Search This Blog

Thursday, 24 November 2022

LEYLA ! (BINTI BIKRA) - 3

 

     

     



     

    Chombezo : Leyla ! (Binti Bikra)

    Sehemu Ya Tatu (3)

     



    Basi alianza kwa kunichezeachezea katika sehemu mbalimbali za mwili wangu.

    "Oooh.. yeess.. ooooh shiii..t" nilipiga kelele na kushtuka kidogo baada ya kuona mume wangu akikosea njia na kunitia kidole cha mku***ni.

    "Uuuuwiii... Oooh.. yeeeeesss... Owh.. my ..godddd...!" Nilizidi kupiga kelele baada ya mume wangu kuninyonya kwenye kisimi changu huku akiziramba na kuzing'atang'ata nyama za mashavu yangu ya ukeni.

    Yaani hata sikuchukua muda mrefu nilijikuta nikipiga kelele za kufika kileleni.

    "Ooohhpssss... Yeeess.. yeah.. baby.. nafika... Yeeeess ongeza..!" Nililia huku nikimshika kichwa mwarabu wa watu na kuzidi kumkandamizia kwenye uke wangu.

    Nilipofika, nikaanza kumchezea na yeye mpaka akakojoa, lengo langu ni kwamba akojoe halafu apitiwe na usingizi kama kawaida yake.

    Kweli mwarabu wa watu hanaga makuu, baada ya kukojoa tu huyo chali..

    Nami nililala huku nikiwa nimemkumbatia mwarabu wangu na kujifunika shuka moja.



    Asubuhi ya siku iliyofuata, nilikua wa kwanza kuamka ambapo nilishangaa kumuona mwarabu akiwa amelala chini ya kitanda hali ya kuwa tulilala wote kitandani huku nikiwa nimemkumbatia.

    Nilienda kumuamsha ili arudi kitandani, nilipomgeuza ili nimuangalie usoni, looh.. mwenzenu sikuweza kumuangalia mara mbili nilijikuta nikipiga kelele za kuomba msaada kwa kile nilichokiona.

    Uso wa mwarabu yule ulikua kama umechanwachanwa na mikucha ya mnyama wa porini, damu zilitapakaa pale chini, mbaya zaidi hata uume wake nao ulikua umekatwa na kipande kikiwa kipo pembeni yake.

    Nilishindwa kujua nini kilichokua kimetokea usiku, ghafla waliingia ndugu zake na kushuhudia kilichotokea huku kila mmoja akiwa ameduwaa..



    Baada ya muda kidogo walijaa waandishi wa habari kupiga picha na kuripoti tukio lile huku nikijificha wasinipige picha usoni, walikua wakizungumza kwa lugha ya kiarabu lakini nilijua walikua wakiniongelea mimi tu, kwani katika maongezi yao walitaja jina la Tanzania, hapo nikagundua tu huwenda wale waandishi wa habari walishanijua kuwa labda ndio mimi muuwaji wa Tanzania.

    Baada ya kama nusu saa kupita walikuja askari wa nchi ile na kunichukua hadi kituoni kwao.

    Ambapo nilikaa hapo kwa siku kadhaa bila ya kujua ni nini kilichokua kinaendelea.



    Siku kadhaa baada ya tukio lile nilifikishwa mahakamani, ambapo sikutakiwa kujibu swali lolote, na baadae nikarudishwa tena kituoni kusubiri hukumu.

    Kiukweli sijui hata ilikuaje, ila nakumbuka ilikua ni saa9 za usiku aliingia mtu mmoja mule mahabusu na kuanza kunivua nguo zangu zote, kisha akaanza kutaka kunibaka tena kinyume na maumbile, nilipiga kelele za kuomba msaada lakini nilishangaa kuona askari hawaji tu kunisaidia hali ya kuwa nilikua nikiwasikia wakicheka pale mapokezi.

    Basi niliendelea kushikanashikana na yule mtu hadi akanipiga kibao cha uso na kunishinda nguvu, mwisho nikaamua kumuachia afanye atakavyo tu.

    Yule mtu akaanza kwa kuniingiza kidole katika sehemu ya haja kubwa, alinipaka mafuta ambayo sikuyafahamu ila nilianza kuona kidoke chake kikipita bila mikwaruzo yoyote, akaanza kutaka kuniingilia huku uume wake ukiwa tayari umeshasimama haswaa..

    Ghafla nikashangaa kumuona akipiga kelele zilizopelekea hadi wale askari wa mapokezi kufika pale tulipokua.

    Wote tulishangaa kumuona yule mtu akidondoka chini huku akiwa ameshikilia uume wake uliokua umekatika, damu nyingi zilimtoka puani na masikioni na kupoteza maisha pia.

    Lakini nilipomuangalia vizuri mtu yule, niligundua alikua ni shemeji Sufiani ambae ni kaka wa marehemu mume wangu.

    Hapo ndipo nilipogundua kuwa alishirikiana na wale askari ili aje alipize kisasi cha ndugu yake kwa kudhani labda mimi ndio muuwaji.



    Kitendo kile kiliwachukiza sana wale askari na kuwafanya watake kunipiga, lakini kabla hawajanipiga tuliushuhudia moshi mzito ukiingia mule ndani na kutufanya tuzidi kuogopa, moshi ule ulibadilika na kuwa jitu moja kubwa na refu sana.

    Jitu lile lilimbeba askari mmoja huku akimshika kichwa na kukinyofoa na kukiingiza mdomoni mwake.

    Hee.. lile jitu likaanza kuongea sauti nzito iliyopelekea nikapoteza fahamu hata nisijue ni nini kilichokua kikiendelea..

    Nilikuja kuzinduka siku ya pili yake, ambapo nilijikuta nipo hospitali.

    Baadae nilishuhudia polisi wakiingia na kuja mule ndani ya hospitali kunichukua na kuniingiza katika gari yao.

    Lakini safari hii hawakunipeleka kituoni kwao tena, bali nilijikuta naingizwa katika jumba moja kubwa na lenye walinzi wengi.

    Geti lilifunguliwa na sisi tukashuka kuelekea mlangoni, lakini nilitupa macho yangu huku na kule ambapo niliweza kuiona bendera ya Tanzania ikiwa inapepea katika jumba lile, hiyo ilitosha kabisa kujua kumbe nilikua nipo ubalozini.



    Tuliingia hadi ndani na kukaa kwenye makochi, ambapo baada ya muda alifika binti mwenye asili ya Tanzania na kuwaomba wale askari watoke, tulibaki sisi wawili tu ambapo aliniongelesha kwa lugha ya Kiswahili.

    "Nafahamu Unaitwa Leyla, japokua pasport yako imeiandikwa wewe ni Salha.. tafadhali naomba uwe mkweli ili usiendelee kuichafua nchi yetu..!" Aliongea kwa upole dada yule.

    Basi nami nikaona huyu anaweza kunisaidia kwani wote tunaongea lugha moja ambayo ni rahisi kunielewa..



    Nilianza kumuhadithia juu ya hali yangu inayonikabili mwanzo hadi mwisho bila kuficha kitu chochote, pia nilimhadithia kuhusu kuisubiri tarehe21 ambayo zilikua zimebaki siku2 tu ifike, pia nikamhadithia kuhusu kutafutwa kwa makosa ya uuwaji jambo ambalo mimi sio ninalolifanya, mwisho kabisa yule dada akanifuta machozi na kuninyanyua na kuniingiza ndani nikakutane na Mh. Balozi

    Tulipoingia ofisini kwa balozi, yule dada alianza kunitambulisha kisha akaanza kumuhadithia juu ya mkasa wangu.

    Kiukweli walinionea huruma sana, mwisho waliniambia nitakua huru ila nitarudishwa Tanzania ili nikatibiwe tatizo langu.

    Hapo ndipo nilipoiona tofauti kubwa kati ya watanzania na mataifa mengine, kuwa kumbe sisi watanzania ni wapole na ni wakarimu sana..





    Siku hiyo nilishinda pale ubalozini hadi jioni, ambapo nililetewa magazeti ili nisome kilichoandikwa.

    Niliambulia kuona picha zangu tu za matukio tofautitofauti kuhusu mauaji yangu, lakini sikuweza kung'amua hata neno moja la kiarabu.

    Baadae alikuja yule dada na kunichukua ambapo tuliingia ndani ya gari hadi nyumbani kwake.

    Nilimuuliza yule dada juu ya nini kilitokea kule mahabusu baada ya mimi kuzimia.

    "Kwani si nilikupa gazeti usome..!" Aliniuliza kwa mshangao.

    "Kiukweli limeandikwa kwa lugha ya kiarabu mimi siijui..!" Nilijibu huku nikijionea huruma na umbumbumbu wangu, kwani hiyo lugha ya kiswahili tu inanipiga chenga muda mwengine.

    "Jana usiku ulikutwa umezimia, lakini pembeni yako kulikua na maiti za askari nane ambazo zote zilikua zimekatwa vichwa vyao huku uume wa kila mmoja pia ukiwa umekatwa.

    Maafisa wa upelelezi wanaujua ukweli kuwa sio wewe muuaji kwa maana hadi wewe mwenyewe ulikutwa ukiwa uchi kama ukivyozaliwa, tena walikupaka mafuta ya kutanua maumbile ili wakufanyie kinyume na maumbile.

    Ndio maana balozi wetu akashindwa kuuvumilia unyanyasaji huu na kuamua kukusaidia mtanzania mwenzake..!" Alimaliza kuhadithia dada yule ambapo kwa mara ya kwanza niliiona thamani ya viomgozi wetu wa kiserikali.



    Niliishi pale kwa wiki mbili tu, ambapo tayari nilikua na umri wa miaka21.

    Nilisafirishwa hadi Kenya na kupewa pesa za kunisaidia kuanza maisha mapya, ambapo niliambiwa ndege ya kwenda hadi Tanzania itafika saa1 jioni, lakini niliona bora nikachukue mabasi nisafiri hadi Tanga.

    Kweli nilichukua basi linalokwenda Dar es salaam na kushukia Tanga mjini.

    Ilikua tayari ni saa4 usiku, nilikodi chumba katika moja ya gest pale mjini na kulala hadi asubuhi.

    Kiukweli niliyapenda mazingira ya Tanga, niliona ni vyema sasa niamue tu kuishi katika mji ule wa Tanga, hivyo nilitafuta chumba na kwenda kupanga katika mtaa mmoja ulioitwa magomeni, hapo niliyaanza maisha mapya..



    Nilianza maisha ya kufanya biashara za nguo, ambapo nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana hadi nikafikia kipindi nikawa naenda kuchukua mzigo mombasa na kuuza Tanga.

    Biashara yangu ilitanuka na kupata masoko hadi Moshi na Arusha.

    Siku moja nilikwenda sehemu moja kwa mtaalamu wa biashara panaitwa Masiwani shamba, aliniambia mambo mengi sana kuhusu mwili wangu na kusema kuwa tayari nimeshapona tatizo langu, ila sitakiwi kukutana na mwanaume yoyote kimwili mpaka nimalize dawa alizonipa, ambazo ilikua bado kama wiki mbili tu nimalizie dawa zile.

    Kiukweli siku hiyo nilirudi nyumbani mapema sana na kupumzika, kwa hakika sasa niliona nimekuwa mtu kamili, zile nyege mshindo zote sikuweza kuzisikia tena, niliyapanga maisha yangu yalikaa vyema.

    Ilipofika saa9 ya alasiri ya siku hiyo alikuja Mudi kijana wa mama mwenye nyumba yangu na kuniomba mchango wa mechi yao ya fainali ya mpira wa miguu katika kombe la Diwani ambapo fainali itachezwa katika uwanja wa mkwakwani.

    Mudi alisema wamewaleta hadi wachezaji kutoka Dar es salaam ambao wanachezea timu za ligi kuu wenyewe wanaita ndondo, hivyo walikua wamepungukiwa shilingi laki moja.

    "Sasa ole wenu mufungwe huko mtazirudisha pesa zote..!" Nilimtania mudi huku nikimkabidhi laki moja na elfu hamsini.

    "Asante sista white..! Ndio maana vijana wa hapa wote wanakukubali kwasababu wewe ni mzungu..!" Alinisifia mudi huku akitania na kuondoka.



    Usiku majira ya saa1 hivi, nikiwa ndani nilisikia kelele za watu wakishangiria huku wakitembea na kigoma cha uruguai..

    Loh.. mwenzangu nilijikuta nikitoka barazani ili nami niangalie ni nini kinachoendelea, basi unaambiwa ile kutoka tu vijana wakaniona, hapohapo walibadilisha nyimbo zao huku wakina mudi walikuja kunibeba juujuu na kuniimbia nyimbo ya kunisifia..

    "Sista white... Mzungu wa roho..!" Hiyo ilikua ni baadhi ya mistari katika nyimbo hiyo, walinibeba hadi maeneo ya mkunguni ambapo ndipo ilipokua maskani yao, hapo kulikua na mziki ukipigwa na watu walijaa hatari, umaambiwa hadi gari hazikuweza kupita katika eneo lile.

    Nakumbuka ilikua ni mida ya saa4 za usiku nikiwa njiani kurudi nyumbani kwangu, alinifata kijana mmoja aliyekua amevaa bukta ya mpira na kunisimamisha kwa pembeni kidogo kwenye kiza.

    "Sista samahani.. mimi mwenzako nimekuelewa sana..!" Aliniambia yule kijana.

    "Asante nashukuru..!" Nilimjibu huku nikitaka kuondoka baada ya kulijua hitaji lake, kiukweli toka siku niliyoambiwa na mganga kuwa nisubiri nimalize dawa kwanza, nilijiweka mbali sana na wanaume.

    "Subiri basi sista..! Hemu njoo kidogo mtoto mzuri.. wee..!" Alisema kijana huyo huku akinivuta na kuingia kizani zaidi.

    Ni bahati mbaya sana nilisahau kuvaa chupi baada kukoga maji ya dawa na kuvaa kanga na dera langu la msomali ili niwahi kutoka nje kukishuhudia kile kigoma.

    "Bwana mwenzio naumwa.. bwana.. wewe ka..kaa.. uwii.. yes.. aish.. ooooh.. my.. good.. hapo.. hapoooo..!" Nilikua nikimkatalia yule kijana lakini alinishika na kuingiza kidole chake hadi kwenye uke wangu, nikajikuta napata raha ajabu, nilimkumbatia yule kijana na kujikuta nampanulia panuuu...!





    Basi yule kijana akaishusha bukta yake na kuutoa mshedede wake na kuanza kutaka kuuzamisha shimoni kwangu.

    Lakini kabla hajaingiza watu walikua wakipita katika eneo lile huku wakiwa wanaongea mambo yao, hapo tulijificha kidogo hadi wakatupita.

    Nikahisi kama kuna harufu ya karafuu hivi pale tukipokuwepo lakini sikuitilia maanani, basi nilikaa mkao wa kupokea mninga wa yule kijana ambapo yule kijana nilimuona bado kaganda tu palepale tulipojificha.

    "Bwana njoo tufanye haraka mwenzio nyege zimeshanijaa..!" Niliongea kumwita yule kijana, lakini pia haikusaidia kwani yule kijana alibakia kaganda tu..

    Hapo nikaingiwa na mashaka kidogo na kujikuta nikimsogelea, looh.. mungu wangu..

    Kumbe yule kijana alikuwa tayari ameshakufa muda mrefu huku uume wake ukiwa umekatwa na kudondoka chini, mbaya zaidi alikua ameganda kama mtu aliyekua anapiga nyeto vile chooni.

    Nilikimbia katika eneo hilo hadi nyumbani na kujilaza kama sijui kilichotokea.



    Usiku majira ya saa saba au saa nane hivi, nilikuja kugongewa mlango wa nyumba yangu, nilipofungua mlango, nilishtuka sana baada ya kuwaona watu wanne wakiwa wamesimama kuniangalia.

    Mmojawao alikua ni Mudi, mwengine ambae ndio mkubwa alikua ni Mr. Bukuru ambae ndio mwenyekita wa mtaa wetu, na wengine walikua ni vijana wawili wa palepale mtaani kwetu.

    "Sista white.. kwanza samahani sana kwa kukukatishia usingizi wako.. wenzako tumepata msiba..!" Aliongea kwa upole kabisa mwenyekiti wa mtaa..

    Nilishtuka kidogo, lakini nikajipa moyo japo nilijua hakuna mtu aliyeniona.

    "Msiba wa nani tena..!" Nami niliuliza kujifanya sijui kitu.

    "Msiba wa mchezaji wetu mmoja tulimkodi kutokea Morogoro timu ya Mtibwa B" aliingilia Mudi kwa huzuni.

    "Ilikuaje sasa.. au alikua anaumwa..!" Nami niliuliza huku nikiwa na huzuni ya kuigiza.

    "Dah.. si unajua wachezaji bwana.. amekutwa amekufa kule bondeni huku uume wake ukiwa umekatwa.. sasa hatujui ilikuaje..!" Alishindwa kumalizia mwenyekiti.

    "Kwahiyo sasa tunafanyaje..!" Niliuliza kutaka kujua dhumuni la wao kuja kwangu, japo moyoni nilishajua.

    "Hapa ndio tunahitaji tumsafirishe usiku huuhuu tumpeleke kwao.. tumekwama gharama..!" Alisema mudi.

    Basi hata sikuongea sana, niliingia ndani na kutoka kisha nikamkabidhi mwenyekiti shilingi laki mbili.

    "Poleni sana jamani, tujulishane asubuhi..!" Niliongea huku nikifunga mlango wangu na kujitupa kitandani, hapo niliwaza sana hatma ya mwili wangu..

    Nililia sana kwa kile kilichotokea, nikajioni bado ni muuaji tu..

    Kwa hakika nilikata tamaa ya kuishi maisha ya ndoa, hapo likanijia wazo la kuingia kwenye mambo ya usagaji, hivyo ni bora nimtafute mwanamke wa kunisaga ili nipunguze hamu yangu kuliko kuendelea kuua watu bila hatia..

    Nililia hata sijui nililala saa ngapi.



    Asubuhi ya siku iliyofuata niliamka saa sita mchana, nilichukua bodaboda hadi masiwani shamba kwa mtaalam wangu, ambapo nilimuelezea juu ya mkasa wa jana.

    "Kilichotokea jana sio tatizo lako wewe, bali ni tatizo la yule kijana mwenyewe.." kauki hii ilinipa nguvu kidogo japo sio sana.

    "Kwahiyo sio mimi hata kidogo..!" Niliuliza kwa furaha.

    "Ndio tena leo nilipanga nikujaribu mwenyewe ili uamini ninachokuambia..!" Hee mganga huyu kumbe mwehu jamani.. eti anataka kunijaribu tena..

    Basi tuliingia ndani ya kibanda chake kilichopo maporini huko.

    Alivua nguo zake zote na kubaki kama alivyozakiwa, akaanza kunivua na mimi kisha akanipaka dawa zake.

    Alianza kwa kuniandaa vyema kabisa.

    "Mmh.. yees.. aishhh.." nilianza kugugumia mautamu baada ya mganga kuninyonya kisimi changu kwa ustadi wa hali ya juu kabisa.

    "Ooohhpssss... Oooohhh.. shiiiiii....ttttt,! Iooo.. uta..mmuu.. yeeees ... Oooh.. nooo...!" Nilizidi kupiga kelele wakati mganga ananisugua kisimi changu huku akikinyonya mpaka nikakojoa.

    Hee.. mwenzangu..

    Huyu mganga alikua anakosea njia kila wakati na kunitia kidole cha matak**ni.

    Akajiandaa kuniingiza dudu lake refu kwelikweli, nikamzuia kwanza na kuomba poo..

    Kisha nikamwambia aingize taratibu maana mimi nilikua ni bikra.

    "Mbona najua kama wewe ni bikra..!" Alinijibu mganga huyo huku akiushika uume wake na kuanza kuulengesha katika pango langu..

    "Ooow..!" Hee huyu mganga alinishtua kweli, nikajua tayari ameshapata madhara kama wenzake, kumbe alikua akinitania tu huku akitabasamu.

    "Ingiza basi jamani.. mwenzio tayari hamu.. yaani.. dah..!" Nilimlalamikia mganga huku nikijigeuza na kumuachia mganga mzigo ajisevi mwenyewe.

    Wakati anakigusisha kichwa cha uume wake na tobo langu, ghafla nikamsikia akisema kwa sauti.

    "We mtoto utaniua wewe.. unaniua wee.. unaniuaaaaa...!" Heee.. mimi nilijua kama kawaida yake ya kufanya masihara, ghafla nikamshuhudia akidondoka kama mzigo.

    Nilipomuangalia vizuri, niliona uume wake ukiwa umekatwa huku damu za puani na mdomoni zikitoka kama kawaida.

    Ghafla nikaouna ule moshi mzito ukitoka katika tundu za pua na masikioni mwa yule mganga.

    Moshi ule ulikua mweusi ajabu, ulizidi kuongezeka na kuwa kiza kitupu mule ndani.

    Ule moshi ukaanza kujitengeneza na kuwa umbile la jitu kubwa na nene kweli.

    Moyo wangu ulizidi kwenda mbio huku nikijikuta nikipoteza fahamu.



    Nilikuja kuzinduka ilikua tayari ni usiku, lakini cha kushangaza nilijikuta nikiwa nimelala ufukweni mwa bahari, nilipoangaza huku na kule nilishapajua ni sehemu gani, nilikuwa nipo katika ufukwe wa bahari ya raskazone maeneo ya Tanga.

    Basi hata sikujiuliza nilifikaje pale, kwanza nilipanda pikipiki hadi nyumbani, nikaingia ndani ili nichukue pesa ili nikamlipe mwenye pikipiki, heee.. jamani haya sasa yalikua maajabu.

    Eti ile pochi yangu niliyoiacha kwa mganga, niliikuta ipo kitandani kwangu, niliifungua na kukuta kuna pesa nyingi zaidi ya nilizoziweka.

    Mbaya zaidi kulikua na pete nzuri ya dhahabu inayong'aa hatari..

    Looh.. mwenzenu hapo nilishindwa kujizuia, nilitoka nje na kumkabidhi yule dereva wa pikipiki pesa yake na kurudi ndani.

    Mungu wangu, hakika sikuweza kuamini kile nilichokiona, eti nilikuta kitandani kwangu limewekwa gauni zuri jeupe kama wanalovaa mabibi harusi, hapo ndipo nilipoishiwa nguvu na kujikuta nikipoteza fahamu kwa mara nyengine tena..





    Nilikuja kuzinduka ilikua tayari kulishakucha, nakumbuka ilikua ni saa4 asubuhi ambapo niliamka na kujikuta nimelala kitandani jambo ambalo hata sikulifanya, kumbukumbu yangu ya mwisho inasema nilidondoka na kupoteza fahamu palepale mlangoni kabla hata sijafika kitandani, sasa inakuaje niamke nikiwa nipo kitandani.

    Wakati najiuliza maswali hayo hayo mara ghafla nikasikia mlango wangu ukigongwa, nilinyanyuka ili nikaufungue, hee ile nafungua tu nikamkuta mvulana mzuri ajabu huku akitabasamu, yule mvulana wala hakusema kitu aliingia mpaka ndani bila ya kukaribishwa.

    Alipoingia tu ndani harufu ya chumbani kwangu ilibadilika na kunukia harufu ya mafuta mazuri, yaani kama mchanganyiko wa marashi na karafuu.

    Yule kijana alizidi kuniangalia usoni kisha akaanza kwa kusema.

    " Hivi Leyla unaijua thamani yako..?" Aliniuliza swali ambalo hata sikulitarajia.

    "Sikuelewi unajua.. kwanza haujajitambulisha halafu unaniuliza vitu ambavyo binafsi vinaniumiza kichwa..!" Nilijibu kwa hamaki.

    " Leyla.. mimi naitwa.. aaah.. jina nitakutajia mwishoni kabisa, kwanza nilikuandalia nguo pamoja na pete jana usiku hapo kitandani kwako, lakini nikagundua bado hujawa tayari kunipokea kwani kila nilipokua nikijitokeza katika umbo langu halisi ulikua ukizimia..

    Sasa leo nimekuja katika umbile kama lenu binaadamu wa kawaida.." alisema yule kijana ambapo hata sikuweza kusikia maneno yake amalizie kwani nilishapoteza fahamu zamani baada ya kujua kuwa kumbe hakua binadamu wa kawaida.



    Nilikuja kuzinduka saa7 mchana, na kilichonishtua ni adhana iliyokua ikipigwa msikitini, hapo niliamka na kusimama kutaka kwenda kujimwagia maji, lakini nilipoangalia kwenye kochi nilishtuka baada ya kumuona tena yule kijana akiwa amekaa huku akiniangalia.

    "Huna haja ya kuniogopa Leyla.. taratibu utaizoea hali ya kuonana na mimi, hakika wewe ni binti mwenye bahati sana..

    Kwasasa hivi nawahi kwenye kikao ila nitakuja kukuchukua usiku nikupeleke sehemu ambayo hutakuja kuisahau katika maisha yako.." Alimaliza kuelezea mtu yule na kupotea palepale.

    Yaani mtu yule kama alikua anajua kitu kilichomo moyoni mwangu, kwani nilijishangaa safari hii nilimsikiliza mpaka mwisho bila ya kuzimia..



    Basi nilikwenda kuoga na kurudi ndani kuvaa, kisha nikaenda kutafuta chakula.

    Niliporudi nilikuta kitandani kwangu limewekwa lile gauni la jana usiku pamoja na ile pete, kwa pembeni kulikua na kikaratasi cheupe.

    Nilikwenda kuichukua ile karatasi na kuanza kuisoma.

    "Hilo gauni na pete utavaa siku utakayokua tayari kunipokea ili ulimalize tatizo lako, mimi sio binadamu wa kawaida ila kamwe siwezi kukudhuru kwani wewe ndie kiumbe ninaekupenda, naahidi kukulinda na kukutimizia kila utakachohitaji, mengi zaidi tutaongea usiku nikija kukuchukua..!" Looh.. mwenzenu nilichoka hoi baada ya kumaliza kukisoma kikaratasi kile, moyo wangu ulikua ukienda mbio sana, ghafla nikajikuta nakaa chini na kuanza kulia bila kujua hatma ya maisha yangu itakuaje.



    Siku hiyo nilishinda ndani bila kutoka nje kabisa, nilikua nikijaribu kutafakari juu ya nini cha kufanya ili niiepuke mitihani inayokua ikiniandama kila siku.

    "Sasa mimi nimekosea wapi..! Mbona toka nilivyozaliwa kwangu ni mitihani tu.. eeh.. mungu wangu..!" Nilijikuta najiuliza bila kupata majibu huku machozi yakizidi kunitoka.

    Sijui hata ilikuaje nikajikuta napitiwa na usingizi.

    Nakumbuka ilikua saa4 usiku baada ya kumaliza kula, nikaenda chooni kujimwagia maji ili nijiandae kulala.

    Nikiwa chooni najipaka sabuni, ghafla nikasikia harufu ya marashi na karafuu, nikahisi ni ile harufu ya kama mchana, hivyo ilinibidi ninawe maji usoni harakaharaka kutoa sabuni ili niweze kufumbua macho, loh.. tobaa.. yule mtu wa mchana alikua amenisimamia mbele yangu huku akinikodolea mimacho yake.

    "Wewe umeingiaje huku..!" Nilijikuta nauliza huku nikiwa natetemeka na kujiziba kwenye uke wangu ili asinichungulie.

    "Huna haja ya kunihofia Leyla.. siwezi kukudhuru naomba uniamini, naamini hautajuta kukutana na mimi katika maisha yako.. nakusubiri tuondoke.." Alisema yule mtu na kupotea palepale.

    Basi kwa wenge nililokuanalo hata sijasubiri nimalize kuoga, nilichukua taulo na kuanza kujifuta maji na mapovu, kisha nikatoka hadi ndani kwangu ambapo nilimkuta yule mtu akiwa amekaa kwenye kochi kunisubiria.

    Aliniambia nivae nguo yoyote niipendayo lakini ni lazima iwe ni nguo yenye rangi nyeusi..



    Basi baada ya kumaliza kuvaa alinisogelea na kunishika mikono yangu miwili kwa mbele huku akiniangalia usoni kwa jinsi nilivyokua nikimuogopa, kisha akaniambia nifumbe macho yangu.

    "Haya fumbua.." Aliniambia maneno hayo yule mtu.

    Heee.. jamani.. nilipofumbua macho yangu nilishindwa kujua pale nilikua nipo wapi, ila nilichokijua ni kuwa tulikua tumekaa juu ya jiwe kubwa sana mfano wa jabali ambalo kwa chini lilikua limezungukwa na maji ya bahari..

    Hakika niliogopa sana..

    "Hapa tupo wapi jamani..!" Niliuliza kwa uoga wa kuogopa kutupiwa baharini.

    "Usiogope Leyla.. hapa upo katika ufalme wangu, hakuna kiumbe mwengine yeyote mwenye mamlaka ya kupita maeneo haya..!" Alijisifu yule mtu.

    "Sasa huku tumekuja kufanya nini..?" Nilizidi kuuliza kwa hofu kubwa.

    Badala ya kunijibu, yule mtu alinyoosha kidole chake mbele na kuniambia.

    "Angalia pale mbele Leyla.. kuna kitu nataka ukijue leo..!" Aliniambia mtu yule ambapo nilishanga kuona imekuja kama scrin au tv kubwa mbele yangu na kuonyesha matukio ambayo mwanzo sikuyafahamu, ila baadae ndio nilianza kuyafananisha.

    Katika Tv ile niliweza kumuona mama mmoja akiwa anagombana na mawifi zake kwakua alikua hapati mtoto, ndipo alipoamua kwenda kwa mganga wa kike kuomba amsaidie.

    Yule mama aliingiziwa mimba na yule mganga wa kike kwa njia za miujiza kwa kutumia maji ya bahari, ambapo alipewa masharti na makubaliano kuwa lazima amtoe kafara mumewe ambae kifo chake kilipangwa kiwe siku ambayo atakayojifungua mtoto huyo.

    Pia baada ya mtoto huyo kuzaliwa, lazima aolewe na mrithi wa utawala utakaokuwepo kwa kipindi hicho..

    Heee.. jamani.. eti katika ile Tv niliweza kumuona yule mama mganga ambae ndio mlezi wangu wa Zanzibar.

    Mh.. kiukweli nilichoka sana.

    "Yule mama aliyekua anatafuta mtoto, ndio mama yako mzazi, nimeona nikuonyeshe japo sura yake angalau umuone mlivyofanana..! na mrithi wa utawala kwa sasa ndio mimi.. ila sitokulazimisha uolewe na mimi Leyla.. nenda nyumbani ukafikirie kuhusu hatma ya maisha yako kwanza..!" Alisema mtu yule na kutaka kuondoka, lakini kabla hajaondoka nilimuuliza swali.

    "Na kwanini kila mwanaume ninaekutananae kimapenzi unamuua..? Kama haunilazimishi unioe kwanini usiniache huru sasa niishi na binadamu wenzangu.!" Nilimuuliza huku nikilia kwa uchungu.

    "Leyla.. mama yako aliingia mkataba na viumbe wengi sana bila ya kujua.

    Katika viumbe hao, wapo viumbe wazuri na wabaya pia, jukumu langu kwako lilikua ni kukulinda ili uwe salama, ila kuhusu tatizo la kuuwa hao binadamu ni la viumbe wabaya ambao nao watakuja kutaka kukuoa pia, ila kama utanikubalia nikuoe mimi hawatoweza kukufikia kamwe na tatizo hilo litaisha kwangu..

    Kwa sasa nenda kafikirie, ukihitaji msaada wowote na wakati wowote ivae ile pete tu nitakuja hapohapo.. kwaheri Leyla..!" Hayo ndio yalikua maongezi ya mwisho ya yule mtu.



    Mara ghafla nikajikuta nipo kitandani naamka, kumbe tayari kulishakucha..







    Basi nilikaa pale kitandani kwa muda mrefu sana huku nikitafakari kama ile ilikua ni ndoto au ndio uhalisia wenyewe.

    Nikiwa kwenye mawazo hayo, simu yangu iliita, nilipoiangalia kwenye kioo ili nijue ni nani aliyekua akinipigia wala hapakua na jina wala namba iliyokua ikionekana katika kioo cha simu, jambo ambalo kidogo lilinipa mashaka.

    Basi niliipokea ile simu na kuweka sikioni kusiliza.

    "Habari Leyla.. vipi umefika salama? Nilikua nataka nijue hilo tu..!" Iliongea sauti hiyo.

    Nilishindwa kujibu na kujikuta nikikata simu, kwani ile sauti nilishaijua ni ya yule mtu aliyekuja kunichukua usiku.

    Ni hapo ndipo nilipogundua kuwa kumbe sikuwa nikiota, bali ulikua ndio ukweli wa maisha yangu, nililia sana mpaka machozi yakinikauka, nikajikuta kama naiona ile picha ya marehemu mama akiwa anaenda kwa mganga kutafuta mtoto, nayaona maongezi yao na yule mganga kuhusu mikataba na kafara zinazohitajika.

    Kiukwelli moyo wangu uliniuma sana na kuanza kushusha lawama kwa marehemu mama, lakini kwa upande mwengine nilianza kumuonea huruma mama na hasa nikikumbuka jinsi alivyodhalilika na kunyanyaswa na wifi zake kwakua hana mtoto, basi nilijikuta nikiwa njiapanda huku nisijue cha kufanya.



    Kichwa kiliniuma sana kwa mawazo, niliwaza ikiwa waganga wanaomba msaada kwa hawa majini, basi hakika majini ni wakubwa kuliko waganga na ndio maana kila mganga anashindwa kulitatua tatizo langu.

    Hivyo kwakua majini wameumbwa na mwenyezi mungu, basi ni vyema sasa nikajikabidhishe kwa mwenyezi mungu kuliko kukimbilia kwa waganga.

    Basi siku hiyo nilitoka na kwenda kwa mzee mmoja ambae ni mchungaji wa kanisa, ambapo nilimuelezea matatizo yangu yote huku nikiwa nalia kwa hasira za kuteseka kwangu.

    Yule mchungaji aliniomba jioni ya saa kumi niende kanisani kwao ili ashirikiane na waumini wote kuniombea, kwani maombi ya wengi mungu huyapokea haraka mno.



    Nilirudi nyumbani na kujitupa kwenye kochi, hee.. mwenzangu eti usingizi ulinipitia na kujikuta nikipitiliza muda wa kwenda kwenye ibada ya kuombewa, nilikuja kuzinduka saa moja usiku, tena kilichokuja kunishtua ni sauti ya mtu aliyekua akigonga mlango kwa muda mrefu bila kuitikiwa.

    Basi nilisimama na kwenda kuufungua mlango huku nikiwa nimejifunga kanga moja tu bila kuvaa chupi kama kawaida yangu, kiukweli chupi sikupenda kabisa kuzivaa, na wala sikua na sababu za msingi.

    Nikawa najiuliza ni nani aliyekua akigonga mlango ule.

    "Haa.. james.. karibu ndani jamani dah..!" Nilijikuta nikitabasamu baada ya kumuona james ambae ni kijana wa yule baba mchungaji.

    "Baba ameniagiza nije nikuite maana wamekusubiri kanisani wala haukutokea, sasa ndio amerudi na kuniagiza nikwambie kuwa wanakusubiri nyumbani..!" Alisema james na kusimama kutaka kuondoka, lakini alipofika mlangoni aligeuka nyuma na kusema ni bora aniombee kidogo.



    Basi alinisogelea na kuniomba nipige magoti, alinishika kichwa changu na kuanza kuniombea.

    Tukiwa katika maombi hayo, ghafla nikasikia nyege za ajabu zinanitawala, jamani nyege hizi kwangu hazikua ni nyege za kawaida, nyege za kuhitaji kukunwa ziliniwasha hatarii..

    Nilijikuta nikimvuta james hadi kitandani kwangu huku nikimlaza na kumkalia kwa juu, wakati huo nilishautoa uume wake na kuanza kuunyonya, kiukweli hii haikua akili yangu, sijui ni nini kilinipata mpaka nikajikuta nafanya haya.

    "Jesus.. hapendi.. sis..ter.. whit..te.. ooops. Oooohohoo... Yeah.." nilimnyonya uume james huku akilalamika kuwa yesu alikua hapendi kile ninachokifanya, lakini mwisho utamu ulimkolea na kujikuta akilia kwa mahaba.

    Loh.. jamani.. kumbe james naye alipandisha mizuka ya kwao jamani, unaambiwa alinigeuza na kuanza kuninyonya kisimi changu kwa ustadi wa hali ya juu.

    "Ooohh.. shiiit.. oooh.. my .. god..!" Nililia kwa mahaba mpaka nikaanza kufika kileleni, jamani nyege zilinizidi mpaka nikaanza kumshika james kichwa chake ili asikitoe kwenye kinena changu.

    "Yesss.. james.. unaweza... Yeah.. nakari..bia ... Mwe..nza..ko... Yeees... Nafi..ka... Haaas.. ooopss.. nakojoa... Ooooh.. my. Go.oood.. !" Nilijikuta nikipiga kelele za kufika kileleni huku nikiwa kama nimevurugwa kwa utamu ule niliokua nikiusikia kutoka kwa james.



    James alisimama na kuvua nguo zake zote na kubaki kama alivyozaliwa, alikua ameusimamisha mnara wake vyema karibu na uke wangu tayari kwa kutafuta network..

    Lakini ghafla nikashuhudia uume ule wa james ukikatika na kudondoka chini, hiyo haikutosha bali safari hii hadi kichwa chake kilikatika na kudondokea pale kitandani kwangu huku damu zaidi ya lita kumi zikiwa zimetapakaa chumbani kwangu.



    Hapo ndipo nilipokuja kuwa katika akili yangu ya kawaida, nilianza kulia kwa kwikwi huku nikiziba mdomo nisijue ni nini cha kufanya, lakini nikawaza kwanini nisikimbie.

    Basi wazo la kukimbia ndio lililokua bora kwangu, nikaanza kupanga nguo zangu harakaharaka, kisha nikajimwagia maji kutoa nuksi kidogo, nikachukua pochi langu na kuweka begani na kuanza kutembea kuelekea mlangoni ili nitoke, lakini kabla sijafika mlangoni nilishtushwa na sauti iliyokua nje ya mlango huo iliyokua ikigonga mlango wangu.

    "Nilimtuma muda mrefu sana james kuja huku.. yaani watoto wengine bwana.. hodi hodi bi Leyla..!" Hee.. sauti hiyo ilikua ni ya baba mchungaji, kumbe alikuja kumuulizia mtoto wake ambae alimtuma kwangu muda mrefu uliopita.



    Hapo nilijikuta nikikaa kimya nikizidi kusikilizia.

    "Au Leyla naye atakuwa hayupo..!" Aliuliza baba mchungaji.

    "Yupo bwana, na james alivyokua anaingia mimi nilimuona na nilikua hapa nje muda mrefu wala sijaondoka, sasa atakua amepitia wapi..?" Ikikua ni sauti ya mama mudi, ambae ndio mama mwenye nyumba yangu, huyu mama alikua mmbea ajabu kwa kufatilia mambo ya watu.

    Hofu ilinitanda mwilini na kujikuta nataka nitoke kwa nguvu niwasukume ili nikimbie.

    Lakini kabla sijafanya hivyo nilimsikia mchungaji akipiga kelele.

    "Haaa.. jamani hii si damu hii inatokea humu ndani..!" Aliongea kwa kushtuka mchungaji yule baada ya kuona damu ikipitia chini ya mlango wangu kuelekea nje.

    Hapo nilichoka hoi..

    "Au kuna kitu kibaya kimewapata.. hemu vunjeni huo mlango kwanza..!" Aliongea mama mudi huku akijaribu kufungua mlango wangu..





    Moyo wangu ulikua ukienda mbio hatari, nikaona katika hili tukio la leo siwezi kutoka hata ukitokea muujiza gani.

    Basi nilikua nikiangaika huku na kule mule ndani kutafuta sehemu ya kujificha lakini wapi, yaani ilikua ni kutapatapa tu.

    Nilisikia kishindo kikubwa kikilia puuu..! Mungu wangu walikua ni vijana watatu wakiwa wameshika kinu kikubwa cha kutwangia kisamvu huku wakigonga mlango kwa nguvu na kufanikiwa kuuvunja, hatimae mlango ukafunguka.



    Niliweza kuushuhudia umati mkubwa wa watu ukiingia ndani kwangu, nilijikuta nikikaa chini pale pale karibu na mlangoni kusubiri wanimalize.

    Hee.. mwenzangu hata sijui nini kilitokea, eti watu wote walinipita pale chini na kwenda moja kwa moja hadi kitandani na kuuchukua mwili wa james huku wakilia kwa huzuni.

    "Huyu mwanamke kumbe mshenzi sana enhe.. anauwa watu halafu anakimbia.. na hata sijui katokea wapi, maana muda wote mimi nilikua hapo nje..!" Alisema mama mudi huku akinilaani kwa kitendo kile cha uuaji.

    Hapo ndipo nilipogundua kuwa kumbe wale watu walikua wakinipita pale chini bila kuniona, mwanzo sikujua ni kitu gani kilichotekea katika mwili wangu, sasa nilipojiangalia vizuri mikononi mwangu kumbe nilikua nimeivaa ile pete ya yule jini aliyetaka kunioa.

     

     

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog