Search This Blog

Thursday, 19 May 2022

UTAMU WA TUNDA - 4

 





    Chombezo : Utamu Wa Tunda

    Sehemu Ya Nne (4)



    IlipishiaMama Happy alikuwa anaendelea vizuri lakini alipo mwona mwanae alishituka sana na kumtazama yuko na kijana yule yule mchafu ambaye apendi kumwona machoni mwake naye alinyanyuka kwa hasira kitandanihapo na kuanza kupiga hatua lakini

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    chakushangaza…………………….?.Mama alidondoka chini na ndipo ilipomlazimu kijana Hans kutoka nje, Happy na manesi walikuwa zamu walisaidiana kumnyanyua mama Happy na kumrudisha tena kitandani huku walipo maliza zoezi lile Happy alitoka mbio kumkimbilia kijana Hans ili kwenda kuzungumza naye kwa kile kilichokuwa kimejitokeza,Hans alikuwa ana vuka geti ili apate njia ya kwenda kwake basi alisikia sauti ya mpenzi wake ikimwita naye kugeuka kumwona Happy akija mbio, naye ndipo aliposimama na kumngoja mpaka afike amsikilize anasema nini…………..!“Hans mpenzi wangu usichukie kwa kile kilichojitokeza………!”“sawa wala mimi sijachukia Happy” alijibu huku akimtizama Happy kiunyonge sana“okay sawa mda huu unaelekea wapi maana ulivyotoka hapo sikuelewa..”“ukuelewa nini wakati mama yako hapendi kuniona mimi au kisa niko na hali yangu hii eti Happy?” Hans aliongea huku naye akimtizama sana bnti kwa jicho la upole mno.“usiseme hivyo kwani mimi ndiye niliye chagua kwa kila kitu ulichonacho mpenzi”“lazima niseme Happy”“ukisema hivyo unakosea Hans”..Happy alikwisha kusema yale maneno machozi yalimdondoka kwani Hans alipokuwa akiongea naye alionekana kuwa anapoteza mda tu kwa binti wa kitajiri huku mchezo ndio uliokuwa ukimbeba kwa bindti Happy, basi ndipo Happy alipomshika mkono Hansna kulala kifuani mwa kijana huyoo, gafla baba naye alifika maeneo yale nakuona tukio zima na kubaki akishangaa na kuwaza nini afanye mpaka mtoto wake aweze kuachana na kijana huyo kwani aliona yaweza kuwa aibu kwa mtoto wao kuolewa na kijana fukara kama Hans japo wanajua kuwa mtoto wao alikuwa ndiyo kafa kaoza kwa kijana yule.“Happy happy………………………!” baba alimwita mwanae HappyHappy alishituka kumwona baba yuko upande wa pili akiwatazama wakiendelea kula raha yeye pamoja nakijana Hans, kwani kijana Hans alikuwa ameshafikisha mdomo wake mpaka kwenye lipsi za binti Happy huku akila utamu uliopo kwenye mdomo wa mpenzi wake Happy.Happy alimwangalia sana baba yake na kubaki hakimtolea macho kwa kile kitendo walichokuwa wakifanya yeye na Hans tena azalani, ndipo baba alianza kuwasogelea na ndipo kijana Hans alitafuta upenyo na kuchomoka mbio kumwacha baba pamoja na Happy huku alipokuwa akifanya mipango ya kuchomoka kijana Hans alimwambia binti Happy “utanikuta Geto jioni”Happy aliposikia maneno yale akili zote zilimtoka na kuwaza jioni ifike mapema na hakuwaza tena kama baba yake yuko pale, akili zilikuwa mbali mnoo“weeeee happy sinaongea na wewe?” baba alimshitua kwa kumtingisha tingisha mwili wake,“baba”“unafanya nini na huyu kijana si nimeshakukataza au bado aijaingia akilini mwako”“baba

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    nimeshakuambia kuhusu mtu huyooo na mchango gani kwangu”Baba alishika kichwa na kubaki akimtizama mwanae kwa majibu aliokuwa akiyapata basi ndipo na kumwona mtoto anachomoka na kuelekea alipokuwa amelazwa mama yake. Happy alifika na kumkuta mama yuko anaendelea vizuri na kukaa pembeni yake huku akimbembeleza nakuuchezea mkono wa mama yake basindipo mama alipo zinduka kutoka usingizini kwa kile alichokuwa akikihisi na kuchezewa chezewa mkono wake na kumwona mwanane Happy…“happy umerudi tena na yule kijana? Mama aliongea huku akifumba machona kufumbua“hapana mama kaondoka”“kwanini sasa mwanangu unafanya hivi”“nafanya nini mama?“huoni ufanyacho na kijana yule mchafu unaye fanya usielewe kitu”“mama lakini mbona yuko sawa tu”..Hata maongezi na mama yake hawakumaliza naye baba aliingia ndani ya hodi aliokuwemo mama Happy kalazwa naye kufika karibu na kitanda moja kwa moja huku akionekana kuwa mnyongeee mno.“kulikoni mume wangu” mama alinyanyua kinywa chake kwa shida nakumuuliza mumeweee“kawaida tu mke wangu vipi unaendeleaje na matibabu” baba alikwepesha swali huku akijua tu endapo ataendelea nayale maswala yakijana Hans, naye binti Happy atamwalibia baba yake kwa baba yakekwa ule mchezo anao cheza kwa mfanyakazi wao Johari.“daktali kasema leo unaweza kuruhusiwa na kurudi nyumbani”“Kweli dady…!” Happy alidakia“ndiyo mwanangu mama yako leo ataruhusiwa”“okay! Ni saa ngapi?“sijajua mwanangu”Baba alikwisha kusema vile mara daktali naye aliingia na kumfanyia vipimo vya mwisho Mama Happy na kumwandikia dawa atakazokuwa anatumia akiwa nyumbani, baba Happy alikipokea kikaratasi kile na kuongozana na daktali mpaka ofisini kwake na walipofika baba alichukua maelekezo machache.“mgonjwa wako kwanzia sasa unaweza kuondoka naye”“sawa daktali….!” Aliitikia babaWalimchukua mama Happy na kutoka naye mpaka nje na kuelekea nyumbani, walipofika nyumbani walimwingiza mpaka chumbani mwake na kumlaza kitandani japo alikuwa hayuko fiti lakini aliweza kusimama mwenyewe na kutembea tembea huku akifanya mzoezi machache.Happy alipata upenyo na kuchomoka na kuelekea kwenye geto la kijana Hans na alipofika alikuta kumefugwa na kijana Hans hakuwepo maeneo yale naye kuulizia vijana waliokuwepo maeneo yale na kukutana na kijana Erick alikuwa akipita zake maeneo yalehuku akiwa na geto lake pia jirani na kijana Hans, basi naye Happy bila woga alimsimamisha kijana yule na kubaki mdomo wazi licha ya kumsimamisha mwenyewe“vipi dada?” Erick alimuuliza Happy“samahani nimechanganya sorry”Okay

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    sawa” Erick alijibu huku akipiga hatua kuelekea anapokaaa, ndipo binti Happy alisahau kuwa kaja kwa kijana Hans naye alimfatisha kijana yule anapoelekea , naye kufika kwenye mlango wake na kugeuka nyuma nakuiona sura ni ile ile ya yule binti aliyekutana naye mda mchache uliopita alishangaa sana na kumwita.“karibu…………..”“Ahsante” Happy aliitikia huku akijing’ata vidole vyake na kuzama kwenye geto la kijana Erick kiulaini, huku ajielewi maana Erick alionekana kuwa kijana mzuri na mwenye kuvutia,alifika na kuketi kwenye kitanda cha Erick huku kichani mwa Erick alikuwa akiwaza juu ya binti yule kuwa na ujasili mpaka kuingia chumbani mwake bila ya woga wowote naye alipata wazo “mmmmh uyu binti kuna kitu anataka name sita laza damu mbichi kaja mwenyewe” ni mawazo aliokuwa akiwaza kijana Erick wakati akimtizama kwa jicho la huba huku akimkonyeza konyeza.“vipi mrembo”“poa” aliitikia Happy“nambiye mtoto mzuri” aliongea huku akimgusa gusa“wewe tu” Happy alijibu huku akibana mapaja yake na kutetemeka ju!“Okay sawa” Erick alinyanyuka na kuubana vizuri mlango na kurudi tena kitandani alipokuwa kamwacha binti HappyErick hakutaka kulaza damu ile mbichi ya binti Happy kwani alijua tu binti yuleanataka nini kwake basi aimshika sana mpaka kupelekea binti Happy kulegea mwili wake wote na kukubali kile alichokuwa akifanyiwa na kijana Erick, alinayua mikono yake yote juuu kwa kuvuliwa nguo yake aliokuwa kavaaa ili kijana Erick asipate tabu wakati akianza kula TUNDA, basin aye alimchojoa nguo zake fasta na kujipanga kwa mashambulizi ambayo binti Happy alikuwa tayari kwa kukabiliana nayo.“siamni mrembo kama uko vizuri kiasi hichi” alizungumza kwa sauti ya upole huku akizidi kukandamiza mashuti kwa binti Happy“kweli eeheeee!” alisikika akijibu Happy“ndiyo maana unakizungusha hatari”Erick alionekana kuwa zaifu pale alipo piga goal la kwanza na kuwa mchovu huku binti Happy alikuwa akiitaji japo vifike vitatu, alijarubu kupandisha mashetani ya jogoo lake lakini lilishindwa kuwika mpaka kumpelekea binti Happy kujiuliza kuna nini?“

    vipi………….! Mbona jogooo lako aliwiki tena”“mmmmh sijui”“bwana mimi nataka kingine…?” Happyalianza kudai kwani akulizika na kile alichokuwa kapewa kwani kilionekana kuwa kama chemsha akili naye alikuwa akiitaji kichapo chenyewee..Alianza kupata aibu pale alipokuwa akitaka kumfanya jogoo wake awike lakini alishindwa mpaka kumpelekea binti Happy kumsukuma na kumwona afai na kumkubuka tena kijana shupavu Hans. Erick alibaki akishika kichwa na kubaki kwenye taulo lake huku akiita naye Happy akutazama nyuma naye moja kwa moja mpaka alitoka nje ya Geto la Erick na kutazama geto hilo mara mbili mbili nakutimkia kwa kijana Hans, alifika na kuukuta mlango uko wazi naye hakutaka kupiga hodi alizama moja kwa moja mpaka ndani na kumkuta kijana akijiandaa kulala kwani mda ulikuwa umeshakwenda hivyo alikuwa ndani ya taulo tu,“happy mbona umenishitua hivyooo”“samahani Hans nimechelewa kuja itabidi na leo nilale kwako”“mmmmh Happy wbazazi wako Happy watanifunga mimi”“wazazi hawawezi niamulia mawazo yangu”“mmmmh” aliguna na kubaki akimtizama binti Happy huku akimwona akija mpaka alipokuwa kajilaza naye kujitupia juu yake na kumpa busu ambalo lilimchanganya kijana Hans……



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    .Na kumfanya kupeleka mikono yake mpaka kwenye shigi ya binti Happy na kuanza kula mabusu ya kutosha, walizidi kuchezeana takirubani dakika kumihuku kila mmoja wao alikuwa akimfanya mwenzake awe kwenye hali ya kuhamasikia kuvunja amri ya sita. Happy alikuwa kaisha mzoea kijana Hans huku akizijua sehemu zake zote basi alionekana kuwa mtundu pale alipo mbinya mahara naye Hans kushituka huku hisia zikiwa zimepanda juuu, naye kijana Hans alisikika akilalama kwa binti Happy kumfanyia mpango japo ampe cha haraka iliaweze kumtuliza jogo wake“Happy mimi huku tayari…..”“kweli….?” Ilisikika sauti ya Happy ikiongea huku jicho likiwa limemlegea“ndio mpenzi….”“basi njooo juu yangu…” Happy alidiliki kumuita kijana Hans ili apate kufurahia siku hiyo kwani alikuwa akipenda mechi na kijana Hans kwani alikuwa akimfikisha alikokuwa akisitahiliHans alipanda juu ya binti Happy na kuanzana kasi ya ajabu ambayo ilimpeleka binti Happy mpaka mwisho wa mchezo huo alidiliki hata kuomba maji, maana kasi aliokuwa katumia kijana Hans ilikuwa kubwakupita siku zote, lakini cha kushangza wakati Hans akitaka kufunga goli Happy alidiliki kumshika kwa nguvu ili asikatishe utamu ule na ulimpelekea binti huyo kurizika na kile alichopea na kijana Hans. Walilala usiku na kuamka asubui yake huku binti Happy akionekana kuwa mchovu tena sana. Gafla alichomoka mahali alipokuwa amelala na kukimbilia inje ya geto la kijana na kutapikaaaa sana……………!, Naye aliporudi ndani hakumwambia kijana Hans naye aliaga na kurudi nyumbani kwao...Baba Happy na Mama Happy waliwaza sana juu ya binti yao kumsafirisha aende tena njeya nchi kuendelea na masomo“nimechoka mume wangu na huyu mtoto weto sasa kawa mkubwa”“mama Happy usimlaumu mtoto”“unamtetea mwanao”“siyo hivyo mke wangu jaribu kukaa naye nakumshauri mtoto na siyo kuchukua hatua yaharaka kama siku ile, kaa fikiria mke wangu” baba aliongea na kuondoka kwenda kazini, naye baba anafika getini alimwona binti yake akiingia na kumuuliza“unatokea wapi mwanangu”“nilikuwa hapo dukani dady” Happy alidiliki kumdanganya baba yake kwani usiku walirudi wote lakini alipochomoka hakuna hata mmoja wa wazazi wake aliyemuona.“okay sawa nenda kwa mama yako anakuitaji”“kuna nini tena dady” aliuliza Happy huku akishika kichwa chake“hamna kitu mwanangu wewe nenda tu”Happy aliwaza sana na kuingia ndani na kuelekea moja kwa moja mpaka chumbani wa wazazi wake na kuusukuma mlango na kuingia ndani, naye alishanga kumwona mama yake akitoa tabasamu la furaha……“Mwanangu…………”“abeeee! Mama” Happy aliitikia huku akizidi kumsogelea mama yake“nisameeee bure mama yako sikukusudia mwanangu” mama aliongea maneno yale huku machozi yakimdondoka“wala usijali mama” Happy alijibu naye machozi yalikuwa yamefika chini.Walikubaiana dakika nyingi kiasi cha kwamba wote walikuwa kwenye mudi ya mchungu, basi walibaki ukimya mpaka alipokuja dada wa kazi kuwashitua kwani alikuwa akimkalibisha mama apate kunywa chai.“mama………….” Johari alimwita mama huku akigonga mlango, nao mama pakoja na Happy walishituka na kila mmoja wao kujifuta machozi na kuwa vizuri.“yes Johari…!” mama aliitika, nae Happy kwenda moja kwa moja mpaka kwenye mlango“wanini mama? Happy aliuliza“nimekuja

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    kumkalibisha chai iko mezani”“sawa anakuja” Happy alijibu na kuurudishiatena mlango, naye Johari alielekea chumbani mwake kumalizia kufanya usafi wa chumba chake...Basi ndipo Happy alipo mkokota mama yakempaka sebureni ilia pate kunywa chai naye alipomfikisha mama yake gafla alisikia kichefu chefu na kukimbia nje, alitapika kiasi kwamba mpaka mama yake alikuwa akisikia kilichokuwa kikiendelea nje naye alipomaliza alijisafisha na kunywa majimengi ili asije sikika arufu iliokuwa ikitoka kinywani mwake. Alirudi mpaka ndani na lengo lake kupita moja kwa moja kwelekea chumbani mwake naye mama alisikika akimwita.“Happy………………….!”“yes mamy” aliitika kwa woga mwingi naye kugeuka“ulikuwa ukifanya nini nje” mama aliuliza huku akimtizama sana“hamna kitu mama” Happy alijibu huku akitizama chini“sawa mwanangu……”Happy aliposikia vile alichomoka moja kwa moja mpaka chumbani mwake na kujitupia kitandani mwake na kulala huku akiitazama taa iliokuwa ikitoa mwanga mzuri ambao ulikuwa ni kitulizo tosha akiwa chumbani mwake pindi apatapo mawazo.Alipitiwa na usingizi na aliposhituka aliona sura ya baba yake ikimtizama na kumwamsha atoke waende kupata mlo wa usiku kwani mdau ulikuwa umeshakwenda mnooo!,“dady!!!!!!!!!!!!!!”“yes amka twende mezani mwanangu” baba alimshika mikono na kwenda naye moja kwamoja mpaka mezani nao kula pamoja huku wakifurahia kupona kwa mama yao nay eye Happy kurudi nyumbani, walipo maliza kula chakula wote walitawanyika kwelekea vyumbani mwao.“mume wanguuuuu” mama happy alimwita baba Happy“yes mke wanguuu”“umemuonaje Happy siku hizi alivyo rudi nyumbani?”“nini tena hicho mama Happy? Baba aliuliza huku akishangaaa mno na kugeuka vizuri upande wa mama Happy“kabadilika ujamwona”“mama Happy umeanza mbona hivyo kabadilika na nini tena utamuuzi mtoto”“sijamaanisha hivyo darling utamwangalia basi wewe mwenyewe utanipa majibu”“sawa mke wangu tulale kesho basi upumzike mke wanguu”“sawa mume wangu”Basi walilala mpaka kulipokucha naye Happy aliamka mapema sana na kuelekea kwa kijana Hans, alifika getoni mwa Hans alipitiliza moja kwa moja na kumkuta bado akiwa kwenye tauli naye alikaa kitandani huku akiwa amenyongonyea kweli, ndipo Hans alipo nyanyuka na kumfata mahali alipokuwa kaketi na kumshika begani na kumuuliza“vipi mpenzi?”“Hans unanipenda…….?”Happy aliuliza huku akimshituwa sana kijana Hans“yah! Kama kawaida kwani ujui baby”“najua lakini kuna kitu nataka kukuambia mpenzi?” Happy aliongea huku akimtizama kijana Hans, nayekijana alishangaaaa na kujiuliza ni kitu gani hichooo kwani siyo kawaida ya Happy kuja na hali ile.“kitu gani mpenzi nambiye”“kweliiii Hans nikuambiye”“ndio”.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    .“na mimba yako” Happy alipokwisha kusema hayo maneno alishanga kumwona kijana Hans akiwa na badiliko kwenye sura yake“unasemaaa nini Happy” Hans aliuliza tena“mimba baby”“mimbaaaa!”“ndio Hans” Happy alijibu huku akimwona kijana Hans ayuko pale kwakupokea tukio lileHans alisimama na kuanza kuzungukaGetoni mwake huku akimtizama binti Happy ba kuto mmaliza, alishika kichwa chake na ndipo alipotumia dakika nyingi huku akiwaza naye aligeuka na kuongea“tunafanyaje sasa Happy…..” Hans alimuuliza huku akiwaza wazazi wa binti Happy“wewe unaonaje” Happy naye alijibu huku akimwachia swali Hans“uitoeeeee mimba hiyooo…!” Hans alimwambia Happy huku akiwa na msisitizo licha ya binti Happy hakutaka kukubaliana na kile alichosikia kwa wakati ule naye kumjibu kijana Hans“siwezi Hans………….!”“uwezi……………” Hans aliuliza kwa hasira“ndio siwezi kuitoa kwani napenda sana mtoto uwezi jua kama nimepangiwa kuwa na huyu tu na nikimpoteza nitakuwa mgeni wa nani mimi nimelidhia kuwa na mtoto na mimba hiii siwezi Hans” Happy alijibu kwa machungu mno huku machozi yakimtioka, na ndipo kijana Hans akawa mpole na kumfata mahali alipo naye alipomfikia alimkumbatia na kuanza kumbembeleza kwa maneno mazuri na yenye ushauri..“wazazi wako Happy…….! Naogopa sana wakijua hili swala”“Hans kwa hilo niachie mimi mpenzi”“sawa mpenzi…………….!” Hans alijibu kwa kinyonge huku akiwa bado ajiamini amini kwa kile alichosikia kwa Happy kwani kile kipindi mama yake Happy alivyo mwona alimwogopa huku akipata sifa zake mtaani hapo ndipo alipokuwa akichoka………..!Hans alimwinua Happy mahali alipokuwa kapiga magoti chini na kumpeleka moja kwa moja mpaka kitandani na kumlaza, basi kila mmoja wao hakuwa na mudi yoyote ya kufanya tendaoo kama walichokuwa wamezoe hivyo walichukua masaa mengi wakipiga story huku wakiachana na kile kilichokuwa kimejili wakati ule.“baby mimi mda umefika nataka kurudi nyumbani…..?”“mmmmmh sawa Happy”“okay usiwaze Hans nakupenda sana mpenzi wanguuu usiniache wala kunisaliti” ni maneno yalikuwa yakimtosha huku akifungua mlango kuelekea nyumbani kwao“okay name sito kuacha mpenzi” naye Hans alijibu huku akiwa jasiri.Basi happy alielekea nyumbani wakati ule na ilikuwa majira ya jioni jua lilikuwa likizama,Mama pamoja na Baba Happy walikuwa wamerudi nyumbani na wao walikuwa chumbani wakizungumza juu ya mwanao kutaka kumsafirisha au kumtafutia mchumba wa kumuoa,“mkewanu mtoto wetu kama nilivyokwisha kukuambia sasa kakua na anaitaji mtu wa kuwa naye”“ndio mme wangu hilo nalijua sasa tunampata vipi maana mimi simwelewi yule kijana mchafu sijui ndio anatembea na mwanangu maanakama ikiwa kweli mimi siwezi maana nitaaibika sana”“nawazo kwani nilimpigia rafiki yangu leo tukawa tunaongea lakini kati kati ya maongezi ilionekana yule kijana wake sasa anarudi mjini name nimempendekeza huyo kwani kindi cha nyuma baba yake alipendekeza mwanae atamwoa mwanetu”“sawaaaa ni kuongea na Happy tu

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    leo”“yuko wapi sasa….” Baba aliuliza“atakuwa chumbani mwake” mama naye alijibu“nenda kaongee nae wewe sawa mke wangu”“sawa”..Mama alitoka chumbani na kuelekea chumbani mwa binti yao Happy na alipofika mlangoni mwake aligonga na kuingia ndani, naye happy hakuwemo chumbani basi alitazama kote na kuhakikisha kuwa bado ajaingia ndani basi alitoka chumbani mwa Happy lakini alipokunja kitogo hatua kutoka mlangoni mwa Happy alimwona Happy akija chumbani mwake basi ndipo mama alipoona amgonje afike naye wakae wayazungumze yale aliyokuwa akiyataka baba yake,“ndio unarudi” mama aliuliza“ndio mama” naye mtoto alijibu“na jambo moja nataka kukueleza mwanangu”“lipi mama” Happy alishituka sana na kumtazama mama yake mara kibao huku macho yakionekana kuwa na uwoga wa jambo alilokuwa akitaka kumwambia.“usiwe na haraka Happy tangulia chumbani nakuja”Happy alitangulia kisha mama akafata, naye alipofika alianza kumwaga sela zake pale“Mwanangu umekuwa sasa na unaitajika kupata mtu wa kukuoa”“kwanini mama mbona kama mapemasana”“sio mapema sana kwa umri wako sasa unaitajika upate mtu akuoe”Happy alifurahi sana nakuwaza kuwa Hans ndio atakuwa mume wake kwaniwazazi wake wameona umuimu wa kuwa na mvulana sasa, mara alishangaaa sana pale alipomsikia mama yake kuwa…..!“baba yako kakutafutia mchumba mwanangu?”“kanitafutia”Ndio mwanangu……!” mama alijibu“mama nitachagua

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    mwenyewe”“baba yako kaishakuchagulia mwanangu na mtu mwenyewe anarudi leo kutoka uwingelezaaa”Happy maneno yale yalikuwa hata ayamwingiii akilini huku mama akizidi kumchafua na ndipo alipochukua jukumu la kutoka chumbani hapo na kusema “mama hivyo siwezi”Mama alibaki akishangaaa kwa binti yake kutoka na kuacha kumsikiliza na kuwaza “haya malezi mpaka lini sasa tunajutia kumlea kama yai”, mama naye alichomoka moja kwa moja mpaka chumbani mwake na kumkuta mumewe kajilaza kitandani, baba Happy alichangaa sana kumwona mkewee akija na hali ile naye ndipo alipo muuliza.“kulikoni”“si mwanao huyo”“kafanya nini?”“hataki kusikia kuwa tunamtafutia kijana wa kumwoa”“yuko wapi sasa Happy” baba aliuliza na kujifunga taulo lake na kukasaawa“katoka chumbani nenda sebuleni utamkuta”Baba alichomoka na kwenda sebuleni na alipofika alimwoana Happy kakaaa akiangalia video naye moja kwa moja mpaka alipokuwa kakaaaaaa





    .“We? Happy kulikoni utaki kile mama alichokuambia” baba alifika bila ya kutaka salaamu wala nini alifikia kwa swali na kumfanya mtoto wake Happy amtizame huku akifikilia kutoa jibu“Baba mimi kwa sasa sitaki kuolewaaa!” Happy alijibu huku akimsogelea baba yake kwenye miguu yake.“sasa mwanangu uoni kama umekuwa”“naona baba lakini sijajipanga kwa hilodady…………..!”“duuuuuh! Ni wewe au kuna mwingine anakujibia hayo majibu?”“no dady ni mimi mbona”“umebadilika mwanangu au ni yule kijana”“daday………..!!” Happy aliongea maneno yale ya mwisho na kupenya mpaka mbali mno na kumfanya ashikekichwa chake na kuondoka enei la sebuleni,Baba alishangaa sana kumwona binti yake akimwacha na kukimbia chumbani mwake na kuufunga mlango wake kwa nguvu, na kuonekana kukelwa kwa kile alichokuwa akiongea naye.Happy kwa asila zile zilimfanya ajitupekitandani na kuukumbatia mto wake na kuwaza sana juu ya kile walichokuwa wakimwambia kuolewa wakati yeye sasa yuko na mimba tena ya mtu yule aliokuwa akimpenda sana,alipitiwa na usingizi mkali uliompa ndoto za ajabu na vitisho huku akishituka shituka mara kwa mara lakini mpaka kulipo kucha, naye kulipokucha tu aliamka kitandani na kunyata kwenda kwa kijana Hans nayealifanikiwa kutoloka nyumbani hapo na kuelekea Getoni mwa kijana Hans naye alipofika kama alivyo zoea alisukuma mlango na kuingia ndani, nakumkuta kijana Hans akiwa kwenye pozi la usingizi basi ndiye aliyekuwa wa kwanza kumwamsha huku akimpabusu zito lililo mfanya kushituka huku akiendelea kula denda na ndipo alipofumbua macho na kumwona bintiHappy na kutoa tabasamu zuri.“vipi za kuamka mpenzi” aliuliza binti Happy“niko poa Happy wanguuuuu!” alijibu Hans huku akimpapasa kwenye mkogo na kumfanya kuwa mtoto mdogo kwenye mikono yake, basin ayeHappy alikuwa mpole pindi kijana Hans akiwa kwenye kitengo chake“Hans……..” aliita binti Happy“yes Happy….!“nakupenda sana tunza pendo

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    langu nalo kupaaaa”“nakupenda Happy pia lakini wafahamu fika kuwa wazazi wako wananiona kama taka taka ujue?”“yah!!! najua lakini mimi ndiye naye chagua wala sio wao hilo mpenzi lisikupe shidaaa sawa”“sawa mpenzi” Hans alijibu huku akiwa kifuani mwa binti Happy akipatajoto la asubuiWalikwisha kuongea naye kijana Hans alipo mtaka binti Happy arudi kwao lakini cha kushangaza kwa kijana Hans kumwona binti akikataaaa kurudi kwao,“Happy mpenzi sasa itakubidi urudi nyumbani name niendee kwenye mizunguko kutafuta japo pesa kidogo siunajua tena”“we nenda utanikuta hapa hapa” alijibuhuku akivuta shuka kujikunyata kwenye kitanda cha kijana Hans“mmmmmm! Sawa” alijibu kwa kinyonge naye kuondoka kwenda kwenye miangaiko yake..Kulipokucha chumbani mwa baba na mama Happy kulikuwa kumepamba moto kwa maada ya mwanao huku mmoja akiwa upande wa mtoto na mwingine kuolewa“mama Happy mtoto huyu itabidi aolewe tu kwa namna yoyote ile na mtoto wa rafiki yanguu na leo wanakuja nyumbani hapa”“baba happy mbona mapema sana kwa hili jambo”“mama happy bwana mtoto sasa kawa mjanja na tukikaaa hivi hivi atakuwa sugu ni bora kumpatia kijana mapema”“mimi kwa hilo bado ujanishawishi mme wangu”“kwanini mimi nataaka mtoto aolewena si vingine” baba aliongea na kumwachia mama Happy fumbo ambalo alibaki akijiuliza juuu ya kile baba Happy alichokuwa kaamua, basin aye alijisemea moyoni “mmmmmh mtoto wangu jamani, lakini nitapambana”Mama alitoka moja kwa moja mpaka chumbani kwa mtoto wake lakini hakuweza kumkuta na kumuita kijakazi Johari,“Johariiii Johari Johariiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!” mama aliitakwa sauti kubwa huku akifikilia kuwa Johari naye hakuwepo basi alisikia kwa mbali sauti ikiitika,“abeeeeee!!!!! Mama”“Happy yuko wapi?” mama aliuliza“sijui mama”“ujui inamaana hakukuaga hata akitoka”“mmmmh mama sikuizi Johari kabadilika hata kuniaga huwa afanyi hivyo na wala leo ajaniaga”“atakuwa kaelekea wapi?” mama alimuuliza tena Johari“mmmmmh labda kwa kijana yule mchafu?“toka lini au ndio mchezo wake sikuizi”“mama hapo mimi sielewi sijajua kama kaenda huko”“okay sawa kwa huyo kijana unakujua vizuri”“sikujii vizuri lakini njia nyepesi ni kuulizia tu kwani kijana huyo anajulikana sana mtaani hapa”“eti heee basi sawa twende”..Mama pamoja na Johari waliongozana kuelekea kumtafuta Happy huku wakianza kwa kijana Hans, basi walipo ingia changanyikeni kidogo (uswailini) walikutana na vijanawawili waliokuwa wakipiga stori vijiweni naye mama aliwasogelea ilia pate kuwauliza“vijana samahani”“bila samaani mama”“haaaaa! Nilikuwa na mtafuta kijana mmoja yle mchafu anaye pita kila nyumba uwenda mnapafahamu kwao”Vijana wale bila ya kufahamu ili wala lile walijikuta wakilopoka sana na kumfanya mama Happy kupata mwanga wa kwenda kwa kijana Hans“haaaa yule aishi kwao yule kapaga kwenye geto moja hapo kati bimkubwa”“maeneo yapi?”“unaona pale kwenye mti mkubwa”“yah napaona mwanangu”“basi ndio hapo bimkubwaaaaa”“asanteni” naye mama Happy alipokwisha kuelekezwa alianza kupiga hatua lakini vijana walimwita“bimkubwa vipi sasa hata ya maji tuangalie na sisi basi”“hoooooh shikeni hiyaapa wanangu”Basi mama Happy aiwapa naye kuondoka kuelekea pale alipo ambiwa na vijana hao basi alifika mpaka mlangoni alipokuwa kaelekezwa na vijana wale na kugonga mlango.Happy alishituka mtu akigonga mlango naye ilimbidi atupe shuka pembeni ili aweze kwenda kuufungua mlango naye alipofika mlangoni aligungua mlango ule…

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    …”. . Na ndipo alipo mwona mama yake na kuurudisha kwa nguvu huku akizani uwenda mama yake hakumwona lakini mama alikuwa shapu sana na macho yake naye alimwona mwanae Happy na kumwita“weeeeeeee! Happy fungua mlango” mama aliita huku akigonga gonga tenamlango ule, huku naye Happy ndani alikuwa akijifikilia kuufungua kwani aliogopa sana kumwona mama yake yuko pale na kujiuliza maswali mengi mno. Aliwaza sana mpaka hapo alipoamua kusimama na kuelekea kuufungua mlango ule, aliuufungua na mama yake kuingia ndani huku akimwacha Johari nje“weeeeeeeeeeeeeeeeee! Happy wewe?“yes! Mamy” aliitika Happy kinyonge huku akimtizama mama yakeBasi ndipo mama alipoanza kuzungusha macho yake kwenye Geto la kijana Hans na kubaki akiguna na kumwangalia sana binti yake“twende nyumbani” mama aliongea kwa jaziba mpaka ikampelekea binti Happy kuogopa uwenda ataweza kupigwa naye ndipo alipo mwea na kuwa mdogo kwa mama yake.“sawa mama!” ni sauti ya bint Happy alipokubaliana na mama kurudi nyumbani..Happy alivuta mlango na kutoka haraka ndani huku mama yake akiwa nyuma akimwona mwanae alichokuwa akikifanya, Happy alipotoka nje na kumwona Johari yukonje naye kujiongeza na kuzani ndiye aliye mwelekeza mama yake basi ndipo alipo mpiga jicho baya mpaka kupelekea mfanyakazi wao Johari kushusha macho yak echini, naye Happy kumalizia kwa kumbeza Johari huku akitema mate chini.Kitendo kile mama Happy hakuweza kukiona kwani wakati binti yake akimfanyia mfanyakazi wao, Basi waliongozana mpaka nyumbani naye Happy alipofungua geti tu moja kwa moja mpaka chumbani mwake na kwenda kujifungia, mama alimfata nyuma nyuma mpaka mlangoni na kukuta mwanae kaubana mlango wake nae kuugona.“mamaaaa naye” nisauti ya Happy chumbani mwake ikijibizana peke yake“Happy mwanangu fungua mlango”“haya mama!!!!!!!!!!” Happy alijibu hukuakiwa hataki taki vile hata kumfunguliamama yake mlangoHappy alifungua mlango nae mama kuingia chumbani mwa mwanaeeee!, na ndipo ilipombidi mama Happy kumkalisha mwanae vizuri ili aongeeeenaye“kulikoni mwanangu sikuhizi umebadilika hivi” Mama ilimbidi aende naye pole pole mwanae kwa maswali ambayo hato mfanya mwanae aweze kuogopa“hamna mama”“nambiye mwanangu mimi mama yako nimepitia vingi sana na ninavyo kuona kuna kitu kinakusumbua mwanangu nambiye”Basi ndipo mama alipomweka sawa mwanae Happy huku naye Happy alioona ni nyema kumwambia mama yake kile kilichokuwa kikimsibu.“kweli mama kuna kitu nashindwa kukuambia?”“haya niambiye” mama aliongea huku akiwa na hamu ya kutaka kukijua kitu kile“mimi maaaaaama!!!!!” alijing’atang’ata binti Happy kwa mama yake kutaka kuogopa kumwambia“nambiye mwanangu nitakusaidia”“Mimi na mimba mama”“mimbaaaaaa????” Mama alishituka aliposikia vile na kushika kichwa chakehuku akimtizama Happy“ndio mama”“usinitanie mimba ya nani au ndio kule ulikokuwa”“mmmmmmmmmm!” alijiuma uma binti Happy“sinaongea na wewe” mama aliongea kwa jaziba kali“ni ya kijana yule mchafu”“uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Mzaniae kumbe ndiye siye” mama Happy alitamka maneno yale kwani alikuwa akimzania kuwa Johari ndiye aliyekuwa akitembea na kijana Hans kumbe ni mwanae, gafla Johari alikuja mpaka mlangoni na kumwita mama kuwa anaitajika sebureni baba akimwiitaji...Baba Happy alirudi huku akiwa kaongozana na timu rafiki yake huku akitaka kufanya mabo haraka juu ya mwanao Happy, walikuwa sebureni wakimngojea mama Happy aje ili wazungumze juu ya mtoto wao Happy.Mama Happy naye alibaki akijiuliza pindi alipo fatwa na Johari atajibu vipi wakimuuliza mwanae Happy kwani alijua fika tu ni baba Happy karudi na rafiki yake kuja kuyazungumza juuu yamwanao Happy, mama alichomoka bila y ahata kuongea na Happy huku

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    akitafakari ni kitu gani ataweza kuwajibu wazee wenzake wakiwa kwenye mazungumzo.“yes mume wanguuuu!”“nakuitaji mke wangu kuna ugeni mkubwa sana”“ohhoooo! Karibuni sana ndugu zangu”“mama Happy hawa ndio wale niliokuambia leo wakati natoka nyumbani”“ohhhho” sawaMama happy aliketi ubavuni mwa mumewe na kusikiliza mjadara uliokuwa ukiendelea kati ya Baba Happy pamoja na rafiki zake. Basi ndipo walipo mkaribisha mgeni hiku akiwa kaambatana na kijana wake naye ndipo walipo mwamulu mama Happy ampeleke kijana chumbani mwa Happy. Naye mama alimwongoza kijana Yule mpaka kwenye chumba cha Happy nae mama kutangulia kuwema mambo sawa.“mwanangu usiniaibishe sawa anakuja yule kijana”“mama mimi nimeshakwambia”“mwanangu huyo ni baba yake”“mimi nampenda sana Hans mama”“najua lakini baba yako kaisha kuchagulia mwanangu usiniaibishe sawa”Mama alikwisha kuongea yale naye kumkaribisha kijana ili aingie chumbani mwa binti Happy naye aliingia na ndipo alipo mtazama Happykijana yule moyo wake ulikwenda mbiosana….?, na kumsogelea kwa ukalibu binti Happy huku naye Happy alipomwona kijana Yule wala hakuwa na raha yoyote ile ila alitaka kumfurahisha nafsi yake tu





    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog