Search This Blog

Thursday 24 November 2022

LEYLA ! (BINTI BIKRA) - 1

 

     



     IMEANDIKWA NA : IDDI MANJAWILA



    *********************************************************************************

    Chombezo : Leyla ! (Binti Bikra)

    Sehemu Ya Kwanza (1)

     



    Utangulizi..



    Naitwa LEYLA, kwa sasa nina miaka23, niliwahi kuolewa toka nikiwa nina umri wa miaka19, lakini kwa bahati mbaya mume wangu alifariki siku ya pili tu baada ya ndoa yetu, chanzo cha kifo chake ni pale tu alipotaka nimpe haki yake ya ndoa, ndio ghafla akadondoka chini na kufa palepale, polisi walinishika kwa kusaidia upelelezi ila baada ya miezi miwili nilikua nje kwa dhamana, nilipata bahati nyengine ya kuolewa na mwarabu wa oman, tulifunga ndoa hapa hapa dar es salaam na baadae tukaenda kuishi kwao oman,

    Usiku wa siku hiyo mumewangu akanipeleka chumbani kwa mahaba yote, lakini alipoanza kunipapasa tu, alitulia kimya bila kutingishika huku nikishuhudia damu zikimtoka masikioni na puani, naye pia alifariki.

    wiki2 zilizopita ndio nimerudi tanzania kwa ajili ya kufanyiwa tiba za kienyeji, lakini cha kushangaza mganga baada ya kugundua kuwa mimi ni bikra basi akataka anijaribu yeye kama nimepona, hivi sasa ana siku ya6 tumetoka kumzika...



    Endelea..



    Hii ni hadithi ya kweli inayohusu maisha yangu, nilimuomba kaka Iddi Manjawila ambae ni mwandishi mahiri wa vitabu mbalimbali, aihadithie kupitia sanaa yake ya uwandishi ili watu waweze kujifunza kupitia makosa yaliyofanywa kwangu..



    ~**********~

    Jina langu naitwa LEYLA MOHAMED AMEIR, ni binti niliyezaliwa Zanzibar katika hospitali ya taifa ya Mnazi mmoja, kwa taarifa niliyohadithiwa na mama mlezi aliyekua akinilea aliniambia kuwa baba yangu alifariki siku niliyokua nimezaliwa mimi, niliambiwa kuwa baada ya baba kumfikisha mama hospitali alitoka kwenda katika duka la kununua vifaa vinavyohitajika kwa ajili ya maandalizi ya kumpokea mtoto, huko ndipo alipopotelea mpaka siku ya ya tatu kupita ndio mwili wake ulikutwa ukiwa ufukweni mwa bahari akiwa amekufa..

    Mama mlezi aliendelea kunihadithia kuwa hata mama yangu pia alifariki siku aliyojifungua, ila yeye alikufa kwakua mimi nilizaliwa nikiwa mnene na uzito wa kilo7, jambo ambalo lilikua ni gumu kwake kuweza kusukuma kwa njia ya kawaida..



    Nilipofikisha umri wa miaka13, pale nyumbani kwetu MIEMBENI walikuja wazee wawili, wa kike na kiume ambapo yule mama mlezi alinitambulisha kuwa wale ni bibi pamoja na babu yangu mzaa mama walikuja kunichukua.

    Mwanzo sikuweza kukubali, ila nikahadithiwa kuwa kumbe yule mama mlezi yeye ni mganga ambae ndio aliyesabanisha mpaka mama yangu akapata ujauzito baada ya kusota kwa miaka mingi, na masharti yake yalikuwa ni lazima mganga akae karibu na mama mpaka atakapojifungua..



    Basi baada ya kueleweshwa kwa muda mrefu nilikubali na safari ya kurudi dar es salaam ambapo ndipo nilipoambiwa ndio nyumbani kwetu ikaanza.

    Nikaona usiku wa siku hiyo nikamuage makame kijana wa kipemba ambae alikua akinipenda tangu nilipoanza kujitambua, tulienda kukaa kwenye mti wa mvinje uliopo pembezoni mwa bahari ya maisara, Makame alianza kunitomasa huku na kule, nilijihisi raha sana mpaka nikaanza kujigunishagunisha.



    Mara ghafla Makame akasema anataka tufanye, nilikataa kwakumwambia mimi bado mpya hivyo nyumbani watajua, lakini makame akanilazimisha kwa nguvu na kunidondosha chini huku akianza kunivua chupi.

    "Mama wee nakufaa..!" Nilimsikia makame akipiga kelele hizo huku akikimbia kuelekea baharini.



    Nilisikia kishindo kikubwa cha mtu kutoka nyuma yangu na kunivuka mimi, nilishangaa kuona moshi mzito mweusi sana ndio uliokua ukimkimbiza makame, kwa hakika nilishindwa kuamini pale nilipomshuhudia makame akinyanyuliwa juujuu na moshi ule mzito kisha na kuchanwachanwa vipandevipande huku damu nyingi zikiruka.. nguvu ziliniishia nikajikuta nimepoteza fahamu..



    Nilikuja kuzinduka siku ya pili yake ambapo nilijikuta nipo ndani ya kituo cha polisi cha Mwanakwerekwe.

    Nilikuja kuitwa na askari na kupelekwa mapokezi ambapo nilifanikiwa kumuona yule mama mlezi, bibi pamoja na babu yangu wakiwa kwenye majonzi sana, walinichukua na safari ya kurudi nyumbani ikaanza.

    Tukiwa njiani sura ya Makame ikawa inanijia kila wakati, mpaka nikawa natetemeka kwa hofu, yule mama mlezi akawaambia wakina bibi na babu kuwa nisirudi dar es salaam kwanza mpaka nitibiwe, kweli baada ya siku kadhaa nikawa najiona nipo vizuri kabisa.



    Babu na bibi walitoka kwenda kukata tiketi ya boti ya usiku, nikiwa nimebaki na yule mama mlezi ananipa nasaha zake, akaniambia kwamba sitakiwi nikutane na mwanaume mpaka nifikishe miaka21, huo ndio mkataba alioufunga mama wakati anatafuta ujauzito kwa mama huyo, sasa baada ya mama kufariki natakiwa nimalizie mimi muda uliobakia, kwa hakika niliogopa sana.



    Usiku wa siku hiyo tukiwa kwenye boti tunarudi dar es salaam, sikuwa na raha hata kidogo, nikaona bora nikakae nje nipate upepo wa bahari, nilitoka na kumuacha bibi na babu wakiwa wamelala.

    Nilipofika nje nilimuona mzungu mmoja wa kiume akiwa anavuta sigara, nilienda kusimama kwa mbele yake nikiwa nimeshikilia chuma huku nikiangalia jinsi maji ya bahari yanavyopiga katika boti hiyo.

    Ghafla nikahisi nyege za ajabu, nikawa nahisi kama kuna mtu alikua akinipapasa huku na kule, mara nikajikuta nalala chini kifo cha mende tayari kwa kuupokea mshedede, nikawa nahisi kama kuna mtu alikua akininyonya kisimi changu, loh.. mwenzangu hapo uvumilivu ulinishinda, nikaanza kupiga kelele za utamu, jambo ambalo yule mzungu hakulielewa.

    Yule mzungu alisimama na kuanza kutembea kuja pale nilipokua mimi akijua kuna kitu kibaya kimenipata, lakini aliponikaribia ndipo ghafla nikauona tena ule moshi mzito ukimnyanyua yule mzungu na kumchana vipande viwili katikati na kumtupa karibu yangu huku damu zote zikinimwagikia mimi..

    Nilipiga kelele za kuomba msaada mpaka sauti ikakatika, nikawaona askari wawili wanakuja upande ule tuliokuwepo, nikawaita na kuja pale kunikamata bila ya kusikiliza maelezo yangu.

    "Jamani mimi sio mhalifu..!" Nilijaribu kujitetea lakini haikusaidia kitu, walinichukua na kwenda kunifungia katika chumba cha mizigo kusubiri tukifika wanipeleke polisi.

    Lakini kama tunavyowajua wanaume tena, ilipofika saa9 za usiku, alikuja askari mmoja huku akiwa anahema juujuu.

    "Wee binti, nitakupa nafasi ya kutoroka lakini mpaka unipe kidogo..!" Aliongea askari huyo huku akianza kunifungua kamba walizonifunga hapo awali.

    "Lakini wewe si ni kama baba yangu jamani.." Nilijaribu kujitetea lakini wala haikusaidia, kwani yule mbaba alinishika vyema na kunisukumia kwenye magunia ya viazi kisha akaja kukaa kwa juu yangu, akafanikiwa kunivua nguo zote akinichezea kuanzia kifuani hadi kwenye kinena, mwanzoni nilikua nikihisi maumivu na kero, lakini ghafla ikaja ile raha ya ajabu ninayokua nikiisikia kila siku, wee.. huyu askari alikuwa ananikuna sana, japo umri wangu ulikua ni mdogo ila viungo vyangu vilikua vimenona kweli, unaambiwa huyu mzee aliniweka kwenye gunia huku miguu yangu ikiwa nimeitanua tayari kwa kumpokea, lakini ile anataka kuingiza tu...

    Loh... Sikuamini kwa nilichokiona, nilishangaa kuona mwili wangu ukiwa umejaa damu hadi usoni, nilifanikiwa kuuona mwili wa yule askari ukidondoka chini huku nisijue kichwa chake kilikwenda wapi..

    Ghafla nikaanza kusikia kelele za watu zikisema boti yetu ilikua inazama, hivyo tuwahi kuvaa lifejaket tukimbie, nikaanza kuvaa nguo zangu harakaharaka ili niweze kutoka katika kile chumba cha mizigo, lakini nilipofika mlangoni nikashangaa kuona mlango unajifunga, kila nikijaribu kuuvuta hauvutiki, nikaanza kuuona ule moshi mzito ukiingia mule ndani, ila safari hii uliambatana na harufu nzuri ajabu ambayo sikuwahi kuisikia kabla.



    Ghafla nikahisi navuliwa nguo na kubaki kama nilivyozaliwa, mh.. jamani nyie acheni tu, sikuwahi kujihisi utamu kama huu wa sasa, nilihisi kama mtu aninila denda huku akinitomasa taratibu katika maziwa yangu yaliyokua yamesimama vyema, nikajikuta eti na mimi namkumbatia mtu huyo bila mimi kumjua ni nani, akanilaza chini na kuanza kunipapasa katika kinena changu.

    "Oohh..! Aishh..!" Nilijikuta nikipiga kelele za mahaba, lakini na mtu huyu pia alipokua akitaka kuingiza tu, ghafla akatokea mtu mwengine mwenye pembe kubwa kichwani kwake na kumtoa ili akae yeye, mara wakaanza kupigana huku boti ikizidi kutingishika na kuyumba huku na kule, mara ukatokea moto mkubwa sana na kuwaka mule ndani, cha ajabu hakuna hata kitu kilichokua kinaungua.



    Mara ghafla nikauona ule mlango ukiwa unafunguliwa, wale watu wakapotea palepale, nikashangaa kujikuta nikiwa nimevaa nguo zangu tena msafi hatari.

    "Wee dada unafanya nini humu katika chumba cha mizigo..?" Ilikua ni sauti ya kijana aliyekua ameingia mule ndani kubeba mizigo, hapo ndipo nilipogundua kuwa kumbe tulikua tumeshafika dar es salaam na tayari kulishapambazuka, nilitoka na kushuka hadi chini, ambapo nilikaa kwa muda mrefu kuwasubiri bibi na babu, lakini pia hawakutokea.

    Ilinibidi niende kuulizia katika ofisi ya boti ile ambapo niliambiwa hawakupanda wazee wa aina hiyo katika boti ile, hapo nilichoka hoi na kujikuta nikikaa chini bila ya kujua nini cha kufanya..









    Nilikaa pale bandarini mpaka saa nne asubuhi ilinikutia nipo chini tu, nilijawa na mawazo kupita kiasi.

    Kubwa zaidi ni kwa jinsi gani nitaweza kuishi katika jiji la Dar es salaam bila kuwa na mtu wa kuniangalia, ukizingatia hata wale niliowaamini kuwa ni bibi na babu yangu pia hawakuwepo.

    "We binti mbona umekaa hapo kwa muda mrefu, unatatizo gani..?" Ilikua ni sauti ya kiume ikitokea upande wa mgongoni kwangu, nilipogeuka nilimuona alikua ni kijana wa makamo akiwa amevaa kitopu cha rangi ya orange kuonyesha kuwa yeye alikuwa ni mbeba mizigo pale bandarini.



    Alipofika karibu yangu, nilimuamkia japo hakuitikia nikaanza kumwambia kuwa mimi sina ndugu katika jiji la Dar es salaam, na sijui wapi pa kufikia hivyo nilikua nahitaji nirudi tena Zanzibar kwa yule mama mlezi.

    Yule kijana aliniambia kuwa yeye hana uwezo wa kipesa kunilipia nauli ya kurudi Zanzibar, ila atakachonisaidi ni kunipandisha katika boti ya mizigo ambayo itaondoka usiku wa siku hiyo, hivyo kwa kuwa bado ilikua ni asubuhi alinichukua na kwenda kunikabidhisha kwenye mgahawa mmoja uliokuwepo maeneo yale ya bandarini, alinitambulisha kama ni mdogo wake hivyo nihudumiwe atakuja kunichukua mchana.



    Nikiwa katika ule mgahawa, nilikunywa chai na baadae kula chakula cha mchana, ambapo baadae wateja wakaanza kupungua na kukawa kimya kabisa, ndipo yule mama muuza chakula akaja kukaa na mimi kuanza kuongea mambo mbalimbali mpaka nikajikuta nikimhadithia mkasa wangu ulivyokuwa, ila tu sikumwambia kama kuna idadi ya watu walishapoteza maisha kwaajili yangu.

    "Haa..! Kwahiyo Mudi sio kaka yako kabisa..?" Aliniuliza kwa mshangao yule mama baada ya kumuhadithia, lakini kabla sijamjibu chochote tulimuona yule kijana aliyenisaidia akifika pale na kulipia gharama zote nilizotumia.

    Lakini yule mama lishe alizikataa zile pesa na kusema.

    "Unajua Mudi, huyu binti amenihadithia kila kitu.

    Na hadithi yake inasikitisha sana, mimi nimekusamehe deni lote, ila kama hautojali kwanini huyu binti nisiishinae hapa akawa ananisaidia kazi..!" Alijaribu kushawishi yule mama ambapo hata Mudi nae alikubali..



    Basi hiyo ndiyo ilikua tiketi yangu ya kuanza kuishi Dar es salaam, ambapo nilifanya kazi hiyo ya mama lishe na kuishi na yule mama nyumbani kwake Tandale kwa tumbo, hapo nilikaa na kufikisha umri wa miaka kumi na saba.

    Kusema ukweli yule mama aliyenipokea alinilisha vizuri pamoja na kunivisha, mpaka umbo langu likajijenga vyema na kuwa kivutio kikubwa kwa wanaume.

    " Leyla.. wewe ni binti mrembo sana, nahofia karibu utanitoroka..!" Alisema mama lishe huyo baada ya uvumilivu kumshinda.

    Maneno yake yalikua kama utabiri, kwani taratibu hisia za kimapenzi zilianza kunisumbua juu ya kijana Mudi, ambapo mara mojamoja huwa nafika nyumbani kwake Tandika, ila nilikua nikimpa kalenda kila siku ya kuwa nitampa siku nyengine, moyoni nilijua nini kingetokea ikiwa nitaamua kufanyanae mapenzi mapema, hivyo nilikua nasubiri nifikishe miaka21 ndio nianze kuufaidi utamu wangu nikiamini kabisa maneno niliyokua nikiambiwa na yule mama mlezi wa Zanzibar, kuwa nisifanye mapenzi hadi nitakapofikisha miaka21 ambapo ndio mkataba alioufunga marehemu mama utakuwa umeisha..



    Lakini kwa Mudi kwake ilikua ni tofauti, yaani yeye kila tukionana anataka kusex, hofu ilianza kunitawala na kuona huwenda nikampoteza Mudi wangu, hivyo ilinibidi nifanye maamuzi magumu japo kuwa moyo wangu haukuridhia.

    "Mimi sitaki kufanya mapenzi kabla ya ndoa, kuanzia leo mimi na wewe basi, kumbe wewe lengo lako uniharibie usichana wangu, sikutaki tena Mudi..!" Niliongea kumwambia Mudi huku machozi yakinitoka, lakini nitafanyaje na ilibidi nimlinde Mudi wangu, sikuwa tayari kumpoteza mtu aliyenisaidia na kunipenda.



    Zilipita wiki tatu tangu tugombane na Mudi, ambapo hata chakula akawa haji kununua kwetu, anaenda kula katika migahawa mengine.

    Siku moja alikuja nahodha wa meli ya mizigo na kutaka oda ya chakula cha watu wanne, hivyo niliandaa na kuwapelekea katika boti yao.

    Nikiwa mule ndani ya boti, yule nahodha alianza kunitongoza huku wenzake wakianza kunishikashika, mara wakanilaza chini huku wakianza kunivua nguo zangu, looh..! kama kawaida yangu ghafla ikanijia ile raha ya ajabu, ambapo yule nahodha nikamwambia wasinibake ila twende nikampe mmoja mmoja ili tuenjoy wote, basi kwa ujinga wao wakakubali, nahodha ndio aliyekuwa kimbelembele kuwa wa kwanza.



    Aliniingiza katika chumba chake na kuanza kunipapasa, nami sikuwa nyuma nyege zilinipanda haswa..

    Nikaanza kuushika uume wake na kuingiza kinywani kwangu.

    "Oooh.. shiiit..!" Aligugumia kwa utamu nahodha huku akijamba bila aibu.

    Uvumilivu ukamshinda nahodha, akanipindua na kuanza kuninyonya kisimi changu.

    "Ooo..h..! Yeees..!" Nilijikuta nikilia kwa mahaba baada ya utamu kunoga, sijui hata ilikuaje nikajikuta naushika uume wa yule nahodha na kutaka kuuingiza katika shimo langu.

    "Hee mwenzangu vipi..!" Nilishtuka kumuona nahodha akiwa hana uume tena, bali alikua ana jinsia ya kike..

    "Nisamehe..!" Nahodha alipiga magoti na kuniomba mimi msamaha akidhani mimi ndio niliombadilisha.

    Kiukweli nilishindwa kujua ni nini kilichokua kikiendelea, ila ilinibidi nijiongeze ili nitoke katika eneo lile nikiwa salama.

    "Kwanza nilipe pesa za chakula, halafu unirudishe ofisini kwangu, mzigo wako ntakurudishia usiku saa sita..!" Nilimwambia maneno hayo yule nahodha huku nikiwa sijiamini kwa hofu ya kudanganya, huku nikijua kabisa sina uwezo wa kuurudisha uume wake.



    Hee..! Kumbe wanaumbe wanakuwa dhaifu wakikosa maumbile yao enh..! Basi nakwambia yule nahodha aliingia mfukoni na kunipa noti tano za dola miamia, kisha akanivalisha vizuri na kunisindikiza hadi ofisini kwangu na kunikabidhisha kwa mama lishe wangu..

    Siku ya pili yake asubuhi na mapema nilimuona yule nahodha akija pale kwenye mgahawa wetu, aliagiza supu ya utumbo na chapati tatu, nilipompelekea akaniambia kitu ambacho kilinishtua sana na kujikuta nikidosha supu mpaka wateja wengine walishuhudia.

    "Asante kwa kutimiza ahadi yako ya jana, ki ukweli ulinipa mzigo wangu ila umeuongezea nguvu mno, kwani hata pale kitandani tulipomaliza kusex nikawa bado natamani tuendelee tena, naomba uniruhusu nikuoe LEYLA..!" Hayo ndio maneno aliyoniambia yule nahondha, moyo wangu ulienda mbio sana na kushindwa kujua ni nini kilichotokea.



    Jioni ya siku hiyo sikuwa na raha hata kidogo, tukiwa tumekaa sebuleni kwetu mimi na mama lishe wangu, walikuja wageni kuleta barua ya uchumba, hapo ndipo nilipovurugwa kabisaa..







    Basi, baada ya wageni kuondoka tukabaki mimi na mama lishe wangu tunaangaliana, aliyeleta barua alikua ni nahodha hali ya kuwa mapenzi yangu yote yapo kwa Mudi.

    "Kwahiyo unasemaje binti yangu, tumkubalie au..!" Aliniuliza mama lishe.

    "Mh.! Mimi naona bora unipeleke kwa mtaalamu kwanza mama kabla ya kuwajibu barua yao, maana kuna chuki, husda na mabalaa tele katika maisha ya ndoa..!" Nilijibu kwa kudanganya kidogo, lakinini moyoni mwangu nilijua ni kwanini nahitaji kwenda kwa mtaalamu kabla ya ndoa.

    "Basi kesho asubuhi tutaenda kwa mtaalamu wangu anaenisaidia katika biashara zangu..!" Alijibu mama huyo kwa kujiamini.



    Usiku wa siku ile alikuja mwanaume mmoja ambae ni mchepuko wa mama lishe, kwani mume wa mama lishe huyo alikua yupo safarini kikazi.

    Basi walichukuana wenyewe wakaingia chumbani kwao na kuniacha nikiwa pale sebuleni mwenye mawazo tele, kwanza nilianza kumkumbuka Mudi wangu, nilitamani niende kwake nikampe ili nimuage kabla ya ndoa, ila nilishindwa kujua ni vipi na yeye akiwa miongoni mwa maiti tarajiwa..

    "Yees..! Aish.. uuuwii.. yaalaa.. bebi mwenzio tayari ingiza yote..!" Nilishtuka kutoka mawazoni baada ya kusikia kelele hizo kutoka kwa mama lishe, Mh.. mwenzenu nilishindwa kuvumilia nikatamani na mimi nilishuhudie pambano la mechi hii.



    Basi nilitoka hadi uwani, nilizunguka kwa nyuma na kwenda hadi kwenye dirisha la mama lishe.

    Looh..! Yule kijana alikua amejaaliwa mninga, nilishuhudia mama lishe akiwa amelazwa kwenye kochi staili ya kuchuma matembele, yule kijana kiukweli alikua hodari, unaambiwa alikua anapiga mashuti mpaka mama lishe alikua anatokwa machozi ya utamu.

    Aaaah..! Mwenzangu na mimi nikatamani nikajikuta naenda zangu ndani na kuchukua pochi langu huyo.. safari hadi Tandika kwa Mudi wangu, huku nikijisemea liwalo na liwe wacha leo nifanye na mimi..



    Nilipofika nilimkuta yupo nje anasonga ugali, hakuamini macho yake, alinifata na kunikumbatia.

    Baadae tulikula pamoja kisha tukaingia ndani.

    "Mudi.. leo naomba tusikae humu ndani, nataka twende gest nikakufaidi vizuri..!" Nilimshauri mudi.

    "Umeona enh..! Naona umeniwahi, nilitaka nikwambie hivyohivyo, nyumba yenyewe haina hata singbodi majirani watasikia kelele zetu..!" Mudi nae alichangia.

    Basi tulienda gesti moja maeneo ya jirani na hapo, tulipofika tu ghafla nyege zilinijaa hatari.

    Mudi alikua na uchu ajabu, akaanza kuvua na kubaki kama alivyozaliwa, akaanza kunivua na mimi pia, tukaanza kwa kubadilishana ladha za mate yetu, Mudi alikua mtundu sana, alinilaza kitandani taratiibu, kisha akaingiza mdomo wake katika ziwa langu la kushoto huku akiwa kama anaking'ata kile kichuchu cha ziwa.

    "Mh.. jamani mudi.. yees.. aiyy.. ooh.. shiiit..!" Nilijikuta nikigugumia kwa utamu, unaambiwa mudi hakuishia hapo tuu, alianza kushuka chini na kutua kwenye kitovu changu, mh.. hapo kelele zilizidi, kwani mudi alikinyonya kitovu changu kwa ufundi mkubwa mpaka nikawa najisikia kama nataka kujisaidia haja kubwa vile..

    "Oooh.. shiit.. Mudi ingiza bwana acha useng..!" Nilijikuta nikitaka kumtukana Mudi kwa utamu, lakini nilishindwa kumalizia kwani ghafla tu nikaanza kuisikia ile raha ya ajabu ikinisisimua mwilini mwangu, utamu ulizidi baada ya mudi kuanza kuninyonya kisimi changu.

    "Yeah.. yees.. ooh.. shiit.. bebii.. " nilijikuta nikilia kwa mahaba huku nikishika kichwa cha Mudi na kukikandamiza katika kisimi changu ili asitoke, mara nikawa nahisi kama napigwa shoti mwili mzima kwa ile raha niliyokua nikiisikia.

    Ghafla niliona ule moshi mzito ukiwa unaingia ndani, hofu ikanishika lakini kama bahati, tukasikia kelele za alam ya jengo hilo iliyokua ikilia kuashiria kuna jambo lilikua linaendelea.

    "Motoo.. jamani wateja mtoke nje kuna moto unawaka.." Tulivaa haraka haraka na kutoka nje, mh.. mungu ni mwema, kwani tukipotoka nje tu, tuliweza kulishuhudia jengo lile likiteketea kwa moto huku likidondoka.

    Tuliondoka na kurudi hadi nyumbani kwa mudi, lakini pia tulikuta mlango ukiwa wazi, tulipoingia ndani tulikuta chumba cheupee..



    Nyege zote zilituisha, mudi alilia sana kwa kuibiwa vyombo vyake vya ndani, mwisho alinisindikiza hadi stendi, kisha yeye alienda kulala kwa rafiki yake.

    Kiukweli nilimuonea huruma sana mudi, nilishindwa hata kumwambia kuhusu swala langu la kuolewa, nilipofika nyumbani nilikua nimechoka sana, nilijitupa kitandani na kutaka kulala.

    Lakini ghafla nikaanza kusikia harufu kama ya mafuta ya miski iliyochanganyika na karafuu, nyege zikaanza upya kuchukua nafasi yake, safari hii zilijaa zaidi, nikahisi kama kuna mtu alikua anaingia ndani, nikaanza kuhisi nachezewa mwilini mwangu, jamani raha ajabu, nikajikuta natanua miguu kuupokea mninga, lakini ghafla nikashtushwa na maji ya usoni.

    "We unalala mpaka saaizi wakati tunasafari ya kwenda kwa mtaalam..!" Ilikua ni sauti ya mama lishe aliyekuja kuniamsha kwa kunimwagia maji usoni.

    "Hee.. kumbe ilikua naota..!" Nilijiuliza bila kupata jibu.

    Nilijiandaa na tukatoka kwenda kwa mtaalam, ambapo aliniangalia na kusema kuwa nahitajika nikae pale kwake kwa siku saba ili anisafishe mwili wangu, akasema nina mkataba na viumbe wa kiume wawili ambao wote ni watoto wa mfalme wa majini, na wote hao wananigombania.

    Yule mtaalam akaendelea kwa kusema kuwa watu hao tayari nilishawahi kuonana nao ila walikuja katika maumbo ya babu na bibi, hapo ndipo nilipochoka zaidi..

    "Hata hivyo mmoja wao tayari ameshaleta barua ya uchumba kwako, na ukiolewa ndio umejifunga kabisa..!" Alisisitiza mtaalam huyo.

    Jamani hali hii kwangu ilinitisha sana, yule mtaalam aliendelea kwa kusema kumbe hata ile raha ya ajabu ninayoisikia ndio wananipatia hao viumbe ili niwe na hamu ya kufanyanao mapenzi, ugomvi wao mkubwa ni kutaka bikra yangu...







    Basi yule mama lishe aliondoka na kuniacha pale kwa yule mtaalam nikitibiwa, nilikaa pale kwa siku tatu bila kupata matatizo yoyote, ila siku ya4 yule mtaalam alisema anakwenda baharini kuchukua maji ya bahari ili anifanyie dawa ya kuwafukuza majini.

    Huku nyuma alikuja kijana mmoja ambae nilishaanza kumzoea kwani alikua anakuja kila siku kuleta dawa za aina mbalimbali za kienyeji kwa mtaalam huyo.

    "Huyu bwana ameelekea wapi..!" Aliniuliza yule kijana wa makamo.

    "Amesema anaenda baharini kuchukua dawa..!" Nilijibu.

    "Sasa amenipigia simu na kusema nije nikutibu dawa ya ndani ya mwili wako, kwa maana yeye atachelewa..!" Alisema yule kijana.

    Kwakua yule kijana mara nyingi huwa anasaidiana na mtaalam, basi wala sikubisha ila nilianza kupata wasiwasi baada ya kumuona yule kijana anavua nguo zake zote na kubaki kama alivyozaliwa, akaanza kujipakapaka midawa yake na kujichorachora na kuwa kama kinyago, kisha akanifuata na kuanza kunivua nguo zangu na mimi.

    Mmh.. jamani kumbe yule kijana alikua na bonge la mashine.. wakati ananivua nguo zangu, mashine yake ilikua ikinigusagusa mapajani kwangu, hapo nyege zilijaa koo..



    Tukaanza kuchezeana ili kulainisha maungo yangu, yule kijana aliniweka mkao wa kifo cha mende huku akiniingiza ulimi wake taratiibu katika tundu za masikio yangu, looh nilihisi raha kwa tukio hili na kujikuta nikianza kujipindapinda huku nikilia milio ya kimahaba..

    "Aish.. mmh..! Yeah..!"

    Kumbe nilivyokua nikilia ndio yule kijana alianza kuniongezea manjonjo, unaambiwa aliingiza ulimi wake hadi katika tundu za puani kwangu, alishuka chini na kuingiza midomo yake katika matiti yangu yaliyosima vyema, akashuka tena na kufika hadi katika kisimi changu, hapo nilikua kama nimepandwa na kichaa.

    "Oooh.. yes.. yeah.. come please..!" Unaambiwa niliongea hadi maneno ya kiingereza ambayo hata sijui ni lini nilikwenda huko shule.

    Yule kijana kwa kweli alinipelekesha, yaani alikua ananisugua taratibu kwenye mashavu ya uke wangu kisha ananyonya kisimi, akawa anarudia hivyohivyo, mpaka nikajikuta nahisi raha kama ya kuanza kufika kileleni vile, nikaanza kumshika kichwa chake yule kijana ili asikitoe pale kwenye kisimi changu.

    " Ooh.. noo... Yees.. oooh.. shiit.. yeah yee yeeee..!" Nilipiga kelele mfululizo baada ya kuzidiwa, nikajikuta nampapasa yule kaka kwa lengo la kuutafuta uume wake ili aniingize maana hamu ilishanijaa kabisaa..



    "Hee.. tobaa..!" Nilishtuka baada ya kuona uume wa yule kijana ukianza kutoka mafunza na kuoza palepale, yule kijana alikaa chini huku akitulia tuli, mara ghafla nikaanza kuona macho ya yule kijana yanatoka machozi ya damu, mafunza wakaanza kumtapakaa mwili mzima kijana yule, huku harufu mbaya ikianza kumtoka.

    Ghafla akaingia mtaalam akiwa na dumu ya maji ya bahari.

    "Haa.. nimechelewa..!" Alisema hivyo yule mtaalam huku akimmwagia maji ya bahari yule kijana.

    Baada ya kumwagiwa maji yule kijana, wale mafunza wakapotea papo hapo, huku damu nayo ikiyeyuka, uume wa yule kijana ulirudi kuwa kama zamani, tatizo lilikua ni moja tu, kuwa yule kijana alikua ameshafariki..



    Yule mtaalam alienda kumzika maporini huko, na aliporudi akaniambia kuwa dawa ya tatizo langu iliyobaki ni moja tu, ambayo ni kuwa natakiwa niolewe na mtu wa kawaida ili anitoe bikra, nisifanye mapenzi na mtu yeyote kabla ya kuolewa.

    Akanikabidhi shanga na kuniambia natakiwa nizivae kiunoni kwangu siku zote za maisha yangu, kisha akanikogesha yale maji ya bahari na baadae aliliniruhusu nirudi nyumbani.



    Nilipofika nyumbani nilikuta kuna wageni wengi pale ukumbini, na nilipoingia tu watu wote walikaa kimya kuniangalia, mamalishe wangu alishindwa kujizuia na kuniambia "karibu nyumbani bi harusi mtarajiwa..!"

    Hee hapo nilichoka, basi niliingia chumbani kwangu na kuanza kujipumzisha, lakini kabla sijalala nikasikia mlango wangu ukigongwa.

    Nilipokwenda kuufungua sikuamini macho yangu, aliyekua akigonga alikua ni Mudi, kumbe yeye ndio aliyekua amekuja na ndugu zake kuleta barua ya uchumba.

    Nilimkumbatia na kumkaribisha chumbani kwangu.

    Kwangu ilikua ni faraja sana kwani Mudi ndio mwanaume pekee niliyempenda, pili niliamini nikiolewa ni rahisi kupona tatizo langu kwani nitafanya mapenzi na mwanaume ninayempenda..

    Tuliongea mambo mengi sana kuhusu harusi yetu, na tuliipanga iwe ni harusi ya kawaida tu.



    Basi baada ya wiki tatu, hatimaye tulifanikiwa kufunga ndoa tena ilikua ni harusi kubwa tofauti na malengo yetu, kwani baada ya harusi, jioni yake tulikua tukifanyiwa sherehe kubwa katika ukumbi wa jeshi la uwokovu uliopo maeneo ya JKT, watu walikula na kunywa.

    Baadae tulichukua gari na kurudi nyumbani kwetu ambapo kama unavyojua tena kwamba sharti la ndoa chupi juu ya kamba.

    Mudi alinibeba hadi chooni, aliniogesha na kunisugua, akaanza kuninyonya hadi kwenye shimo la haja kubwa, janani mudi.. mh.. mbona hatari..



    Basi baada ya kumaliza kuniogesha akanibeba hadi kitandani, hapo sasa na mimi sikutaka nionekane sijui mapenzi, unaambiwa nilimsukumia mudi kitandani kisha nikamvua boksa yake, kisha nikaanza kumchezea katika kifuko chake cha shahawa wenyewe wanaita korodani, "Oohh.. hahaaahas... Ooh. Kum..!" Mudi alilia kama mtoto mdogo mpaka akataka kunitukania mama yangu, hapo nilianza kuishika mic yake na kuimba nyimbo za aina mbalimbali.

    Mwisho ikanijia ile raha ya ajabu sana baada ya mudi kunipindua na kuanza kuninyonya kisimi changu, nilipiga kelele na kumuomba mudi aingize haraka..

    "Mudi.. yes.. utamu.. bebi.. ingiza basi.. jamani.. uuuwii.. mudi.. ooh.. comooon..!" Ghafla ukanijia msisimko mtamu balaa na kujikuta nikitoa majimaji mazito katika kinena changu huku nikizidi kukishika kichwa cha mudi ili aendelee kuninyonya..

    Jamani kumbe ukifika kileleni unaweza kuwa kama chizi jinsi utakavyokua ukiililia mashine iingie, unaambiwa nilimshika mudi na kumlaza kitandani nami nikakaa juu yake nikitaka nijihudumie mwenyewe, lakini nikashangaa kuona mudi hatoi ushirikiano wowote tena kwa muda mrefu tu, hapo nikaingiwa na wasiwasi.

    Ndipo nilipoenda kuwasha taa ili nijue nini kilichokua kikiendelea..

    Mungu wangu, kumbe Mudi alikua akitokwa damu katika tundu za masikio pamoja na puani, alishakufa zamani sana ila sikujua ni nani aliyenifikisha mimi kileleni na kukojoa kwa utamu kiasi kile..



    Nililia sana kwa kumpoteza Mudi wangu, niliamini yule mtaalam alilimaliza tatizo langu kumbe bado.

    Asubuhi walikuja ndugu wa mudi pamoja na askari kunichukua hadi kituo cha polisi cha Usalama Temeke, magazeti ya siku hiyo yalitawala picha na habari kuhusu tukio langu..



     

     

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog