Search This Blog

Tuesday, 17 May 2022

MY SUZAN - 4

 







    Chombezo : My Suzan

    Sehemu Ya Nne (4)





    Wakati michael na Mr alex wakiwa wanamalizia chakula ili wawahi kuendelea na kazi, upande wa pili katika mgahawa ule ule alikuwepo Joel ambae alikua ni muhasibu msaidizi akiwa kazungukwa na vijana wanne ambao miili yao ilikuwa mikubwa na imejengeka kwa mazoezi, joel pamoja na vijana hao walikuwa wakipanga mikakati ya kumuondoa michael duniani….

    “Mnamuona yule jamaa ambae amevaa shati la mikono mirefu la rangi nyeupe na suruali nyeusi?” alizungumza joel kuwauliza wale jamaa ambao alikuwa amekaa nao..



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Ndio si yule pale kwenye ile meza ambayo wamekaa wawili tuu” wale jamaa walijibu kwa pamoja huku wakionesha meza ambayo alikuwa amekaa michael na mr alex “Ndio huyo huyo, huyo ndiye michael ambae nataka mumpoteze duniani, tayari nimeshawaandalia gari pamoja na kiasi cha milioni mia moja kama mkikamilisha zoezi hilo na pia hii ni advance na mkimaliza zoezi hilo nitawamalizia kiasi kilichobaki” aliongea joel huku akiwakabidhi wale jamaa bahasha ya kaki ambayo ilikuwa na kiasi cha shilingi milioni arobaini “Sawa boss tumekuelewa, na tunakuhakikishia kuwa huyo jamaa hatoliona jua la kesho asubuhi” waliongea jamaa wale na kumuhakikishia joel kuwa mpaka kufikia siku ya kesho asubuhi kazi yake itakuwa imeshakamilika hivyo aandae kitita kilichobakia kiwe tayari. Baada ya kumaliza mazungumzo hayo, joel alitoka katika mgahawa huo na kuelekea ofisini kuendelea na kazi huku akiwaacha wale jamaa wakiendelea kumsomea ramani michael… Wakati michael alipokuwa akiendelea kula kuna muda aligeuka upande wake wa kulia na kumuona joel akiwa na wale jamaa wanne, hapo michael machale yalimcheza na alihisi kuna kitu kibaya joel alikua akitaka kumfanyia kutokana na muonekano wa wale jamaa, michael baada ya kuwaona aliamua kukaa kimya na kujifanya kama yuko bize anaongea na mr alex, na mara kwa mara alikuwa akiibia kuwaangalia kina joel walikuwa wanafanya nini mpaka pale joel alipoondoka nay eye ndipo alipomalizia chakula chake haraka na baada ya kumaliza aliondoka na mr alex kuelekea ofisini ili kuendelea na majukumu ya kulijenga taifa, baada ya kufika ofisini mr alex alielekea sehemu anayofanyia kazi na michael alipitia katika ofisi ambayo joel huwa anakaa, aligonga na kuruhusiwa kuingia, joel alipomuona michael alipendezesha uso wake kwa tabasamu feki huku akisema kimoyomoyo

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “we jifanye tuu tutaona kama kesho utaliona jua la asubuhi”… “Habari yako bwana joel?” alianza kusabahi michael kumwambia joel “Salama tuu sijui nikusaidie nini mkuu?” alijibu joel kwa kejeli “Unajua bana ukitaka kumjua mtu upande wake wa pili jaribu kuingilia na kufuatilia mienendo yake na hapo ndipo utakapo jua undani wake na upande wake wa pili upoje” alizungumza michael kwa hali ya utulivu na umakini wa hali ya juu “Unamaanisha nini rafiki yangu michael?” aliuliza joel kinafki hali ya kuwa hakujua kuwa michael tayari ameshaelewa kwamba kuna kitu kibaya alitaka kumfanyia… “I mean take care and watch out your steps because it will cost you” aliongea michael kumwambia joel akimaanisha kuwa “joel awe muangalifu na nyendo zake kwani zinaweza kumgharimu” “Okay thank you for your advice but its too late” alizungumza joel kwa hali ya dharau kumwambia michael akimaanisha kuwa “Nashukuru kwa ushauri wako lakini umechelewa sana” “Okay we shall see” alijibu michael akimaanisha “Sawa tutaona” na baada ya hapo hakutaka kusubiri neno bali alitoka katika ofisi ya joel na kuelekea katika ofisi yake huku akiwa amechukia kupita kiasi… “We subiri mpuuzi huyu si ananichukulia mimi maandazi sana, ananichukulia mimi mtoto wa kishua mchele mchele, hajanijua vyema kuwa nilikuwa muhuni niliyeshindikana sasa subiri nitamuonesha kwamba mimi ndiye michael nilie kulia tandale uswazi” aliwaza michael wakati akiwa ameketi katika kiti chake ndani ya ofisi anayofanyia kazi, baada ya kuwaza sana aliendelea na kazi zake mpaka muda wa kutoka ofisini ulipofika ambapo alitoka na kufunga vizuri sehemu anayofanyia kazi na baada ya kumaliza alielekea katika ofisi ya mr alex na kumuaga, alipomaliza kumuaga alitoka mpaka katika parking ya magari ambapo aliingia kwenye gari lake na safari ya kuelekea kwake ikianza… Wakati michael akiingia katika gari lake kwaajili ya kuondoka, wale jamaa wanne ambao waliagizwa na joel kuhakikisha kuwa michael anapoteza maisha siku hiyo walikuwa wamepaki gari yao aina ya corolla wakimfatilia michael kwa ukaribu na wakati michael alipokuwa anaondoka nawenyewe waliondoa gari lao na kuanza kumfatilia michael nyuma nyuma bila kustukiwa, michael wakati anaendesha gari lake aliweza kugundua kuwa kuna gari ilikua ikimfuatilia na ili kuthibisha hilo alipunguza mwendo na kuwasha hindcator kuruhusu gari hilo lipite lakini gari hilo nalo lilipunguza mwendo pia na dereva aliekuwa akiendesha hakutaka kumpita michael na hapo ndipo michael alipothibitisha kwa asilimia mia moja kuwa atakuwa anafuatiliwa... ************* ********** ********** Katika maisha yake siku zote michael hakuwa mzembe, alishapigana sana ngumi mtaani hadi akafanikiwa kupata udhamini na kupelekwa nchini china katika jiji la hong kong ili kupata mafunzo zaidi na alifanikiwa kuhitimu mpaka mafunzo ya uninja ndipo aliporejea nchini Tanzania na kuendele na masomo yake… Vijana wale wanne waliokuwa wamejazia miili yao kutokana na mazoezi walizidi kumfatilia michael bila kujua kuwa walikua wanajiingiza kwenye hatari ambayo hakuna hata mmoja wao ambae anaweza akafika salama, michael aliendesha gari lake na alipofika karibia na anapoishi alipapita na kuendelea kwenda kama vile anaenda morogoro, alifanya hivyo ili kuepusha mpenzi wake suzan asije akapatwa na matatizo, baada ya kufika eneo ambalo lilikua halina watu na palikuwa na utulivu mkubwa michael alipaki gari lake pembeni ya barabara na kushuka ambapo alienda mpaka sehemu ya mbele na kufungua boneti la gari lake akajifanya kuzuga kama gari lake limeharibika na alifanya hivyo ili kuwatega wale jamaa na mida hiyo ilikuwa yapata saa moja kasoro na giza lilikua limeshaanza kuchukua nafasi yake, na kweli alifanikiwa kwani wale jamaa walikuja na kupaki nyuma ya gari lake na hapo wakashuka jamaa wawili na wawili wakabaki kwenye gari, jamaa wale walimuona michael ni mzembe na ndio maana waliwaacha wenzao wawili washuke peke yao wakiamini kwamba watakamilisha kazi ya kumuondoa michael duniani, jamaa wale wawili walisogea mpaka eneo alilokuwa michael na kujifanya kumuuliza alikuwa amepatwa na nini.. “Vipi kaka gari lako limepatwa na tatizo gani?” mmoja wa jamaa wale alimuuliza michael swali.. “Kwani niliwapiga mkono gari lenu na kuwaambia kuwa nataka masaada, mnaweza mkaendelea na safari yenu kwani sihitaji msaada kwa mtu yeyote” alijibu michael kwa utaratibu huku akijifanya kuonesha hali ya uoga ili kuwateka kisaikolojia wale jamaa, na alifanikiwa kwa asilimia tisini “Hahahahaha safi sana kijana, sawa kama hutaki msaada wetu sisi tunataka roho yako” alicheka jamaa mmoja kisha kufuatishia na maneno yake ya kifedhuli

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

     “M..na..see…ma m.. m..nataka roho yangu?” aliongea michael kwa sauti kuigiza ya kitetemeshi na kuigiza hali ya wasiwasi “Unajifanya unajua sana kufanya kazi sasa siku zako za kuishi zimeisha na sasa tumekuja kuichukua roho yako” waliongea wale jamaa utadhani wao ndio malaika mtoa roho.. “Nani kawatuma jamani mje mniue na nimewakosea nini?” aliuliza michael kwa hali ya kudadisi na kupata uhakika zaidi kama kweli ni joel ndie aliyewatuma, na bila kujua kua lile lilikuwa ni swali la mtego jamaa mmoja akajibu “Ndio joel katutuma yule muhasibu wako msaidizi, sema kama unalingine” alijibu jamaa mmoja kwa kejeli bila kujua kuwa ameshaharibu mambo “Sawa mnaweza kufanya mlichokusudia” alizungumza michael kwa utulivu huku akisimama kwa umakini wa hali ya juu… Jamaa mmoja alikuja kichwa kichwa kuja kumvaa michael lakini michael alimuona vyema, wakati jamaa amemkaribia michael, michael alimkwepa jamaa na kumsukumizia konde moja zito katika tumbo lake hali iliyopelekea jamaa kusimama na kabla hajakaa vizuri konde jingine zito lilitua katika shingo yake na jamaa alianguka chini na mwili pamoja na roho vilitengana na jamaa akafa papo hapo bila kelele, naam hilo lilikua pigo maridhawa kwaajili ya kuua, michael alipompiga jamaa konde la tumbo alisababisha utumbo wa jamaa upande juu na wakati huo alisababisha mishipa ya shingo ya jamaa kusimama na kukaza na alipomalizia kwa konde la shingo hapo aliipasua mishipa hiyo ya shingo na baada ya hapo kinachofuata huwa ni kifo cha kimya kimya na huwezi hata kupiga kelele au yowe la maumivu, na ndivyo ilivyokuwa kwa jamaa yule kwani alikufa bila kufurukuta wala kupiga kele ya aina yeyote… Yule boya mwingine baada ya kuona mwenzake ameanguka chini bila kujua kuwa mwenzake tayari alikua ameshakufa, nae alikuja kwa papara kwaajili ya kumvaa, michael alimuona vyema na alipomkaribia, michael aliruka juu na kutanua miguu yake na wakati anashuka chini pigo moja aina ya flight kick lilitua vyema katika shingo ya yule boya ambae alipiga yowe la maumivu na kutua chini huku mwili ukiwa hauna uhai,michael aliamua kumpiga jamaa yule pigo la flight kick ili kuwafanya wale waliokuwa wako ndari ya gari waweze kushuka wote, na kweli ukelele alioutoa yule jamaa kabla ya kufa ulisababisha wale jamaa washuke kwenye gari ili kwenda kushuhudia ni nini kimetokea, walipofika eneo ambalo miili ya wenzao ilikua imelala wakahamaki na kusimama juu kwa haraka, ni kama michael alikua akisubiri jamaa wale wafanye vile kwa aliruka juu na kuachia mapigo mawili aina ya double kick ambayo yalitua vyema katika vifua vya wale jamaa na kuwapeleka chini,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    wakati wakijianda kuamka michael afyatuka kama mshale na kuruka juu na wakati anashuka chini alikua ametanguliza goti lake ambo lilitua vyema shingoni mwa jamaa mmoja na kilichosikika hapo ni mlio wa shingo kumaanisha kuwa ilikua imevunjika, wakati jamaa mwingine akitahamaki kwa kile kilichotokea, michael aliruka serekasi maridhawa na alipotua tua chini alitua huku amechuchumaa na wakati huo guu lake la kulia lilikua mbele pigo hilo lilitua vyema katika taya za yule jamaa na kusababisha ateme meno kumi na mbili chini, wakati bado jamaa akiugulia maumivu ya kuvunjwa meno, michael alivirika kama tairi na kutua nyuma ya yule jamaa hapo alifyatua mikono yake na kuvunja shingo ya yule jamaa na habari yake ikawa imeishia pale, ndani ya dakika kumi na tano tayari michael alikuwa ashakatisha uhai wa vijana wanne ambao walitumwa na joel, michael aliwasachi wale vijana na alifanikiwa kupata simu, aliangalia simu ya mwisho kutoka na hapo aliona jina lililoseviwa joe de boss, alibonyesha kitufe cha kuruhusu simu itoke na kuiweka sikioni na baada ya muda simu ilipokelewa upande wa pili… “Not easy like that, am not of that kind so take care” aliongea michael na kukata simu bila ksubiria majibu na maneno aliyozungumza michael alimaanisha kuwa “Sio kirahisi hivyo, mimi sio wa aina hiyo hivyo kuwa mwangalifu” Joel alibaki kujiuliza maswali huyu aliyempigia simu ni nani, aliwaza huenda wale jamaa watakuwa wamemgeuka na wamemuibia pesa zake bila kujua kuwa jamaa wale walikuwa washapoteza maisha, alijaribu kupiga ile simu lakini alikutana na sauti nyororo ya mwanadada ikimwambia samahani namba unayopiga kwa sasa haipatikani tafadhali jaribu tena baadae, hakika alichanganyikiwa…. Michael baada ya kumaliza kuongea na ile simu aliitupa chini na kusababisha betri kutoka katika ile simu, alirudi katika gari lake na kufunga boneti na baada ya hapo aliingia ndani ya gari na kuligeuza na safari ya kuelea kwake ilianza **************** *********** ************** Mida ya saa tatu asubuhi maeneo ya karibu na chalinze, watu walikuwa wamejikusanya katika mfumo wa duara kuonyesha kwamba kuna kitu walikuwa wamekizunguka…. “Eti kaka kuna nini hapa mbona watu wengi halafu pale inaonekana kama kuna kitu wamekizunguka?” alikua ni dada mmoja akimuuliza jamaa mmoja “Aaa inasemekana hapo kuna jamaa wanne wamekutwa wamekufa nab ado haijajulikana kama walishambuliwa na majambazi au la na inavyosemekana kulikua na usafiri ambao walikuwa wakiutumia umeibiwa muda sio mrefu” alijibu yule jamaa “Jamani mbona watu hawana utu yani angalia vijana wa watu walivyopendeza na wanaoekana bado wadogo kabisa lakini wamewaua bila hata huruma” ilisikika sauti ya mama mmoja kutoka katika lile kundi la watu, haikupita muda polisi walifika eneo la tukio na kukuta waandishi wahabari wakiendelea kuchukua video na picha mbali mbali za tukio hilo, polisi waliwasogeza watu na haikupita hata dakika moja ambulance mbili zilifika na kuzichukua maiti zile na kuzipeleka hospitali ya taifa ya muhimbili huku wakiwaacha polisi wakijaribu kuchukua maelezo kwa wananchi wale waliokuwa wamefika wakwanza katika eneo lile la tukio…CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Siku hiyo michael aliwahi mapema na kumuaga mpenzi wake suzan ambae hakutaka tena kufanya kazi na alimuambia michael kuwa anataka awe mama wa nyumbani tuu haitaji tena kufanya kazi, na michael kwa kua alikua akimpenda sana alikubaliana nae jinsi anavyotaka, basi alimuaga mpenzi wake na kuingia ndani ya gari lake aina ya prado na kuelekea eneo ambalo alikuwa anafanyia kazi, ilipofika mida ya saa nne wafanyakazi hukutana sehemu moja na kupumzika kwa muda wa nusu saa huku wakiangalia taarifa mbali mbali za habari, mr alex alipofika eneo lile alichukua rimoti na kuweka TBC (Tanzania broadcasting company yani shirika la habari la Tanzania) ambapo walikuta kuna kipindi kinaishia na hazikupita hata dakika mbili walisikia… “Breaking newz, watu wanne wakutwa wameuwawa maeneo ya karibia na chalinze huku miili yao ikionekana kutokujeruhiwa, muandishi wetu steven moyo anataarifa zaidi, steven…” “Katika hali ya kushangaza kabisa maeneo haya ya karibu na chalinze miili mine ya watu imekutwa ikiwa haina uhai na inavyosemekana ni kwamba huenda kabla ya marehemu hao wakati wakiwa bado hai walivamiwa na watu wasiojulikana na kuwakatisha maisha yao, lakini katika hali ya kustaajabisha zaidi miili hiyo inaonekana kutokuwa na jeraha la aina yeyote kama inavyoonekana hapa na tukio hilo linahusishwa na masuala ya kishirikina, aliongea steven moyo huku picha za marehemu hao zikioneshwa, lakini hata hivyo miili hiyo imepelekwa hospitali ya taifa ya muhimbili kwaajili ya uchunguzi zaidi, nikiripoti kutoka eneo la tukio, mimi ni steven moyo wa TBC” bwana steven alimaliza kuripoti taarifa hiyo… Joel alipatwa na mshtuko mkubwa baada ya kuona picha za vijana aliyewatuma kumuua michael wakiwa hawana uhai lakini alilificha hilo bila kujua kua michael alishamuona jinsi alivyopatwa na mshtuko, Michael alitabasamu na kujisemea moyoni “Pole joel kwakua choo ulichoingia ni choo cha kike kwani ni sawa utumbukie katika bwawa ambalo limejaa mamba wenye njaa na ukajipa matumaini kuwa utatoka salama” na hapo aliamka na kuelekea ofisini kwake kuendelea na kazi… Michael aliendelea na kazi zake kama kawaida na baadae muda wa kutoka ofisini ulifika, Michael alifunga makabrasha yake na kuyaweka sehemu husika na baada ya hapo alirudishia mlango wake vizuri, Michael alitoka ofisini na kuelekea sehemu ambayo alipaki gari lake aina ya Mercedez benz nyeusi lakini kabla hajafika maeneo ya parking alisikia mtu akimuita, alipogeuka alimuona Joel akija kwa kasi eneo lile alilokuwepo na ilionekana dhahiri kwamba joel alikua akija kwaajili ya shari hali iliyomfanya Michael atabasamu na kujiandaa vyema kwa jambo lolote ambalo lingetokea, lakini Joel baada ya kufika eneo alilokuwepo Michael alitabasamu kwa tabasamu feki na kabla hajaongea kitu Michael alimsabahi…. “Mambo vipi joel?” alizungumza michael “Poa tuu nambie muuwaji?” aliongea Joel kwa sauti iliyochanganyikana na ghadhabu ya hali ya juu “Hahaha!! Angalia bwana mdogo kauli zako zisije zikakuponza na kukugharimu” alizungumza michael kumuambia Joel katika hali ya ustaarabu na umakini wa hali ya juu sana “Acha kunitisha kunguni wewe, kwani utanifanya nini mbw….” Alizungumza Joel lakini kabla hajamalizia kauli, ngumi nzito na yenye ujazo kutoka kwa michael ilitua vyema katika shavu lake na kusababisha moja kati ya jino lake kudondoka kutokana na uzito wa ngumi ile.. “Huwa sipendi kubishana na watoto wa mama ambao wanajua kula na kunywa na kunya tuu, hawajui kingine chochote..” alizungumza Michael na kumuambia Joel na baada ya hapo alifungua mlango wa gari lake na kuingia ndani, alifunga mkanda na kuwasha gari lake na safari ya kuelekea nyumbani kwake ilianza huku akimuacha Joel akigugumia maumivu ya kung’ooka kwa jino pasipo ridhaa yake jambo ambalo alilisababisha mwenyewe kutokana na kauli zake chafu kwa mtu asimfahamu undani wake, hakika Joel hakuamini kama ile ngumi amepigwa na Michael… “Au ameshika jiwe akanipiga nalo nini? lakini mbona sikumuona akichukua hilo jiwe, au jamaa atakua mchawi nini?” ni mambo ambayo alikuwa akiyawaza Joel kotokana na uzito wa ile ngumi ya Michael, alihisi huenda ile ngumi amepigwa na mpiganaji maarufu wa mieleka bwana John Cena, hakika alipagawa na alikua kwenye maumivu makali mno, ilimbidi aondoke na kuelekea kwake maeneo ya mnazi mmoja ili angalau akanunuepanadol ili akapunguze maumivu ambaye alikua akiyasikia..

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

     Mida ya saa mbili kasoro usiku Michael akiwa ndani ya gari lake aina ya Mercedez benz nyeusi alikua mbele ya geti kubwa jeusi, geti hilo lilikua la kisasa kweli kwani lilikua likifunguliwa na kufufungwa kwa remote, Michael alitoa kirimote kidogo na kukibonyeza ambapo geti hilo lilifunguka, aliingiza gari ndani na kulifunga geti lile, baada ya kuliweka gari katika maeneo ya parking yaliyopo mle ndani, Michael alishuka katika gari na kuelekea ndani ambapo alilakiwa na harufu nzuri ya chakula ambacho Suzan kwa muda huo ndo alikuwa anakitenga mezani… “Waooow!! Husband huyoo” alizungumza Suzan huku akimkumbatia Michael na kumbusu katika paji la uso lakini wakati alipokuwa akimbusu Michael katika midomo yake, Michael alimpokea vyema na kichofuata hapo ilikuwa ni kubadilishana ndimi zao… “Oooooops…. Aiiiiiisssssss… Mich…a…eeee..l” ni sauti ya puani aliyeitoa Suzan baada ya kushikwa chuchu zake kwa staili ya kuzibinya binya, Michael aliendelea na zoezi hilo la kushika shika chuchu za Suzan kwa muda na baada ya hapo walianza tena kubadilishana ndimi zao, Michael alimbeba Suzan juu juu huku wakiwa bado wanabadilishana ndimi zao na kwenda kumbwaga kitandani, dakika tatu baadae Suzan alikuwa hana nguo hata moja na alikuwa yupo kama alivyozaliwa ambapo umbo lake la namba nane lilikuwa likionekana vyema huku Michael nae akiwa kama alivyozaliwa pia, hapo Michael alisogea mpaka katika sikio la kushoto la Suzan na kufanya kama anampumulia hali iliyomfanya Suzan ajinyonge nyonge, Michael hakuishia hapo alianza zoezi la kumlamba Suzan sikio lake kwa kutumia ncha ya ulimi hali iliyopelekea Suzan asisimke sana, Michael alipotosheka alirudi mdomoni kwa Suzan na kubadilishana ndimi kwa muda mfupi na baada ya hapo alishuka mpaka katika kifua cha Suzan ambacho kilikua kimebeba maembe madogo yaliyokua yamesimama vyema, Michael aliyatazama kwa tuo na baada ya sekunde kadhaa alianza kulamba embe hizo kwa zamu kwa staili ya kuzunguka huku akitumia ncha yake ya ulimi kwa ufundi wa hali ya juu, Michael alikua akizilamba embe hizo kwa zamu… “Mmmmmhhh…. Aisssss… ooooohpsss” ni miguno aliyokua akiitoa Suzan huku akikipapasa kichwa cha Michael Michael ni kama vile alikua amempania Suzan, kwani baada ya kuridhika na zoezi la kulamba chuchu za Suzan alishuka chini mpaka katika kitovu cha Suzan na hapo aliendele na zoezi lake na kulamba eneo hilo huku akitumia ncha yake ya ulimi, wakati akiendelea na zoezi la kulamba kitovu cha Suzan, mkono wake mmoja ulikua bado unaendelea kutalii katika kifua cha Suzan, baada ya kuridhika kulamba kitovu cha Suzan, Michael alishuka chini na kumpanua miguu Suzan kama vile mwanamke anapotaka kujifungua, hapo Michael alitoa ulimi wake na kuanza kudeki maeneo hayo, Suzan alikua ni kama amechanganyikiwa kwa raha alizokuwa akizisikia muda huo, alishika hiki mara kile yani ilimradi raha tupu, utamu ulipomkolea alijiona kama yupo angani anaelea elea kwa raha, alijiona yupo sayari nyingine kabisa tofauti na dunia, Suzan alipitisha mkono wake mpaka maeneo ambayo tango la Michael lilikuwepo na hapo alilikamata taratibu tango hilo lililokuwa na urefu wa sentimita kumi na saba na kuanza kulichua taratibu, Michael baada ya kuridhika kudeki bahari aliingiza kidole chake cha kati katika pango la Suzan na hapo alianza kufekenyua kama vile kuna kitu alikuwa anakitafuta, baada ya kupata alichokuwa anakitafuta hapo Michael alianza kufanya kama vili kuna kitu alikua anakikuna…. “Aiiiisssss… mmmmmhh… oooooohpssss… mich…ae….l”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

     Suzan alitoa mguno baada ya Michael kuanza kumsugua eneo la G spot ambalo linapatikana sentimeta kadhaa kutoka mlangoni mwa pango lolote la mwanamke, eneo hilo huwa linafanana na spongy, hapo Michael alipasugua taratibu na kila baada ya sekunde kadhaa alikuwa akiongeza spidi katika zoezi hilo hali iliyopelekea Suzan ajinyonge nyonge kutoka na raha alizokua akizipata, baada ya muda Suzan alianza kubana miguu yake na baada ya sekunde kadhaa alikuwa akitetemeka sehemu za miguuni huku maji maji mfano wa ute ute yakitoka katika pango lake kuonyesha kuwa tayari alikuwa ameshafunga goli lake la kwanza, Michael baada ya kuona hali hiyo alilishika tango lake ambalo lilikua na unene kiasi na kuliingiza katika pango la Suzan.. “Ooooooh…. Sssssssss…. Mmmmmh” ni mguno alioutoa Suzan baada ya utamu aliosikia wakati Michael akiingiza tango lake katika pango lake ambapo tango hilo lilipita bila shida kutokana na hali ya utelezi iliyokuwa katika pando lake, hapo Suzan alijibinua kidogo na kukaa staili ya mbuzi kagoma na hapo alianza kuzungusha kiuno chake taratibu na kwa mnato kama wanenguaji wa kundi la Twanga pepeta, Michael alikuwa ameweka mikono yake nyuma huku akisikilizia utamu ambao alikuwa akiupata kutokana na mauno ya Suzan, baada ya dakika kadhaa Michael alianza kuhisi wazungu wanataka kuja, hapo alikikamata kiuno cha Suzan na kuanza kumpamp kwa kasi ya hali ya juu, Suzan nae alikua akipiga kelele za kimahaba kuonyesha kwamba alikua amekaribia kufika kileleni na baada ya muda Michael na Suzan walifika mshindo kwa pamoja, hapo walilala kidogo huku wakiwa wamekumbatiana na kipindi hicho tango la Michael lilikua bado lipo katika pango la Suzan, baada ya dakika kadhaaa waliendelea na mchezo huo mpaka waliporidhika, hapo walibebana na kuelekea bafuni, huku waliogeshana na kucheza michezo mbalimbali ya kimapenzi na baada ya kumaliza walivaa night dress na kuelekea katika meza ya chakula, hapo walilishana kama watoto wadogo na walipomaliza walielekea katika chumba chao kwaajili ya kulala.. “Honey, pole na kazi pamoja na kazi tuliyoifanya kabla ya kula” alizungumza Suzan huku akiwa amelegeza macho yake na wakati huo alikua amelaza kichwa chake katika kifua cha Michael.. “Hahaha! Asante sana ila pole na wewe maana hicho kiuno kama vile hamna mfupa!” alizungumza Michael huku akikishika kiuno cha Suzan.. “Mmmmh… assss jamani” ni mguno laini alioutoa Suzan baada ya Michael kushika kiuno chake na kukipapasa “Ehe niambie my wife” aliongea Michael huku akichezea nywele za laini za Suzan… “Mi sina cha kukuambi… oooh nimekumbuka hivi ndoa tutafunga lini baby?” alizungumza Suzan katika sauti ya deko.. “Tufunga tuu my love mda ukifika, kwani una wasiwasi na mimi?” alizungumza Michael na kumuuliza swali Suzan “Aaa honey abiria chunga mzigo wako eee….” Alizungumza Suzan hali iliyopelekea woye kujikuta wanacheka kwa pamoja.. “Enhe love leo nataka nikuimbie mpaka upitiwe na usingizi.” Alizungumza Michael kumwambia Suzan “Haaa! Kumbe na wewe unajua kuimba?” Suzan alishangaa na kumuuliza Michael.. “Sana tuu” alijibu Michael



    “Hahaha! hebu imba nikusikie” alizungumza Suzan kumwambia mpenzi wake Michael ambapo Michael alikohoa kidogo na kuweka koo lake sawa na baada ya hapo alianza kuimba wimbo wa West life unaoitwa My love… An empty street An empty house A hole inside my heart I’m all alone The rooms are getting smaller I wonder how I wonder why I wonder where they are The day we had The songs we sang together (oh Yeah) And oh my love We’re holding on forever Reaching for the love that seems so far…. Wakati Michael alipofikia hapo Suzan nae ili kumuonyesha Michael hakuwa nyuma katika uimbaji nae akadakia… So I say a little prayer And hope my dreams will take me there Where the skies are blue To see you once again my love Overseas from coast to coast To find the place I love the most Where the fields are green To see you once again my love….. “Waoooow kumbe na wewe fundi sana eeh?” Michael alimuuliza swali mpenzi wake Suzan katika hali ya furaha “Mimi tena, yani nahisi najua kuliko hata wewe mpenzi” alijibu Suzan kwa sauti iliyojaa pozi “Aaa wapi wewe, huwezi kunishinda mimi kuimba, labda utanishinda kuzungusha hichi kiuno tuu!” alizungumza Michael huku akimshika Suzan kiuno “Aaa sitaki bwana…” alizungumza Suzan kwa deko huku akivuta mdomo wake na kuvimbisha mashavu kama mtoto mdogo.. “Jamani love, sasa unataka nini?” aliuliza Michael kwa sauti ya kubembeleza “Nataka tuimbe wote sasa hivi ili tuone nani mkali” Suzan alitoa dukuduku lake kwa mpenzi wake “Wimbo gani?” aliuliza Michael “Wimbo wa Jordin Sparks aliomshirikisha Chris Brown” Suzan alimjibu Michael huku akijiweka sawa kifuani kwa Michael “Ule wa No air au?” aliuliza tena Michael “Ndio huo huo” Suzan alimjibu Michael huku akitabasamu “Hahaha! Kwahiyo wewe utakua Jordin Sparks na mimi nitakua Chris Brown au sio?” alizungumza Michael katika hali ya kuuliza “Ndio maana yake” Suzan alimjibu Michael “Okay tuanze kuimba tuone!” alizungumza Michael huku akiliweka koo lake sawa Suzan nae alikohoa kidogo na kuweka koo lake sawa na baada ya hapo alianza kuimba…

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Tell me how I’m supposed to breathe with no air, air? Hapa Suzan aliweka pozi kidogo kabla hajaendelea na baada ya sekunde kadhaa aliendelea… If I should die, before I wake Its cause you took my breathe away Losing you is like living in the world with no air (ohhh)… Baada ya kumaliza kipande hicho Michael nae alidakia.. I’m here alone, didn’t wanna leave My heart won’t move it’s incomplete If there was a way that I can make you understand… Baada ya Michael kumaliza ubeti huo Suzan nae akadakia… But how do you expect me To live alone with just me Cause my world revolves around you It’s so hard for me to breath.. Tell me how I’m supposed to breathe with no air Can’t live, can’t breath with no air It’s how I feel whenever you ain’t there It’s no air, no air…. Hapo Michael alidakia tena… Got me out here in the water so deep Tell me how you gon’ be without me If you ain’t here, I just can’t breathe It’s no air, no air



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog