Search This Blog

Thursday 24 November 2022

WAPANGAJI WENZANGU - 3

 

     

     



     

    Chombezo : Wapangaji Wenzangu

    Sehemu Ya Tatu (3)

     



    Lakini kabla hajafanya hivyo mara kaka yake huyo...

    "aaahhh, vipi dogo mbona kama umekaa atenshen kama unataka kuondoka"

    Aliuliza Hasan huku swai akimsalimia kaka yake,... Na kumjinu

    "aahhh nimetoka hapo bank nilitaka kumtumia mama pesa"

    Aliongea swai huku wakiingia ndani, Hassan alishangaa kuona chumba cha mdogo wake,..

    "hivi wewe Swalehe... Hizi pesa wewe umetoa wapi"

    Aliuliza hasan baada ya kuona vitu vya gharama kubwa hapo chumbani kwa swai, meza ya kioo, yv kubwa... Hicho kitanda sasa ndio komesha benki,..

    "nilijipanga broo"

    "hivi hiki kitanda umenunua au umekopa.... Mana najua vinauzwa milioni milioni hivi"

    "sasa broo utakopaje kitanda"

    "sasa mbona umenunua vitu vya ghari hivi"

    "broo,.. Mimi nataka kuoa, hivyo nimenunua vitu kifamilia, yaani hapo ndio ntolee hio sinunui kitu tena"

    Aliongea swai huku kaka yake akishangaa kuskia anataka kuoa...

    "wewe swai... Hivi unaona kuoa ni jambo rahisi sana eee"

    "broo, kwani kuoa ni nini? Unalipa mahari kisha mambo bieee"

    "ok sawa... Je huyo mwanamke umempata.. Na je kaendana na hali yako?, mana najua wanawake wa sasa hivi wanataka wanaume wenye maendeleo, ambao tayari wameshapata pesa, sasa wewe fundi ujenzi ndugu yangu, hehehehehe"

    Aliongea hasan huku swai akicheka

    "ni kweli, wanawake wa sasa hakuna... Lakini hakuna jinsi, je huyo atakae endana na hali yangu ni nani"

    "mimi sijui bwana.. We si umeamua kuoa.. We oa tu..... Haya niambie umeshatuma hio pesa"

    Hasan alimuuliza mdogo wake kama keshatuma hio pesa au laaa

    "imesha tumwa.... Ila broo wewe unaingiza kipato kikubwa kwa siku.. Umeshindwaje kutuma laki mbili mzee atoke hospitali"

    Aliongea swai huku hasan akijibu

    "ni kweli ndugu yangu... Miezi ya hivi karibuni, nimelipa kodi ya nyumba... Afu kwa bahati mbaya niliibiwa laki tatu pale baa... Huezi amini mpaka sasa hata hela ya kula sina, huu mguu wako huu"

    Aliongea hasan huku swai akimuuliza

    "wangu kivipi sasa"

    "sina hela ya kula.. Na umerudi jana, najua una kibunda"

    "brooo... Utanisamehe ndugu yangu.... Hapa unavyo ona, nina usongo wa kuoa mimi.. Hapa nabangaiza angalau ifike kiasi fulani, nitafute mchumba nione... Najichanga mahari broo"

    Aliongea Swalehe huku hasan akicheka

    "yaani swai, mimi nife njaa, afu ukusanye pesa kwasababu ya kuoa"

    "broo... Kuna elfu 50 hii hapa"

    Aliongea Swalehe huku akimpa kaka yake elfu hamsini, mana anataka kuleta maswala ta undugu wakati yeye mwenyewe anataka kufanya jambo la kheri...

    "sasa elfu 50 mimi itanisaidia nini... Yaani umenunua mavitu ya bei ghari haya, afu unanipa elfu 50 ya kula... Wewe umekula kwangu mara ngapi wewe"

    Aliongea hasan, na wakati huo swai alipandwa na hasira, na kutaka kumjibu kaka yake, lakini kabla hajajibu, mara mama Mwajuma kaingia na hotpot la chakula,.. Na leo tena kaletewa wali samaki...

    "ooohhh habari yako"

    Mama Mwajuma alimsalimia kaka yake Swalehe

    "salama tu dada hali yako"

    "aahhh safi... Aahh sikujua kama mpo wawili, ngoja niongeze chakula"

    Aliongea mama Mwajuma huku akitoka kwenda kwenye chumba chake.....

    "unaona sasa... Hawa ndio wamama wanaokula pesa zako.. Yaani unipe elfu 50, kisa ni hawa wamama"

    Hasan kaanza kumtibua Swalehe

    "broo, naomba Tuheshimiane kaka yangu... Hapa nipo kwangu.. Nakueshim broo,... Huyu ni kama mama yangu, sasa anakulaje pesa zangu"

    "kwani utasema wewe... Ulijifanya mpoleeee, ona sasa unakumbatia mibuyu tu"

    Mara mama mwaju kaja na sahani nyingine iliojaa chakula...

    "haya jamani kuleni"

    Mama mwaju wakati ule alikuja na kanga moja tu, lakini hii mara nyingine kaja kavaa vizuri kabisa... Hasan pamoja na maneno yake lakini mbele ya kula anakuwa kimyaaa... Kasema yote lakini kula haachi... Mama Mwajuma aliondoka zake na kuwaacha ndugu hao wakila chakula

    "ila mdogo wangu hii elfu 50 ndogo.. Sasa sina kazi kaka ako"

    "broo... Mimi nataka kuoa"

    "najua, lakini kwani unaoa leo... Wewe najua una kazi sasa hivi.. Kwasababu unatembea na mafundi wazoefu"

    "ivi broo unajua kwanini hukabiziwi kazi"

    "najua wapi sasa"

    "acha kulewa... Tajiri hawezi kukupa ramani ya jengo lake ukiwa mlevi... Lazima awape mafundi na akili zao, na hao mafundi ndio wakuite wewe... Jiulize mara ya mwisho kupewa ramani ya jengo ni lini"

    "mimi sijui bwana..."

    "broo acha pombe"

    "tulia basi... mbona kama taarifa ya habari bwana"

    Kaka yake swai alikuwa na maneno ya hapa na pale na kutaka kumchomoa mdogo wake pesa, lakini kakutana na kisiki cha mpingo, kwani kaambulia elfu 50 tu, tena kapewa kwakua ni ndugu yake





    BAADA YA WIKI TATU KUPITA



    Ikiwa ni wiki tatu baadae, swai akiwa anafanya kazi zake za hapa hapa mjinj, kwani hakupata kazi za kwenda nje ya jiji hilo.... Lakini leo Swalehe yupo kwa baba mwenye nyumba

    "karibu kijana"

    Aliongea mke wa baba mwenye nyumba, ambaye ndio dada yake na asha, au mama Mwajuma...

    "Ahsante mama angu... Shikamoo"

    Swalehe alikaribia na kumsalimia mama huyo...

    "marahaba baba... Karibu sana"

    "Ahsante... Ahh mama numemkuta baba (baba mwenye nyumba)"

    "ametoka kidogo... Lakini hakuna baya kama utanieleza"

    "aahhh mama.... Nina mashtaka juu ya mpangaji mwenzangu,... Nakosa raha ya maisha kwakweli, haswa kwa hiki anacho nifanyia, mpaka wapangaji wenzake hawapendi kwa kitendo anacho kifanya... Mimi nataka apewe hata notes, nateseka sana mama mwenye nyumba,.. Nikiwa kama mwanaume rijali, kile kitendo kwangu ni mateso makubwa mno..."

    "kijana?, kweli umeongea sana... Na nipo tayari kulifanyia kazi,.. Lakini huyo mpangaji ni nani?, na anakufanyiaga nini?"









    Swai alichoshwa na tabia ya mpangaji mwenzake aliokuwa akimfanyia visa kila kukicha, aligombana nae lakini bado hakutaka kusikia,... Swai aliamua kutimba moja kwa moja kwa baba mwenye nyumba na kwa bahati mbaya alimkosa baba, lakini mama mwenye nyumba alimkuta na kuanza kumbwagia matatizo yake juu ya mpangaji mwenzake,... Mama mwenye nyumba alistaajabu na kuuliza huyo mpangaji ni nani na anamfabyiaga nini Swalehe...



    "kijana?, kweli umeongea sana... Na nipo tayari kulifanyia kazi,.. Lakini huyo mpangaji ni nani?, na anakufanyiaga nini?"



    Aliuliza mama mwenye nyumba anayekwenda kwa jina la ZUBEDA, na mume wake anaitwa ZUBERI (mzee zuberi)... Hawa ni mke na mume, na mzee zuberi ni mwanajeshi mstaafu



    "yule, nanihii yule... Zahra.. Zahra ananitesa sana mama angu, sina hata raha... Nachoshwa na vitimbi vyake"

    Aliongea Swalehe huku mama akiwa makini kumkumbuka huyo Zahra

    "Zahra... Mbona sina mpangaji anayekwenda kwa jina hilo"

    Aliongea Zubeda, mana kweli Zahra sio kuwa ni mpangaji, bali mpangaji ni dada yake, hivyo kwenye swala la kodi yeye hajulikani,

    "anaishi na dada yake pale"

    "dada yake anaitwa nani"

    "aahh simjui, ila ana mtoto wa kiume hivi anaitwa Saidi"

    Aliongea Swalehe huku mama akimkumbuka

    "aaahhh ni yule mwenye mume wake anasafiri kwenda nje za nchi"

    "mmmhh mimi sijui mama"

    "basi nimesha mjua... Enhee ana shida gani huyo mdogo wake"

    Mama mwenye nyumba au Zubeda alishamjua mwanajeshi huyo, hivyo anataka kufahamu kuwa ana tatizo gani kwa wapangaji wenzake...

    "mama,... Yule binti nilimpenda kipindi cha mwanzo naanza kupangisha hapa.."

    "ina maana umempenda mke wa mtu"

    "mamaaaa... Mdogo wake sio huyo mama Saidi,.. Mdogo wake anaitwa Zahra, ndio nilimpenda na ndio msumbufu mpaka sasa hivi"

    "aaaaaa ok nikajua ulimpenda mke wa mtu"

    "ndio"

    "ok endelea sasa, ili nikalifanyie kazi"

    Aliongea mama huyo akizani swai amempenda mke wa mtu, kumbe ni mdogo wake na sio dada mtu

    "sasa yule msichana, aliniona kituko kwa wakati ule,.. Niliumia sana lakini sikua na jinsi, na pia nilitamani kuendelea kumbembeleza lakini nilikutana na kaka zangu nikawapa historia ya mwanamke ambaye nataka kumuoa, wakanishauri kuwa mke wa aina hio hafai kuwa mke... Nakumbuka nilikuwa moshi kikazi... Siku narudi nilikutana na salamu nzuri sana kutoka kwa Zahra,... Wakati hata zakwangu hakua akiitikia.. Nilishangaa mno mana haikuwahi kutokea, lakini hapo akili yanguu tayari ilisha badirika, yaani ule ushauri wa kaka zangu umesha ingia kichwani hivyo siku na mpango nae tena Zahra.... Kwahio kutoka siku hio amaekuwa mtu wa usumbufu tuuuuuuuu.... Mpaka sasa imefikia hatua ya yeye kuja kuanika nguo zake za ndani jirani na mlangoni kwangu, yaani hicho ndicho kitu anacho nifanyia na sikipendi"



    Swalehe aliongea huku mama akishangaa

    "una maana atoke kule kwenye chumba chao kule kwa mama Saidi, aje kuanikia nje ya mlango wako"

    "mama.. Mimi siongei na mate.. Twende hata sasa hivi utazikuta... Mpaka wapangaji wengine wamemfokea sio vizuri kuanika nguo za ndani jirani na mlango wa huyu kijana"

    "hapana, siamini... Hebu twende"

    Mama mwenye nyumba kiguu na njia mpaka kwenye nyumba husika



    "unaona.... Tena haaniki moja,.. Yaani utafikiri anazivaa zote hizi... Anafua nguo tano tano, anakuja kuzianika hapa... Yaani mimi nikitoka tu nakutana nazo uso kwa uso.. Mimi sipendi"

    Aliongea Swalehe huku akionyesha kwa mama mwenye nyumba,.. Na ni kweli hapo mlangoni kwa Swalehe, kuna kamba ya kuanikia nguo imepita jirani sana na mlango wa Swalehe na kwakua kamba hio ipo mlangoni, hata wakianika nguo za kawaida, wakifika kwenye mlango wanauruka na kuanika mbele yake, sasa Zahra yeye anaanika hapo hapo, tena bora basi awe anaishi hapo ndani,... Yeye yupo chumba cha mwishooooo afu anakwenda kuanika nguo za ndani kwenye mlango wa Swalehe, na kule upande wao sio kuwa hakuna nafasi, nafasi ipo lakini anakuja kuanikia kule kwa Swalehe



    "huyu msichana yupo wapi"

    Mama mwenye nyumba aliuliza huku wapangaji nao wakisema

    "atakuwa yupo ndani"

    Aliongea mpangaji mmoja aliokua akishuhudia tukio hilo,...

    "hebu muiteni"

    Mama mwenye nyumba aliongea aitwe

    "Zahra?.... Zahra??... We zaru"

    "abeeee"

    "njooo kuna kesi huku"

    Aliongea mpangaji huyo aliopewa jukumu la kumuita Zahra

    "kesi gani te"

    Zahra alitaka kutupa maneno lakini kumuona mke wa mjeshi akatulia mana ni mkali kinoma

    "Shikamoo"

    Zahra alimsalimia mama mwenye nyumba huku mama huyo akiitikia na kusema

    "Zahra??... Mwenye hizi nguo, anaishi hapa ndani au anaishi kule"

    Zubeda alimuuliza Zahra, wakati huo Zahra anajing'ata ng'ata tu

    "lakini mama,... We huoni kuna kajua hapa... Hapa zinakauka vizuri"

    "eti eee??"

    "ndio"

    "hiii milango mingine haina jua, ila wa huyu kijana ndio kuna jua"

    "hapana... Lakini kamba ni kamba tu"

    "sasa sikia... Kuanzia leo... Sitaki kusikia huu upuuzi, nitatoa notes sasa hivi.. Mtahama hapa... Huezi kuacha kuanika nguo zako kule malangoni kwenu, uje kuanika huku kwa kijana wa watu... Kwanza hizi nguo hazitakiwi kuonekana hovyo, fua anika ndani kwakp.. Sasa huku nje unamuonyesha nani... Hebu angalia nguo Karibia kumi hizi.. Ina maana umezivaa zote au... Mimi sitaki huu ujinga... Kuanzia leo sitaki kusikia huu ujinga... Afu dada yako yuko wapi"

    Aliongea mama mwenye nyumba huku akimuuliza Zahra kuwa dada yake yuko wapi

    "kaenda kazini"

    "akirudi nita onana nae"

    Aliongea mama huyo huku mama Mwajuma akisema

    "ni kweli huyu msichana kawa mkorofi sana... Ni wiki ya pili mimi huyu kijana namsaidia kumpatia chakula... Lakini kila siku nakutana na nguo za ndani za huyu binti.. Tena anazianika utafikiri anaanika shuka... Ananikera sana huyu binti, natudhalilisha sisi watu wazima"

    "haswaaaa... Tulimwambia huyu.. Aache huo ujinga wa kituanikia nguo za ndani utafikiri yupo kwenye nyumba yake... Mbona zilizo chanika hatuzioni, tunaona mpya mpya tu.. Na zile mbovu je"

    Aliongea mpangaji huyo aliekwenda kwa jina la MAMA SUZIAH, kama unavyojua midomo ya wapangaji ilivyo, ukiamka na hili yeye kaamka na lingine...

    "mama Suziah, wewe hizo chupi mbovu uliziona wapi, au unaongea tu"

    Aliongea Zahra huku mpangaji mwingine akijibu

    "ni kweli Zahra, kila siku tunaona mpya tuuu mbele ya mlango wa kijana ambaye hata demu hana, wewe unakuja kuweka michupi yako hapa... Ili tujue unazo au"

    Aliongea mpangaji huyo aliokwenda kwa jina la MAMA HALIMA,..

    "heeeee hivi kumbe nimekera wengi eee?, mi nilijua namkera mmoja kumbe nyumba nzima imekereka"

    Aliongea Zahra na wakati huo huo mama mwenye nyumba akatoa tamko

    "sitaki kusikia mnatupiana maneno... Zahra, kuanzia leo, anika nguo zako kule upande wenu, sio uanike kwa kijana wa watu, jieshimuni basi nyie ndio wamama wa baadae"

    Aliongea Zubeda huku zahanati akisema kuwa

    "sawa nitazitoa lakini wacha zikauke kwanza... Mana nikizishika bado mbichi nitazichafua"

    Aliongea Zahra baada ya kuambiwa azitoe kwa wakati huo...

    "mwanzo na mwisho ni leo kuanika nguo zako mlangoni kwa mpangaji mwenzako.. Mbona pale mlangoni kwenu kuna kamba lakini huaniki"

    Aliongea mama mwenye nyumba huku wapangaji wakicheka sana,.. Lakini mama Mwajuma alikuwa akifurahi kwa ndani ndani, mana anajua udhaifu wa Swalehe ni kuona nguo za ndani, yaani anaweza kumpenda mwanamke papo hapo kwa kuona kinguo chake tu,.. Sasa mama mwaju alikuwa anahofia kuachwa na Swalehe kwa sababu ya Zahra...



    Basi kesi iliisha na kila mtu alifanya mambo yake,.. Wakati huo Swalehe yupo ndani mida ya saa kumi hivi, tena alikuwa akichati zake... Mara ghafla mlango umesukumwa na kuingia mtu... Alikuwa ni Zahra ndie alie ingia hapo ndani....

    "swai.... Ivi wewe ni mwanaume wa aina gani, upendwe vipi jamani swai... Nakupenda swai, nimekukubalia lile ombi lako la kunioa"

    Aliongea Zahra, lakini swai alikuwa bize na simu,... Zahra aliinyakuwa ile simu huku akisema

    "ina maana hii unaisikiliza sana kuliko mimi"

    Aliendelea kuongea baada ya kuona kimya kimetanda katika kinywa cha swai,...

    "kwani wakati mimi nakufuata nilikuwa na fujo za aina hiii... Mara ya kwanza Uliniokotesha chupi yako pale bafuni.."

    Aliongea swai, kisha Zahra akadakia

    "lakini kwani uliiokota swai.. Si niliiokota mwenyewe siku ile... Basi Nisamehe"

    Aliongea Zahra kisha swai akaendelea

    "ziku zilizofuatia... Ukaniuliza kazi yangu, nikakujibu vyema kabisa... Je wewe uliniambiaje.... Eti kazi yangu hata rangi ya kucha zako siwezi kununua,... Ukaniangalia juu mpaka chini.. Sio wewe"

    Swalehe alikuwa akimkumbushia miezi ya nyuma, vitimbi alivyo mfanyia swai...

    "lakini ni kawaida mwanaume kupewa changamoto swai... Please, moyo wangu unaishi kwako"

    "sikia Zahra.... Mimi sikutaki tena, yaani sasa hivi nakuona kama takataka vile... Sikutaki.. Narudia tena,... Si ku ta ki, umeielewa?"

    Aliongea Swalehe tena kwa msisitizo wa hali ya juu,

    "kosa langu"

    "unalijua mwenyewe, na sitaki mazoea na wewe... Sitaki..."

    "sawa.... Eti sasa hivi chupi hazikusumbui eee..."

    Zahra aliongea ujinga, mana kumbe anaanika michupi yake akidhani swai atasisimka na kwenda kumtongoza,.. Sasa kumbe ujinga aliofanya, ni kweli zile chupi ni mpya, afu Swalehe na chupi mpya, wala hazimtishi... Sasa Zahra sjui kanunua sjui kakopa... Anaanika tano tano.. Kumi kumi... Utafikiri mhudumu wa gesti...

    "mimi sijui"

    "mbona siku ile ulitetemeka kwa kuona nguo yangu... Nashangaa nimekuekea mlangoni kabisa lakini umekazaaa... Mpaka umekwenda kushtaki"

    "Zahra, naomba utoke ndani kwangu... Tusije gombana buree"

    "kutoka nitatoka... Lakini jua nakupenda swai... Nakupenda kweli swai na mama yako anajua hilo"

    "anajua yeye.. Kwani si ana watoto wawili wa kiume... Atakuozesha kwa kaka yangu"

    Aliongea Swalehe huku Zahra akitoka kwa hasira, mana maneno ya Swalehe yalikuwa yakimkera katika moyo wake,...



    Baada ya masaa mawili kupita,.. Manyunyu ya mvua alianza kunyesha, Zahra kwa kusudi zake akampigia Swalehe simu... Zahra alipewa namba ya swai na mama yake Swalehe, na swai anaijua namba ya Zahra kwa maana alishawahi kumsumbua nayo mpaka ikafika hatua kaiblock namba hio... Sasa leo katumia namba nyingine...

    "hallo, nani mwenzangu"

    Swai aliuliza baada ya kupokea simu hio

    "Samahani, ni mimi Zahra... Swai... Naomba unitolee hizo nguo zangu.. Nakuja kuzichukua ndani kwako"

    Zahra alimwambia swai kuwa aanue hizo chupi, kisha atakwenda kuzichukua ndani kwa swai..

    "ivi Zahra, una akili timamu wewe... Yaani mimi niamke hapa nianze kuanua nguo zako za ndani eti kisa zisiloe.... Ebu toa uchizi bwana"

    "swai, kweli mvua italoesha afu zishaanza kukauka jamani swai nisaidie jamani"

    "sitaki bwana... Na sitaki unipigie simu"

    Aliongea swai huku akikata simu,.. Ni dhahiri kweli Swalehe hamtaki tena Zahra,.. Na alimpenda sana kwa uvaaji wake wa heshima, lakini baada ya kumletea nyodo sasa hamtaki tena



    Sasa ilipofika jioni umeme ulikata,.. Sasa Zahra kwa hasira alitoka huko kwao mpaka kwenye mlango wa swai

    "wewe toa hela ya umeme... Wewe ndio unatumia umeme kuliko watu wote humu ndani,... Na hiki kidude chako hapa nje ndio kinatudanganya... Funguaaaaaaa"

    Aliongea Zahra tena kwa kupiga kelele, mpaka nyumba ya pili huko wanasikia,.. Swai hakujibu kitu bali aliamka kisha akafungua mlango wake.... Sasa ile anafungua tu mlango Zahra kaingia kwa kumsukuma Swalehe.... Mbaya zaidi Zahra alikuwa mwenye kanga moja peke yake,..

    "Zahra unafanya nini na giza hili"

    "sikia swai.. Tayari nimeshapiga makelele na watu wamejua naingia kwako, chupi hii hapa nimeichana chana kama ushahidi, sasa ukisema fyoko... Napiga kelele unanibaka,... Swai? Leo nataka nilale hapa kwako, unifanye utakavyo mimi nipo tayari,... Kama moyo unaishi kwako, iweje mwili niuache mbali,.... Swai, leo nataka unikamue utakavyo"





    Katika mahusiano ya sasa hivi, hata wanawake wamekuwa watongozaji hodari, tena ni wabaya sana kwenye mistari yao,.. Mwanamke akiamua kumtongoza mwanaume,... Aisee hata mwanaume haoni ndani,... Lakini sasa hakuna hasira wala chuki pale mwanaume akitongoza na kukataliwa,.. Ila kuna hasira na chuki pale mwanamke anapomtongoza mwanaume na kukataliwa, na ndio mana ni ngumu mwanamke kumtongoza mwanaume, mana akikataliwa anajiona kituko flani hivi, na anaweza kujenga bifu na wewe kama mnaonana mara kwa mara.. Lakini kwa sisi wanaume tukikataliwa hua tunaona ni simpo tu, cha zaidi labda tuanze kusema tu, ooohh kwanza mbaya, huna chura, sjui sura huna.... Tukisha sema hivyo tu, ujue hapo ndio basi,... Lakini kwa mwanamke, linamkaa kifuani na kujiona yeye si lolote mana katongoza afu kakataliwa... Inamuuma sana, tena sana, anaweza hata kujiua kama kweli alimpenda mtu na akakataa...



    Sasa Zahra leo kaamua kujibakisha, (kujipeleka kubakwa na Swalehe) mana ameongea yote, kamuanikia mpaka chupi mpya mlangoni kwake ili swai asisimke nazo aweze kumkubalia, lakini pia akagonga mwamba, sasa leo kaamua kuja mwenyewe tena chupi ikiwa mkononi tena imechanika mithili ya mwanamke aliobakwa,.. Wakati huo Swalehe aliwasha taa za solar, mana umeme umekatika tu na wala sio luku,... Lakini Zahra kaja kudai hela...



    "Kama moyo unaishi kwako, iweje mwili niuache mbali,.... Swai, leo nataka unikamue utakavyo"



    Aliongea zaru baada ya kuingia kwa Swalehe bila idhini yake,... Swai kweli kaona kachupi kamerushwa kitandani akiwa na maana wanatakiwa wakafuate kale kachupi kule...

    "utoe nguo yako na uondoke"

    Aliongea swai lakini wakati huo mashine yake ilishakuwa ngumu,.. Mana yake tayari hisia zimesha panda,.....

    "swai, hivi wewe ni mwanaume wa aina gani... Kwa jinsi nilivyo, kuna wanaume ambao wanatamani angalao wapate nafasi ya kuwa chupi niwavae, leo nakuletea mwenyewe unaniringia"

    Aliongea zaru, na kweli zaru alikuwa msichana mrembo sana na mwenye umbile la kipekee,... Lakini sasa ni mcharuko sana...

    "huyo mwanaume mwenye fikra hizo, ni mjinga... Ni bora niwe chupi ya kichaa ila sio wewe... Sasa skia, chukua kinguo chako kile, na uangalie pale kwenye mita yangu nadaiwa kiasi gani nikupe uende..."

    Aliongea swai huku zaru akamuangaliaaaa..... Mara swai karukiwa, sasa kwa vile hakutegemea kirukiwa,.. Alijikuta kadondokea kwenye sofa, afu zaru akaja kwa juu,... Na ni kweli zaru hakua hata na chupi, hivyo kwa zile purukushani za hapo kwenye sofa,.. Ile kanga ilikuwa ikifunguka funguka..

    "hivi swai unajiona we mzuri sana eee??.... Hebu ona ubo** wako ulivyo simama"

    Aliongea kisha akaitoa ile kanga, laaa haulaaaa... Mipaja ya zaru ndio iliomtoa swai udenda... Kumbe swai navutiwa zaidi na michirizi ya mapajani, yaani mwanamke mnene, hua ana vimistari flani hivi humtokea, kama viramani ramani hivi,... Sasa swai kuona,... Duuuuuhhh.... Alijikuta amezubaa mpaka akanyonywa denda na zaru, kwa mara ya kwanza zaru anamkamua swai mate.... Swai kalainika kawa mdebwedo... Saa mgapi hajampikea Zahra,... Mwanamke ni mwanamke tu hata uweke ngumu vipi, akiamua umle utamla tu, taka usitake..... Swalehe alimnyenyua Zahra na kumueka vizuri kwenye sofa kisha mate yakaendelea, miguno ya hapa na pale ikaanza kwa Zahra.... Kana kwamba alipo pagusa swai, kapapenda mno



    Ikiwa ni saa mbili kasoro usiku, huku kijijini kwa wazazi wake na Swalehe au Hassan,.... Wakiwa nje wanapunga upepo kwenye mbalamwezi,....

    "hivi umeongea na Swalehe"

    Aliongea mzee MSHUZAH, ambaye ni baba yake swai

    "nikiongea nae lakini ni muda sana.... Ila mchumba wake ndio nawasiliana nae"

    Aliongea mama yake Swalehe huku mzee akashangaa

    "mchumba? Mchumba gani tena, mbona mimi silijui hilo"

    "heeeee mume wangu... Wewe si ulikuwa unaumwa, sasa ningekwambiaje"

    "kwani hospitali nimetoka leo au jana? Si Karibia wiki mbili zimepita"

    "ni kweli, lakini Nisamehe kwa hilo.. Ila mwanao sasa ana mchumba na hata ile pesa tuliolipa hospitali nimetumiwa na mchumba wake"

    Aliongea mama yake Swalehe huku mzee akiwa hajapendezwa na jambo hilo...

    "hapana, mimi sijapenda Swalehe aoe kwa sasa"

    Aliongea mzee MSHUZAH huku mama akishangaa na kusema

    "baba Hassan, mbona sikuelewi"

    "nimesema hivi... Muache mtoto ajijenge kwanza, wamkimbizia kuoa kwanini"

    "lakini ni mkubwa yule anatakiwa kuwa na familia sasa"

    "ni kweli mama Hassan, lakini mtoto ndio kapangisha juzi juzi tu.. Leo aoe je kama hajajipanga vyema"

    Aliongea mzee huyo huku mama akikasirika mno

    "mimi nasema ataoa tu"

    "sasa tutaona kama wewe ndio baba... Mbona Hassan hujamwambia aoe, kwanini unataka Swalehe aoe yeye, au Hassan sio mwanao"

    Aliongea mzee huyo na wakati huo mama kakasirika na kuamka hapo nje

    "Hassan ni mtu mzima keshanishinda tabia... Sasa huyu Mziwanda wangu ndio nataka aoe"

    "mimi nasema haoi... Pumbavu sana, mwache mtoto ajipange kwanza... Kwanza sikuhizi wanawake gani watakwendana na maisha ya ujenzi... Wanataka majumba ya kifahari, mapesa, magari ya kifahari... Mwanangu bado ni fundi mwache ajipange vyema"

    Aliongea mzew lakini mama Hassan au mama swai hakujibu kitu, alikwenda zake kulala.....



    Sasa huku kwenye boma, dada yake Zahra anamtafuta Zahra hamuoni huko ndani, akaenda kwa marafiki zake wa hapo hapo ambao anakwendaga kupiga nao stori za hapa na pale,... Pia hayupo, aliingia ndani na kupiga simu yake,.. Lakini alishangaa inaitia hapo hapo ndani kwenye kochi,

    "huyu mtoto kaenda wapi saa hizi saa mbili hii"

    Aliongea fatuma au mama said,...

    Wacha mama Saidi atoke huko nje, mana haijawahi kitokea Zahra atoke usiku hivyo kwa Fatuma ni lazima apate wasiwasi juu ya mdogo wake, na wakati huo kuna tabia ya wasichana kubakwa bakwa... Sasa akajua lazima Zahra kaingia kwenye mtego wa kichapo cha wahuni....



    Kumbe mtotp Zahra yupo ndani huku, wakati huo mtotp kaiva, kaivishwa haswa,... Na happ bado hawajaanza mapenzi mazito... Swai mwenyewe kabaki kama alivyo zaliwa,... Zahra haamini kama leo kakubaliwa, na hapo kwenye moyo wake ameapa kuto mchezea Swalehe, ataishi nae vyovyote vile maisha yatakavyo kuwa



    Zahra kalegea kama mlenda,... Swai bila kuchelewa... Akashika mashine yake na kuichomeka katika buyu la Zahra.... Sasa ile anachomeka tu, mara simu ya swai ikaita...

    "ayaaaa nani tena huyo"

    Aliongea swai huku akichomoa na kuifuata simu aliangalia kuwa ni fundi wake...

    "hallo fundi Shikamoo"

    "marahaba, vipi swai upo tayari kesho tunakwenda babati kuna jengo tukaanze nalo"

    Aliongea fundi kuwa kuna kazi imejitokeza huko...

    "itakuwa ya muda gani"

    "ni kama miezi miwili mitatu hivi"

    "duuuu.... Nitakwenda... Ila ni saa ngapi"

    "tutoke asubuhi sana... Mana tunatakiwa tuwahi kufika ili tuandae makazi ya muda"

    "ok sawa fundi... Saa kumi na mbili asubuhi nipo hapo kwako, hakikisha nawe umesha jiandaa.. Mana sio mimi niharibu usingizi wangu, afu nikute wewe ndio badooo"

    "we njooo twende bwanaaa.... Alaaaa"

    "poa basi usiku mwema"

    "ok poa"

    Simu ilikata,... Lakini hamu ya mapenzi tena iliisha,.... Ilibidi akae zake kitandani mana hamu hana tena

    "vipi swai, mbona umekaa tena... Njoo uuchomeke huo mdude wako"

    Aliongea zaru huku akimfuata pale kitandani,...

    "sina hamu tena zaru"

    "nooo bwana... Kwani si simu ya kazi hio, au kuna nini umeambiwa kwenye simu"

    "hapana... Stimu imekata"

    Aliongea swai huku zaru akisema

    "kumbe ni hivyo tu... Ngoja nikubusti sasa"

    Aliongea Zahra huku akianza kumsolola nanii yake,... Zahra alifanya kila liwezekanalo mpaka swai akarudisha hamu zake,.. Zahra bila kuchelewa akalipandia juu kwa juu, likaingia lote.... Sasa Zahra ni mzito kukatika.. Hivyo swai akambeba na kumkalisha kwenye sofa ikiwa humo humo ndani,... Sasa swai kamueka sawa, kisha akaanza miuno.... Ghafla mlango wa Swalehe unagongwa

    "ng'o, ng'o, ng'o, ng'o, ng'o, ng'o"

    Mlango uligongwa kwa hasira kali mno, kana kwamba huyo mtu anataka kuingia huko ndani...

    "nani huyo tena?"

    Aliuliza swale kwa sauti ndogo,..

    "swai tafadhali sana... Usiende kufungua... Jikamue unimwagie hata hata bao moja ndio uende kufungua mlango wako"

    Aliongea Zahra huku swai akitaka kuchomoa ili akafungue lakini Zahra kamshikiliza swai asichomoe...

    "narudi wacha nimjue ni nani..."

    "sitaki bwana swai...jikamue unimwagie kwanza nyege zako ndio uondoke, hata usiponirudia sawa tu"

    Aliongea Zahra huku kana kwamba hataki tena kuachwa...

    "ng'o, ng'o, ng'o, ng'o, ng'o, ng'o"







    Hakuna kitu kibaya kama kukatiwa starehe, haswa haswa ya mapenzi,... Zahra aliekuwa mtu mwenye hamu nyingi zaidi kwa kufanya mapenzi na Swalehe, leo kafanikiwa lakini vikwazo vimekuwa vingi katika hilo,..



    Swalehe alimpenda sana zaru nyakati za mwanzoni wakati alipo hamia katika boma hilo,.. Lakini zaru alionekana kuwa na dharau juu ya swai kutokana na hali ya kazi yake,.. Ni kwasababu zaru alikuwa na tajiri mmoja alie onekana kuwa ana pesa, lakini kumbe alikuwa ni kijana mwenye maisha kama ya Swalehe,.. Hivyo zaru alipokuja kujua kuwa wanaume wengi ni wadanganyifu ndipo akamkumbuka Swalehe ambaye alisha mtaamkia swala la kumuoa,... Lakini baada ya kurudi alikutana na kisiki cha mpingo,.. Swalehe hakumtaka tena....



    Zaru hakukata tamaa na leo kafanikiwa kummiliki Swalehe katika mikono yake,... Na siku hio ilikuwa ni spesho kwa Zahra, kwani alikuwa tayari kutafunwa na Swalehe.... Lakini pale walipo anza mchezo wao ghafla mlango wa Swalehe uligongwa



    "ng'o, ng'o, ng'o, ng'o, ng'o, ng'o"

    "nani?"

    Swalehe Aliuliza kwa sauti baada ya kuona kelele zinazidi, mana alitaka kutulia....

    "mimi mama Mwajuma"

    Alikuwa ni mama Mwajuma ndie aliegonga mlango wa Swalehe,.. Zahra kuskia ni mama Mwajuma, alikasirika sana,.... Mana anamjua hua anamleteaga Swalehe chakula kila siku, ila Zahra hajui kama pia mama mwajuma analiwa na Swalehe,... Swalehe alichomoa mzigo wake, mana hata kukatika hajakatika

    "swai, yaani kweli unachomoa ubo* kwenye kum** yangu"

    Aliongea Zahra baada ya kuona kweli Swalehe alikuwa akichomoa, yaani Swalehe ni kama alikua akijilazimisha kusex nae, mana hata ile shauku ya kutamani kwa mara nyingine hakua nayo

    "sasa nitafanyeje, namueshim sana huyo mama, hakuna jinsi... Vaa tu, tutakutana nikirudi"

    Aliongea Swalehe huku Zahra akishangaa,

    "ina maana mpaka urudi.. Na wakati umepigiwa simu ya kazi sjui miezi mingapi"

    "Usijali zaru"

    "niite mpenzi,.. Sasa hivi wewe ni wangu... Swai... Sawa kafanye kazi mume wangu, lakini jua kuwa nipo kwa ajili yako na Nakusubiri wewe"

    "ok, vaa nguo zako sasa"

    Aliongea Swalehe huku Zahra akichukua kile kichupi chake alicho kuja nacho kikiwa kimechanika mithili ya kama kabakwa hivi...

    "ila... Ukirudi, mimi ndio nitakupikia humu ndani, au kama hutaki nipike, nitakuletea mimi kama anavyoleta yeye"

    Zahra aliongea hayo mana imekuwa kero kwake, na hii ni mara ya pili, mana mara ya kwanza walikutana mlangoni,...

    "sawa"

    Alikubali Swalehe, huku akifungua mlango na mama Mwajuma akaingia

    "heeeee zaru, saaa hizi huku vipi tena"

    Mama Mwajuma alimuuliza Zahra kwa kumkuta hapo ndani saa tatu kasoro... Lakini kabla Zahra hajajibu, swai aliwahi kujibu...

    "aah alikuja nimfundishe jinsi ya ku download nyimbo mpya..."

    Aliongea Swalehe huku mama Mwajuma akisem

    "mbona hana simu"

    "simu yake ni kama yakwangu, hivyo nimempa tu maelekezo aende kulifanyia kazi kwenye simu yake"

    Aliongea Swalehe lakimi Zahra akadakia

    "kwani swai, huyu ni mama yako, au anakusaidia kukupa tu... Mbona maswali mengi hivyo"

    "skia Zahra, huyu mtu namheshimu kwakua ni mtu mzima"

    "hapana bwana... Hapa kuna walakini, sio kwa maswali haya"

    Aliongea Zahra huku akifungua mlango na kuondoka

    "swai, una mahusiano na huyu mtoto"

    Mama Mwajuma Aliongea huku akikaa kwenye kitanda,...

    "ni kweli, lakini ananipenda yeye"

    "na wewe"

    "mimi sio sana.. Mi nataka kumtumia tu"

    "swai... Staki kushea penzi na vitoto sawa... Kama hunitaki niambie,.. Huezi kuingiza mbo* yako kwenye kitakataka kama hiki... Wewe ni mali yangu swai, staki mtu akuguse"

    Aliongea mama Mwajuma tena bila uoga

    "lakini ukumbuke mimi nahitaji kuoa"

    "swai... Kama ni mtoto mimi nitakuzalia, tafadhali sana"

    "na kuoa je"

    "swaaaiiiiiiii... Kwani wanao oana wanatafuta nini kama sio watoto... Sasa kama ni watoto, mimi nimekubali unipe mimba unazotaka wewe, na nitawalea... Sasa sina mume, hata watu wakijua uhusiano wetu, tuishi kwa amani swai"

    "heheheheheeheh... Unajua unanichekesha kweli... Haya sasa, kwangu mimi sina tabu, je kwa wazazi wangu... Sasa tufanye kwa mfano nakupeleka pale kwa wazazi afu nakutambulisha... Sasa hebu vuta picha hapo"

    "swaiiiii, najua wazazi wako ndio kikwazo,.. Kwahio ukio ndio basi tena"

    "sina maana hio... Nitakuchapa kama kawaida"

    Aliongea Swalehe baada ya mama Mwajuma kujua kua hawezi kutambulishwa kwa wazazi wa Swalehe kama mke...

    "ila sio huyu mwehu... Sitaki kusikia kua eti katika maisha yako unamuoa huyu mwehu... Nitamuekea sumu afe"

    "kwanini sasa umuekee sumu"

    "mi najua tutapigana kila siku"

    "khaaa, sasa mama Mwajuma, Zahra si kama mtoto wako tu"

    "weeeeee... Mtoto gani napishana nae mlangoni... Nasema sitaki, kama ni mke tafuta mwingine"

    Mama Mwajuma kachafukwa, na yeye hamtaki Zahra mana ni mkorofi, tena mcharuko haswau, ila kwa Swalehe anakuwa mpole, hawa ndio wale wanawake ukiwataamkia kuwaoa, watasema hata chooni mtalala, hata maji mtakunywa mtalala... Hata kwenye mkeka tutalala,... Sasa muoe uone kazi



    "we nipe chakula nile Bwana achana nae"

    "kweli nakuambia... Sitaki Zahra awe mke mwenzangu, tafadhali sana"

    Mama huyo hakutaka kushea penzi na mwanamke mwingine...



    "kula ushibe baba... Leo nataka vitu"

    Aliongea mama Mwajuma, na Swalehe anajua fika kesho anasafiri kikazi, hivyo atamchapa kamwisho mwisho,....

    "we nenda, nitakuja kwa kisingizio cha kuleta vyombo"

    "sawa.. Ngoja nikajiandae,.. Mana mziki wako ni wa kujiandaa haswa"

    Aliongea mama Mwajuma huku akiondoka



    Baada ya masaa mawili, na sasa ni saa tano za usiku,... Swalehe alipiga simu kwa mama mwaju

    "fungua basi nipo kwa nje"

    "sukuma tu mume wangu"

    Swai alitumia kupiga simu mana boma limetulia sana hivyo akigonga itawashtua wapangaji wengine na kuanza kuchungulia madirishani kuangalia nani kagonga na anakwenda chumba gani....



    Swalehe mpaka ndani, alimkuta mama mwaju kajilaza vibaya,... Alipita kwa taratibu ili asije kuwashtua wale watoto waliolala chumba cha kwanza... Ile anakaa tu kitandani mama mwaju alimvuta swai mpaka katikati ya kitandani,.. Mchupi mkubwaa ndio nguo aliokua nayo mama mwaju, yaani hio tu... Swai alianza kuzifikicha zile shanga zilizo jaa katika kiuno cha mama huyo,.... Kitovu chake kiligeuka askrim ya maembe... Manyonyo yake aliolala kimtindo yaligeuka kua embe nyonyo,.. Hajakaa sawa mara shingo ikavamiwa na meno ya Swalehe... Mama kashindwa kuvumilia na kuanza kuzitoa sauti za ajabu... Swalehe aligundua tabia moja mbaya sana ambayo inamtia mama kichaaa,

    "aiiiiii"

    Kilikuwa ni kidole cha kati, tena alikiingiza sehemu zingine za siri... Sasa huko nako mama anajiskiaga raha japo hajawahi kufanyiwa kitendo hicho na uume... Ila swai kazua tabia kwa mama huyo kumuingizia kidole,.. Wakati kidole hicho kikiwa ndani kulele 0714, mkono mwingine akawa anachezea kisimi tena wakati huo hata chupi haijavuliwa... Kichaa kilimuanaza mama wa watu, sio kwa kuruka ruka hapo kitandani,.... Swai alihakikisha ile chupi imebakia kupakwa sabuni tu ifuliwe, mana ilisha loana..... Basi akaanza kuivua taratibu, lakini mama mwaju, alishazidiwa... Swai alishangaa tu Vipande vya chupi, kana kwamba mama mwaju kaichana ili aingiziwe mashine haraka

    "ooouuuuuuuiuiiiiiiiiiiiiiiii..."



    Kesho yake asubuhi sana Swalehe ndio anatoka zake, tena yeye ndio wa kwanza kufungua geti kubwa, wakati huo hakuna alio amka mana anawahi safari asije kuachwa na wenzie... Kiguu na njia mpaka kwa fundi wake



    Safari ilianza kwenda Babati kikazi,

    "halo mama? Shkamoo"

    Swalehe kila akianzia safari huwajulisha wazazi wake kua hayupo jijini

    "marahaba baba.. Habari yako mwanangu"

    "salama mama.. Sijui nyie huko"

    "aahh huku tunaendelea vizuri baba.."

    "baba vipi hali yake"

    "sasa hajambo.. Hata shamba anakwenda, wala hana shida"

    "sawa mama... Sasa mama leo nimesafiri nakwenda babati"

    "kuna nini huko, au ndio hizo kazi zako"

    "ndio mama"

    "sawa baba... Kazi njema... Angalia huko mana wewe ndio tunakutegemea baba"

    "hakuna shaka mama"

    "sawa baba"

    Ilikuwa ni mchana wa saa nane, wakiwa ndio wanafika Babati,.. Kwa watoto wa kimbulu,...

    "swai... Shika ramani hii... Hebua tuangalie wote hapa kabla hatujaanza kuita mafundi wengine, mana hii kazi nimepewa mimi niite mafundi wengine... Bosi anakuja muda sio mrefu"

    "khaaaaaaaaa, hili jengo litaisha na leo kweli?"

    "maksimamu ni miezi mitatu.. Lakini naona kama miezi mitano hivi"

    "aaahhh fundiii.. Ina maana miezi mitano hatutorudi nyumbani"

    "wewe acha kuwaza nyumbani, kwani una mke.. Au lile limama uliosema ndio linakupagawisha"

    "amna.. Nimesema tu"

    "skia.. Hapa tukiondoka ujue jengo limeisha.. Kiwanja ndio hiki Hapa.. Sasa tuite mafundi wangapi... Mana nimekuja kuona kwanza ukubwa wa kiwanja"

    "mmmmhhh fundi.... Hapa tuwe na mafundi kama 15 hivi... Mana bila hivyo.. Itakula kwetu.. Tusipende kubania pesa"

    Aliongea Swalehe, mana dili hilo la kujenga nyumba ni lakwao yeye na fundi wake, sasa wao ndio waite mafundi wemzao ili wapatanie wao kama wao...

    "mi nakuelewa... Na nayaka tukitoka hapa... Wewe sio saidia fundi tena.. Hapa ndio nataka nikufundishe mwanzo mwisho"

    Aliongea fundi jafe, fundi ambaye anamkubali sana Swalehe katika shughuli zake za ujenzi.... Swalehe aliishi na kaka yake miaka kumi, lakini hajawahi kusema ampe nafasi ya kipau mbele kama fundi...



    BAADA YA MWEZI MMOJA KUPITA



    Swalehe akiwa ni mmoja wa mafundi na sio saidia fundi tena,... Na sasa nyumba ipo kwenye lenta... Wanasubiri ikauke ili waongeze tofari tatu kwa juu.... Sasa swai akiwa hapo saiti wametulia, ghafla simu yake iliita,...

    "nani huyo tena"

    Aliongea swai huku akitoa simu katika mfuko wake,... Na hapo ilikuwa ni mida ya jioni saa 12 na nusu kagiza kanaanza hivi, walikuja kumwagia maji ili kukauke vizuri... Sasa ji muda waliotakiwa kuondoka ndipo simu ikaita...

    "heeeeeee baba mwenye nyumba... Kuna nini tena?"

    Swalehe alishangaa kuona simu ya baba mwenye nyumba, na wakati hadaiwi kodi wala nini, sasa simu ya nini tena.... Afu baba mwenye nyumba mwenyewe ni mwanajeshi mstaafu....

    "ha.. Ha.. Hallo mzee shikamoo"

    Swalehe alisalimia lakini kwa wasiwasi sana

    "marahaba kijana wangu habari za kazi"

    "salama tu mzee.... Haya kuna nini mzee wangu.. Mana nimeshtuka kuona simu yako mzee"

    "ni kweli kijana, kwa sasa unakabiliwa na kesi ya kumpa mwanafunzi ujauzito,.. Na sasa jeshi la polisi limeanza kazi yake juu yako"

    "Haaaaaaaaaaaaaaaaaa...."





    Katika hali isiyo ya kawaida, Swalehe anakutaka na dhahama ya kumpa mwanafunzi mimba, na kwa karne hii miaka 30 ni lazima na sio ombi... Na inaonekana upelelezi umeanzia mahali anapoishi Swalehe...



    KABLA HATUJAANZA TULIPO ISHIA

    TURUDI NYUMA KIDOGO KABLA YA SWALEHE KUPIGIWA SIMU NA BABA MWENYE NYUMBA WAKE.....



    Huku kwenye boma ambalo Swalehe anaishi, aliingia msichana mmoja aliokuwa kabeba mfuko aina ya begi, yaani yale mabegi ya salfeti ambayo yana picha picha, hua hayakosekanagi kwenye nyumba yale, mtu akihama kama lile fuko hana basi huyo sio mzalendo wa Tanzania



    Lakini nyuma yake alikuwepo mwanadada mmoja aitwaye SEMENI au MAMA ABUU ambaye ni mpangaji wa nyumba hio hio, lakini huyo msichana sio mpangaji katika nyumba hio, ila ni mgeni wa SEMENI,. Msichana ni mzuri kupita kiasi ana sifa zote na kuitwa mwanamke... Mana shepu alionayo ni zaidi ya shepu, sura ndio usiseme... Msichana alikuwa mfupi wa wastani, mbaya zaidi aibu ilimjaa katika sura yake... Wakati huo Zahra alikuwepo anakuna nazi hapo nje, kwa maandalizi ya chakula cha jioni,...



    "karibu ukae"

    Aliongea Semeni huku msichana huyo mrembo akikaa katika kochi, lakini Semeni alionekana kukasirika kwa kiasi...

    "Ahsante dada"

    Alijibu msichana huyo, kisha dada yake huyo ambaye ni mama abuu akamwambia

    "umeona, tunaishi kwenye chumba kimoja tu... Halafu umekuja bila taarifa, hebu angalia sasa utalala wapi hapa"

    Aliongea Semeni, hivyo kwa mtazamo wetu, ni kwamba huyu msichana ni mdogo wake Semeni kabisa, sasa kaja mjini bila taarifa na huku mjini mambo ni ya chumba kimoja mtu na familia yake..

    "dada, kule kijijini hali sio nzuri.. Nitafutie hata kazi za ndani nitafanya"

    "mimi sikatai FARIDA mdogo wangu.. Ila mpaka uje kupata hio kazi, je tutalalaje humu ndani"

    "dada, hata hapa kwenye kochi nitalala tu"

    "heeeeee... Yaani baba abuu akitoka akuone umejilaza hapa sebuleni... Sawa hio sio shida,.. Na sisi usiku sasa tutafanyeje?... Farida mdogo wangu, kwanini usingepiga simu kwanza"

    Semeni aliongea kwa msisitizo mkubwa, maisha yao ni ya chumba kimoja, leo anakuja mjini sasa atamlaza wapi...

    "dada fanya juu chini... Nimekuja mjini nami nipate kazi,.. Angalau tuwe tunatuma hata pesa ya mafuta ya taa kule nyumbani... Dada mimi nitalala popote pale hata kama ni chini"

    Aliongea farida huku Semeni akiacha kulalama juu ya mdogo wake kuja mjini mapema...

    "mmmhhh Kiukweli umenipa mtihani mkubwa sana farida... Yaani mpaka natamani kulia.. Maisha yenyewe na mume wangu ni ya kupigana kila siku, akirudi kalewa... Leo ulale hapa kwenye kochi kweli?... Nakwambia farida ningelikuwa na nauli sasa hivi ungerudi nyumbani"

    Aliongea Semeni ambaye wakati wote alimlaumu farida kwa ukio wake usio na taarifa....



    Masaa yalisonga na sasa ni saa 12 za jioni,... Mama abuu alianza kupita kwenye vyumba vya wapangaji wenzake,... Alianza kwa dada yake Zahra ambaye ni Fatuma au mama said

    "habari yako mama said"

    "safi tu mama abuu... Hali yako"

    "namshukuru Mungu maisha yanakwenda"

    "ni vizuri, karibu ndani"

    "hapana mama said,.. Nilikuwa na shida"

    "shida gani tena"

    "bwana nimejiwa na ugeni, ambaye ni mdogo wangu... Sasa kama unavyojua nina chumba kimoja tu,.. Nilikuwa naomba ajibane na Zahra siku mbili hizi tu... Mana wewe umepangisha dabo rumu"

    Aliongea Semeni tena kwa upole wa hali ya juu,..

    "heeee mama abuu, unamletaje ndugu yako wakati unajua hali ya mjini ilivyo..."

    "kaja tu, wala sijamuita"

    "mhhh Kiukweli mimi sina nafasi.. Mana hapo sebuleni analala mtoto wangu, na kule nalala na Zahra, sasa atalala wapi"

    Aliongea Fatuma au mama saidi,

    "mama saidi, siku mbili tu abanane na mtoto wako tu"

    "weeeee, kakitanda kadogo vile watalalaje... Alafu, kwanini usimjaribu mama Mwajuma... Yule ana wasichana wake wawili tu na amepangisha dabo rumu"

    Aliongea Fatuma huku Semeni akikubali mana hapo hapawezekani tena,...



    "za saa izi mama Mwajuma"

    Semeni alimsalimia mama mwaju

    "salama tu jirani hali yako"

    "safi tu.... Samahani mama mwaju,.. Nimejiwa na mdogo wangu wa kike.. Nilikuwa naomba hata siku mbili tu alale hata hapo kwenye kochi, mana kuna kazi nimtafutie"

    Aliongea Semeni tena kwa upole,.. Lakini mama mwaju kweli ana nafasi mana watoto wake wanalala kwenye kitanda cha ghorofa, (dabodeka), kule chumbani analala mwenyewe....

    "mmmhhh Kiukweli mama abu, mbona mimi nalala na watoto wangu, ni mmoja tu ndio analala hapa chumba cha kwanza, na kitanda chake ni kidogo sana"

    Aliongea mama Mwajuma huku mama abu roho ikizidi kumuuma mana ni ndugu yake ndie anaempigania sehemu ya kulala tu., "mama mwaju, nisaidie alale hata kwenye kochi tuu"

    "hapana kwakweli, kochi zangu zianze kulaliwa? Hapana kwakweli"

    Mama abu alikata tamaa kabisa kwa kila anae mwambia anakataa "sawa mama mwaju nimekuelewa"

    "lakini mama abu,.. Kuna vile vyumba vitatu vile vya wale vijana... Kwanini usimhifadhi kule"

    Aliongea mama mwaju huku mama abu akisema

    "mama mwaju... Kama huna nafasi ni bora ukanieleza tu,.. Hebu nikuulize, hivi mtoto wako mwaju unaweza kumlaza chumba kimoja na mwanaume"

    Aliongea mama abu huku mama Mwajuma akisema

    "weeee, nani? Mimi nimlaze mwanangu kwenye vyumba vya wanaume"

    "sasa kama huezi je mimi nitawezaje.. Yaani mdogo wangu nimpeleke kwa wale wavuta bangi... BARAKA, JAMES na KASIM, wale watoto waliokuzwa na bangi leo nikamlaze mdogo wangu pale... Bora nibanane nae humu humu tu"

    Aliongea Semeni ambaye wakati huo alikuwa na hasira sana kwa kuambiwa amhifadhi kwa wanaume,..

    Mama Mwajuma alikataa kwasababu analalaga na Swalehe, sasa akimkubalia huyo msichana alale humo, ni kwamba ndio mwisho wa Swalehe kuja kumla mama mwaju, mana Swalehe hataki chumba chake kiwe gesti ya mapenzi..... Basi mama abu aliendelea kuzunguka kwa wapangaji wenzake... Alifika mahari akajibiwa vibaya, sasa ukawa ni ugomvi na hapo kagiza ndio kanaanza,... MAMA HALIMA ana nafasi mana kapangisha dabo lakini hana mume, ila ana mtoto wake mdogo tu... Hivyo uwezekano upo, ssa kuambiwa ishu ya kumsaidia mdogo wake Semeni sehemu ya kulala,... Kakataa, ndipo Semeni akazidi kumbembeleza mana nafasi ipo, lakini pia kakataa, tena na kuanza kuongea shombo.. Ndipo mama abu akakasirika na kuanza kutupiana maneno ya hapa na pale... Ghafla baba mwenye nyumba kapewa taarifa za wapangaji wake kugombana....



    "acheni upumbavu, shenzi kabisa... Nyumba yangu sio disko la kelele"

    Mzee alikuja na mkwara na kuwatuliza wapangaji wake,... Kila mmoja alieleza sababu ya kugombana na waungwana waliosikia walitoa ushuhuda juu ya tukio hilo, hivyo mama halima alionekana kua na kosa.... Walisameheana kwa muda mchache tu, ndipo mama abu akamwomba na mzee huyo kama ana hata chumba kule kwake, amsaidie mdogo wake...

    "mmmhhh, Kiukweli mimi mfanyakazi ninae, na kama sina ningemchukua... Na kwa sasa hata mfanyakazi mwenyewe analala na mgeni"

    Aliongea baba mwenye nyumba, huku mpangaji mmoja ambae ni mama Suziah alitoa wazo moja



    "lakini,.. Kuna huyu kijana huyu.. Nina mwezi sasa simuoni... Na kama kahama kwanini asitandike hata mkeka hapo ndani akalala... Ili chumba kikipata mtu, atatoka"

    Aliongea mama huyo kwamba, hicho chumba cha Swalehe kama hakina mtu basi farida atandike hata mkeka alale....

    "huyu kijana yupo... Hajahama.. Tena kalipa kodi ndefu... Yupo sema kazi zake ni za kusafiri safiri"

    Aliongea baba mwenye nyumba, lakini mama Suziah aliongeza neno kuwa

    "Enheeee... Kwanini farida asijihifadhi humo, mana mpaka huyo kijana arudi.. Tayari farida keshapata kazi"

    Aliongea mama Suziah huku Semeni akitikisa kichwa kuashiria sio wazo baya...

    "mmmhhhh hapana... Ni ngumu kifungua chumba cha mtu jamani... Yule ni mpangaji wangu tu,... Siwezi kufanya hivyo"

    Aliongea baba mwenye nyumba,... Mara Semeni akapiga magoti kabisa kumuomba mzee zuberi amsaidie kwa hilo, mana walati huo kagiza kanaingia...

    "baba, nisaidie... Nitalalaje na mdogo wangu chumba kimoja? Ina maana mume wangu anatoka usiku kwenda chooni anampita mdogo wangu kwenye kochi... Haya hayo ni madogo, sisi hatuna tena uhuru wa kulala kama mke na mume... Nisaidie mzee, wiki moja tu unafunga chumba cha huyo kijana"

    Aliongea mama abu au Semeni,.. Mzee zuberi roho ilimuuma sana mana Semeni alikuwa akilia kabisa...

    "ni kweli baba mwenye nyumba.... Sio busara msichana mkubwa kama huyu, alale chumba kimoja na shemeji yake..."

    Mzee alijikuta anakubali kwa maombi ya wengi



    "lakini, siwezi kutoa idhini ya kufungua chumba hiki bila idhini yake"

    Aliongea baba mwenye nyumba huku wale wanawake watu wazima na wenye imani wakataka ampigie simu amwombe kijana huyo...

    "sawa, mpigie basi simu, mana giza hili tujue msichana huyo atalala wapi"

    Aliongea mama Suziah huku mzee huyo akitafuta namba ya kijana huyo na kumpigia simu......

    "ngoja kidogo nimtishie, apate presha"

    Aliongea mzee zuberi huku simu ikiita, kisha Swalehe alipokea tena kwa wasiwasi mkubwa



    "ha.. Ha.. Hallo mzee shikamoo"

    Swalehe alisalimia lakini kwa wasiwasi sana

    "marahaba kijana wangu habari za kazi"

    "salama tu mzee.... Haya kuna nini mzee wangu.. Mana nimeshtuka kuona simu yako mzee"

    "ni kweli kijana, kwa sasa unakabiliwa na kesi ya kumpa mwanafunzi ujauzito,.. Na sasa jeshi la polisi limeanza kazi yake juu yako"

    "Haaaaaaaaaaaaaaaaaa...."



    Swalehe alishangaa sana kuambiwa kuwa kampa mwanafunzi mimba, kitu ambacho yeye hajui ni mwanafunzi gani, mana Swalehe kaanza kufanya mapenzi na mama Mwajuma, na kama ni Zahra wala hakufanya nae, mana kila akichomeka kunatokea kikwazo hivyo kama ni Zahra Kiukweli hakuna cha mimba.....

     

     

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog