriki kabisa kumpiga picha msichana huyo bila ya kujijua kisha nikaikuza na kuipamba katika geto langu huku nikiwa najiliwaza nayo kwa kuibusu kila nilipokuwa naiangalia.siku moja nikiwa Najiandaa kwenda nyumbani rafiki yangu Martin akaniita

    "ooya pablo nimeshalijua jina la yule demu mwanangu"

    "daa nambie anaitwa nani..??"CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Moureen"

    "daa basi kesho"nilimuaga martin ambaye alionyesha kufurahishwa kwa kumjua jina msichana jambo ambalo hata mimi nilifurahi kwa sababu hata mimi sikuwa nalijua jina lake.Mdogomdogo nikajikokota na kutoka njee ya chuo ambapo macho yangu moja kwa moja yakatua kwa mrembo huyo moureen alikuwepo ng'ambo ya pili ya barabara nilitamani kuvuka ili nimfuate lakini nilisita kwa sababu nilimuona akiwa na steve jambo ambalo liliniumiza moyo.nikiwa katika dimbwi la msangao Huku nikiwa nipo pembezoni mwa barabara nikiwa nataka kuvuka ghafla moureen akamuacha steve na yeye kuja kuvuka aje nilipo mimi.ile anafuka gari aina ya Harrier lilokuja kwa kasi lilianza kumfuata moureen ambaye kutokana na kuwa muoga akijikuta akisimama huku akifumba macho yake akiwa hana la kufanya.

    "Noooooo"sauti ya steve ndio ilinishtua aliyekuwa akilisuhudia tukio hilo.nikajikuta nikitupa begi langu na moja kwa moja nikaanza kumkumbilia moureen ambaye nilifanikiwa kumsukumiza yeye lakini gari hilo la harrier likanigonga mimi na kunirusha Mbali sana kisha likafunga breki.ni nyota tu ndizo nilizokuwa naziona katika wakati huo huku damu nyingi zilikuwa zinanitoka sehemu yote ya mwili wangu.kiza kinene ndicho kilichukua nafasi yake katika mboni ya macho yangu na taratibu usingizi wa kuzimia ukachukua Nafasi yake...........



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog