Search This Blog

Thursday 24 November 2022

NINGEFANYA NINI - 3

 

     

     



    Chombezo : Ningefanya Nini

    Sehemu Ya Tatu (3)

     

    CHOMBEZO- NINGEFANYA NINI?

    SEHEMU YA 13

    "Yaani yule ana akili kweli? mimi hajawahi kunipa hata pesa iliyotoka kwako iliyotoka kwako na sikubali atanikoma leo"

    Niliondoka kwa hasira mpaka saluni kwa dada

    "Hivi wewe unanichukuliaje mimi? Unaniona mimi Malaya sana eeh, kwanini unaomba pesa kupitia jina langu mimi? Unaniuza au sio?" nilianza kumtolea maneno nae akawa anajibu vibaya

    Hasira zilinipanda tukaanza kupigana, nilijikuta navunja vioo vyote vya saluni yake kisha watu wakanishika nae wakamshika, alinitikana matusi kibao mpaka mama yangu nami nikamrudishia, bila kujali kama mama zetu walizaliwa tumbo moja, niliondoka mpaka nyumbani, nilikuta tayari alishapiga simu na taarifa zilimfikia mama mkubwa ambae ni mama yake, alianza kunisema nilimuhadithia ili kujitetea lakini hakunielewa ilinibidi niondoke na kwenda nyumbani kwa rafiki yangu lakini sikumkuta

    Nilikaa barazani kwao pekee yangu nikimsubiri, huku nikiwa na huzuni, mara simu yangu ikaita alikuwa Lameck nikapokea, tulianza kuongea

    "Vipi mbona kama haupo sawa unaumwa?" Aliniuliza Lameck

    Hapo nilijikuta machozi yakinitoka na kulia sana, roho iliniuma dada yangu amemtukana mama yangu, nilijikuta nikimkumbuka sana mama, pamoja na makosa aliyonifanyia bado yeye mama yake anamtetea mimi nani atanitetea tena na kuniamini, nani atakuwa upande wangu, hakika niliumia kufiwa na mama ni ukiwa, nilimwambia Lameck kila kitu kilichotokea,

    "Kuna mwanaume anamuomba pesa na kumdanganya mimi ndo nazitaka, leo nilikutana nae akanisumbua na kuniambia kuwa alikuwa akituma pesa, nilipatwa na hasira nikaenda kwa dada tukagombana na kuvunja vitu, lakini mama yake ana mtetea" niliongea huku nikiendelea kulia kwa uchungu

    "Basi usilie niambie upo wapi nikufate"

    Nilimuelekeza, baada ya saa moja kupiga alifika na kuniambia niingie kwenye gari yake, niliingia tukaondoka mpaka kwake

    "Pole sana, mimi najikuta nakupenda tu Aisha sipendi kukuona ukiwa na simanzi, nilishakwambia ukiwa na chochote niambie mimi nipo kwaajili yako" alisema hivyo na kunikumbatia, nilifarijika sana

    Alipika chakula na kuniletea nilikula, tulipigi story ilipofika usiku nikamwambia naondoka, basi alinichukua na kunirudisha nyumbani

    "Kesho nitakununulia simu leo sikuwa vizuri kipesa" alisema na kutoa elfu 60 aliniambia ya matumizi kisha akanikiss, nilishuka kwenye gari na kuingia ndani,

    Nilimsalimia mama mdogo lakini hakuitikia, sikujua tatizo ni nini, maana mimi na yeye hatuna ugomvi, bali ulikuwa kwa Dada na mama mkubwa baada ya kumtetea mwanae, yeye ananunia nini, niliamua kutomuuliiza na kuingia chumbani kwangu

    Sikukaa sawa niliona mamdogo akinigongea mlango nilitoka

    "Yaani wewe mtoto mbaya sana, unamuonea mwenzio gere ukaamua umtie hasara eeh?" Alisema kwa kufoka

    "Sasa ma mdogo unajua sababu nini au? Mbona hadi wewe unanikandamiza, nilijua ma mkubwa ndo haniamini mimi kwaajili ya kumtetea mwanae lakini hadi wewe?"

    "Kelele huko tena mimi ndo sikupendi utaondoka hii nyumba"

    "Hapa kuondoka itakuwa ngumu, maana hii nyumba ni ya urithi na katika urithi huo mama yangu pia ni mtoto, hivyo nafasi ya mama ndo naichukua mimi, si nyinyi ndo mlimuahidi marehemu mam kuwa mtanilea mimi? Leo mnavunja ahadi zenu kwanini hamnipendi?" Nililalamika na kuanza kulia

    Mara tukaona mama mkubwa dada na wanaume wawili wakiingia, walijitambulisha kuwa hao ni mapolisi, hivyo nikawekwa chini ya ulinzi, nilijua sababu ni ule ugomvi wameamua kunipeleka polisi, nilitolewa nikiwa nalia, hakuna aliyenijali





    Mara tukaona mama mkubwa dada na wanaume wawili wakiingia, walijitambulisha kuwa hao ni mapolisi, hivyo nipo chini ya ulinzi, nilijua sababu ni ule ugomvi wameamua kunipeleka polisi, nilitolewa nikiwa nalia, hakuna aliyenijali

    ********

    Basi nililala polisi siku tatu huku nikiwa sina msaada sikujua nani atanisaidia, hakuna hata wa kunitolea dhamana, polisi waliniambia ikifika kesho napelekwa segerea huko lazima nitasimamishwa mahakamani la sivyo niwatajie namba ya mtu ambae nahisi anaweza kunisaidia, nilimkumbuka Lameck lakini namba yake kichwani sikuwa nayo na simu niliacha kitandani baada ya kukamatwa, ilibidi nitulie tu na kumuachia Mungu kila kitu,

    Usiku ulipoingia nilisikia afande akiniita, alinifungulia mlango na kutoka, aliniuliza kama namfahamu Lameck nikamwambia ndio, aliniambia amekutolea dhamana, nilitoka na kumuona nilijikuta namkumbatia, sikujua amejuaje kama nipo pale,

    Alianza kuongea na wale polisi na kuambiwa kuwa Dada yangu anahitaji alipwe vitu vyake vilivyovunjwa, Lameck alitaka kujua kiasi gani aliambiwa laki 6 vyote, akasema sawa atafanya hivyo, alikuwa akiongea vizuri na yule polisi nikagundua kuwa wanajuana aliniingiza kwenye gari tukaondoka mpaka kwake

    "Pole sana"

    "Asante ulijuaje kama nipo polisi"

    "Nilipiga sana simu yako, hatimae ikapokelewa ndipo nikambiwa kuwa upo polisi, tena leo ndo nimeambiwa hivyo na huyo mtu alijitambulisha kuwa ni mama yako mdogo, akasema ulivunja vitu vya watu, nikaamua kuja"

    "Dah asante sana Lameck hakika sikuwa na matumaini ya kutoka kabisa, Mungu akubariki Lameck"

    "Usijali nilikwambia nakupenda sana, umesema hu na mtu wa kukufariji ukiwa na tatizo mama zako wote wanakukandamiza na kukutenga, sasa mimi nitachukua nafasi ya mama, baba na wote uliokuwa ukitamani upate faraja kutoka kwao, nifanye mimi rafiki wa kudumu, nifanye baba, nifanye mama, nakupenda sana"

    Yale maneno yaliniingia haswa tangu nianze mahusiano na wanaume, hakika huyu alikuwa wa tofauti kwanza ana huruma, anajali sana pia ananionyesha upendo wa kweli,

    "Kama angekuwa hanipendi basi asingekuwa ananifuata mpaka leo kama mapenzi tayari tulishafanya mbona bado kaniganda na kunisaidia" niliwaza





    "Kama angekuwa hanipendi basi asingekuwa ananifuatilia mpaka leo, kama mapenzi tayari tulishafanya mbona bado kaniganda na kunisaidia" niliwaza

    Basi nilikaa kwa Lameck kwa muda wa siku mbili, aliweza kumpa yule polisi pesa ili kesi yangu ifute na kulipa fidia nilizodaiwa,

    Wakati nipo jikoni napika mara nilisikia hodi, nilienda kufungua mlango na macho yangu yalishtuka baada ya kumuona dada yangu

    "Nakuona mama mwenye nyumba, unajitia mjanja sana wewe si ndio?" Aliniambia hivyo

    "Kivipi?" Nilimuuliza lakini nilishtukia kofi moja tu,

    "Wewe Malaya unamchukua mwanaume wangu na kuamua kuja kuishi hapa? Unataka vita na mimi?" Aliniuliza kwa bahati nzuri Lameck alikuwepo aliposikia akatoka

    "Kuna nini?" Aliuliza

    "Kwanini unatembea na ndugu yangu, tena nimepata habari zako zote, wewe ndo umemtoa huyu polisi na umelipa fidia niliyokuwa namdai ukajiona mjanja umemtuma mtu wa kufanya hivyo ili nisijue uchafu wako,, lakini leo nimeenda nyumbani nimechukua simu ya huyu Malaya mwenzio na kuona namba yako pamoja na msg zako" aliongea kwa hasira

    "Mimi sijakuibia mwanaume si umesema Lameck ni rafiki yako wewe" nilimwambia Dada akakasirika na kutaka kupigana, Lameck akamshika

    "Embu tulia sitaki fujo nyumbani kwangu, ndio mimi ndo nimemtoa polisi wewe ulitaka nimuache tu, hivi kama una uchungu sana kwanini umfanyie mabaya ndugu yako? mimi na wewe kwanza hatujawahi kuwa wapenzi ni urafiki tu kama ulivyomwambia ndugu yako, sasa kwanini roho ikuume?" Lameck alianza kumpa maneno yake

    "Anhaa vizuri sana, nakuahidi umeanza vita na mimi hapa hutokaa kwa amani lazima nikuonyeshe" Dada aliondoka kwa hasira akatuacha

    "Usitishike na maneno yake mimi nakupenda na nitakulinda" Lameck aliniambia na kunikumbatia

    Basi nilienda tena kupika na kumaliza tukala, kumuaga Lameck kuwa naenda nyumbani, hakutaka niondoke lakini nilimwambia lazima niende, akakubali na kunipa simu nyingine ya kutumia, alinichukua na kwenda kununua laini nyingine kisha akanisindikiza mpaka nyumbani nae akageuza gari na kuondoka

    Niliingia ndani na kumkuta mam mkubwa na mam mdogo wakiongea, niliwasalimia lakini wakanipa sonyo hilo kisha wakacheka

    "Umerudi kufanya nini wewe malaya? Hivi huoni aibu mambo uliyoyafanya mpaka leo unarudi tena hapa?" Alisema ma mdogo

    "Nimefanya nini?" Niliuliza ikiwa najua sababu ya yote ni nini

    "Unajitia hujui, mtoto kahaba wewe yaani umeona mwenzio ana mwanaume mwenye pesa ukaamua kumchukua wewe"





    "Unajitia hujui, mtoto kahaba wewe yaani umeona mwenzio ana mwanaume mwenye pesa ukaamua kumchukua wewe"

    "Sasa mama zangu nyinyi mnajua ilikuwaje mpaka mnaanza kunisema? Dada mwenyewe aliniambia kuwa yule mwanaume ni rafiki yake"

    "Kelele huko, kwanza sisi sio mama zako ukae ukilijua hilo" ma mkubwa alisema

    "Kwanza kwanini tusimwambie ukweli akae akilijua hilo ili aache kutushobokea" alidakia ma mdogo

    "Ndo tunakupasha leo, sisi hatujazaliwa na mama yako upo? Mama yako alikuwa rafiki yetu tu, tena alikuwa malaya kama wewe baada ya kupewa mimba yako na kutelekezwa tukaona tumsaidie tuishi nae tulimpenda kama ndugu ulipozaliwa wewe baada ya miaka 10 ndo mama yako akafa, tukaona tukusaidie kwaajili ya heshima ya mama yako" alisema ma mkubwa kiukweli niliwashangaa sana maneno wanayoyaongea

    "Ila kweli mtoto wa nyoka ni nyoka, umalaya wa mama kamuachia mtoto, sasa hivi hashikiki" ma mdogo alisema nikachukia

    "Naomba usimtaje mama yangu, usimwambie hivyo kabisa, kama hamna cha kuongea nyamazeni" niliongea kwa hasira huku machozi yakianza kunilenga sikupenda kabisa mama yangu asemwe

    "Ukweli lazima tuseme, nenda hapo nyuma kaulize kuhusu mama yako utaambiwa, hivi nani alikuwa hamjui mama yako, ndo maana alitelekezwa nawe umerithi tena utakoma, sisi yule sio ndugu yetu tumewastiri tu" ma mdogo aliendelea

    Basi nilimsogelea kwa hasira nikampa bonge la ngumi likaenda mdomo

    "Aah unanipiga mimi?" Alisema kwa hasira na kutaka kunirudishia

    Sikuchelewa nilichukua mwiko pembeni na kumpiga nao kwa nguvu mdomoni, damu zilianza kumtoka, akawa analia na kusema hakubali, wakataka kunichangia mtu na ndugu yake

    "Niguseni muone leo ndo mtanijua vizuri akili yangu ilivyo, kuwaheshim ndo imekuwa shida eeh? Kwanini mnamsema mama yangu kawakosea nini? Mama yangu si alishakufa kwanini bado mnamsema vibaya na kutaja mabaya yake?" Nilikasirika watu nje wakajaa, ukawa mshike mshike, tulipigana vizuri

    Basi ma mkubwa akaenda kwa mjumbe na kurudi wote, tuliwekwa kikao na kuongea

    "Wamesema mimi sio mtoto wao sasa nataka waniambie ukweli, kama hawanitaki bora waseme tu nishachoka kila siku vituko" nilisema nikiwa nimekasirika

    Mjumbe akawauliza kama kweli waliniambia hivyo wakakubali, ndipo wakatoa historia yote hadi ya mama yangu, kiukweli nililia sana, yaani zaidi ya sana nilijiuliza nitafanya nini Aisha mimi, Kumbe sina ndugu mimi

    "Basi waombe msamaha mama zako ili uweze kuishi nao hapa kwa amani" mjumbe alisema

    "Haina haja hata akiomba msamaha sisi hatumtaki tena, katudhalilisha sana leo, yaani anatupiga sisi" alisema ma mkubwa

    "Siwezi kuwaomba msamaha hata iweje maana wamemdhalilisha marehemu mama yangu, wao ndo wanatakiwa waniombe msamaha" nami nilisema nikiwa bado Nina sauti ya kulia

    "Ndo uondoke hapa, na usichukue hata kitu kimoja hii ni fidia kwa kumuumiza mama yako mdogo" alisema mamkubwa

    "Nitachukua, kama polisi nenda hata sasa hivi" nilijibu nikiwa siogopi mtu, nikajiapiza kama liwalo na liwe







    "Nitachukua kama unata kwenda polisi, unaweza kwenda hata sasa hivi" nilimwambia ma mdogo nikiwa siogopi kitu

    Basi mjumbe alimwambia ma mdogo asinipeleke polisi, pia akaniomba nitoe japo pesa nimpe ili akatibiwe pale nilipompasua,

    Nami nilikaa nikafikiria kama ma mdogo akienda polisi Lameck atanitoa tu lakini sikutaka kumsumbu tena mwanaume yule, nitakuwa mwanamke wa aina gani kila siku polisi, nilikubali kumpa kitanda na kumwambia auze achukue pesa kisha nami nikaondoka, sikujua nitaelekea wapi,

    Nilimfikiria Lameck lakini nikajiona kama nitampa mzigo tu, nilijikaza na kuamua kwenda kwake nilipofika nilimwambia kuwa nimefukuzwa baada ya dada kuwaambia mam zangu kuwa natembea na yeye, pia nilimwambia jinsi ma mdogo na ma mkubwa walivyo nikana na kusema mimi sio mtoto wao, niliongea huku nikilengwa na machozi mara yakaanza kutiririka mashavuni, hakika nilipitia maisha magumu sana, hata ndugu zangu wa upande wa mama sikuwajua mimi ni yatima, kama nitakosa msaada basi naweza kuwa chokoraa au hata kujiuza ili niweze kujikim,

    Lameck alinibembereza na kuniambia niishi pale na yeye, lakini nilikataa kabisa kukaa nae sababu ikiwa ni Dada anaweza kuja na kuniletea fujo

    "Sasa unatakaje isha? maana kukaa na mimi hutaki, niambie wewe ili nijue nafanyaje" aliniuliza lakini nilikaa kimya

    "Basi nikupangie chumba" aliniambia nami nilikubali kwani ndo jambo nililokuwa nataka japo kusema niliogopa,

    Basi akasema ataanza mchakato ndani ya wiki moja atakamilisha, nilifurahi sana tulianza kunyonyana midomo mwisho tukajikuta tukiwa watupu tayari kwa kuingiliana,

    Akili yangu yote ilihama mawazo yalipotea niliwaza mapenzi tu kwa muda ule, ukizingatia nilifanyaga mapenzi na Lameck mara moja tu tangu tulipokutana siku ya kwanza, tangu hapo hakunifanya kitu mpaka nilishangaa mwanaume wa aina gani, basi siku hiyo niliapa kumuonyesha kazi ili anijue mimi nani,



    Nilianza kumpa mahaba ya kufa mtu akawa analalamika tu na kutaja jina langu

    ITAENDELEA



    CHOMBEZO- NINGEFANYA NINI?

    SEHEMU YA 18

    Basi nilivyohisi ankaribia kuvunja dafu, nilijitoa haraka na kupeleka mdomo wangu kwenye mashine yake ili tui niweze kulinywa lote, sikuona kinyaa chochote kile, alipomwaga tukapumzika basi hatukurudia tena, tulioga na kulala

    **********

    Baada ya mwezi mmoja kupita tayari nilikuwa na kwangu, Lameck alinipangia nyumba nzima, yenye chumba, sebule, dining na jiko, kisha akaniwekea fenicha za maana, kiukweli alinipenda sana haipiti siku bila kuniona na kuniletea pesa za matumizi, nilianza kupendeza nilivaa mawig ya gharama, nguo za gharama, hata nikitoka na lameck hakuna mtu yoyote asiyeningalia n kunisifia, Lameck alinifundisha kuendesha gari nikajua sasa ilibaki kumiliki tu gari yangu mwenyewe



    Nikiwa nipo kwangu nachezea simu, niliingia fb na kukuta msg inbox nyingi, nilifungua na kuona msg kam 4 ametuma mtu mmoja ambae ni Rajabu, mwanaume ambae aliniumiza sana lakini nilifanikiwa kumsahau baada ya Lameck kuonyesha mtu anayenijali sana, asikwambie mtu ukiumizwa na mwanaume alafu ukawa unamuwaza akitokea mwingine anayekujali na kukuthamini basi yule unamsahau tu

    "Mambo Aisha?"

    "Jamani baby nakusalimia?"

    "Ndio umeninunia"

    "Naona siku hizi unapendeza hata salamu yangu hutaki"

    Hizo zilikuwa msg zake sikumjibu kitu, nilijikuta nimechukia nikaona nimblock moja kwa moja kama alivyofanya yeye,

    ITAENDELEA



    CHOMBEZO- NINGEFANYA NINI?

    SEHEMU YA 19

    Basi baada ya kumblock Rajabu hiyo siku nilikaa nikiwaza, kwanini yule mbwa alinitafuta, nikakumbuka alivyosema anaona napendeza ndo maana hata salam sitaki, hapo hapo nikapata wazo, nimtoe rajab kwenye block ili aweze kuniona na kuteseka na mimi, kweli niliingia fb na kumu unblock kisha nikamtumia msg

    "Kwani salam yako ina faida gani kwangu?"

    Kwa bahati nzuri alikuwa online aliweza kunijibu hapo hapo

    "Aisha bado unanichukia kiasi kwamba unaona salam yangu haina umuhimu?"

    "Yaani saana, kwanza wewe si uliniblock? Sasa kilichokurudisha nini?"

    "Naomba unisamehe kwa hilo zilikuwa hasira tu, nimetambua nimekukosea ndo maana nikakutafuta"

    "OK bye" nilimwambia

    Kisha nikampotezea nilipost pic nikiwa na Lameck na kuweka maneno ya mahaba

    "Wewe ndo furaha yangu, hakuna kama wewe hakika nitakupenda mpaka kufa" niliandika hivyo japo najua Lameck hawezi kuona kwa sababu alikuwa hapendi kutumia fb, yeye alitumia Instagram na WhatsApp tu lakini nilifanya hivyo ili kumrusha roho yule mbwa Rajabu

    Kama nilivyotarajia ndo ilikuwa hivyo hivyo, nikaona kacoment "nice" nami nikamjibu "thank u bro" basi akatuma msg inbox

    "Kwahiyo mimi nishakuwa kaka yako si ndio?" Aliuliza

    "Kumbe wewe nani yangu? Ulitaka nikuite mjomba au shangazi?" Nilimjibu kwa dharau nikionyesha chuki,

    Alituma tena msg nyingine lakini sikuifungua, maana Lameck alifika nyumbani kwangu,

    Nilimpokea kwa tabasam zito na kumkumbatia, akanibusu nami nikambusu, tuliongea kidogo nikampeleka bafuni tulioga kisha nikampikia alikula na kupumzika, nilijikuta nikianza kumchokoza chokoza kimahaba, nikawa najitia kumng'ata kwenye sikio lake taratibu ili kutomuumiza, mara nikainuka na kumkalia juu anipakate, yaani nilikuwa mtundu haswa kiukweli nilikuwa nikitamani kufanya mapenzi tu, lakini Lameck hakuwa tayari, alininyonya mate na kuniacha akasema anawahi kazini lakini atarudi kwaajili yangu,

    Basi sikuwa na pupa mtoto wa kike nikasema nitamsubiri tu, ilipita hiyo siku nikawa namsumbua kwenye simu, namuuliza yupo wapi kila wakati, basi wivu ulinijaa haswa nikahisi labda Ana mwanamke mwingine, nilimwambia ukweli jinsi hisia zangu zinavyonituma

    "Kwahiyo unahisi mimi nakusaliti?" Aliniuliza

    "Ndio umenidanganya unakuja mpaka sasa kimya"

    "Si nimekwambia nipo na majukumu mengi tutaonana kesho? Mbona unakuwa na wivu mpenzi?" Alisema

    "Bwanaee wewe endelea tu na hizo kazi zako mimi nidharau tu" nilimwambia

    "Sasa nakudharau na nini? Ukisema hivyo unajua unaniudhi Aisha?" Alilalamika nikakata simu yenyewe





    "Sasa nakudharau na nini? Ukisema hivyo unajua unaniudhi Aisha?" Alilalamika nikakata simu yenyewe,



    Basi Lameck hakunitafuta tena siku hiyo, nikahisi amekasirika, lakini siku ya pili alikuja kwangu na kuniambia nijiandae



    "Tunaenda wapi?" Nilimuuliza

    "Wewe vaa tuondoke" alisema hivyo nami nikatii, nilivaa na kuingia kwenye gari tukaenda hadi mikocheni kazini kwake,



    "Nimeamua nikulete ofisini leo ili kila kazi ninayofanya uone, nadhani utaniamini nikikwambiaga niko na kazi nyingi haya shuka tuingie ndani" aliniambia nilishangaa



    "Jamani Lameck Mbona hivyo lakini"

    "Nakupenda nataka uniamini Aisha mimi wewe ndo chaguo langu siwezi kukusaliti" aliniambia hivyo nilijikuta namkumbatia tu na kumwambia namuamini ila wivu tu ndo ulinifanya niongee vile,



    "Kwahiyo unashuka au?" Aliniuliza



    "Hapana nenda tu mume wangu nitakusubiri kwenye gari ukitoka tutarudi nyumbani wote" nilimwambia Lameck kanipa pesa nikisikia nja nikatafute chakula aliniachia na funguo za gari yake, Basi nilipiga picha na kujichukua video, kisha nikaongia fb kupost zile picha

    Nikaamua kufungua na msg za mbwa Rajab nilipenda kumuuita hivyo



    "Mimi sio kaka yako bana, Mimi ni mume wako mtarajiwa, najua nilikukwaza sana lakini nisamehe" aliandika hivyo kumbe



    "Huwezi kuwa na mke kama mimi, yule uliyemuoa ndo mke wako" nilijibu ilipita saa moja kimya nilienda kula na kurudi nikakuta msg yake, alikuwa ameshaingia online



    "Hapana sijaoa tena, naomba nipe namba yako nikwambie kitu maana kuchat tu hutonielewa" alisema hivyo nikanyamaza kimya



    "Aisha nitumie namba Nina jambo kubwa unapaswa ulijue, usikatae usikatae kusikiliza bali kataa neno nitakalo kwambia, nakuomba ni jambo la msingi sana" basi niliamua kumpa alinicheck WhatsApp na kusema atanipigia baadae, basi nikaweka status zangu zile naendesha gari, aliziona na Ku reply "mambo si mabaya" sikumjibu kitu



    Ilipofika usiku basi yule mbwa akanipigia simu, kwa kuwa nilikuwa nimelala pekee yangu baada ya Lameck kunirudisha basi nilipokea



    Aliniambia ananipenda bado pia anaomba msamaha na kutaka kurudiana na mimi, akasema hawezi kuniumiza tena yupo tayari kuoa kabisa endapo nitampa nafasi nyingine,



    "Mimi nina mtu wangu nawe unajua maana nilishampost ukaona kwanini usinipotezee tu"

    "Siwezi Aisha nakupenda mimi, nipe nafasi nikuthibitishie, safari hii ukiniambia chochote nitafanya hata kwa mama yangu nitakupeleka, wewe unadhani ningekuwa sikupendi ningekutafuta tena, si ningekuacha tu kwani mapenzi si tulishafanya" alisema, nilimsikiliza na kumwambia aniache kwanza



    *********

    Baada ya wiki kupita Lameck aliweza kunipa gari ambayo aliiagizia, kiukweli nilifurahi mno

    "Asante sana mume wangu nakupenda jamani" nilisema

    "Hata mimi, niambie nini tunataka mama nitafanya tu"

    "Nahisi ni ndoa tu hakuna kingine" nilimwambia Lameck akafurahi

    ITAENDELEA



    CHOMBEZO- NINGEFANYA NINI?

    SEHEMU YA

    "Nahusi ni ndoa tu hakuna kingine" nilimwambia Lameck akafurahi

    "Hakuna shida lazima nikuoe, nipo tayari hata kesho, lakini kwanza nikupeleke kwa pastor ukabadilishe dini sawa baby" aliniambia nikakunja uso



    "Mimi siwezi kubadilisha dini kabisa, nishazoea uislam, badilisha wewe si unanipenda?" Nilimwambia



    "Nakupenda ndio, lakini Mbona mimi nafanya mengi juu yako ya kukufurahisha kwanini wewe usifanye hili moja tu mke wangu? Nakuomba Aisha kubali tufunge ndoa mimi nataka kuzaa na wewe tena nikiwa nimekuoa" aliongea kwa upole huku akinibembeleza ila sikutaka kumuelewa



    "Basi nakupa nafasi ujifikirie sawa" alisema

    Siku hiyo tulilala na Lameck nyumbani kwangu, sikuwa na furaha hata kidogo juu ya jambo la kubadilisha dini yangu,



    Ilipofika asubuhi alioga nikamuandalia kifungua kinywa kisha akaondoka, nami nilifanya usafi na kupata kifungua kinywa, nilitoka nje na kupiga picha ile gari nikaweka status na kusema alihamdulillah asante kwa zawadi,



    Rajabu aliona na kuniambia hongera nikamwambia asante



    "Ila mimi nipo dar, nimekuja nina siku nne kama hutojali tuonane" alisema hivyo



    "Upo dar sehemu gani?" Nilimuuliza

    "Magomeni kwa ndugu zangu"

    "OK"

    "So tunaonana au?"



     

     

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog