Search This Blog

Thursday, 19 May 2022

JAMANI BABA - 4

 





    Chombezo : Jamani Baba

    Sehemu Ya Nne (4)



    ILIPOISHIA

    Mwaija alitoka, akarudi nyumbani huku miguu

    ikimtetemeka. Alijua mama yake atamla nyama

    siku hiyo. Alipofika, alisukuma mlango akaingia

    ndani. ..

    “Ukitaka salama yako Mwaija uniambie ukweli ni

    mwanaume gani uliyekuwa naye pale gesti ? .

    Usinidanganye maana mimi nilimwona kwa

    macho yangu ,” alisema mama Mwaija .

    ENDELEA ...

    Mwaija alianza kutetemeka kwa mbali akiamini

    mama yake atamtoa sikio kama si kiganja cha

    mkono.. .

    “Mama nisamehe sana .”

    “Nikusamehe kwa sababu gani?”

    “Nisamehe tu mama, najua nimekukera sana.”

    “Nimekuuliza ulikuwa na nani?”

    “Na mwanaume mmoja hivi .. .”

    “Anaitwa nani?”

    “Abdallah .”

    “Anaishi wapi ?”

    “Kule chini.”

    “Mlikutana wapi mpaka mkakubaliana kuingia

    gesti?”

    “Siku ile ulinituma mayai dukani ndiyo nikakutana

    naye akaomba namba yangu.”

    “Ahaa ! Sasa kumbe wewe umekuja Dar kwa ajili

    ya kufanya uhuni siyo?”

    “Hapana mama ... ”

    “Huyo Abdallah kijana mzee ?”

    “Yuko kama baba wa hapa ndani .”

    “Kwa hiyo kumbe wewe siku moja utaweza hata

    kunisaliti mimi mama yako ?”

    “Hapana mama , siwezi kufanya hivyo . ”

    “Unaweza ,” alisema mama Mwaija huku

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    akimsogelea mwanaye amchape makofi mawili

    matatu kabla hajampa ushauri wa kimapenzi,

    mara alisikika mtu akiingia akajua ni mumewe na

    yeye hakutaka mume wake ajue kuhusu habari

    ya yeye kumkuta Mwaija gesti ...

    “Vipi mbona kama hamna amani humu ndani ?”

    aliuliza Masilinde akijifanya hajui chochote na

    sura za wote wawili zilikuwa zikionekana kuwa

    na tafrani ...

    “Si huyu Mwaija .”

    “Amefanya nini ?”

    “Nimekwenda msibani, nimerudi hajafanya kazi

    yoyote ile .”

    “Kwa nini , ye anasemaje ?”

    “Hala na kusema ndiyo maana nikawa namsema

    hapa.”

    “Ah! We Mwaija , umeanza uvivu wako siyo?”

    “Hapana baba , nilikuwa nahisi kama kichwa

    kinaniuma ndiyo maana .”

    “Umekunywa dawa ?”

    “Sijanywa .”

    “Sasa mama Mwaija kumbe mtoto anaumwa

    kichwa angefanyaje kazi ?” aliuliza Masilinde...

    “Mimi siamini ndiyo maana nimemgombeza .”

    Kurudi kwa Masilinde kidogo kulituliza hali ya

    hewa kiasi kwamba mama Mwaija alikwenda

    kufanya kazi zake za ndani huku akimtaka binti

    yake akanunue dawa anywe , apumzike. ..

    “Nenda kanunue dawa sawa , unywe halafu

    upumzike,” alisema...

    “Sawa mama .”

    ***

    Usiku, muda wa kulala ulifika, Mwaija alitangulia

    kwenda chumbani lakini alivizia baba yake

    amekaa sebuleni akapita hapo akiwa na kanga

    moja tu. Safari hii alimtingishia makusudi

    wowowo lake ili kumpa ujumbe kwamba wako

    pamoja. ..

    “Daaa ! Huyu mtoto ni wa kupangishiwa nyumba,

    kweli tena. Haiwezekani akawa ananifanyia hivi

    wakati anajua sina uwezo kwa usiku huu .”

    Moyoni Masilinde aliamua kwamba , mkewe

    atakapoingia kulala amzukie chumbani Mwaija .

    Kwa hiyo aliendelea kuwepo sebuleni huku

    mkewe naye akiendelea kuwepo jikoni lengo lake

    mumewe akiingia chumbani tu aende chumbani

    kwa Mwaija kumpa semina ya mapenzi mapema.

    Kila alipotokea sebuleni, alimwona mumewe

    amekaa macho pima ...

    “Mh ! Huyu naye halali ?” alisema moyoni mama

    Mwaija.

    Masilinde naye, kila aliposimama na kuchungulia

    jikoni, alimwona mkewe bado jikoni .. .

    “Mh ! Huyu leo vipi kwani? Wenzie tunataka cha

    kulalia yeye anaweka ukuta , ” alisema moyoni

    Masilinde.

    Saa saba kamili usiku , mama Mwaija na

    mumewe walikuwa bado hawajaingia chumbani .

    Lakini mwisho wa yote , mama Mwaija alishindwa

    yeye, akaenda kulala...

    “Mimi nakwenda kulala,” alisema mwanamke

    huyo.. .

    “Sa. ..aaawa ,” Masilinde naye alisema huku

    akisinzia. ..

    “Wewe bado kwani ?” aliulizwa Masilinde...

    “Naangalia taarifa ya habari ya ITVT ,” alijibu

    Masilinde bila kutambua kwamba muda ulikuwa

    umekwenda sana .

    “Taarifa ya habari saa hizi mume wangu ?”

    “Kwani kuna nini ?”

    “Ipo ?”

    “Si ndiyo nasachisachi hapa, ” alijibu Masilinde

    huku akiminyaminya rimoti.

    Mama Mwaija alikwenda kulala, Mwaija kule

    chumbani alikuwa hoi kwa usingizi, alikuwa

    akikoroma lakini mlango wa chumba chake

    ulikuwa wazi kwani wakati anakwenda kulala

    aliamini Masilinde anaweza kuzama ndani kama

    alivyowahi kufanya .

    Masilinde alipoona ukimya ndani mwake ni

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    asilimia mia moja , alisimama sebuleni,

    akajinyoosha kisha akaanza kutembea polepole

    kuelekea chumbani kwa Mwaija. Njiani alikuwa

    akijiambia...

    “Nitalala mwepesi sana leo . Mtoto haishi kiu ,

    ukimwangalia tu kiu inapanda , jamani! Kuna watu

    ni wanawake wengine ni wana wa wake .”

    Alishika kitasa, akakizungusha , mlango

    ukafunguka, akaanza kuzama ndani taratibu .. .

    “Nasikia akikoroma , amelala muda mrefu sana, ”

    alisema moyoni Masilinde na kuingia chumbani

    humo ...

    “We baba Mwaija , huko nako kwa mtoto unaingia

    kufanya nini mume wangu jamani?



    Masilinde alisimama mlangoni na kugeuka

    kumwangalia mke wake . ..

    “Nimesikia kama Mwaija analia, sasa nimekuja

    kumwangalia , hebu ingia wewe,” alijitetea

    mwanaume huyo ...“ Kinachomliza ni nini sasa,

    asisemwe?” alisema mama Mwaija huku akienda

    chumbani kwa Mwaija . ..

    “Na mimi nimehisi hivyohivyo , pengine

    ulivyomsema.”

    Kule chumbani, kumbe Mwaija alikuwa macho .

    Hata yeye alijua baba yake huyo wa kambo

    angeenda kumpa msosi wa usiku ndipo alale

    kwa hiyo alisikia mlango ukifunguliwa na alisikia

    swali la mama yake kumuuliza mumewe

    anakwenda kufanya nini chumbani kwa mtoto.

    Pia, Mwaija alisikia utetezi wa baba yake

    kwamba alimsikia akilia . Kwa hiyo aliposikia

    mama yake anakwenda akaanza kulia ...

    “Ooo.. .uuui! uiiii ... ”

    “Wewe nini?” aliuliza mama yake baada ya

    kuzama ndani .

    “Kichwa mama .”

    “Dawa si umekunywa?”

    “Nilikunywa .”

    “Ulikunywa ngapi ?”

    “Vidonge viwili. ”

    “Ulibakiza vingine ?”

    “Ndiyo.”

    “Basi vimalizie, ” alisema mama Mwaija , lakini

    mume wake akagoma . ..

    “Hapana! Hawezi kunywa dawa nyingine muda

    huu . Lazima yapite masaa manne mpaka

    matano .”

    “Haya , lala mpaka yapite masaa matano ndipo

    unywe tena , umesikia ?”

    “Sawa mama ,” alisema Mwaija huku moyoni

    akisema.. .

    “Wewe, umekutana na watu wajanja kuliko

    wewe, kalale mama, utazeeka bure kunifuatilia

    kila saa .”

    “Labda na wewe baba Mwaija ungeingia umpe

    moyo kwamba asiwe na wasiwasi maana naona

    kama anatetemeka ,” mama Mwaija alimwambia

    mumewe aliyekuwa amesimama nje ya mlango ...

    “Kweli ,” alisema baba huyo huku akizama .

    Kutokana na udogo wa chumba, mama Mwaija

    hakuona sababu ya kubaki humo , akatoka na

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    kusimama nje .. .

    “Au kama anahisi kichwa kimekazana akitie

    maji,” alisema mama Mwaija ...

    Masilinde alipozama ndani tu alirudisha mlango

    huku akisema .. .

    “Naona leo kuna mbu wengi sana.”

    Alikwenda kusimama jirani na kitanda na

    kumwinamia Mwaija, akamsogelea na kutoa

    ulimi, Mwaija akaudaka...

    “Mmmmm.. ..”

    “Mmmm.. .mmmm.”

    Waligugumia wote lakini kwa tahadhari kubwa ili

    mama Mwaija asisikie kule nje ya mlango. ..

    “Lakini huyo tangu utoto kichwa chake si kizuri ,”

    mama Mwaija alisema. ..

    “Halafu naye ana tabia ya kutopenda kutumia

    chandarua,” aliendelea kusema mwanamke

    huyo.. .

    “Mwaija ,” aliita Masilinde...

    “Niambie mpenzi wangu. ..”

    “Mbona mama anaongeaongea sana ?”

    “Hata mimi namshangaa ...”

    “Basi nipe tena denda mpenzi wangu ,” alisema

    Masilinde, akapewa .. .

    “Mmmm.. .”

    “Mmmmm.. .mmm.. .”

    “Mwambie asilie , akizidiwa asubuhi nitampeleka

    hospitali akapime malaria ,” mama Mwaija

    aliendelea kushauri , kukosoa na kuelekeza

    wakati wenzake walikuwa wamezama kwenye

    dimbwi la mahaba mazito , denda hadi mate

    yanachuruzika. ..

    “Akikusumbua mchape makofi mume wangu ,

    mtoto mdogo kama huyo asitupelekeshe sana ,”

    aliendelea mama Mwaija .

    Sasa, Masilinde alianza kumshikashika Mwaija

    sehemu mbalimbali za mwili kiasi kwamba,

    Mwaija akajikuta anashindwa kuvumilia na

    kuanza kuweweseka ...

    “Jamani baba ... ”

    “Haaa ! Atasikia mama yako wewe , kelele za nini

    sasa?” alisema Masilinde lakini akaendelea,

    safari hii akamshika nido na kuminyaminya. ..

    “Baba jamani !”

    “Weee . Acha kusema kwa sauti. ..”

    “Halafu kama hataki kulala mwache si tukalale,”

    kule nje mama Mwaija aliendelea kusema huku

    akipiga mwayo wa usingizi...

    “Hebu lala basi tumalizie hapahapa chapuchapu ,”

    Masilinde alimwagiza Mwaija .. .

    “Weee , mama akiingia je ?”

    “Si chapuchapu ? Kwani hujui maama ya

    chapuchapu?”

    Mwaija aliamini kuwa , kwa uchapuchapu

    aliousema Masilinde kila kitu kingekwenda

    sawasawa. ..

    “Lakini iwe chapuchapu kweli mpenzi , ” alisema

    akitoa kanga mwilini mwake na kuitupia kando,

    akalala.

    Kule nje , mama Mwaija alijiuliza swali moja tu,

    kwamba tangu mumewe ameingia chumbani kwa

    Mwaija hajamsikia akisema chochote wala

    Mwaija kuendelea kulia , kuna nini ?

    “Halafu huyu mume wangu vipi sasa ? Mbona

    nampa maagizo lakini na yeye hasemi chochote

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    kwa mtoto, ina maana gani sasa ya yeye

    kuingia?” alijisemea moyoni mama Mwaija .

    Chumbani mechi ya chapuchapu ilianza lakini

    kumbe Masilinde naye akabaini kuwa , mkewe

    anaweza akashtuka kwani tangu ameingia

    hajasema chochote . Kwa hiyo ili kumzuga

    akaanza.. .

    “Halafu kumbe wewe Mwaija hutumii chandarua ?

    Hii si malaria ? Ni kwa nini lakini?”

    “Nitatumia baba ,” alisema Mwaija huku

    akichanganya makiki ya karibukaribu mpaka

    Masilinde akajikuta tayari mambo yako njiani . ..

    “U .. .u ...uta .. .a ... nza li ...li ?”

    Maneno hayo ya Masilinde yakamshtuka mama

    Mwaija kule nje , akakimbilia mlangoni na kuzama

    ndani.



    “Haa! Mume wangu jamani ?!” alisema kwa

    mshtuko mama Mwaija na kupiga mwereka .

    Hakuamini macho yake kwani alimkuta mumewe

    akiwa uwanjani kabisa na akicheza mechi

    sawasawa. ..

    “Mwaija ,” aliita Masilinde akitoka uwanjani .

    “Baba , mama kafa. ..mama kafa,” alisema Mwaija

    huku akitoka kitandani na kuanza kulia kwa

    sauti.. .

    “Nyamaza Mwaija , mama hajafa , amepoteza

    fahamu tu na ataamka muda mfupi ujao, ”

    alisema Masilinde akiwahi kumziba kinywa ili

    asiendelee kulia.

    “Kweli baba mama hajafa?” Mwaija alimwuliza

    Masilinde baada ya mzee huyo mkware kutoa

    mkono kinywani mwake . “Mwaija naomba

    yaamini maneno yangu , mama yako hajafa!”

    Masilinde alimwambia Mwaija .

    “Kama hajafa itakuwa afadhali, ila sijui

    nitamwambia kitu gani anielewe baada ya

    kutufumania,” Mwaija alimwambia Masilinde

    ambaye alimweleza asiwe na wasiwasi kwa hilo .

    Kwa mbali , mama Mwaija alichezesha mguu wa

    kulia kisha akakohoa, kidogo Mwaija akapata

    amani ya moyo ...

    “Lakini baba unadhani mama akiinuka atanifanya

    nini mimi?”

    “Usiwe na wasiwasi Mwaija, nitazungumza naye,

    atakuelewa tu.”

    “Mh ! Ataniua , mi namjua vizuri mama. ”

    “Hawezi kukuua Mwaija, hata mimi namjua

    vizuri mke wangu. ”

    Wakati wote huo , si Mwaija wala Masilinde

    aliyekuwa amevaa nguo. Hakuna aliyekumbuka

    kwamba walikuwa kama walivyozaliwa. Mama

    Mwaija alifumbua macho , akaangaza kulia ,

    kushoto na kujishangaa. Aliinuka na kukaa kwa

    muda kisha macho yake yakatua kwa Mwaija ...

    “Mwaija mwanangu ,” aliita mwanamke huyo na

    kuanza kulia huku akiendelea kusema ...

    “Nimekukosea nini mimi mama yako mpaka

    kunitenda vile mwanangu jamani ?”

    “Mama nisamehe... ”

    “Nikusemehe nini Mwaija , hukujua kama huyu ni

    baba yako ? Hata kama hajakuzaa lakini ni baba

    yako maana ni mume wa mama yako. ”“ Mke

    wangu ungesimama kwanza twende chumbani

    kwetu,” alisema Masilinde. ..

    “Sitaki , kwanza naomba unipe talaka yangu.

    Unatembea na mwanao Masilinde?”

    “Twende tukaongee sasa mke wangu. ”

    “Nimesema sitaki .”

    “Mama msikilize baba, ” alisema Mwaija ...

    “Mwaija tulia. ..kwanza nataka kukuuliza,

    umeshatembea na baba yako hii leo mara ya

    ngapi?”

    “Ni leo tu mama.”

    “Siyo kweli. Naanza kuhisi hata kule gesti

    mlikuwa wote . Yule mwanaume wa gesti ni

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    wewe Masilinde.”

    “Si mimi mke wangu. ”

    “Ni wewe bwana, unabisha nini ? Huyu binti ni

    mgeni kabisa mtaani, kusema amepata

    mwanaume mara hii, mimi nakataa.”

    Masilinde alibaki kimya. Aliona kimenuka. Alianza

    kujutia kitendo chake cha kutembea na binti yake

    huyo hali akijua ni mtoto wa mke wake .. .

    “Masilinde,” aliita mama Mwaija.

    “Naam.”

    “Nini kimekuvutia kwa mtoto wako ? Hilo umbo au

    uzuri wa sura ?”

    Masilinde kimya!

    “Nijibu Masilinde!”

    “Ushetani tu mke wangu. ”

    “Kwa hiyo shetani wako wewe ni mpaka kwa

    mtoto wako ?”

    “Ni bahati mbaya mke wangu .”

    “Mh ! Mimi nataka talaka yangu... we unadhani

    mimi nitaishi vipi na mwanangu kwenye nyumba

    hii wakati umeshalala naye ?”

    “Nitafanya kitu mke wangu .”

    “Kitu cha ?”

    “Kitu cha kukufanya uishi na amani.”

    “Kitu gani ?”

    “Nitampangia chumba huyu Mwaija nje ya hapa

    nyumbani.”

    “Ili upate nafasi ya kwenda kila siku kwake, si

    ndiyo?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Sina maana hiyo.”

    “Maana yako ni ipi Masilinde?”

    Mara, mlango uligongwa, mzee mmoja anaitwa

    Kimanama aliingia .. .

    “Karibu mzee wangu ,” alikaribisha Masilinde

    kutokea chumbani, akatoka na yeye kwenda

    sebuleni.. .

    “Bwana mi sikai, nina shida kidogo ,” alisema

    mzee Kimanama huku akikaa japokuwa alisema

    hakai. .!

    “Nakusikiliza, ila hata mimi nafurahi umekuja

    mzee wangu. Kuna tatizo hapa ... ”

    “Lipi tena ?”

    “Aaah ! Mke wangu amenifumania,” alisema

    Masilinde bila woga , akili haikuwa yake. Moyoni

    hakuwa tayari kumpoteza mama Mwaija ...

    “Mke wako amekufumania ?”

    “Ndiyo.”

    “Na nani?”

    “Na mtoto wake !”

    “Na mtoto wake ?”

    “Ndiyo.”

    “Ambaye si wa kumzaa wewe?”

    “Si wa kumzaa mimi. Nimemkuta naye .”

    “Sasa ?”

    “Anadai talaka, yuko ndani chumbani.”

    “Hebu mwite. ”

    Masilinde alikwenda kumwita mkewe , akamwita

    na Mwaija , wote wakajaa sebuleni ...

    “Mama pole sana ,” mzee Kimanama alimwambia

    mama Mwaija .

    “Asante , ila mimi nataka talaka yangu tu kama

    amekwambia kuhusu kumfumania na

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    mwanangu. ”

    “Ameniambia lakini unakumbuka mwaka huu ,

    mwezi wa pili na wewe ulifumaniwa kule kwa

    mzee Bakari na yule mzee wa genge la

    mwembeni, ulimwambia mumeo ?”







    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog