Chombezo : Jamani Baba
Sehemu Ya Tatu (3)
ILIPOISHIA :
“Uko poa ? Nimekumisi sana !”
“Niko poa , hata mimi nimekumisi. Ila baba ,
niambie ukweli, mama amejua ulikuja chumbani
kwangu?”
ENDELEA SASA .. .
“Angejua unadhani angekuacha?”
“Najua asingeniacha , lakini mbona kama leo
kaamka vibaya kuliko siku nyingine?”
“Mvumilie , ndivyo anavyokuaga wakati
mwingine, mimi namjua .”
“Nilidhani alijua , maana kama nakiona kifo
njenje.”
“Usijali Mwaija. Sasa leo inakuaje?”
“Nakusikiliza wewe baba .”
“Huwezi kutoka tukakutana mahali ?”
“Mama nitamwambia naenda wapi ?”
“Kusuka .”
“Ataniuliza pesa nimepata wapi, nitasemaje?”
“Utamwambia nimekupa mimi. ”
“Mh ! Baba , hatanielewa.”
“Atakuelewa tu, mimi akiniuliza nitajua cha
kumwambia.”
“Halafu si itabidi nikasuke kweli? Maana nikirudi
sijasuka je ?”
“Utamwambia ulikuta foleni na muda unazidi
kwenda ndiyo ukaamua kurudi .”
“Basi nitajaribu baba. ”
“Sawa Mwaija halafu kuna kitu kingine nataka
kukwambia...”
“Kipi hicho baba jamani ?”
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Usiniite baba . Niite dear au mpenzi. ”
“Usijali basi my dear. ”
Masilinde alihisi damu zikitembea kwa kasi
mwilini na msisimko juu kwa kusoma meseji
akiitwa dear!
“Safi sana ! halafu kingine tena. ..”
“Kingine tena nini jamani mpenzi wangu ?”
“Mh ! We mtoto unajua kusakata kabumbu
kitandani. ”
“Kuliko wewe dear?”
“Unanishinda .”
“Sikushindi ila ufundi wako ndiyo unaonifanya na
mimi unione fundi .”
“Loo ! Mwaija mpenzi ... unapenda staili gani zaidi
ili tukikutana nikupe hiyo .”
“Mmm! Kwa wewe yoyote ile lakini ile ya kagoma
kwenda nzuri , nyingine napenda ile ya kujiandaa
kuunga mchuzi kwa nazi .”
Masilinde alibaki hoi. Kagoma kwenda hakujua ni
nini, kujiandaa kuunga mchuzi kwa nazi pia
hakujua ni nini ! Kuuliza akashindwa, akabaki
kimya na kujifanya anajua kila kitu .
“Hizo zote utazipata leo tukikutana . Halafu we
mtoto umeumbwa vizuri sana, uliumbwa asubuhi
nini? Maana loo !”
“Siyo sana jamani dear , kidogo tu.”
“Loo ! Mtoto kila kitu kipo sawasawa . Ukitembea
unatembea kweli . Ukikaa umekaa kweli. Kulia na
kushoto umejazia , uani ndiyo balaa ,” Masilinde
alimsifia Mwaija huku mwili ukiwa tayari moto .
“Mh ! Jamani my love. Wewe je , umeumbwa
vizuri , mama anafaidi sana ndiyo maana nataka
tukufaidi wote .”
“Tena wewe utanifaidi sana kuliko mama yako .”
“Hayo maneno sasa mpenzi wangu, ” alisema
Mwaija. ..
“Wewe muda mrefu nakuona unaminyaminya
simu, unawasiliana na nani?” mama Mwaija
alisema kwa hasira huku akimsogelea ...
“Mama nilikuwa nawasiliana na rafiki yangu
Tanga.”
“Nani?”“ Anaitwa Rehema .”
“Mnawasiliana kuhusu nini ?”
“Kuna vitu vyangu f’lani ,” alisema Mwaija huku
akifuta meseji zote za baba yake .
“Hebu tuone hiyo simu yako. ”
Mwaija alimpa simu mama yake huku mapigo ya
moyo yakimwenda kwa kasi kwani alijua baba
yake anaweza kutuma meseji muda huohuo
kulingana na walivyokuwa wakichati.
Bahati nzuri sana ndani ya simu hiyo kulikuwa na
meseji za Rehema ambapo mama huyo
alipoziona bila kuangalia muda wala tarehe
aliamini...
“Bahati yako, nilidhani unawasiliana na
wanaume. Nikija kusikia una wanaume
nitakukata masikio yako. ”
“Siwezi mama, si unaona mimi nashinda
humuhumu ndani .”
Ile Mwaija anashika simu yake tu, meseji kutoka
kwa Masilinde inaingia. ..
“Muage mapema mama yako kwamba
utakwenda kusuka .”
Mwaija alikunja sura maana alijua lilikuwa bomu
zito kama mama yake angeiona meseji hiyo.
“Poa, lakini usitume tena meseji, kuna wakati
simu alishika mama.”
Masilinde alihisi mwili kwisha nguvu na
kizunguzungu juu aliposikia simu ya Mwaija
ilishikwa na mkewe .
***
Saa kumi na moja jioni, Masilinde alitoka kwenye
shughuli zake na kuanza kufikiria namna ya
kuwasiliana na Mwaija maana tangu
alipomwambia asitume meseji simu ilishikwa na
mkewe hakuwahi kutuma meseji tena.
Alifika maeneo ya nyumbani kwake kwa
kubakiza kama mitaa mitatu , akasimama
kwenye duka la Mchaga mmoja na kuomba
msaada wa simu ...
“Kuna mtu nataka kumpigia , sasa simu yangu
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
imejiloki,” aliongopa ili aazimwe simu.
Alipewa simu , akasimama pembeni kidogo .
alichukua namba za simu za Mwaija akaziandika
kwenye simu aliyoomba na kuzipiga ...
“Haloo,” alipokea Mwaija ...
“Ni mimi baba yako , nimeazima simu kwa mtu.”
“Simu yako ina nini kwani?”
“Nilihofia kuitumia tangu pale uliposema nisitume
meseji. Kwani mama yako yuko wapi?”
“Amekwenda msibani.”
“Oooh ! Sasa ?”
“Kuhusu kukutana nje ya hapa nyumbani?”
“Ee, ndiyo .”“ Nije wapi sasa ? Halafu leo naomba
unikate kiu kwelikweli mpenzi wangu.”
“Hilo wala si ombi ni jukumu langu mimi kama
mpenzi wako , mimi kama mkata kiu wako na
mimi kama mumeo mtarajiwa, ” alisema
Masilinde huku mapigo ya moyo yakimwenda
kwa kasi ya ajabu kwani alikuwa bado hajaamini
kama amefika mahali binti mbichi kabisa ,
aliyeumbwa akaumbika kama Mwaija anafikia
hatua ya kuomba kukatwa kiu na yeye .
“Sasa sikia , ulizia watu Kwasandarusi ni wapi ,
watakuonesha mimi utanikuta nimekaa nje .”
“Sawa baby ,” alijibu bila woga Mwaija .Mwaija
alifunga nyumba huku sauti ya mama yake
ikisikika masikioni mwake . ..“ Mimi nakwenda
msibani tena, naomba usitoke nyumbani Mwaija .”
“Sawa mama .”
“We sema sawa mama halafu nirudi nikute
haupo.”
“Haitatokea mama. ”
“Sawa .”
“Aah! Sasa nikianza kuogopa maneno ya mama
nitalala na kiu yangu, ye’ ikifika usiku atakatwa
kiu, mimi je ?” alijipa moyo Mwaija huku akianza
safari ya kuelekea Kwasandarusi.. .
“Eti we mtoto, hujambo ?”
“Sijambo, shikamoo.”
“Marahabaa . Eti Kwasandarusi wapi ?”
“Pale penye mikokoteni nje ,” alijibu mtoto mmoja
aliyekuwa akicheza mtaani .
“Haya asante ee?” alishukuru Mwaija .
Mwaija alitembea kuelekea Kwasandarusi , kwa
mbali alimwona mama yake wa kambo amekaa
nje kwenye fomu ...
“Nikifika nitamwonesha maajabu ,
nitamkumbatia, ” alisema moyoni Mwaija .
“Kweli , alipofika, wakati Masilinde anasimama ili
kumkaribisha, Mwaija akamvaa na kumkumbatia
kisha mabusu mfululizo yakafuatia ...
“Mmm.. .mwaaa ... mmmmmwaaa ... mmmmwaaa!”
Masilinde tayari alishafika kitandani kihisia
japokuwa mabusu yale yaliwashangaza wengi
kwani waliowaona walibaini tofauti kubwa ya
umri kati ya Masilinde aliyeonekana kama ana
miaka 50 na Mwaija aliyeonekana ana miaka
kama 20 tu!
“Yule si kama mtoto wake?” alisema mzee
mmoja akiwa jirani na eneo la waliposimama
wawili hao .. .
“Yahe siku hizi ukifuata umri utaachwa! We
angalia wapi umelenga ,” alisema mwenzake
wakiwakodolea macho akina Masilinde.
“Nikwambie kitu my love,” alianza kusema
Mwaija.
“Nambie tu. ”“ Mama alinionya kuhusu kutoka
nyumbani.”
“Kwa hiyo?”
“Kwa hiyo twende haraka , kila kitu kiende
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
haraka ili niwahi kurudi kabla hajarudi. ”
“Sawa . Sasa unaona lile geti la mwisho pale?”
“Ndiyo.”
“Ile ni gesti , inaitwa Kichapo! Nenda pale ingia
mimi nakuja nikukute imesimama mapokezi ,
sawa?”
“Sawa ,” alisema Mwaija akiwa ameshaanza
kutembea kuelekea kwenye gesti hiyo ya
Kichapo.
“Hodi. ..hodi wenyewe,” Mwaija alibisha hodi
baada ya kuhisi ukimya umetawala .
“Karibu, ” sauti ya mwanaume ilisikika kutokea
ndani.
Mwaija alisimama mapokezi. ..
“Kuna mtu kaniambia nije nimsubiri hapa
mapokezi,” alisema Mwaija akiwa
anaogopaogopa...
“Nani, au Masilinde?” mtu wa mapokezi
alimuuliza.
“Mh ! Mi simjui jina . ”
“Sasa we utakujaje na mtu humjui jina ?”
“Hayakuhusu ,” alikuja juu Mwaija .. .
“Halafu pamoja na kuja kumsubiri mtu, we mtoto
umeumbika kweli ungekuwa na mtu kama mimi
ungefaidi. Ningekununulia simu ya maana, viatu
vizuri , yaani ungependa mwenyewe, ” alisema
yule mtu wa mapokezi.
“Sina shida navyo,” alijibu Mwaija , safari hii
akionesha hasira za waziwazi .
Mtu wa mapokezi aliposikia mlio wa viatu
alijikausha akijua aliyemtuma Mwaija kumsubiri
hapo anaingia ...
“Karibu sana. ”
“Asante . Kuna chumba ?”
“Kipo. ”
“Naomba. ”
Masilinde alichukua chumba akazama ndani na
Mwaija. ..
“Eti baby, we unaitwa nani?” aliuliza Mwaija mara
baada ya kukaa tu.
“Kwani vipi dear, hujui jina langu ?”
“Silijui . Nani ataniambia na kwa ajili ya nini ?”
Masilinde alipiga hesabu za haraka akagundua
kuwa, kuuliza kwa Mwaija kumekuja kwa
kuambiwa na mhudumu wa gesti hiyo. ..
“Huyu haiwezekani tumeingia chumbani kukaa
tu, anaulina naitwa nani? Lazima kaambiwa jina
langu na yule kijana. Na kama ni kweli kwa
kamwambia kwa sababu gani na ili iweje ?”
alijiuliza Masilinde.. .
“Mimi naitwa Mathayo, ” Masilinde alilitaja jina
lake la kwanza ambalo alijua muhudumu wa
gesti halijui.
“Ooo! Maana yule kaka kaniuliza umekuja
kumsubiri nani? Nikasema simjui jina , akasema
au Masilinde nini ? Sasa nikawa najiuliza
inawezekana ukawa unajulikana kwa jina hadi
gesti?”
“Simjui mimi na ni mara yangu ya kwanza
kuingia humu . Kumbe mzuri kidogo, si tutakuwa
tunakujakuja hapa mara mojamoja?” aliuliza
Masilinde...“ Wewe tu baby wangu,” alisema
Mwaija huku bila soni wala haya akianza kumvua
nguo Masilinde ili akatwe kiu .
Masilinde alimwangalia Mwaija kwa macho ya
mahaba mazito huku ulimi ukiwa nje kuashiria
kwamba alikuwa akihisi raha kuvuliwa nguo na
binti huyo ambaye tangu azaliwe hajawahi
kumwona binti mrembo kama Mwaija .
Hata kumpata kwake kimapenzi, Masilinde
alitamani kufanya sherehe na kualika watu ili
wajue kwamba, amebahatika kumnasa mtoto
bomba kwelikweli .. .
“Sijui nimhamishe pale nyumbani halafu
nimtangazie ndoa ,” alisema moyoni Masilinde
akiwa amelegea kila sehemu ya mwili wakati
mikono ya Mwaija ikipita kumpapasa sehemu
mbalimbali za mwili .
“Ah! Hapo ulipopashika nimetekenyeka,” alisema
Masilinde.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Kwa kujua hilo , Mwaija alizidisha mbwembwe ,
sasa alikuwa akimvua huku anamkwaruza kwa
mbali na kucha za mikono yake, Masilinde
akawa kama mtoto aliyelazwa kwenye miguu ya
mama yake huku akivalishwa nepi !
Alikuwa akirusharusha miguu huku na kule huku
akijisikilizia kimapenzi. ..
“Baby na wewe nivue na mimi, ” alisema Mwaija
huku akiwa amepeleka mikono juu kumpa nafasi
Masilinde naye ashike zamu yake ya kumchojoa
nguo.
Masilinde ile anaanza tu, simu ya Mwaija ikaita . ..
“Huyo piga ua galagaza ni mama tu, ” alisema
Mwaija akiwa amekosa amani. ..
“Usipokee , mimi nitakutetea. Kwa hatua
tuliyofika si ya kuniacha kama tulivyoingia ,”
alisema Masilinde huku akimvua nguo kwa pupa
Mwaija.
Alimbinuabinua mpaka Mwaija akawa mtupu.
Mapigo ya moyo yalimwenda kwa kasi kwa
woga wa mama yake lakini kwa kuwa aliahidiwa
utetezi kwa mbali alirejesha mahaba kwa
Masilinde...
“Iwe haraka basi ,” alisema Mwaija akimaanisha
kama ni kukatwa kiu basi akatwe haraka ili
awahi nyumbani.. .
“Iwe haraka nini ?” alihoji Masilinde.
“Nikate kiu haraka jamani tuondoke . ”
Wakati Mwaija anaweza ufafanuzi wa kauli yake,
siku nyingi Masilinde alikuwa uwanjani akisakata
mpira na Mwaija akaunganisha maneno yake na
maneno ya mahaba. Hapo alimsahau mama yake
kwamba anapiga simu kwani iliendelea kuita .
Maneno yalimtoka Mwaija , lengo lake ilikuwa
kumhamasisha Masilinde ili afike mapema
kwenye kilele cha mlima waliokuwa wakiupanda
kwani hata yeye alishaanza kuwa na dalili za
kufika hapo ila alipunguza kasi ili wafike wote
kwa ushindi wa kishindo.
Masilinde alibadili aina ya mchezo, sasa ikawa
mnyama kagoma , akatoka hapo akatumia
marehemu mdudu, akahamia kwenye unga
mboga kwa nazi kwanza tupike ugali .
Mapozi yote hayo , Mwaija alichanganyikiwa...
“We mzee .. .si unioe .. .”
“Mwa ... Mwa.. .ija mzee nani?”
“Naku ... nakutania we mpenzi wangu ,” alisema
Mwaija kupoza lakini pamoja na utani huo ,
Masilinde akaanza kupiga mikiki ya karibu kama
ya penati kwenye mpira, Mwaija akaachia , mguu
wa kulia mashariki, wa kushoto magharibi ,
Masilinde akahema kwa nguvu na kutangaza
kuvunja dafu, mwaa akadakia .. .
“Hata mimi. ..hata mimi ...hata mi. ..mi ...mimiiiii .. .”
***
“Hivi huyu mbwa ananitafutia nini mimi ?” mama
Mwaija alisema akiwa bado msibani. Yeye alitaka
kumpa maagizo f ’lani .
“Mbona umekasirika mwenzetu?” aliuliza
mwanamke mmoja swali likimwelekea mama
Mwaija. ..
“Si binti yangu. Nampigia simu nimpe maagizo
hapokei.”
“Ni yako yule niliyemkuta kwako siku ile anafagia
nje?” aliuliza mwanamke huyo mama Snura. ..
“Ndiyo yuleyule .”
“Mimi wakati nakuja nimekutana naye pale kwa
Mshihiri anaongea na simu , vicheko vingi,”
alisema mwanamke huyo .
“Ha ! Ina maana hayuko nyumbani?”
“Itakuwa. Kwa jinsi alivyovaa, atakuwa
anakwenda kwa wanaume. Kwani unamchunga,
si mtu mzima yule?”
“Mama Snura, mtu mzima ndiyo, ana miaka
ishirini na moja lakini si wakati wake kuwa na
wanaume huu . Asubiri kwanza.”
“Mh ! Mimi sichungi mtoto akifikisha miaka kumi
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
na nane , dunia itamfunza.”
***
Masilinde kawaida yake mechi ya kipindi cha
kwanza humpa ari ya kurudi uwanjani raundi ya
pili hivyo alipopumzika kidogo tu, akadandia tena
kwa nguvu zaidi ya zile za kwanza...
“Baby wewe bado ?” aliuliza Mwaija .. .
“Bado , si unaniona!”
“Nakuona , haya baby . Wewe tu baba ... niko kwa
ajili yako. ..mimi pia najikuta bado kwa sababu
wewe bado .”
Maneno hayo ya Mwaija yalimchochea sana
Masilinde kiasi kwamba, kule kuanza mechi tu,
washambuliaji walitaka kuingia uwanjani kwa
wingi kushangilia ushindi , ikabidi Masilinde
asitishe kidogo zoezi ili kujipa muda wa kuanza
tena.
Mwaija alijua! Alijua kuwa , Masilinde
alishahamasika na maneno yake , akabaini
kumbe maneno peke yake ni silaha ya
kumharakisha mwanaume huyo. ..
“Vipi tena baby ?”
“Ah! We unanichanganya dear mpaka najikuta
nataka kumaliza . ..”
“Pole sana baby, usimalize basi. ..lakini . ..lakini
mimi wako jamani.. .au unataka kingine zaidi ?”
“Sina.
“Haya baby ... hata mimi sihitaji kingine zaidi ya
kilichopo. ..haya baby ... wewe tu.”
Masilinde safari hii alipatikana, akajikuta anapiga
mayowe kama mtoto mdogo huku machozi
yakimlengalenga. ..
“Mwaija mimi sikubali,” alisema Masilinde huku
akihema kwa nguvu akiwa ameshavunja dafu
lake.
“Kwa. ..kwa nini ba. ..by?” aliuliza Mwaija huku
akimkumbatia kwa nguvu Masilinde kumbe na
yeye alikuwa akivunja dafu lake lakini
kimyakimya.
“Mimi lazima nikupangishie chumba Mwaija , pale
nyumbani uhame , uko tayari?”
“Nipo tayari baba , wewe tu,” Mwaija alijibu kwa
sauti tamu , sauti ya kumnyofoa kama si kumtoa
nyoka pangoni mwake . ..
“Basi niachie mimi, sawa mama?”
“Sawa mpenzi , ” alisema Mwaija huku akizidi
kumbana Masilinde kwenye mikono yake milaini
kama ya mtoto mdogo. Ilikuwa shughuli nzito , kila
mmoja alionekana kumkamia mwenzake na
kutojali nini kitatokea mbele ya safari.
Kwa upande wake , Mwaija moyoni aliamua liwalo
kwa mama yake na liwe kwani ameshaahidiwa
kupangiwa nyumba na kuendelea na penzi la
baba yake wa kambo huyo ...
“Mama hata apige mpaka simu ijipokelee
yenyewe, mimi niko na wangu saa hizi ,” alisema
moyoni Mwaija huku akiendelea na mechi .
Ilikuwa piga nikupige .
Kuna wakati, Mwaija aliachia mayowe ya
kuashiria yupo pazuri lakini pia kuna wakati ,
Masilinde aliguna sana kuashiria naye yupo
pazuri.Jasho jembamba lilimchuruzika Masilinde
lakini kwa sababu yeye alikuwa upande mzuri,
Mwaija alitumia nafasi hiyo kumfuta jasho kwa
taulo huku akihema kwa kasi.
Ni Mwaija ndiye aliyeanza kutangaza kwamba
anafika kwenye kona ya uwanja tayari kwa kiki
zito mpaka kuchana nyavu kama siyo kutoboa
nyanda. “Ngoja. ..ngoja Mwaija ngoja . ..ngoja
bwa... na.. .aaa ... ” alisema Masilinde akiwa
anaweweseka kwa dalili za kufika kwenye kona
ya uwanja na yeye.
Alipomaliza kusema ngoja , Masilinde akabadili ,
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
akaanza kusema ...
“Haya sasa ... haya sasa Mwaija . ..haya
jama.. .niiii .”
Wakati akisema hivyo , Mwaija yeye alikuwa
akisema.. .
“Sawa .. .sawa ... sa.. .sa. ..waaa .. .”
Wakanyamaza kimya wote . Kilichokuwa
kikisikika hapo ni kuhema kwao tu. Mwaija
alikuwa akihema kwa spidi zaidi huku Masilinde
akifuatia kwa nyuma, kijasho kama kawaida .
“Loo ! Tumechoka ee?” aliuliza Mwaija huku
akimbusu shavuni Masilinde. ..
“Asante ... ni kweli tumechoka sana loo !” alijibu
mwanaume.
Wote walikuwa wamelala kama walivyozaliwa
pale kitandani . Hakuna aliyekuwa na aibu na
mwenzake. Kuna wakati walikutana macho,
Mwaija akaachia tabasamu laini huku
mwanaume akikenua kinywa tu lakini bila
kicheko.
“Sasa baby ?” aliuliza Mwaija ...
“Nini?”
“Tuondoke sasa au ?”
“Ni kweli , lakini tangulia wewe au?”
“Hapana, tangulia wewe.”
“Oke,” alisema Mwaija huku akitoka kitandani .
Kutembea kwake kwenda bafuni kulimpa wakati
mgumu sana Masilinde kwani alipomwangalia
wowowo lilivyokuwa likijiachia , alihisi
kuchanganyikiwa na kutamani kusitisha zoezi la
kuondoka ili waingie ngwe nyingine.. .
“Baby ,” aliiita Masilinde.. .
“Yes baby .”
“Kwani lazima tuondoke muda huu ?”
“Wewe tu, kwani bado wewe ?”
“Kama badobado. ..”
“Jamani , wewe kama mimi . Pia nahisi kama
badobado hivi .”
“Basi njoo.”
Mwaija aliingia bafuni bila kumjibu Masilinde
kama anarudi au la ! Akaoga , akajifuta akatoka.
Kufika chumbani akapanda kitandani huku akiwa
analitupa mbali taulo alilojifunga wakati akienda
kuoga...
Alichekacheka kidogo kisha akamlalia Masilinde
kifuani.. .
“Baby simu inaita , atakuwa mama tu,” alisema
Mwaija huku akiifuata simu yake ili kuthibitisha
kama kweli ni mama yake. ..
“Si nilikwambia atakuwa mama, ni yeye, ”
alisema Mwaija ...
“Usipokee ,” Masilinde alishauri .
“Poa,” alikubali ushauri Mwaija huku akiiweka
simu kwenye stuli.
***
Mama Mwaija alikuwa amesimama dukani kwa
Mshihiri na kumpigia simu Mwaija. Alifika dukani
hapo kwa sababu aliambiwa na mama Snura.. .
“Huyu mtoto ni mshe **i sana , kwa nini hapokei
simu yangu muda wote huo ,” alisema moyoni
mama Mwaija .. .
“Shikamoo, ” binti mmoja jirani na nyumbani
kwake alimwamkia mama Mwaija. ..
“Marhaba Tina, hujambo?”
“Sijambo. ”
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Hajambo mama?”
“Hajambo , unamtafuta nani?”
“Yule mwanangu mgenimgeni.”
“Yule nani sijui. ..”
“Anaitwa Mwaija. ”
“Nimemwona ameingia mle .”
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment