Chombezo : Wapangaji Wenzangu
Sehemu Ya Pili
(2)
Sasa tukija huku nyumbani, tunamwona Zahra
analalama mno, na dada yake alikuwa kipau mbele kumsema
"yaani dada....
ayub ana mwezi sasa hata simu hajanipigia"
Aliongea Zahra huku dada yake
akisema
"kama umeshampa mwili wako, hio ndio basi tena"
Aliongea
fatuma au mama said,...
"sijampa bado"
Zahra alidanganya lakini
ukweli ni kwamba tayari keshampa utamu wake, tena alijiachia mno mana alijua
ndio mume wake, kumbe nyodo zake ndio zimemponza, na kujikuta analiwa na mbeba
mizigo... Na yeye anajua ni tajiri mzuri tu...
"au labda atakua kasafiri
kibiashara"
Aliongea dada yake huku Zahra akijibu
"labda
itakuwa... Lakini kama kasafiri, ina maana hata simu pia haifanyi
kazi"
"sasa zaru mdogo wangu.. Kama mtu kasafiri nje ya nchi hio namba
tapigaje... Kwani wewe ukipiga unaambiwaje"
"inasema
haipatikani"
"basi atakuwa kasafiri nje ya nchi huyo..... Hebu nenda
kalete unga"
Aliongea dada yake Zahra huku akimtuma Zahra unga,.. Yaani
humo ndani unga umeisha hivyo atatakiwa kwenda kiwandani kununua unga... Zahra
alichukua pesa, kisha akapanda toyo kwenda kununua unga
Sasa
tukija huku kwa akina abedi na mahmud pamoja na Jeremiah,.. Waliokuwa wakifanya
kazi pamoja na kaka yake swalehe,... Ila swalehe yeye hapo kwenye hilo kundi
hayupo tena labda wakutane kwenye kazi
"brooo sasa hivi swai anapiga
ndefu"
Abedi alimwambia hasan ambaye ndio kaka yake swai
"eehh,
naskia sasa hivi yupo Moshi mwezi unaisha huu"
Aliongea hasan huku
wakiendelea kufanya kazi,...
"ila si anataka kuoa"
"wacha aoe,
si ana kwake bwana"
Aliongea hasan mana kaishi na ndugu yake miaka mingi
sana, hivyo wanajuana vizuri mno...
"ivi broo,... Tayari umevuta shemeji
au.."
"we shida yako nini kwani"
"amna... Mana sasa hivi
tumeshakua na vyumba vyetu.. Hivyo sio mbaya tuje kumjua shemeji"
"aaahh
badooo... Nilikuwa nataka kila mmoja wenu apate chumba chake... Sioi leo,..
Wacha nile maisha kwanza"
"ahahahahahaahahahah... Kwahio kumne hukua
ukitaka kuoa"
"ndio.. Nilitaka nanyi muwe na vyumba vyenu
sasa"
Aliongea kaka yake swai,.. Mana aliwatangazia kuwa anataka kuoa
hivyo kila kijana ajiweke sawa kuwa na chumba chake,... Kumbe haikuwa
kweli
Sasa tukija huku NMC Zahra akiwa ndio anashuka kwenye
bodaboda mana keshafika kiwandani,...
"shikamoo"
Zahra
alimsalimia mama aliokuwa anauza unga hapo dirishani
"marahaba...
Nikusaidie nini"
"mama nataka unga wa sembe... Kilo
25"
"ok...sawa......"
Mama alitoka ana kumwita kijana mmoja na
kumwambia
"hebu mtume kijana mmoja alete unga wa sembe kilo 25... Haraka
sana"
Aliongea mama huyo kisha akarudi kwa mteja ili apewe pesa, Zahra
alilipa pesa ya unga kisha akawa anasubiri.....
"haraka bwana wewe....
Mpelekee mteja pale"
Kijana huyo aliokuwa kabeba kiroba cha unga
kichwani, alikitua mbele ya mteja ambae ameambiwa ampelekee pale kwenye
bodaboda... Lakini sasa Zahra kuna sura aliiona kwa mbaali... Akamuuliza huyo
jamaa alioleta unga..
"Samahani kaka... Eti yule kaka aliobeba gunia la
mahindi anaitwa nani"
"yupi, yule mwenye sweta chafu
chafu"
"enhee yule yule..."
"yule anaitwa ayub"
"na ile
ndio kazi yake"
"kwanini unauliza sana dada"
Sasa Zahra akaona
kama vile yuko mbali sana,... Saa ngapi hajaingia ndani pale magari yanapo
shusha mizigo...
"we dada wewe.. Hakuruhusiwi mwanamke kuingia
huko"
"niache... Kama mume wangu yupo huku"
Zahra hakusikia,
alipita hapo getini na kwenda pale wa wabeba magunia, sasa leo ndio anamuona
ayub katika uhalisia wake....
"haaaaaaaaaaaaaaaa
Ayubu...."
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa
wanawake wamekua ni watu wa kudanganywa kila idara,.. Na yote hio ni sababu yao,
mana mwanaume akisema ukweli wa hali yake,.. Mwanamke ni ngumu kumsikiliza na
kumpa nafasi katika moyo wake,.. Ni kweli nyinyi wanawake mnavifanya hivyo,
hamuezi kutukubali pale tusemapo ukweli wa maisha yetu, hivyo tunalazimika
kuwadanganyeni ili tuwapate kimapenzi, na ndio ikawa hivyo mpaka uzao wa kesho,
wanawake mtabaki kudanganywa maisha yenu yote, mana mnapenda vitu kuliko mtu...
Na sisi wanaume tunalazimika na tutaendelea kulazimika kuwadanganyeni, kwasababu
hampatani na ukweli...
Zahra aliekuwa akijisifu kuwa na mpenzi
mwenye maendeleo, na pia aliwahi kumsema dada yake kuwa, pamoja na kuja kwake
mjini wa kwanza lakini hakuwahi kupata mwanaume tajiri kama yeye alivyo pata,..
Zahra alijisifu na kujiona mwenye bahati kwa kupata mwanaume mwenye maisha
mazuri, tena na zile nyodo zake ndio kabisaa kajiona wa pekee katika
dunia..
Ayubu kazi yake ni kubeba magunia kila kucheapo, ni
yeye na magunia... Yeye sio mtu wa kutembea na wasichana wazuri wale wa hiari..
Nikisema wa hiari namaanisha awe demu wake kabisa... Katika pita pita zake ayubu
alikutana na Zahra, lakini siku hio hakumsemesha.. Bali moyo wake ulimpenda na
hata kutamani kuishi nae kama mke na mume, na uwezo wa kumlisha anao... Lakini
katika kufuatilia akagundua kuwa Zahra anapenda wanaume wenye maendeleo, ndipo
ayubu Akaanza kujikoki kutoka kwa msimamizi wa kazi anazo fanya... Yaani yule
ambaye anawasimamia MAKULI (wabeba mizigo).. Ayub alikuwa tayari kufanya kazi
siku nzima kwa bure Ilimradi tu apewe gari la kumtekea Zahra, na ni kweli
alipewa na kuanza kumuwinda Zahra,... Mpaka Zahra akaingia kwenye laini akijua
amepata mwanaume mwenye hadhi anayo itaka, lakini kumbe sivyo
Ilifikia
mpaka zahanati akajiachia kwa Ayub na kumpa utamu wake,..
Baada
ya Ayub kupata utamu wa Zahra na kujua kuwa sio mwanamke wa kuendelea nae tena
mana anapenda makuu,.. Lakini kama angalikuwa hapendi makuu, basi Zahra
angeliolewa na Ayub.. Lakini Ayub kaona hapa hakuna mke wa kuoa,.. Sasa kuanzia
siku hio aliopewa utamu,.. Kabadilisha line na mazoea nae kaacha, japo kamaliza
hata hakiba yake kwa niaba ya Zahra amtafune tu.. Na Zahra akajiachia kwa
kujiona kapata na hapo hatoki
Siku ya leo Zahra anakwenda NMC
kununua unga... Lakini kwa mbaali aliweza kuiona sura ya ayub,.. Aliuliza jina
na kuambiwa, lakini haikutosha akaona ni bora aingie huko huko kwenye magari
yanapo pakia mizigo, na kumuona live bila chenga... Alitahamaki kwa kumuona ni
yeye ayubu
"haaaaaaaaaaaaaa.... Ayubu..."
Zahra
alitahamaki huku machozi yakimtoka... Mana haamini kama kweli huyo ni
ayubu
"nini wewe.... Unaniita unanijua"
Aliongea ayub huku
wabeba mizigo wakijaa hapo, mana ilikuwa ni kiwandani..
"ayub...
Niambie, hii ndio kazi yako au"
Aliongea hivyo kisha wabeba mizigo
wakacheka kweli, na ndio wakajua tayari mtoto wa kike kapigwa changa la
macho,..
"sikiliza we mwanamke... Kwanza nakuona malaya tu... Wanawake
wote wanaopenda pesa kwangu ni kama malaya tu mana bila pesa nisingempata, hivyo
kwa lugha nyepesi ni kwamba, mnajiuza... Sasa tufanye nilinunua
sawa"
Ayub Aliongea kwa nyodo mno,.. Mara yule msimamizi alikuja tena na
ile ile gari,.. Zahra anaona gari aliokuwa anaitumia ayub kila
walipoenda...
"ahsante sana.... Nashukuru"
"Zahra... Katika
maisha ukumbuke kuwa hata tajiri alikuwa masikini,.. Ninacho kushauri mimi kama
mteja wako... Kama kweli unataka kuolewa, acha tamaa ya pesa... Hata mimi
nilitamani sana kukuoa lakini nimeona sikuwezi kwasababu unapenda
vikubwa"
"sitaki kujua maneno yako mbwa wewe"
"mimi nikiwa mbwa,
basi na wewe utakuwa mbwa... Kwasababu mbwa hawezi kufanya mapenzi na binadamu,
lazima afanye na mbwa mwenzie... Hivyo karibu sana kwenye timu ya
mambwa"
Ayub aliongea maneno yaliozidi kumkera
Zahra
"ah ah, ayubu.. Kuna nini hapa mbona kuna
malumbano"
Aliongea huyo jamaa anaye wasimamia akina
ayubu...
"boss... Huyu ndio yule mwehu niliokuwa namtesekea... Yaani
huyu ndio aliokuwa anasababisha nafanya kazi bure ili unipe gari nikamteke
kimapenzi, na ni kweli kakubali nimekula mzigo
hahahahahahahaah"
"ayubuuu... Basi usimcheke...... Samahani dada,
unaweza kwenda, mana hapa ni katika mazingira ya kazi, haturuhu wanawake huku
ndani"
Aliongea jamaa huyo huku Zahra akiwa kanuna karibu kupasuka,...
Na hapo hakuwa na ujanja mana yupo kwenye eneo la watu tena wengi wao ni wahuni,
na hata ayub ni mhuni vilevile,...
"waambie na wenzako... Swala la
kuolewa sio swala la mchezo... Ni sawa na mwanafunzi wa kidato cha nne kukazana
ili aende kidacho tano"
Aliongea ayub huku jamaa
akiingilia
"ayubuuu.. Hebu fanya kazi bwana.. Alaaaa"
"amna
boss... Awa wanawake wanakera hawa... Sisi tunataka kuoa wanawake wazuri wenye
tabia njema tuyaanze maisha nasi tuwe matajiri, lakini wao hawataki kuanza.
Wataka kuvikuta tu.. Tajiri nani atakupenda kwa dhati kama hujatafuta nae...
Utakula pesa zake lakini ni kwa ajili ya kukutumia tu... Na ndio moja kati ya
matumizi ya pesa zake"
Aliongea ayub huku jamaa
akikasirika
"kwahio unaniambia mimi au"
"aaahh boss...
Nikuambieje wewe bwana..."
"sasa mtu keshaondoka maneno ya nini
sasa"
Sasa kwa nje huku Zahra alichukua unga wake na kupanda
bodaboda kisha huyo akaondoka zake huku akilia sana,... Alipofika nyumbani dada
yake alimshangaa sana kwanini anarudi huku akilia,...
"nini wewe,
umeanguka na bodaboda"
Aliuliza dada yake huku Zahra akiingia mpaka
ndani na kujitupa kitandani,.... Dada anazidi kuwa na wasiwasi juu ya kulia kwa
Zahra
"wewe, au kuna simu mbaya umepigiwa toka
kijijini"
Aliuliza fatuma huku Zahra akijibu kwa kutikisa kichwa, kuwa
hapana...
"sasa nini? Hebu amka uniambie vizuri"
Fatuma alikuwa
mkali juu ya mdogo wake, mana alikuwa hasemi na anaona aibu kusema kwa dada
yake
"dada... Samahani sana dada"
Aliongea Zahra huku akizidi
kulia
"kuna nini lakini"
"ayubuuu"
"ayubu kafanya
nini"
Dada anataka kujua huyo ayubu kafanya nini
"dada... Kumbe
ayubu ni mbeba mizigo kwenye viwanda huko"
Aliongea Zahra... Mara dada
yake akaanza kucheka ile mbaya...
"hehehehehehehehehe halooOOO... Mama
wewe, umelivamia jiji mama.. Na mimi nilishawahi kukuambia haya mambo ya wanaume
yaache,.. Haya umemuona wapi huyo ayubu wako ambae ni tajiri"
"tajiri
wapi dada Na wakati anafanya kazi za kibega, tena alikuwa anafanya kazi bure ili
apewe gari aje anidanganye nalo"
"heheheheheheheheeh heeeeeee... Mdogo
wangu... Ila mimi naamini kila mtu anajifunza kutokana na makosa,.. Nimekwambia
mimi mdogo wangu tuliza tako lako hapa.. Anaekupenda atakuona tu.. Haya ona sasa
wamejua wewe ni mpenda vya juu... Angalia yaliokukuta"
Fatuma alikuwa
akijiskia raha kwasababu alishawa kumwambia ndugu yake
"lakini
dada..."
"hakuna cha lakini, hapo tayari umelikosea, lianze upya
mama.... Hebju niangalie mimi dada yako, kama ningelikuwa napenda pesa kwa
shemeji yako.. Mpaka sasa tusingelikuwa hapa... Mimi nimeanza na shemeji yako
akiwa ni mpiga debe pale stendi, na kanificha kazi yake lakini hata nilipokuja
kujua... Sikushtuka na wala sikuwaza kumuacha... Kwasababu najua uwezo wa
kunilisha anao... Nimekaa naeeee... Mpaka leo ni dereva wa magari makubwa ndio
huyo anasafiri kwenda nje za nchi... Sasa hivi tuna kiwanja chetu,.. Akirudi tu,
tunakwenda kujenga... Haya niambie, sasa nimtake tajiri wa kazi gani, aje
anitese na pesa zake kisa nini.... Mdogo wangu.. Ukipata mwanaume ambae kila
siku ana uhakika wa kukuacha hata elfu mbili.. Shikilia mfanye maisha na mtafute
zenu... Achana na watu wenye pesa zao.. Sawa tajiri atakupendea tako lako hili..
Lakini kesho atakutana na mwenye sura kuliko wewe,... Atataka kumuoa au hata
kumtumia kwa starehe.. Je hujaja kupewa maradhi wewe??... Zahra Mdogo wangu...
Matajiri wanapendwa na wengi, usione ni wewe tu unampenda mwenye pesa... Nyie
mpo kama mia hivi mnampenda tajiri mmoja... Sasa jiulize kati ya hao mia atamuoa
nani... Kua makini Zahra.. Nina imanji utajifunza kwa hili... Karibu tena kwenye
ulimwengu wa maisha, mana umesha yakosea, hivyo uanze upya mdogo
wangu"
Fatuma Aliongea kwa kirefu kama kumshauri na kumponda
mdogo wake ili jambo hilo lisijirudie tena... Wakati huo Zahra ni wa kulia tu
hana cha kumjibu dada yake kwasababu alisha mpa taarifa juu ya wanaume wa
mjini...
Sasa tukijua huku Moshi,... Swai akiwa kazini,... Tena
alikuwa akipiga kazi kwa bidii kubwa,
"aisee... Tupigeni chapu....
Arusha kuna jengo jipya tumeitwa"
Aliongea fundi huku wakiwa wanamalizia
ili kesho warudi mjini
"acha utani fundi.... Ina maana tunapiga kazi za
bandika bandua"
"kama kawa swai.... Sasa ni mwendo wa kazi
tu"
Aliongea fundi wakati huo swai kashika ndoo ya randi huku akipakalia
ukutani,...
"ebwana eeeehh tushindwe kuendelea wenyewe tu
sasa"
Aliongea Swalehe kana kwamba ana machungu na maisha
yake,....
"na huyo demu wako unaye msemea, kuendelea ni ngumu....
Wanawake wasiojielewa ni chanzo cha kuto endelea ndani ya
nyumba"
"aaahhh usiseme hivyo fundi... Je na wale wanaume walio na
starehe, na tuwaweke kundi gani"
Aliongea Swalehe huku fundi
akimjibu
"usiseme wanaume walio na starehe.. Sema je kaka yangu Hassan
tumueke kundi gani.... We unamuona kaka yako alivyo... Kaja mjini lini.. Pale
alipo na umri ule hana hata mke.. Tena mimi nikajua nawe utamfuata kaka yako...
Ila nimekuona wa maana sana kwakua unazungumzia ishu ya kuoa"
Aliongea
fundi jafe, huku mafundi wote wakichangia mada hio...
BAADA YA
SIKU MBILI KUPITA
Zahra akiwa nje kibarazani kwao, akiwa
anakuna nazi... Mara Swalehe kaingia na ndio anarudi Moshi, wakati huo alikuwa
kachoka mno.. Zahra alishtuka kwa kumuona swai, mana ni mwezi toka asafiri moshi
kikazi,...
"swai, Mambozako"
Heeeee Swalehe alishangaa leo Zahra
kamsalimia, wakati yeye anamsalimiaga lakini haitikii.. Leo aliona ni siku njema
kwake
"poa"
Lakini Swalehe kwa kuchoka aliitikia ti na kuingia
ndani, mana anataka kwenda kuoga kisha aandae mambo ya maakuli... Zahra alianza
kujipendekeza kwa swai,... Mana ushauri aliopewa na ayub, pamoja na dada yake,
aliona swai anafaa.... Swai kachukua maji yake kisha kaingia
bafuni.
"mbona kaitikia mara moja tu.. Au hana mzuka na mimi tena
nini"
Zahra alijiuliza katika moyo wake, mana kaitikiwa mara
moja....
Swai alitoka bafuni ikiwa ni nyakati za jioni saa 12
na nusu za jioni... Hata.. Zahra kamaliza kukuna nazi lakini bado kakaa pale nje
akisubiri swai amchangamkie kama mwanzo, lakini swai kapita kama hamuoni vile..
Mara mama Mwajuma huyo
"haaaaaa swai, umerudi linki babaa"
mama
mwaju alitamani hata kumkumbatia swai lakini akaogopa mana Zahra alikuwepo nje,
sasa na yeye ni mke wa mtu, hivyo akionekana watu wataanza kumchulia
tofuati
"Nimerudi leo mama, Shikamoo"
Alijibu swai huku
akimsalimia, na katika vitu mama mwaju havipendi ni kuitwa mama na kusalimiwa
shikamoo, lakini hapo kwakua Zahra alikuwepo japo alikuwa upande wa kwao, hivyo
mama Mwajuma aliitikia
"marahaba mwanangu za huko"
"aahh salama
tu"
"pole na majukumu mwanangu"
"Ahsante sana mama"
Mama
mwaju anakasirika sana kuskia anaitwa mama.... Zahra aliingia zake ndani lakini
mama mwaju akamkimbilia swai na kumwambia,
"boy... Leo usipike
nitakuletea chakula sawa"
Aliongea mama Mwajuma huku swai akiona
Afadhali ata mana alichoka hata kupika asingeweza,.. Mana kachoka
mno...
"sawa mama... Nitashukuru sana"
"afu hio mama siitaki
bwana... Niite jina langu tu... Au kisa nina watoto"
"we mkubwa wangu
lakini mama mwaju"
"haijalishi"
Swalehe aliingia zake ndani mana
alitamani kwenda kumpumzika
Ilipofika saa tatu za usiku,...
Mara umeme ukakatika,... Zahra alitoka ndani kwao na kwenda kwenye mita ya umeme
wakati sio kazi yake kuangalia... Aligundua luku ilikuwa umeishia,.. Sasa
alichokifanya Zahra ni kumfuata yule jamaa ambae anachangisha hela ya
umeme...
"hodi"
"karibu"
Zahra alikaribishwa na mke wa
Januari
"shkamoo dada"
"marahaba zaru
hujambo"
"sijambo... Dada nimemkuta shem Januari"
"ndio yupo..
Karibu ukae"
"hapana dada... Nilikuwa nataka kuingea nae"
"sawa
kaa hapo nimuamshe"
Basi Zahra alikaa hapo kwenye sofa akimsubiri
Januari
"haaaa, mbona huwashi taa"
Januari aliuliza mana alikuwa
kalala hivyo hana taarifa za kukatika kwa umeme"
"umeme umekata, sijui
ni luku"
Aliongea mke wa Januari huku Zahra akidakia
"shem
Januari shkamoo"
"marahaba... Aahh Zahra, karibu"
"Ahsante....
Aaahh shem... Nimegundua luku imeisha... Sasa nilikuwa nakuomba nikusaidie
kukusanya pesa ya umeme"
Aliongea Zahra, mana huyu Januari ndie mwenye
nafasi ya kukusanya pesa ya umeme kwa wapangaji wote, sasa leo Zahra anataka
kumsaidia...
"ooohhh kumbe luku
imekwisha...."
"ndio"
"aahhhh sasa wapangaji wenyewe wakorofi,
haswa wale wahuni wa vile vyumba viwili vile... Mi naona hutoweza Zahra.. Wacha
nikakusanye tu"
"hapana... Shem... Wewe pumzika tuu.. Na ndio mana
sikutaka kukisanya mpaka nikutaarifu... Wacha nikusaidie"
Wakati mke wa
Januari ameanza kuwa na wivu, mana haiwezekani huyu mtoto wa kike aje saa tatu
hio na kutaka kumsaidia mume wake kukusanya pesa ya umeme... Wivu ukamjaa mana
Zahra ni mtoto mkali kinoma yaani shombe shombe wale
"mmmhh sawa,
jaribu... Ila ukiwashindwa wale wawili, niite... Afu kuna kile chumba cha yule
kijana yule mpangaji mgeni... Yule kabla hujaenda angalia pale nje kwake kuna
mita ndogo itakuonyesha katumia umeme kiasi gani... Mara ya mwisho palikuwa na
yuniti nne... Sasa ukikuta zimezidi, basi mdai zilizo zidi.. Lakini ukikuta ni
nne hizo hizo acha"
Aliongea Januari huku Zahra akiitikia
"sawa
shem"
Zahra alitoka, lakini sasa cha ajabu chumba cha kwanza kwenda
kudai umeme ni chumba cha swai,,.. Sasa kitu cha kwanza akamulika na tochi
kwenye ile mita ya swai... Lakini cha ajabu kweli kakuta kuna yuniti nne zile
zile,.. Ukumbuke swai alikuwa hayupo, hivyo alilipia hizo nne kisha akaondoka,
kwahio ni hizo hizo nne, hazija ongezeka, mana alikuwa hayupo... Zahra alikata
tamaaa... Sasa kumbe kuomba kote huko ni ili aingie mpaka ndani kwa swai,
akamdai umeme na kumchombeza chombeza huko huko... Lakini sasa kakuta ndio
kwanza hazija ongezeka, maana yake hatakiwi kudaiwa umeme.... Zahra alirudi
kwanza kwenye chumba chao... Wakati huo ana hasira kweli, mana hako kagiza ndio
anataka kukatumia
"potelea mbali... Hata kama hadaiwi nitakwenda kumdai
tu"
Aliongea Zahra, sasa kama vile anaanza kulazimisha mapenzi kwa
swai...
"alisha sema anataka kuoa... Nimemkubalia lile ombi
lake"
Aliongea Zahra katika moyo wake na wakati huo anabadilisha nguo
na kuvaa kanga moja na chupi tu...
"wewe, mbona unabadili nguo... Ina
maana wataka kulala hivyo"
Fatuma alimuuliza mdogo wake
"hapana
dada... Nataka kwenda kuoga, naskia joto"
"mmmhh si umeoga muda ule
wewe"
"joto dada"
"mmmhh haya bwana"
Zahra alimaliza
kuvaa kisha akatoka sasa nje,... Na chumba cha swai kipo katikati, na sheria ya
kudai umeme au maji, lazima uanze mwanzo mpaka mwisho, lakini Zahra anaanzia
katikati kwenye chumba cha Swalehe.... Zahra akapumua kwa nguvu kisha akaanza
kukinyookea chumba cha Swalehe, na wakati huo kuna giza nene, mana kila mmoja
kawasha kibatari chake au sola yake ndani kwake.. Sasa kwa nje kuna
giza
Zahra alijiangalia tako lake, kisha akajitikisa... Akaona kanga
inateleza haigandi kwenye tako.. Zahra alikwenda kwenye bomba la maji na
kujimwagia maji kwa juma... Ile kanga ikashika mpaka chupi
ikaonekana...
"lazima adate... Tena alivyo mpenzi wa chupi chupi...
Mbona atanibaka leo"
Aliongea Zahra huku akiuelekea malengo wa
Swalehe... Sasa ile anafika tu, ghafla na mama mwajuma huyo, wakakutana
mlangoni,.. Mama Mwajuma kashika hotpot la chakula... Na Zahra nae kashika elfu
tano kama vile keshaanza kukusanya hela ya umeme
"wewe mtoto wa kike...
Haya Usiku huu kwenye chumba cha mvulana na giza lote hili,
kulikoni?"
Mama Mwajuma alimuuliza Zahra,.. Na Zahra nae
akamjibu...
"na wewe kulikoni mke wa mtu, usiku huu kwenye chumba cha
mvulana mdogo umefuata
nini?"
Mama Mwajuma akiwa
ndani kwake anapakuwa wali,.. Tena kwa makusudi leo kapika wali kuku rost,
kaweka chakula kwenye hotpot, kisha akachukua mapaja yote ya kuku na kuyaweka
kwenye hotpot lingine,.. Yaani anapelekewa utafikiri ndio baba mwenye nyumba,
kumbe ni bwege bwege fulani hivi asiependa makuu.... Baada ya kumaliza kupakuwa
alivua nguo zake zote,.. Mpaka chupi... Kisha akavaa chupi nyingine safii mana
hapo anatoka kuoga muda sio mrefu,.. Sasa kavaa hio nyingine kisha akachukua
kanga nyepesiiiii, akatupia kwa juu... Maashalah, na vile mama Mwajuma ana
mtako, mana sio tako, ni mtako haswa... Yaani hata kama mwanaume ni shoga lazima
uume usimame kwa jinsi wowowo la mama Mwajuma linavyo tetemeka,..
"we
hadija, laleni haraka sana... Si mumesha kula nyie"
Asha au mama mwajuma
aliwafokea watoto wake wawili, mmoja ana miaka 10, na mwingine ana miaka
mitano,... Na watoto hawa wanalala kitanda kimoja kilichopo hapo sebuleni, mana
ni vyumba viwili, na watoto wanalala kwenye kitanda aina ya dabodeka, hivyo mama
analala mwenyewe kwakua hana mume, ila ni mwanamke mfanya biashara, sema bado
hajafanikiwa kujenga... Hao watoto ni HADIJA miaka 10 na SAUNA miaka mitano...
Mwajuma mwenye miaka 16 yeye anasoma shule za bweni, hivyo kurudi hapo ni mpaka
likizo...
"sawa mama"
Hadija aliitikia kisha wakapanda kitandani
na kulala,... Hapo mama akaridhika na kubeba mahotpot yake kisha
akatoka....
Wakati huo Swalehe yupo ndani kwake anachati huku
anasikiliza mziki, mana umeme umekatika lakini simu yake ina chaji ya kutosha
tu, na hapo ndani kwake kuna taa za sola,.. Kana kwamba kuna mwanga kama vile
umeme,...
Sasa huku nje mama Mwajuma na Zahra wamekutana
mlangoni..
"wewe mtoto wa kike... Haya Usiku huu kwenye chumba cha
mvulana na giza lote hili, kulikoni?"
Mama Mwajuma alimuuliza Zahra,..
Na Zahra nae akamjibu...
"na wewe kulikoni mke wa mtu, usiku huu kwenye
chumba cha mvulana mdogo umefuata nini?"
Aliongea Zahra huku
mama Mwajuma akaanza kukasirika na kuona haina haja ya kugombana na huyo mtoto
wa kike...
"mimi huoni nampelekea kijana wangu chakula"
Mama
Mwajuma alijitetea kwa staili hio, na ni kweli kabeba mahotpot ya chakula, hivyo
Zahra aliamini ni kweli kabisa...
"na mimi nakwenda kudai pesa ya umeme,
si unaona nimeanza na elfu tano ya kwetu hii"
Aliongea Zahra huku mama
Mwajuma akiamini ni kweli,.. kwahio kila mmoja akaamini kile alicho kisema
mwenzie,... Kumbe wote lao ni moja lakini hawajui,.. Sasa mama Mwajuma yeye
anajua ishu yake sio ya kitoto itachukua muda, hivyo akamuacha kwanza Zahra
aingie...
"sawa, afu ukitoka basi uje na kwangu
uchukue"
Aliongea mama Mwajuma huku akirudi na chakula chake, na Zahra
na haraka zake wala hakumfuatilia mama Mwajuma... Zahra kagonga mlango kisha
swai akafungua...
"nani wewe"
Alimuuliza kwasababu hakumuona
kutokana na giza...
"ni mimi Zahra"
"enhee una shida gani saa
hizi na giza lote hili"
Aliuliza swai huku Zahra akijing'ata ng'ata
lipsi zake japo swai haoi kwa giza..
"nimekuja kudai hela ya
umeme"
Aliongea Zahra kisha swai akamuuliza, wakiwa wamesimama
hivyohivyo hapo mlangoni, kana kwamba swai yupo kwa ndani na Zahra yupo kwa
nje...
"umeangalia hapo zimetumika ngapi"
"ndio.. Numeona mbili
tu"
Alijibu Zahra na swai yeye hua hakumbuki kua aliondoka lini na mita
yake aliiacha vipi... Sasa swai akaachia mlango na kuelekea mezani kwake ambako
kuna pesa zake, lkini alipo achia tu mlango, Zahra kaingia ndani...... Heeeee
Zahra haamini kuona vitu vya bei ghali, akiangalia hicho kitanda ndio anachoka
kabisa.. Hata yeye mwenyewe hakuwahi kuota kukilalia kitanda kama hicho,... Meza
ya kioo, ka TV kake kapo ukutani, chini zulia, jiko anatumia gesi, tena ile
kubwa...
Sasa swai ile kugeuka anashangaa mtu yupo ndani... Hakutaka
kuongea
"haya shika"
Swai alitoa elfu moja ya umeme ambao
katumia
"mbona ni elfu moja tu"
"kwani yuniti Za umeme ni
shilingi ngapi"
"sasa ndio unatoa elfu moja jamani swai"
Zahra
Aliongea kwa upole, mara akakaa kitandani,...
"numetoa pesa ya kiasi
changu..."
Aliongea swai huku kama akimtaka aondoke
zake...
"sasa swai??..."
"nini"
"nije tupige pige
stori"
Aliongea Zahra mana mwanamke kumtongoza mwanaume ni ngumu.. Ila
anaweza kusababisha atongozwe, sasa ndio anaanza kutafuta njia ya kuja kupiga
stori na swai...
"hapana, nahitaji kulala"
Aliongea swai huku
akiuendea mlango kana kwamba anataka kufunga, maana yake Zahra atoke ili
afunge
"sasa ulale wakati hujala swai jamani"
"nimesha
kula"
"sasa mama Mwajuma mbona alikuwa analeta chakula"
"ndio...
Na ndio nakisubiri nile"
"kwaio sasa, lini tutapiga piga stori tukiwa
wawili tu"
"Kiukweli sijui... Afu naomba ukakusanye pesa, mana nataka
kufunga mlango mbu zinaingia"
Aliongea swai huku kweli akitaka kufunga
mlango lakini ni mpaka Zahra atoke
"funga tu"
"Zahra, nahitaji
kupumzika mimi.. Sawa... Toka nje"
Swalehe kamtolea uvuvi, yaani hataki
mazoea,.. Huezi amini Zahra kaduaa tu, mtu aliokuwa akimpenda mpaka kumtaamkia
swala la kuoa... Leo anamfukuza kwake... Zahra kwa hasira alitupa ile pesa yake,
kisha akaondoka kwa hasira kali... Hata kudai umeme hajaendelea
tena..
"wewe zaru una nini"
Fatuma au mama Saidi ambae
ni dada yake na Zahra, alimuuliza mdogo wake baada ya kumwona anarudi huku
akilia...
"niache nilale dada"
Aliongea zaru huku dada yake
akizidi kumuuliza
"niambie sasa hivi"
"dada.. Hivi mimi nina
mkosi gani kwenye mapenzi.... Mtu aliokuwa ananipenda kwa dhati, leo ananiona
kama mavi"
Aliongea Zahra huku akilala kwa hasira
"mbona
sikuelewi zaru mdogo wangu"
"dada... Alikuwa ananipenda sana... Mimi
nilijua hilo.. Ila ayub ndio alinichanganya... Alinitaamkia mpaka kutaka
kunioa... Leo hataki hata kuniona"
Aliongea Zahra huku akilia mno tena
kwa hasira...
"nani sasa"
"niache dada... Niache, mimi nina
mkosi.... Ila najua udhaifu wake, nitampata tu kwa njia yeyote
ile"
Aliongea Zahra huku Dada yake akimjibu kuwa....
"ila Zahra
usipotulia mdogo wangu... Utakitembeza hichoooo Mpaka kitaoza.... Kua makini
mama huku ni mjini... Ukisikia masikini anataka kukuoa, mama shikilia... Mana
hata upate tajiri atakutaamkia tu lakini hakuoi ng'ooo... Kwahio kuwa makini
ndugu yangu"
Aliongea fatuma huku akimfunika mtoto wake aliokuwa
kalala,.. Fatuma nae kapangisha dabo rumu,.. Hivyo mtoto wake ana kitanda chake
kama cha futi tatu kwa sita,.. Na analala hapo sebuleni ila kamtengea vizuri
tu..... Zahra hata kula hakutaka kula... Kalala zake na
njaa
Wakati huo swai kachukua shuka lake na kujifunika kana
kwamba anataka kulala,... Na wakati huo alikuwa akijisemea kuwa
"mama
muongo huyu.. Kasema analeta chakula kumbe wapi... Duu, acha nilale njaa kwa leo
tu"
Alijisemea katika moyo wake huku akivuta
shuka...
"ngo, ngo, ngo"
Mlango wa swai uligongwa.. Na
wakati huo ni saa nne usiku, na umeme haujawekwa, mana alietakiwa kudai umeme
kasusa na kuacha kudai kwasababu hakuwa na nia ya kudai umeme, bali alitaka tu
kuingia ndani kwa Swalehe
"nani"
Swalehe aliuliza kwa sauti ya
juu... Kisha mama Mwajuma akajibu kwa sauti ya chini ili asisikiwe na wapangaji
wengine, mana alikuwa kwa nje.
"ni mimi mama mwaju"
Aliongea kwa
sauti ya mnong'ono katika tundu la funguo, uzuri ni kwamba swai alisikia na
kuamka...
Mama mwaju haamini kama kuingia kwa mara nyingine
tena,...
"nikajua umejisahau"
Aliongea Swalehe huku mama mwaju
akiweka chakula mezani na kukifunua.... Aaahhh swai haamini, wali wa nyama ya
kuku, tena mapaja ya jogoo kaletewa yeye...
"hapana siwezi kujisahau
mpenzi wangu"
Mama Mwajuma aliongea hayo maneno, Swalehe
akashtuka
"ati nini"
"swai... Wewe sio mtoto... Hata mimi
najielewa kuwa wewe ni mdogo kwangu, lakini ndio nshakupenda mama
ako"
Wamama wasiotaka kujivunga kama wasichana,.. Umeona Zahra kaingia
hapo na uzuri wake wote lakini hakusema lolote juu ya kumpenda swai, lakini mama
Mwajuma kaja na kasema ukweli wa moyo wake...
"we mama Mwajuma.. Hivi
unaongelea swala gani"
Aliuliza Swalehe huku mama Mwajuma akimkatisha na
kusema
"hebu kula kwanza.. Acha presha zako"
Aliongea mama
mwaju, huku swai akianza kula... Mara mama mwaju, alinawa mikono kisha akachukua
paja la kuku na kutaka kumlisha...
"mama mwaju unafanya
nini"
"swai, hebu tulia... Wewe si unasema mimi ni mama yako.. Haya acha
nimlishe mwanangu"
Wamama wanaojali vijana, na ndio mana sasa vijana
wanakimbilia kwa wamama kama hawa...
"lakin ma.."
"hakuna cha
lakini buanaaa"
Mama Mwajuma ana deka mbelw ya swai, sasa katika ile
hali ya kumlisha mara ile kanga ikaachia, lakini mama Mwajuma wala hakuhangaika
nayo, mpaka ikadondoka chini kabisa... Akabaki na chupi ya bluu, shanga zilizo
zunguka kiuno chake...
"mama mwaju kanga inado..."
"achana
nayo..."
Sasa swai yeye na nguo za kike ni paka na panya,.. Yaani akiona
chuoi za kike basi hisia za mapenzi zinapanda kwa haraka
sana....
"lakini upo uchi mama mwa"
"acha kelele usiku huu watu
wamelala... Hebu kula ulipie chakula
changu"
Swalehe katika maisha yake
alikuwa hana tamaa na wanawake, yeye pesa yake alikuwa akijiwekea miaka yote hi
na mpaka sasa ni hivyo,. Kwa ujumla maisha ya Swalehe hayajui mwanamke hata
kidogo kwani hakuwa akiendekeza wanawake
Mama Mwajuma ni mama
wa watoto watatu wakike wote,... Na mama Mwajuma alisha achana na mume wake
miaka kadhaa iliyopita, hivyo dada yake ambaye ni mama mwenye nyumba alimpa
mdogo wake sehemu ya kuishi bure, yaani alimpa dabo rumu katika nyumba hio hio
ya kupanga kwasababu aliachana na mume wake,... Na kwakua alikuwa na biashara
yake ya duka la nguo hivyo liliweza kumlisha yeye na watoto wake na mpaka sasa
bado anaendelea na maisha yake ya kipeke yake pake yake..... Kwa muda mrefu
aliokaa bila kuwa na mume alijikuta akimpenda mpangaji mpya ambae ni Swalehe,...
Kama unavyojua mama zetu nao siku hizi hawapendi wazee wenzao bali wanapenda
watoto wao... Mama Mwajuma ana umri wa miaka 38, na ukimuangalia utafikiri ni
miaka 25, mana ni mwanamke anaejipenda na pia kajaaliwa maungo katika mwili
wake,... Tako analo, sura anayo, hipsi ndio usiseme... Kwa bahati nzuri
kajaaliwa kifua kidogo kidogo, na rangi yake ni maji ya kunde
hivi...
Katika maadili ya kawaida, mama mtu mzima kumpenda
kijana mdogo, kwa sasa sio jambo la kushangaza, ila mtoto wa kiume pia ni lazima
kuonyesha msimamo wake akiwa kama mtoto kwake,... Lakini kwa vile wamama walivyo
na ushawishi mkubwa, hua hawaambulii patupu,
"lakini upo uchi
mama mwa"
"acha kelele usiku huu watu wamelala... Hebu kula ulipie
chakula changu"
Aliongea mama Mwajuma huku Swalehe akishtuka kwa kuskia
kula ulipie chakula changu,...
"nilipie??... Basi kama kuna
kulipia"
Swalehe aliacha kula huku akisogeza lile hotpot la chakula
pembeni, wakati huo mama mwaju ana uchupi tu basi, mishanga imezagaa kiunoni na
kumfanya Swalehe kupatwa na ham mana keshamzoea kwakua sio mara ya kwanza
kukaliwa uchi na mama mwajuma,...
"sio kulipia kwa
hela...."
Aliongea mama mwaju huku Swalehe akiuliza
"nalipia
nini"
Aliuliza Swalehe huku mama mwaju akishika zakaria ya Swalehe
akimaanisha alipwe zakaria hio...
"lakini wewe ni mkubwa kwangu mama
mwaju.. Siwezi"
"swai... Mimi sipendi msimamo wako huo ni wakijinga
mno"
"kweli siwezi mama mwaju"
Aliongea swai huku akitaka
kulala,... Mama mwaju alimvuta swai na kumpakata kabisa, japo swai alikuwa
hataki, lakini ule mgusano wa matiti ya mama mwaju na kukaa juu ya mapaja yake,
alijikuta akilainika kama mwanamke,... Mama mwaju akampelekea swai mdomo,.. Swai
akakubali kunyonya denda,... Mama mwaju kuona hivyo akaanza kushusha bukta ya
swai...
"no, no, no,... Sitaki... Sitaki"
Aliongea swai huku
akiamka na kupandisha bukta yake...
"nini sasa swai mpenzi
wangu"
"nilisha apa... Chumba changu sitaki nikifanyie ngono na mtu asie
mke wangu..."
Aliongea Swalehe huku mama mwaju akichoka na
kulegea
"acha ujinga swai... Sasa maana ya geto ni nini"
"hili
sio geto... Geto linakaa vijana wahuni au hata sio wahuni lakini ni vijana ambao
hawaja oa... Na mimi nataraji kuoa, hivyo hapa ni nyumbani ila sio geto...
Utanisamehe mama.. Niache nilale"
Swai aliweka msimamo wa chumba chake,
hataki kukifanyia mapenzi hata kidogo...
"ok... Kuliko nikukose.. Ngoja
nikaangalie watoto wangu kama wamelala... Uje,.. Nipe namba yako, nitakubipu
uje"
Aliongea mama mwaju huku akichukua namba ya swai na kuondoka na
vyombo vyake,... Mama ana hamu mpaka kwenye koooo
Wakati huo
swai katulia ndani kwake akisubiri simu ambayo atapiga mama mwaju, mana swai nae
na hamu hamu zake katamani kwenda kulala na mama mwaju, mana kaja kujichengesha
mwenyewe chumbani kwake,... Ghafla simu ya swai inaita, kuangalia, ilikuwa ni
namba ngeni kabisa,... Aliipokea kisha akaiweka sikioni
"njoo,... Ila
angalia kama kuna mtu nje wasijue"
Aliongea mama mwaju, kana kwamba
ndiole yeye alie piga simu hio na kumtaka swai aweze kwenda katika chumba cha
asha,.... Swai alifunga chumba chake vizuri huku akiangalia pembezoni kama vile
mtu anaetaka kuiba kitu,... Aligundua hakuna mtu alie muona, aliingia mpaka
ndani kwa asha,.. Wakati huo asha kajitanua kama mtoto mbichi, kumbe ni mama mtu
mzima....
"swai... Tusiongee kwa sauti sana... Watoto wangu wamelala
pale"
Aliongea mama hadija, au mama mwaju, ukipenda muite
asha,...
"sawa"
Alijibu swai huku asha akitaka kuvua jichupi
lake jepesiiii, liliomfanya swai kusisimka kwa haraka...
"usivue
kwanza"
Aliongea swai.. Huku mama kweli akiacha kuvua.... Mama na mtoto
wakabinuana mpaka kitandani ambako ndiko uwanja mkuu wa mapenzi.... Swai alianza
kula sahani moja na shanga za asha,... Mpaka alihakikisha ile chupi imeloa kwa
chini...
Kesho yake asubuhi,.. Swai akiwa nyumbani, mana leo
hakwenda kwa uchovu wa safari ya jana, sasa akiwa yupo hapo nje anachati chati,
ghafla simu yake inaita...
Kuangalia, alikuwa ni mama yake mzazi aliopo
kijijini kwao
"hallo mama shikamoo mama angu"
Swai alimsalimia
mama yake, aliokwenda kwa jina la WAHIDA
"marahaba mwanangu
hujambo"
"sijambo mama sijui nyinyi huko"
"huku hatujambo
baba... Ni baba yako anaumwa umwa hivi... Si unajua ugonjwa wake umemrudia
tena"
"aaayaaaa.... Poleni sana mama angu.. Vipi sasa kwa sasa
anaendeleaje"
"hajambo... Ila kuna hela ya hospitali tunadaiwa... Sasa
kuliko tuuze mifugo, bora tuwajulishe watoto wetu, kama kipo chochote
mtutumie... Tulikuwa na hakiba zetu, nikajua itasaidia lakini
imeisha"
Aliongea mama yake Hassan ambaye ndio mama yake
swalehe
"oke, ni sawa na vipi kuhusu kaka umemtaarifu swala
hili"
"ndio, mwanangu,... Nimempa taarifa ila kasema hayuko vizuri,...
Afu kaniamba wewe umehama nyumbani kwake ni kweli"
Mama yake Swalehe
alikuwa hajui kama Swalehe kesha hama kwa kaka yake, na sasa ni mwezi wa pili
toka kuhama kwa Swalehe..
"ndio mama nilisha hama, nina mwezi wa pili
sasa"
"basi ni vizuri, na pia kuacha hili swala la kuumwa kwa baba yako,
pia niliposikia kuwa una chumba chako.. Naona sasa nikutafutie mke mwanangu...
Uoe sasa"
Mama Swalehe aliongea hayo huku Swalehe akishtuka kwa kuskia
hivyo..
"mama? ni kweli ni wakati wangu wa kuoa.. Na nataka kweli kuoa
hata sasa hivi mama angu... Lakini huu sio wakati wa kuchagulia wake mama... Na
kama unavyojua wanawake wa sasa hivi, hakuna mwanamke wa kuoa.. Nikimaanisha
wanawake wengi wanataka wanaume wenye maendeleo mama yangu"
Aliongea
Swalehe kwa kumwambia mama yake, sasa kumbe Zahra kasikia hayo maneno, saa ngapi
hajaja na kusema
"swai usimwambie mama mkwe hivyo.... Ina maana mimi sio
mwanamke"
Heeee Swalehe alishangaa kumskia Zahra akiongea maneno
hayo,...
"Zahra, naomba ukae kimya.. Tutagombana sasa
hivi"
Aliongea Swalehe na wakati huo simu bado ipo
hewani...
"lakini swai, ni kosa gani nimekufanyia mimi.... Usimwambie
mama kuwa hakuna wanawake,.. Ina maana mimi ni mbuzi"
Aliongea Zahra
huku mama yake Swalehe akisema
"mwangu, mbona naskia sauti ya kike
hapo... Ina maana unaishi na mwanamke"
Aliuliza mama yake swai huku swai
akimjibu
"hapana mama.. Siwezi kufanya hivyo.. Ni jirani
tu"
"sasa mbona naskia anasema mama mkwe sjui yeye sio mbuzi.. Kuna nini
kinaendelea hapo"
"mama... Hakuna lolote mama angu"
"ok.. Hebu
nitumie basi hio pesa, tukalipe hospitali, mana baba yako bado hajatoka
kule"
"sawa mama... Ni kiasi gani"
"ni laki mbili
mwanangu"
"duuuu mama laki mbili nyingi sana.. Ila nitajitahidi kituma
laki na nusu"
Aliongea Swalehe lakini mara Zahra
kadakia....
"mama Usijali mimi nitakutumia yote mama
mkwe"
Aliongea Zahra tena kwa kuisogelea simu ya swai...
"Zahra
una nini lakini... Kwenda uko"
Swalehe alikasirika sana huku
akinyanyuka
"swai mwanangu.... Kumbe una mwanamke hutaki kuniambia, hebu
nipe niongee nae... Mtoto mjinga sana wewe, umepata mwanamke hutaki
kututambulisha... Mpe haraka niongee nae"
Heeeee mama yake swai kawa
mkali, mana nia ni kumtafutia swai mke, sasa kama keshampata basi, ni bora
waowane tu....
"mama, sio msichana wangu mama, ni jirani tu mama
angu"
"nipe nimuulize kama ni kweli... Tena mtoto wa watu ana jina
zuri.. Hebu mpe simu"
Mama alizidi kutaka kuongea na
Zahra,...
"mama, mimi sikai nae"
"swaiiiii... Unabishana na
mimi"
Mama yake swai kapagawa kuskia kaitwa mama mkwe, afu mbaya zaidi
kasikia atatumiwa hio laki mbili na huyo msichana.... Swai hakuwa na jinsi
alimpa simu lakini wakati huo ana hasira kweli yani... Afu kaiweka laudi
spika
"halo mama mkwe, shkamoo"
Zahra alimsalimia mama
yake swai
"marahaba binti yangu hujambo"
"sijambo mama.. Za
huko"
"nzuri tu... Eti unaitwa nani"
"naitwa
Zahra"
"ooohh jina zuri sana... Unampenda mtoto wangu au... Mana nyie
wasichana wa siku hizi siwapendi kweli yani"
"mama.. Nampenda swai,
nataka anioe"
Mara swai akaingilia juu kwa juu
"we Zahra vipi
wewe... Acha ujinga bwana mimi sina mahusiano na wewe"
Aliongea swai
lakini Zahra hasikii
"waoooo basi mwanangu... Mana nilitaka kumtafutia
jiko huku.. Sasa hasemi kuwa kapata.. Mtoto mjinga sana
huyu..."
Aliongea mama yake swai huku Zahra akitabasamu
"mama,
nampenda swai.. Ondoa hofu kuhusu swala hilo... Afu nipatie namba yako nikutumie
hio pesa"
"ooohhh Ahsante sana... Mwambie swai
atakupa"
"hapana... Hatonipa mama"
"ok.. Ngoja
nikutajie"
Sasa ile nafasi ya kutaka kutajwa namba, swai akawa anawahi
kuchukua simu kwa Zahra... Zahra akatoa simu sikioni kisha akaangalia zile namba
pale kwenye skrini ya simu, akazishika kwa kichwa... Sasa ile mama anaanza tu
kitaja..
"haya 075"
Mara simu ikanyakuliwa nankukatwa
kabisa...
"Zahra.. Sitaki mazoea na wewe..."
Aliongea swai huku
akiingia ndani, na wakati huo Zahra katulia tu...
Aliingia
ndani na kuchukua simu yake, kisha akaanza kuingiza namba za mama yake swai
katika simu yake, kwahio swai anajua Zahra hajafanikiwa kutajiwa namba, kumbe
tayari alisha iangalia kwenye skrini kabla ya kutajiwa...
Sasa
huki kwa Swalehe, akapiga tena simu kwa mama yake...
"hallo
mama"
"swai hivi una kichaaa wewe"
"mama saaa unachokifanya huku
kunipoteza sasa... Mara kumi utafute mke kuliko huyu uliomsikia.. Mama huyu ni
mhuni mama... Mimi siwezi kuishi nae na sijawahi hata kumtongoza jamani... Ni
jirani tuuu"
"sasa kama ni jirani mbona anasema anakupenda na anataka
kuolewa na wewe"
"mama,.. Huyu msichana kajiuza sana, sasa kakosa soko
ndio ananiganda mimi"
Swalehe Aliongea hayo kama kumkandia Zahra, japo
sio kweli kuwa anajiuza... Bali Zahra kajifunza kutokana na makosa,.. Aliona
mali ni sahihi kwake kumbe kadanganywa..
"wewe ni muongo... Tena
Afadhali upate mke wa huko huko mjini... Mana wa huku kijijini wakija mjini ndio
balaaa"
"hapana... Kama umemtafuta wewe nitaishi nae tu... Mama nakupa
ruksa nitafutie mke, ila sio huyu"
"hebu ngoja kwanza.... Kuna meseji
imeingia hapa...."
Aliongea mama yake Swalehe huku akikata simu na
kuangalia msemaji ilio ingia, yaani mama yake swai ni mcharuko mpaka
basi...
"waaaaooooo.... Nimetumiwa laki mbili na nusu"
Aliongea
mama yake Swalehe, mara ghafla,... Simu yake inaita ila namba ilikuwa ni ngeni
katika simu yake
"hallo, Samahani wewe ni nani"
Mama Swalehe
aliuliza huku akiskilizia sauti
"mama... Naitwa Zahra, ndio mimi
niliokutumia hio pesa kalipie hospitalini baba mkwe apone... Ni mimi Zahra
mchumba wa mwanao Swalehe"
Aliongea Zahra huku mama swai akifurahi mpaka
basi,.... Karushiwa laki mbili na nusu, wakati swai mwenyewe alikuwa akilia
atume laki na nusu badala ya laki mbili... Sasa mtoto wa kike katuma laki mbili
na nusu... Shaaaabaashi, chezea kupenda wewe...
"Ahsante sana mwali
wangu.... Lazima uwe mkwe wangu wa halali... Nipate wapi mkwe kama
wewe"
Aliongea mama yake swai huku Zahra akisema
"sawa mama...
Nipiganie mama, nampenda swai... Nipiganie anioe"
"Usijali, mimi ndio
mama yake... ondoa shaka kwa hilo"
"Nashukuru sana
mama...."
"ila Zahra... Nyie mna ugomvi na swai, mana hataki kusema kuwa
wewe ni mchumba wake"
Mama aliuliza na Zahra akaanza
kuogopa...
"mama, naomba Nikuambie ukweli kabisa.... Ni kweli, swai
alihamia hapa miezi miwili iliopita... Lakini kumbe mwanao alinipenda... Sasa
kwa wakati ule nilikuwa na mwanaume ambae alinidanganya kunioa,.. Na nilidhani
ana pesa, kumbe hakuwa na lolote... Mama?? Kweli yule mwanaume alinitumia
kimwili mara moja tu,... Toka hapo sikumpa tena... Ndipo nikaja kujua kuwa ni
muongo na mlaghai wa mapenzi.... Toka siku hio nikarudisha moyo wangu wote kwa
mtoto wako.. Lakini kumbe nae kesha kata tamaa ya kuwa nami tena, na hanitaki
tena.. Mama? Nampenda sana swai, nipo tayari anioe... Nitaishi na mwanao kwa
hali yeyote ile... Mama nihukumu kwa ukweli wangu... Na hio ndio sababu ya swai
kunikataa... Mama nisaidie"
Aliongea Zahra huku akilia, tena
Zahra kaongea ukweli wote, na wakati huo mama swai katulia kimyaaa hakutoa neno,
wala haongei
"hallo.... Haloo... Hallo... Hallo mama mkwe...
Mamaaa...."
Zahra akiangalia simu ipo hewani lakini mama swai haongei
tena..
"hallo mama... Hellooo... Hallo?.. Mama mkwe,...
Hallo?"
Zahra alishangaa na kupatwa na wasiwasi juu ya mama yake
Swalehe
Wakati huo Swalehe
anaangalia salio kwenye tigo pesa yake, anakutaka hakuna hata salio,.. Ikabidi
achukue kadi ya NMB ili aka droo pesa ya kumtumia mama yake kwa maana baba yake
kalazwa hospitali na hawezi toka mpaka malipo yafanyike, na wakati huo Swalehe
bado hajajua kuwa mama yake keshatumiwa kibunda cha maana.... Na baada ya
kutumiwa pesa hio Zahra aliamua kumpigia mama yake swai na wakaanza kuzungumza
mpaka Zahra kuongea ukweli mtupu na hakumdanganya mama yake swai... Lakini baada
ya Zahra Kumaliza kuzungumza, alishangaa kwa ukimya wa mama yake swai katika
simu yake
"hallo mama... Hellooo... Hallo?.. Mama mkwe,...
Hallo?"
Zahra alishangaa na kupatwa na wasiwasi juu ya mama yake
Swalehe
"Zahra?, Usijali mwanangu.... Unajua nilikuwa nafikiria
kwa ukweli ulio utoa hapa... Ni wasichana wachache wanaoweza kusema ukweli, na
mimu nimeamini kuwa ni kweli kwasababu umesema mpaka ulikuwa na mwanaume na
umeshiriki nae mara moja, yaani nimeshangaakwa ukweli ulio uongea
Zahra"
Mama yake swai aliongea hayo baada ya kukaa kimya mpaka
Zahra akakata tamaa juu ya mama swai kumsaidia kuwa na swai kama mke na mume,...
Zahra haamini kwa ukarimu wa mama swai, mana hakuamini kama angeliweza kumwamini
kiasi hicho...
"mama... Nashukuru kwa kuniamini... Naomba uongee na
swai, nampenda.. Sasa moyo wangu wote umehamia kwake mama"
Aliongea
Zahra huku mama akimjibu
"Zahra, ondoa shaka, Swalehe ni mwanangu, tena
mtoto wangu wa mwisho... Atanielewa tu"
"nitashukuru sana
mama"
"Usijali mwali wangu mtarajiwa... Nitafanya mpango mpaka swai awe
mumeo"
"mama, sijui nikupe nini mama"
"Usijali zaru,.. Kuwa huru
na pia nashukuru kwa kiasi ulicho nitumia"
"sawa mama,.. Nikuache
uelekee hospitali"
"sawa zaru... Alafu pia kingine, usiwe na hasira juu
yake.. Mana namjua mwanangu ukiwa mkali juu yake.. Ndio utamuuzi
kabisaa"
"mamaa... Yaani mimi nipo chini ya miguu yake... Ni mume wangu,
lazima nimpe heshima kubwa"
"waooooo zaru, natamani kukuona mwali wangu,
mana una maneno mzuri"
"heheheheh... Mama mkwe bwana.. Una simu ya wasap
mama"
"mmmhhh huku kijijini wasap hakuna.. Ngoja kesho mtoto wangu wa
kike anakuja, nitampa namba yako afu unitumie picha nikuone mwali
wangu"
"waoooo, natamani Nimuone wifi yangu mama"
"Usijali
zaruu"
"Ahsante mama"
"sawa, siku njema mwali
wangu"
"nawe pia mama mkwe wangu"
"sawa"
Zaru
alikata simu huku akifurahi mno kwa kuongea na mama wa mtu ampendaye, na kuahidi
kumsaidia kuolewa naye,....
"swai, sasa umekuwa wangu... Najua huezi
mkatalia mzazi wako... Nitakupenda swai, nikubalie kuwa mkeo"
Zahra
alijisemea katika moyo wake huku akiwaka simu yake chaji mana ilikuwa
ikiisha...
Sasa huku kwa swai, alimpigia simu mama yake na
wakati huo yupo njiani kwenda benki kudroo pesa ili aweze kumtumia mama
yake....
"hallo mama?, subiri dakika chache tu nakutumia sasa
hivi"
Aliongea swai huku akiwahi, mana mzee wake kazuiwa kule
hospitali
"ya nini sasa baba...."
"ya nini kivipi sasa mama
angu? Si umetaka pesa muda huu, baba yupo hospitali"
"Zahra keshantumia
laki mbili na nusu,.. Kwani hajakwambia?"
"ati unasemaje??"
"ina
maana hujasikia au unataka kurudia rudia"
"mama... Huyo mwanamke mimi
simtaki, na kama mmesha aanza mahusiano yenu... Hayo ni yenu mama angu.. Humjui
Zahra wewe.. Mtu nimemtajia kazi yangu,.. Kaniangalia juu mpaka chini na kusema
ajui hata kucha zake tu siwezi kuzitunza... Leo aje kuwa mke wangu kwa lipi
mama"
Aliongea swai ili kumfanya mama yake asithubutu kuwa na zaru
karibu
"lakini kasema kaachana na huyo mtu wake jamani
baba"
"mama... siiiitaki jaka la moyo, zaru ni jaka la moyo mama
simtaki... Kwanza kaka Hasan hana mke... Tumpe kama atawezana
nae"
Aliongea swai mpaka mama yake akakasirika
"we mshenzi nini
wewe... Kwani tunaongea mambo ya Hasan hapa?, na utamuoa tu"
Aliongea
mama swai huku akikata simu,... Swai aliahirisha kwenda NMB, mana pesa
ishatolewa
"huyu mama ana nini lakini"
Aliongea swai huku
akirudi zake nyumbani... Alifika na kutaka kumfuata zaru kule ndani kwao mana
dada yake hayupo,.. Sasa anatamani kumfuata ili ampe vidonge
vyake,..
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment