Search This Blog

Thursday, 24 November 2022

SHANGA YA BIBI ILIVYONIPA UMAARUFU (2) - 3

 

     

     



     

    Chombezo : Shanga Za Bibi Zilivyonipa Umaarufu Season 2

    Sehemu Ya Tatu (3)

     







    Tulipoishia......Kidawa kapata njia ya kurudi duniani ambayo inapatikana kwenye bustani ya nguva, lakini masharti yake ni mpaka ajenge urafiki na nguva...Je atafanikiwa?



    Songa nayo.....



    Jabir alirudi akanikuta ndani nimelala, alifika akasimama kisha akasema...

    "Naona ulikuwa na mgeni,Zahra alikuwa humu?"

    "Ndiyo kaondoka muda si mrefu",nilimjibu maana Zahra ni yule wifi yangu niliyepanga nae njama za kutoroka!

    Jabir alifika akavua nguo zake akabaki uchi kama alivyozaliwa!

    Pamoja na kuwa na hasira za asubuhi lakini huwezi amini nilijikuta kila kitu kimepotea nikapata hamu ya kufanya mapenzi hadi vinyweleo vikasimama!

    Nilisimama nikaenda bafuni nikajimwagia maji nikamuosha Kidawa .

    Moyoni Nilitamani Jabir aje anisugue bafuni lakini Wala hakufanya ivyo.

    Si unajua utamu wa ugali kubadili mboga sio kila siku msusa inachosha,inatakiwa leo tembele kesho mchicha!

    Nilijikoholesha ili hata ajiongeze,wala hakufanya ivyo!Nikaona isiwe tabu nikaunyanyua mguu mmoja nikaupandisha juu ya sinki kisha nikapiga kelele nikimuita Jabir!

    "Jabir! Jabir njoo fanya harakaaaa!!!!

    Ghafla Jabir alitokelezea akiwa na imani labda nimepata tatizo Ila staili aliyonikuta nayo ilikuwa ni lazima ajiongeze tu!

    Kupitia kioo niliona bakora yake ilivyovimba kwa hasira!

    Hamu niliyokuwa nayo hata ningewekewa dole tu ningekojoa!

    Hakukuwa na haja ya kulambana tena!

    Jabir alinisogelea akanishika kiuno akailengesha tunduni.

    Nilichogundua bakora ya Jabir ilikuwa inabadilika badilika haipo katika umbo maalaum.

    Maana Safari hii ilisimama kwa kuangalia juu na kichwa chake kilikuwa kikubwa kiasi tofauti na mwanzoni kilikuwa kikubwa sana!

    Hasikwambie mtu kuna utamu wake bakora ikiwa ndiyo inazama tunduni.

    Akili na mawazo yote yanakuwa huru kumkaribisha mgeni!

    Bakora iliteleza taratibu nikaipokea kwa sauti tamu ya puani!

    "Aaassiiiiiihhh!nipe babaaaa! weka yoteeeehhh!"

    Taratibu mpaka ikafika mwisho,Kidume akaanza kunipa utamu,akizungusha nyonga yake taratibu!!

    Sikuwa nyuma Kidawa,kama mnavyonijua Kungwi Kidawa sinaga kujibana,linapokuja suala la mapenzi huwa naachia akili na mwili wangu wote uwe huru!

    Sio unafanya mapenzi unawaza vikoba inahuu......!

    Au unafanya mapenzi una wasi wasi na mimba kalenda huzijui?

    Utaskia eti ooh baby mwangia nje,akili yote inawaza mwangia nje utafika kileleni sangapi?

    Na msipofika mnamtafuta mchawi shauri yenu mtakaa mnauskia tu utamu wa bakora kwa jirani wakisimulia!! (Chonde mi sio mwalimu mnaonifuata inbox jaman jamani taratibu)??????

    Jabir alijua kunipa raha huyu mwanaume,bakora yake ilinifika kunako ikanikuna kipele changu,kojo likanimwagika......

    Jabir alijua kunifaidi alinipa utamu kama alijua nataka kumtoroka!

    Baada ya mechi kali nilipitiwa na usingizi mzito!!!

    Nikiwa ndotoni niliota ndoto eti niko shimoni, ndani ya shimo ambalo mi refu sana kiasi kwamba nikiangalia juu sioni!

    Ila niliskia tu sauti ya baba na mama wakiniita huku wanalia!

    Nilishtuka sana nikajikuta nipo kitandani peke yangu Jabir hakuwepo alishaondoka zake!!!

    Niliumia sana,ile ndoto ilinikumbusha wazazi wangu nikalia sana!

    Niliapa kesho lazima niende kwenye bustani ya nguva!!!



    ********"""""**********



    Kitendo alichokifanya Sabrat kilikuwa kidogo kwake ila kilileta taharuki kubwa!

    Vyombo vya habari vilipamba moto vikizungumzia mbuzi aliyekufa kwa kunyonywa damu!

    Kwa Sabrat hata alivyoona hakujali aliendelea na Mambo yake kama kawaida!



    Siku moja akiwa nyumbani baba yake Kidawa alipiga simu!

    Akaichukua akaipokea...

    "Halo baba shikamoo..."

    "Marhaba mwanangu!"

    "Jamani nimewamiss ntakuja kuwasalimia!"

    "Usijali mwanangu tunajua uko bize!"

    "Mmh!hapana baba itabidi nije!"

    "Sasa mwanangu kilichofanya nikupigie simu kwanza ni kukusalimia, pili ni kuwa mwanangu kuna ndoto tumeota ambayo tunahisi Ina kheri ndani yake!"

    "Ndoto gani baba!"

    "Nimeota mimi na mama yako tupo kwenye ukumbi mkubwa tena kwenye ndoa yako mwanangu unafunga ndoa,na kingine nilipomwambia mama yako pia naye kaota ndoto kama hiyo!"

    "Jamaniiii babaaa!!"

    "Sio jamani Ila tumehisi ni jambo la kheri sana kwetu na kwako pia,sasa tunakuuliza mwanetu unafikria nini kuhusu suala la kuolewa?"

    Sabrat alijua nini maana ya ndoto ile,alijua kabisa wazazi wa Kidawa walichukuliwa wakapelekwa ujinini kushiriki ndoa ya Kidawa na ndiyo maana hata walivyoota ndoto zao zinafanana,sababu walikuwa sehemu moja na kwenye tukio moja!!

    Sabrat alivuta pumvi ndefu sana!Akifikria ni nini afanye ili wazazi wa Kidawa wasahau ndoto ile,maana ni rahisi kwa watu wenye utaalamu na Mambo ya majini!

    Anajua alichokifanya baada ya sekunde tu baba Kidawa akabadili mada!

    "Unaenda dukani leo?"

    "Ndiyo baba basi nakuja ntapitia hapo!"

    Sabrat alikata simu akacheka sana,Kisha akaelekea kwenye jokofu ambapo alikuta minofu kadhaa.

    Lakini nafsi yake ikataka kula nyama ya moto au damu ya moto iwe ya binadamu au mnyama!

    Akasimama mwili wake ukabadilika lakini kabla hajaondoka Jabir akatokea!

    "Sabrat unataka kufanya nini!!???"



    Tulipoishia...... Sabrat anatamani kunywa damu,mwili wake unabadilika anakuwa jitu la ajabu ila kabla hajatoka kwenda kutafuta iyo damu Jabir akatokea na kumzuia...



    Songa nayo.....



    "Sabrat unataka kufanya nini!?"

    "Jabir!!",Sabrat alishtuka akajirudisha kuwa kawaida! Hakutegemea kumuona Jabir muda ule!

    "Sabrat!unakumbuka uliua mbuzi nchi ikasimama?Sasa unataka kuua mtu??"

    "Lakini Jabir unajua mi ukoo wangu nimezoea kula nyama za watu nimemiss!!"

    "Lakini uliniahidi utabadilika,ona sisi mbona hatuli binadamu na tuko poa!"

    "Mi na wewe ni tofauti!"

    "Unataka nikurudishe ujinini?na ukumbuke nina marafiki wengi wanaoweza kuja kuishi kama Kidawa huku duniani!"

    Sabrat alinywea akawa mdogo kama kidonge cha mafua!

    "Samahani Jabir!"

    "Na usisahau Kidawa ni mtu maarufu unapovaa sura yake jichunge usimchafue hata kidogo!"

    Waliongea Kisha Jabir akaondoka zake kurudi ujinini!

    Sabrat aliinuka akaenda kwenye friji akachukua vipande vya nyama mbichi akaanza kula kwa jazba,akiamini Jabir kamzibia ridhiki!!



    *********""""*********



    Kulikucha asubuhi na mapema!Niliamka nikajiandaa kwa ajili ya kwenda kwenye hiyo bustani ya nguva!

    Nikimaliza kujiandaa nikawa namsubiri

    Zahra aje!

    Alikuja akanikuta niko tayari akaanza kuniongoza kuelekea huko bustanini!

    Safari haikuwa ndefu sana,tulifika mpaka bustanini!

    Kusema ukweli ilikuwa ni bustani iliyovutia sana!

    Kulikuwa na miti na maua mazuri yenye kupendeza sana!!!

    Maji yake yalikuwa masafi,ulikuwa ni kama mto mrefu uliozungukwa na maua mengi pembeni yake na hata ndani ya maji yalielea maua yaliyopendeza sana!

    "Mbona hakuna nguva hapa!",nilimuuliza Zahra baada ya kukuta bustani nzuri lakini nguva hawakuonekana!

    "Inatakiwa tuandike majina yetu kwenye maji,wao watajua hapa kuna ugeni watakuja lakini kila mtu inabidi akae upande wake maana kuna wengine wakiandika majina yao huwa hawatokei kama hawajakupenda!"

    Nilishangaa Ila sikuwa mbishi moyoni nilikiri kweli kuna maajabu duniani!!

    Niliinama nikaandika jina langu kwenye maji,yaani inakuwa kama ofisi kubwa mjini ukifika lazima uandike jina mapokezi!????

    Nilipomaliza na Zahra aliandika la kwake Kisha tukakaa kusubiri hao nguva!

    Zilipita kama dakika tano ndipo nikaona kitu kinachana mawimbi kinakuja tulipo ila kilikuwa kinakuja uelekeo wangu!

    "Usiogope ndiyo nguva wako huyo!!"

    Niliogopa Ila nikajikaza basi yule nguva aliogelea hadi karibu yangu ndiyo akaibuka!

    Loh!alikuwa mwanaume mzuri mwenye asili ya kihindi,kwa jinsi kifua chake alivyojazia na sura yake ya kuvutia alifanana sana na muigizaji wa kihindi 'Ritik Roshan' maarufu kama Krish.

    Macho yake yalikuwa mazuri sana,aliniangalia kwa Karibu Kisha akaniita jina langu!

    "Kidawa!"

    Nilishindwa kuitika nilibaki na mshtuko mkubwa baada ya kutoa umbo lake kwenye maji,hakuwa na miguu Bali alikuwa na umbo kama la samaki!

    Hadithi nilizokuwa naziskia tu eti ikawa kweli ,nilihisi ni filamu lakini haikuwa hivyo!

    Mbele yangu alikuwepo nguva tena mzuri aliyenivutia haswa!

    Sijui ni nini?Ila ni kama akili zangu zilipotea nikaanza kumpapasa yale magamba yake yaliyoteleza!

    Naye alizidi kuniangalia kwa macho yake makubwa yenye kuvutia!

    "Unaitwa nani!"

    "Naitwa Farid Khan!"

    "Naweza kuwa rafiki yako?"

    "Bila shaka!"

    Alinijibu nikageuka kumuangalia Zahra ambaye mpaka Sasa bado nguva wake hajaja!

    Tulipokutanisha macho alinikonyeza akionyesha kufurahia kile nachofanya!

    "Niko na mwenzangu unaweza kumruhusu asogee hapa!"

    "Bila shaka!"

    Tabasamu la Farid lilikuwa mwiba nilihisi linanichoma na kuniunguza moyoni!!!

    Zahra alikuja akamsalimia Farid...

    "Asalam aleykum"

    "Waleyka msalamu"

    "Zahra huyu ni rafiki yangu anaitwa Farid!"

    Tulikaa tukaanza kupiga stori za hapa na pale kisha Farid alizama chini ya maji aliporudi alirudi na matunda kama ya duniani!

    "Eehh!nanasi Farid umetoa wapi!?"

    "Kuna bustani huku chini ya maji!"

    "Natamani kuiona!"

    "Usjali kesho kama ukija tena ntakupeleka!"

    Basi tulipiga stori nyingi Kisha si tukamuaga kukaondoka!

    Ucheshi wa Farid ulinifanya nianze kumuona Jabir kama katili maana alikuwa hana muda hata wa kukaa na mimi!

    Muda mwingi alikuwa bize kama hayupo duniani basi yupo sehemu kwa Mambo yao ya kijini!

    Nilirudi nyumbani nikiwa na matumaini makubwa sana ya kurejea tena duniani!

    Nilimkuta Jabir amekaa kitandani akiwa amenuna hatari aliponigeuzia macho yake,yalikuwa kama yameungua moto.

    Yalikuwa meusi halafu yanatoa moshi!!!

    Niliogopa nikarudi nyuma nikagota ukutani!







    Tulipoishia...... Kidawa kapata matumaini ya kurejea tena duniani,lakini katika kutafuta namna ya kutoka ujinini,anarudi nyumbani anakuta Jabir kanuna macho yake yamekuwa meusi yanatoa moshi...



    Songa nayo....



    Niliogopa sana nikajua leo siku zangu za kuishi zimekwisha!!!

    Jabir aliniangalia kwa macho yake yaliyotisha!!

    "Kidawa!",aliniita Jabir lakini sauti yake haikuwa ile niliyoizoea ilikuwa nzito na ya kukwaruza Sana!

    "Kidawa!",aliniita tena baada ya kuona simuitikii .

    "A...a..a..bee!",niliitika kwa sauti iliyojaa huzuni na hofu!

    "Usiogope Kidawa sitakufanya lolote!,hauhusiki na hii hasira kuna kiumbe kanikera ngoja nikamfundishe adabu!"

    Aliposema ivyo alipotea ghafla,moyoni nikahisi kama siyo Zahra basi msala anao nguva Farid Khan!

    Nilihisi pengine Jabir kajua mipango yetu ivyo anataka awakomeshe wanaonisaidia!!!

    Nilifadhaika sana nikahisi uchungu kuona Farid au Zahra wanaenda kuadhibiwa kisa mimi.??

    Siku hiyo Jabir hakurudi nyumbani,nililala nikiwa mpweke kitanda kikubwa!

    Kuna kitu kilianza kuniingia moyoni ambacho sikutaka kinitawale!

    Nilianza kumpenda Jabir,tena upendo uliopitiliza!

    Nilianza kuwa na wivu sana,akichelewa kurudi nalalamika mpaka nalia!



    Usiku ulipita hatimaye kukapambazuka!

    Niliamka mapema, uzuri kule niliishi kama malkia,sikupika Wala kufanya kazi yoyote!

    Kama kawaida nilijiandaa nikamsubiri Zahra,ambaye alikuja kisha tukaongozana mpaka bustanini!

    Kama kawaida nilifika nikaandika jina langu kwenye maji kisha tukakaa kumsubiri Farid!

    Hapo ndipo nilipopata wasaa mzuri wa kumuuliza Zahra kama Kaka yake alimfuata kumuuliza chochote kuhusu sisi kuwa na njama za kutaka kuondoka!

    "Wifi unajua jana niliporudi nilimkuta Kaka yako kakasirika sana!Nikahisi pengine kajua mipango yetu!"

    "Hahahahaha!hawezi kujua chochote punguza hofu!"

    "Mmhh!na Farid je?hawezi kumfanyia ubaya?"

    "Wifi hakuna atakayejua mipango yetu mpaka siku tukitoka huku!"



    Maneno ya Zahra yalinipa moyo,nikajipa imani pengine anajua yeye alichokifanya maana alijiamini sana!

    Siku hiyo licha ya kuandika majina kwenye maji Farid hakutokea!

    Tulikaa sana kusubiri lakini hakuna kilichotokea!

    "Mbona Farid haji jamani!",nilimuhoji Zahra!

    "Sasa Zahra wewe si jini,siuangalie nini kimetokea!"

    "Hahahahaaa!"

    "Usicheke bhana mimi nina wasiwasi!"

    "Wifi mi sina nguvu hata ya kuzama huko ndani kuna ulinzi mkali sana!"

    "Kwanini?"

    "Wifi mengine yaache kama yalivyo,twende zetu nyumbani tutarudi kesho!"

    Siku hiyo hatukuonana na Farid,moyoni niliumia sana nikawa nina wasiwasi pengine hata Zahra akawa ananidanganya au ametumwa aje anijaribu!

    Nilifika nyumbani lakini sikumkuta Jabir,alikuwa bado hajarudi,nilipata hofu ikabidi niende kwa mama mkwe wangu kumuuliza!

    "Karibu binti yangu,karibu sana!"

    "Ahsante mama!"

    "Usijali mumeo ameenda vitani na baba yake,atarudi!

    "Haaaah!mama kwani na huku kuna vita!!"

    Niliuliza kwa mshangao,nikajiuliza kumbe na majini huwa yanapigana!

    Nilisimama nikaondoka zangu,nikarudi zangu chumbani!

    Nilifika nikajilaza kwenye mkeka usingizi ukanipitia!

    Nikiwa usingizini nilihisi mtu akinipapasa mapaja yangu!na vile nilikuwa nimevaa kanga na chupi tu mikono yake ilikuwa inasogea hadi inataka kuigusa papuchi yangu!!

    Kwa mbali niliskia harufu ya marashi ambayo siyo mageni kwangu,nikajua moja kwa moja ni Jabir wangu karudi!

    Nilijigeuza nikatanua miguu yangu kisha nikatoa kisauti cha puani!

    "Jabir niache bhanaaa!aah!"

    Kisauti changu kilimpa nguvu mtu huyu ambaye sasa taratibu aliifungua kanga yangu na kuniacha na chupi tu!

    Sikuweza kumuona vizuri sababu kulikuwa na giza kali sana!

    Muda huo nami tayari maruhani yangu yashaamka,naanzaje kujali kuhusu kiza??

    Ndiyo kwanza nilijibinua,na yeye alijiongeza akaishika chupi yangu akaivuta taratibu akatupilia mbali!

    Aliipanua zaidi miguu yangu kisha nikahisi ulimi unapita kwenye kitumbua changu taratibu ukisugua kisimi changu kilichovimba kwa uchu wa ngono!

    Ulimi ule ulikuwa wa ajabu kweli!ulikuwa mrefu kiasi kwamba alikuwa anauingiza pangoni hadi nahisi bakora imeshaingia kumbe bado hiyo trela movie linakuja la komando mla chambo!

    Utamu ulizidi utamu,asali si asali,sukari so sukari!

    Miguu ilitetemeka kama nimepiga na shoti!

    Nilimshika kichwa chake ili nimkandamiziepo kabisa!

    Cha kushangaza kichwa kile kilikuwa na mapembe kama ya ng'ombe!Nilishtuka kidogo sio sana,Maana kwa niliyokuwa nayaona akili yangu ilishaanza kuzoea!

    Sikujali nilikishika kichwa kile na mapembe yake ivyo ivyo nikamkandamizia hapo ili utamu unoge zaidi!

    "Aaashhhhhiiiihhh!Jabirrrrr,,,,,,nyonyaaaa . .. aahhhgh rahaaaa ooohhh!"

    "Nakojoaaaaa!!!!aaaaahhhhhhhhhh"



    Ulimi ule ulinikosha Kidawa nikajikuta nalimwaga kojo zitooo kama la punda likaruka juu na maji yake!!





    Ilipoishia........Kidawa akiwa usingizini anahisi anapapaswa,anajua ni Jabir wake,je ni nani anaemtafuna Kidawa?



    Songa nayo:



    Huyu jamaa alinipania haswa!Hakuniacha hata nivute pumzi niliposhusha tu mzigo akabandika bakora ndani!

    Sijui niseme nini Ila ile sio bakora jamani ni rungu la kipepe!

    Lilikuwa limebana sana,halafu refu kama nguzo ya tanesco!

    Nilipatikana Kidawa!Hapo nikajiuliza hivi huyu ni Jabir wangu kweli???Mbona hii bakora imevimba namna hii!

    "Baaaasiiiiiiiii babaaaa,usiweke yote uuuuhhhh!"

    Ilibidi nijisalimishe maana dude haliishi eti linazama tu nasubiri lifike mwisho halifiki,Kidawa nikakimbilia polisi??????chezea mashine wewe!!

    Aliniskiliza akaanza kuingiza taratibu taratibu, akaongeza kidogo kidogo mwisho akaanza kuchochea kuni kama anapika maharage ya makande!!

    Ogopa Sana kitu unaskia uchungu na utamu kwa mbali yani vyote kwa pamoja!Bakora inakupa raha na uchungu!

    Raha ni vile inakusugua vizur na kukukuna ipasavyo Ila uchungu ni pale inapoingia na kufika mwisho wa maungo yako!

    Ndani huko anaanza kuzigonga gololi kama anapiga kengele ya mapumziko!

    Wanasema kuna kupatwa kwa jua Ila sasa hii shoo ilikuwa ya kupatwa kwa Kidawa!!!

    Nilikojoa,nikajoa tena mpka basi!Jamaa yupo tu ananigeuza kama samaki mbichi!

    "Basiiiii imetoshaaaaaa utaniuwaaaa uuuuhhhhhh!",kwa jinsi bakora yake ilivyokuwa kubwa kadri muda ulivyozidi kwenda nilijikuta naishiwa pumzi!

    Ikabidi nimuombe mkunaji wangu aniache maana Sasa sio upele kaukuna mpaka umekuwa kidonda!

    Alianza kukoroma na kuunguruma kama simba,muda huo kaniweka staili maarufu duniani kwa jina la "doggy style " au mbuzi kagoma!

    Nilijua tu anataka kumwaga,Ila sasa tatizo kombola lake akaanza kulisukuma lote pangoni!

    Nilihisi kutapika na sikuwa nimekula Sasa sijui nilitaka kutapika nini?

    Nilihisi kitumbua changu kinalowana kwa kwa uji uji mzito!

    Nikajua tayari Mambo yamejipa,mbegu zilikuwa nyingi kiasi kwamba mpaka nikawa zinamwagika chini!

    Alipochomoa bakora yake mbegu zinamwagika chini waaaahh!

    Hapo hapo taa ikawaka nilishtuka sana baada ya kuona aliyekuwa ananipa utamu siyo mume wangu ni Kaka wa mume wangu!

    Nilimuona baada ya kujibadilisha na kuwa katika sura halisi!

    "Shemejiiiiiiiii!!"

    Nilipaza sauti muda huo nimekaa chili nimepanua miguu kama nataka kuzaa!

    Shem aliniangalia tu kisha akatoa kauli moja tu!

    "Nitarudi tena!!",aliposema ivyo akapotea.

    Nilikiangalia kitumbua changu kilivyotepeta kwa mbegu nyingi za Shem!

    Moyo uliniuma sana nilipomfikria Jabir wangu nililia sana,maana najua Jabir hata iweje n lazima ajue!

    Nililia sana kwa kweli,kuna kitu kilibadilika ndani yangu.

    Nilikuwa tofauti na Kidawa yule wa duniani,Kidawa ambaye hata kama nilipewa dozi isiyo rasmi mie kwangu poa tu!!!

    Hili janga lingenikuta kule kwetu mbona isingekuwa tabu,tofauti na sasa niko huku ujinini,na kingine kilichoniuma zaidi ni pale ambapo aliyesalitiwa ni jini Jabir,ambaye hata nilipokuwa nafanya mapenzi na watu duniani alikuwa anajua!!!

    Machozi yalinitoka,sikuwa nimejifunika hata kanga nilikuwa uchi mbegu zinatiririka kama chemchem!

    Usingizi nao ulijua kuniumbua,ukanichukua vilevile nilivyo nikapitiwa na usingizi mzito!!!



    Kumbe nulivyolala alikuja Jabir wangu akanikuta kwenye hali ile,kilichonisaidia ni machozi yaliyokuwa yamekaukia usoni!

    Roho ilimuuma Jabir alinionea huruma,akijua kuwa siyo makosa yangu!

    Alikasirika akawa mwekundu sana mishipa ilimtoka,ghafla akabadilika na kuwa jitu la kutisha sana!

    Nashukuru Mungu usingizi ulinichukua,la sivyo ningemuona alivyokuwa amekasirika!

    Alininyanyua akaenda kuniogesha huku akiwa na hasira ya ajabu sana!

    Alipomaliza akanilaza kitandani,sijui ni usingizi gani niliupata,eti hata wakati naogeshwa sikuhisi chochote!



    *********""""**********



    Sabrat alionyesha kufurahia sana maisha ya duniani kuliko ujinini!

    Sura ya Kidawa ilimpa uhuru na kuwa Karibu na watu wazito sana!

    Alishangaa jinsi Kidawa alivyokuwa anapendwa na watu!

    Madanga ya Kidawa nayo hayakuwa nyuma yaliendelea kufanya mapenzi na Sabrat yakiamini ni Kidawa wao!



    Siku moja alikuwa nyumbani hana ratiba yoyote!!Simu yake ikaita,alipoangalia namba ni mheshimiwa waziri ndiye anapiga!

    Alishtuka maana tangu aanze kuishi kama Kidawa hakuwahi kuonana na waziri!

    Maana waziri alikuwa amesafiri,kwa hiyo inshu zote zikawa kama zimesimama!

    "Halloo Kidawa!"

    "Naam mheshimiwa,shikamoo!"

    "Marahaba!nimerudi jana!"

    "Pole na safari baba!"

    "Ahsante,Ila kesho uje ofisini saa nne asubuhi!"

    "Sawa mheshimiwa!"



    Sabrat alikata simu akashusha pumzi ndefu!Kesho ambayo waziri amesema waonane ni alhamis siku ambayo huwa anabadilika na kuwa jitu la ajabu!

    Mpaka Jabir amletee Kafara ya mnyama au binadamu ndiyo akae sawa,arudi kuwa binadamu wa kawaida!

    Hapo inategemea na Jabir akiwahi atakuwa sawa Ila akichelewa lazima ataumbuka!







    Tulipoishia..... Sabrat kapigiwa simu na wazir akamwambia aende ofisini,siku ambayo ni mbaya kwake.Siku ya alhamis,Sabrat huwa anabadilika siku hii na kuwa dude la ajabu mpaka alate Kafara ya damu iwe ya mnyama au binadamu ndiyo awe sawa,unahisi nini kitatokea!



    Songa nayo........



    Mawazo yalikuwa mengi kwa Sabrat,siku hiyo hata nyama haikupanda!

    Alikosa usingizi akiwaza kesho itakuwaje?na hawezi kwenda kuitafuta kafara mwenyewe!

    Kafara ya alhamis ni lazima itoke kwa Jabir!

     

     

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog