Search This Blog

Thursday 24 November 2022

LEYLA ! (BINTI BIKRA) - 5

 

     



     

    Chombezo : Leyla ! (Binti Bikra)

    Sehemu Ya Tano (5)

     



    Kiukweli sikua na jinsi zaidi ya kumkubalia tu yule jini ili ayaongoze maisha yangu, yule jini alinisogelea karibu na kuja kunifuta machozi huku akinikumbatia.

    "Kwa hakika umefanya maamuzi mazuri ambayo hutakuja kuyajutia kamwe..!" Alisema yule jini.

    Hee.. Mwenzangu.. Eti yule jini alisimama mbele yangu na kuanza kuniangalia kwa muda mrefu mpaka nikaanza kuogopa, mara ghafla yule jini akaanza kuwa mrefu zaidi, taratiibu akaanza kubadilika na kuwa bonge la joka lenye vichwa saba, joka hili lilikua kubwa na kujaa chumba chote mule ndani.

    Aaah.. Asikwambie mtu bwana, uhai mtamu..

    Unaambiwa niliruka kutoka kitandani hadi chini na kutaka kufungua mlango nikimbie, lakini nilishachelewa, kwani lile joka lilinivuta kwa kutumia mkia wake na kunibeba juu juu.

    Lile joka lilininyanyua juu kabisa na kuniweka usawa wa vichwa vyake saba huku akiwa ametanua midomo tayari kwa kunimeza..





    Ni ukweli usiofichika kuwa nilikua nikihitaji kufa, lakini sio kifo cha namna hii, looh..

    Unaambiwa nilipiga kelele za kuomba msaada hadi sauti yangu ikawa haitoki tena..

    Moyo wangu ulikufa ganzi na kuhisi sasa leo ndio ahadi yangu imetimia, taratibu nikafumba macho huku nikihisi ndio naingizwa katika mdomo wa lile joka, nikaanza kusali kuomba msamaha kwa makosa yangu yote, nikaanza kukumbuka matukio yangu yote niliyowahi kuyafanya kuanzia zanziba, tanga, dar es salaam, oman na sasa arusha na moshi, hapo nikaona kweli kifo ndio haki yangu.



    "Unadhani naweza kukumeza ilihali wewe ndio chaguo langu..?" Ilikua ni sauti ya lile joka ambapo nilijikuta nafumbua macho na kushangaa kujikuta eti nipo juu ya anga napaa ambapo lile joka likiwa limenizonga kwa mkia wake huku likiwa limeota mbawa tunaruka hewani.



    Lile joka lilizidi kwenda juu angani zaidi huku likizidi kuniambia kuwa eti hawezi kunidhuru ila alikua akijaribu kunionyesha uwezo wake mkubwa wa kufanya vitu vya kutisha.

    Hee.. mwenzangu, nilishangaa sana baada ya kuona lile joka linapenya na kupasua anga hadi mawinguni na kufanikiwa kuingia katika mbingu ya kwanza.

    "Hii pia ni miliki yangu, ufalme wa hapa niliachiwa na babu yangu ambae yeye ndio alikua akiamuru wachawi waweze kupaa angani au laa, ilitegemea ni maombi ya namna gani mkuu wa kikosi cha wachawi alikua akiomba kwa babu yangu..!" Alinihadithia mambo mengi kiasi hofu ya kufa sasa ilishanitoka na kujikuta nikiwa na hamu ya kujua mambo mengi zaidi kuhusu ufalme wa mbinguni..



    Tulikuja kushuka chini ilikua tayari kulishakua usiku, ambapo alinipeleka hadi nyumbani na kuniacha pale kitandani kwangu nikiwa nimelala bila hata kujielewa, nilikuja kushtuka ilikua tayari ni saa9 usiku na kilichonishtua ni sauti ya mwanamke aliyekua amelala chumba cha pili kutoka chumba changu, ambapo yeye alikua akipiga kelele za kupandisha mashetani, eti alikua akisema chumbani kwangu kuna jini.

    Basi watu walijaa nje ya chumba changu huku yule mwanamke akizidi kupiga kelele na kugonga mlango wa chumba changu ili nifungue, basi sikua na jinsi nilitembea hadi mlangoni na kufungua mlango wangu na kuushuhudia umati mkubwa wa watu wakiwa wananitazama huku yule mama akiendelea kuninyooshea vidole kuwa mimi ndio niliyemuua jose yule kaka wa mapokezi, yule mama aliweza kuelezea machafu yangu yote niliyoyafanya pale gesti bila kuacha kitu chochote, mwisho aliingia mzee mmoja akiwa amevaa msuli na kumshika yule mama kichwani, alimshika yule mama hadi akapoteza fahamu, kisha akaamuru watu wamnyanyue na kumuingiza chumbani kwake.

    Na mimi niliingia chumbani kwangu kwa aibu huku watu wakiwa wananiangalia kwa jicho kali la hasira.



    Baadae kidogo mlango wa chumba changu uligongwa tena, lakini safari hii uligongwa kistaarabu kabisa, nilipoufungua mlango nilimuona yule mzee aliyevaa msuli pamoja na mtu mwengine wakiwa wanaomba kuongea na mimi.

    Niliwakaribisha ndani na kuanza kuwasikiliza, ambapo yule mzee mwenye msuli alijitambulisha kuwa yeye ni mtaalamu wa maswala ya viumbe wasiokua binaadamu yaani majini, pia alimtambulisha na yule mtu mwengine kuwa yule ndio mmiliki wa ile gesti tuliyokua tunaishi, hivyo baada ya kifo cha kijana wake jose sasa ameamua kuja kukaa pale mwenyewe.

    Yule mzee mtaalamu alijitambulisha kwa jina la mzee Chuma, hivyo alianza kwa kusema kuwa mimi sio mbaya ila nina kiumbe ambae ndio chanzo cha mabaya yangu, mzee chuma alinichambulia kila kitu kuhusu maisha yangu bila kuacha kitu chochote, huku akisema nimetafuta dawa kwa muda mrefu bila mafanikio.

    " Kwani wewe umenijuaje kama ninasumbuliwa na huyu jini..?" Nilijikuta nauliza kwa shauku.

    "Muda ukifika nitakujulisha, ila kwasasa huyu mwenye gesti anasema utoke kwenye gesti yake, maana wateja wake washaingia na hofu juu ya uwepo wakohumu ndani" alimaliza mzee chuma.

    "Siwezi kutoka kwa sasa..!" Nilijibu kwa kujiamini kidogo

    "Hapana dada hii ni biashara yangu, nitapoteza wateja wangu..!" Aliendelea kuniomba kistaarabu yule mtu mwenye gesti.



    Sikutaka kuongea maneno mengi, nilinyanyuka na kuivuta pochi yangu na kutoa fedha na kumkabidhi yule mwenye gesti, ilikua ni milioni moja.

    Hee.. unaambiwa yule mwenye gest alisimama na kumshika mkono yule mzee chuma na kumwambia kuwa,

    "Huyu dada wanamsingizia tuu, ni mtu mzuri kabisa wala hana tabu, hebu tuondoke mzee chuma..!" Yaani kweli pesa mwanaharamu.

    Mzee chuma hakuwa na jinsi zaidi ya kufuata kauli ya bosi wake, walisimama na kuanza kuondoka ila mzee chuma aligeuka nyuma alipofika mlangoni na kuniambia.

    " Ukiwa tayari kuwa binadamu kamili usisite kuniona, ni lazima utolewe hiyo bikra yako kwanza..!" Alisema maneno hayo mzee chuma na kufunga mlango.



    Nilikaa pale kitandani kwa muda huku nikiwaza juu ya ile hali yangu, kidogo nilijiona ipo siku kumbe naweza kuwa binadamu kamili.

    Nilisimama na kutaka kwenda kuufunga mlango ili nikajilaze, lakini kabla sijaufunga nilisikia ukigongwa tena, na nilipoufungua nilimshuhudia yule mmikiki wa gesti akiwa amesimama mbele ya mlango wa chumba changu huku akiwa amevaa taulo.

    "Naomba tuongelee kwa ndani tafadhali..!" Aliniomba yule mwenye gesti.

    Nilimpisha apite kisha nikausindika mlango.

    Hee.. jamani haya leo mapya, eti yule mmiliki wa gesti alisima kutoka pale kwenye sofa na kunifata hadi kitandani nilipokua nimekaa.

    "Nimeambiwa wewe ni bikra na mzee chuma hivi nikweli.. maana mwenzio napatwa na kichaa nikisikia bikra kwa mrembo kama wewe.. halafu eti wanakusingizia kesi za ajabuajabu.. wamenikera sana..!" Nilichoka hoi kumuona huyu mmiliki wa gesti alivyokua dhaifu wa bikra kiasi cha kujifanya ananitetea..

    "Ooooh.. shiiit.. noooh.. yees..!" Hee.. yaani hata sijui ilikuaje nilijikuta nikiguna kwa utamu baada ya yule mmiliki wa gesti kuingiza kidole kwenye uke wangu, aah.. usinitanie wewe nyege kitu chengine, unaambiwa nilijilaza chali, na kujitanua manuu.. ili nimpe uhuru huyu mmiliki wa gesti naye ajaribu bahati yake..





    Nilianza kujigunisha na kujinyonganyonga ki mahaba huku nikiushuhudia ule mshedede wa mmiliki wa gesti jinsi ulivyokua mkubwa.

    "Yees.. aish.. uuwwiii.. ooh my go..d.. ingiza ba..sssiii...!" Unaambiwa nilipiga kelele mpaka nikatamani aniingize uume wake mapema.

    Mmiliki wa gesti wala hakua na haraka, aliendelea kuninyonya na kunisugua kisimi changu taratibu mpaka nikaanza kuhisi nafika kileleni, hapo nilianza kuifinyafinya mito na kuvutavuta mashuka huku nikijinyonganyonga kwa utamu niliokua nikiusikia.

    "Oongeza spidi.. yeah.. ndio.. unaweza baby.. yes.. oooops.. comon.. oooh.. shiiit.. naf..ka..... Usichomoe.. weee...!" Nilipiga kelele mfululizo mpaka nikakojoa .



    Baada ya kuhakikisha kuwa tayari nimeshakojoa, ndio yule mmiliki wa gesti aliponiweka mkao wa kifo cha mende ili naye ajisevie, aah.. wapi..

    Hata sijui ilikuaje, ila nilimshudia tu yule mmiliki wa gesti akidondoka chini kabisa sakafuni huku akiwa amejishika kooni na kupiga kelele za kishujaa.

    "Umewaua haohao.. mimi huniwezi mjinga wewe.. na nilikuja humu makusudi ili nikupate.. sasa leo umeingia kwenye mikono yangu lazime nikutie adabu..!" Yule mmiliki wa gesti alikua akiongea kwa kujiamini huku akiwa bado amelala chini na kujishika kooni kwake.

    Mara ghafla mlango wa chumbani kwangu ulivunjwa na kumshuhudia yule mzee mganga naye akiingia huku akiwa amejifunga mashuka rangi nyeupe na nyekundu, akiwa ameshika kikapu na usinga.

    "Usimuachie mshenzi huyo, hapo ulipomshika hawezi kukufanya kitu chochote, leo ndio siku yake imefika..!" Alisema mzee yule mganga huku akiwa anamwaga madawa yake kwa kuchora duara kumzunguka yule mmiliki wa gesti.

    Kiukweli sikuweza kuamini kwa kile nilichokua nikikiona, niliweza kumshuhudia yule jini wangu akiwa anajitokeza na kuondoka huku akipiga kelele za maumivu, mara akaanza kubadilika na kuwa sura za watu mbalimbali aliowaua, wengine niliwajua na kukumbuka matukio yao, mwisho kabisa tuliweza kumshuhudia akijigeuza na kuwa moshi mkubwa sana ukiwa unaingia ndani ya chupa aliyokua ameishika yule mzee mganga.

    Kimya kikatawala na hatimaye yule mmiliki wa gesti alitulia na kurudi katika hali yake ya zamani.

    Baada ya ule mishi wa jini kuingia wote kwenye chupa, yule mzee mganga aliifunga chupa ile.



    Chaajabu mwili wangu ulikua mwepesi kuliko kawaida, yaani hakuna siku niliyokua nikijisikia nina afya njema kama siku hii ya leo, nikajihisi kabisa nimepata mabadiliko mwilini mwangu.

    "Binti yangu sasa upo huru.. jini wako tumemhifadhi humu kwenye chupa, kinachotakiwa ni wewe kushirikiana na sisi ili tuweze kumrudisha kwao..!" Alisema yule mzee mganga, huku na mimi nikijivuta na kujifunga kanga maana nilijisahau kabisa kama nilikua uchi looh..



    "Hatuwezi kumuua kwa sasa, ila tukimrudisha baharini ndio hatoweza kutoka tena humu ndani ya chupa, nawewe utaweza kuishi kwa amani na uhuru..!" Aliendelea kutoa ufafanuzi yule mzee.

    "Hatahivyo umepata bahati sana..!" Alisema yule mzee kuniambia mimi.

    "Kivipi?" Nilishindwa kuvumilia nikajikuta nauliza kwa kutaka kujua.

    "Yule jini ameondoka na vitu vyake vyote hapa duniani, ila amesau kuchukua na hiyo pete yake kwenye kidole chako, hiyo ni pete ya bahati, unachokihitaji utakipata kupitia pete hiyo..!" Alimaliza kunitolea ufafanuzi yule mzee kisha akatoka na kusema atakuja kesho saa saba mchana ili twende pamoja baharini tukamalizie kazi.



    Alivyotoka yule mzee mganga, alituacha mimi na yule mmiliki wa gesti tukiwa bado tupo chumbani tunaangaliana, kiukweli hata sikuamini kama kweli nilikua nipo huru kufanya yangu.

    Yule mmiliki wa gesti akiniangalia kwa jicho la kuniibiaibia kumaanisha sasa alikua akihitaji pambano letu liendelee..

    Kwa upande wangu pia nilitamani tuendelee ili nithibitishe kama kweli nilikua nipo huru.



    Basi nilimfuata pale kwenye kochi na kukaa kwa juu kwenye mapaja yake huku nikiwa nimeshafika mdomoni mwake na kuanza kupata juisi ya mate yake, taratibu naye akaanza kunipapasa kiustadi wa hali ya juu huku akiingiza kidole chake cha mwisho ukeni kwangu.

    Looh.. hii haikua utamu tena, bali niliruka na kujichomoa pale kwake kwa maumivu niliyokua nikiyapata ukeni kwangu.

    "Hapana hatuwezi kuendelea, huku kunauma sanaa..!" Nilimwambia yule mmiliki wa gesti ambapo alinitoa hofu na kuniambia kuwa hiyo ndio kawaida ya bikra.

    "Ni mwanzo tu ukizoea utaanza kusikia raha sana kama unabembea vile..!" Alisema maneno hayo yule mmiliki wa gesti ambapo kidogo nilitabasamu na kujiona sasa nimekua binadamu kamili.

    Tulienda kitandani sasa kuianza mechi yetu rasmi, ambapo nilikaa mkao wa kifo cha mende kutokana na uoga na ugeni wa bikra, unaambiwa yale machachari yangu yote yalipotea, hata sijui nilikuaje yaani nilijiona mgeni kweli kwenye tendo hili.

    Wakati yule mmiliki wa gesti anajipaka mate kwenye kichwa cha uume wake ili aanze mechi, mara ghafla...





    Mara ghafla akaingia tena yule mzee mganga huku akihema juujuu na kuja kumvuta na kumtoa pale kitandani mmiliki wa gesti huku akianza kumsema.

    "Wewe si nimekwambia usifanye mapenzi na huyu binti hadi tukiimaliza kazi iliyobakia ya kesho? Unaona sasa kilichotokea..! Ile chupa ilikua inatingishika kama inataka kupasuka, yaani kama nisingewahi kuja hapa asaivi tungekua tunaongea mambo mengine..

    Hemu acheni nyege zenu hizo za kijinga, subirini kesho tukishamaliza kazi mtapakuana mpaka mchunike, msiniletee ujinga mimi..!" Hee.. yule mzee alituchamba huku tukiwa tumeinamia chini kwa aibu, akatoka na kufunga mlango na kutuacha tukiangaliana kwa aibu.



    "Kwahiyo..!" Aliniuliza yule mmiliki wa gesti baada ya kutoka yule mzee mganga.

    "Kesho utafaidi..!" Nilimjibu kwa mkato huku nikisimama na kujifunga kanga yangu na kuingia chooni kujimwagia maji.

    Nilipotoka sikumkuta yule mmiliki wa gesti, nikajua labda atakua ameenda chumbani kwake.

    Baada ya kama nusu saa kupita alikuja tena yule mzee mganga chumbani kwangu na kumuulizia yule mmiliki wa gesti.

    "Alitoka muda mrefu sana, ila sijajua ameenda wapi..!" Nilijibu

    "Sasa atakua ameenda wapi, maana hata chumbani kwake pia hayupo na chumba chake pia kipo wazi..!" Yule mzee mganga alizidi kunitia hofu.

    "Kuna sehemu tulitakiwa twende wote watatu.. au itakuwa karudi kwake mara moja..!" Yule mzee alijiuliza bila kupata jibu.



    Baadae tulikubaliana twende sehemu tukatafute dawa kwaajili ya kufanya maandalizi ya kesho kummalizia yule jini wangu, tukirudi tutampa tu mrejesho mmiliki wa gesti juu ya nini tulichokifanya.

    Wakati tunatoka nje ya ile gesti tukiwa kama umbali wa mita kadhaa za hatua kufikia pale gesti, tuliweza kulishuhudia gari la polisi likipaki nje ya ile gesti na askari kadhaa wakiingia mule ndani, ilibidi tujifiche kidogo ili tuweze kujua ni nini kilichokua kikiendelea pale.

    Baada ya muda kidogo wale askari walitoka nje na kuifunga ile gesti kwa makufuli yao na kuanza kubandika picha za yule mmiliki wa gesti ukutani, picha zile zilikua zimeandikwa maneno machache tu ambayo ni, "MHALIFU ANATAFUTWA..!"

    Hapo tulichoka hoi, hatukujua ni uhalifu gani alikua ameufanya yule mmiliki wa gesti, ila tuliamini kuwa alikua ni mtu mwema sana.



    Basi tuliendelea na safari yetu hadi maporini ambapo tulifanikiwa kupata baadhi ya dawa na kuanza kurudi, ilikua tayari ni saa moja usiku.

    tukiwa njiani maeneo ya maporini karibu kufika katika barabara kuu ya lami tuliweza kusikia sauti ya risasi zikilia angani, mara ghafla tuliweza kuona mtu akiwa anakimbilia njia hii ya maporini tuliyokua tunaipita sisi huku nyuma yake akiwa anakimbizwa na askari wanne wakiwa na mbwa wawili huku wakiwa wanaendelea kupiga risasi hewani.

    Yule mtu alipozidi kutukaribia ndipo nasi tukashtuka baada ya kumuangalia usoni, huwezi kuamini kuwa aliyekua akikimbizwa alikua ni yule mmiliki wa gesti, kuona hivyo yule mzee mganga alisimama mbele na kumpiga mtama yule mmiliki wa gesti na kudondoka chini.

    "Tulia hivyohivyo wala usitingishike..!" Alisema yule mzee mganga kumwambia yule mmiliki wa gesti kuwa asiinuke pale alipodondokea.

    Mara ghafla yule mzee alianza kuongea maneno ambayo hata hatukuyaelewa maana yake, ghafla ikaanza kunyesha mvua kubwa sana iliyoambatana na radi, huku wale mbwa wa askari wakageuza na kuanza kutimua mbio kurudi walipotokea, kuona hivyo wale askari nao wakaona pengine usalama ushakua haupo, pia na wao walirudi walipotokea.



    Baada ya muda kidogo mvua ilikata na sisi pia tulitoka mule msituni, tulienda kuingia kwenye gesti moja iliyokuwepo pembezoni kidogo mwa mapori yale.

    Ambapo yule mmiliki wa gesti alianza kutuhadithia mkasa wenyewe kwa kusema kuwa.

    "Nilipotoka pale katika gesti yangu, nilienda nyumbani kwangu mara moja, sasa nilipofika nyumbani nilimkuta mke wangu akiwa anamkatikia viuno mwanamme mwengine, tena juu ya kitanda changu, hasira ilinizidi nikajikuta nikiwakatakata mapanga wote wawili..!" Alimaliza kuhadithia yule mmiliki wa gesti.



    Yule mzee mganga alimpa pole na kumwambie asiwe na wasiwasi, kwani kesi yake ni ndogo tu kwake.

    "Sasa nyinyi leo mlale humu ndani, mimi naenda kufanya dawa ya kuziondoa nguvu za yule jini kwenye chupa, ili kazi ya kesho iwe ni rahisi tu..!" Alimaliza kutoa maelekezo yule mzee..



    Ilikua ni saa tatu usiku, ambapo tukiwa tumeshakula chumbani, mimi pamoja na mmiliki wa gesti tulianza kuangaliana kimahaba, huku nikiwa nina hamu ya kutaka kutolewa bikra yangu ili nionje utamu wa mapenzi nikiwa binaadamu kamili.

    Yule mmiliki wa gesti alinifuata na kunibeba hadi kitandani, kisha akanilaza kifo cha mende na kuanza kunipapasa mwili mzima, wala hakua na haraka huyu kaka wa watu, mambo yake aliyafanya taratibu.. yaani mpaka nashangaa ni kwanini huyo mkewe alimsaliti mtu fundi kama huyu.

    Unaambiwa alininyonya maziwa yangu kiustadi wa hali juu, alipitisha ulimi wake hadi katika tundu za masikio yangu, looh nilihisi kama napigwa shoti vile.

    "Ooh.. yeesss... Yeah... Ooohhh my..!" Nilianza kupiga kelele za mahaba alipofika maeneo ya kitovuni na kuanza kunilamba kitovu changu.

    "Ooooh... Ndiooo... Baby... Commooon.. tia basi...unani..." Aaah jamani huyu kaka fundi nyie, unaambiwa nililia hadi machozi yakawa yananitoka kwa utamu baada ya huyu mmiliki wa gesti kuingiza kidole chake cha mwisho katika uke wangu uliokua tayari umejaa ute wa kutosha tayari kwa pambano.

    Baada ya kugundua kuwa tayari uke wangu ushalainika vya kutosha, ndio akaniwekea mto chini ya mgongo wangu ili anikamatie vizuri, kisha akapaka mate katika uume wake kuongeza kuteleza, taratiibu akaanza kumleta nyoka pangoni, wakati kichwa cha uume wake ndio kinaanza kuingia tu, ghafla..!





    Mara ghafla nilimshuhudia yule mmiliki wa gesti akipiga kelele za kufa huku akidondoka na kutupwa hadi chini.

    "Nakufa.. jamani..!" Alipiga kelele huku nikishuhudia damu nyingi zikimtoka puani pamoja na masikioni.

    Ghafla nikaaza kuushuhudia ule moshi ukiingia ndani na kutengeneza umbo kubwa sana kama la binaadamu, hapohapo ukabadilika na kuwa jitu kubwa sana linalotisha ajabu.

    "Unadhani mnaweza kunipoteza kirahisi hivyo..!" Lilisema jitu hilo kumwambia yule mmiliki wa gesti ambae alikua akiugulia maumivu pale chini.

    Ghafla mlango wa kile chumba ulivunjwa na kumshuhudia yule mzee mganga akiingia ndani huku akiwa amevalia mashuka yake ya rangi nyeupe na nyekundu, huku akiwa ameishika ile chupa aliyewekewa jini hapo mwanzo, safari hii chupa ilikua tupu ndani yake.



    "Leo ndio mwisho wako wewe, kila kiumbe kina ufalme na umiliki wake, huku duniani sisi binaadamu ndio tuliopewa mamlaka ya kuuongoza ulimwengu, leo lazima tukurudishe ulipotokea ukawatawale hukohuko lakini sio hapa..!" Alisema yule mzee mganga huku akiendelea kuimba nyimbo na kuongea maneno yake ya kiufundi ambayo hata sikuyaelewa maana yake.

    Hee.. huyu mzee kweli alikua kiboko, yaani hata dakika mbili hazikuchukua taratibu lile jitu lilibadilika tena na kugeuka moshi ambao uliingia kwenye ile chupa ya yule mzee.

    Baada ya kuhakikisha kuwa ule moshi wote umeshaingia ndani ya chupa, yule mzee aliifunga ile chupa.

    Chaajabu yule mmiliki wa gesti alisimama tena na kuanza kujinyoosha, yaani alikua mzima kabisa huwezi amini.

    "Hii ndio mara ya mwisho kuokoa maisha yako, mngekufa wote nyie leo kwa ujinga wenu wa kuendekeza nyege na mihemko ya kijinga..! Yaani ushukuru tu ndugu yangu masawe uliisaidia tu familia yangu kipindi cha nyuma, laasivyo leo ningekuacha tu ufilie mbali..!" Aliongea kwa hasira kweli yule mzee mganga, ni hapo ndipo nilipolijua jina la yule mmiliki wa gesti kuwa kumbe alikua akiitwa masawe.

    "Sasa hapa hakuna kulala tena, usiku huuhuu tunaelekea baharini kuimalizia hii kazi, maana dawa niliyoitumia asaivi ni ya kumpunguzia makali tu huyu jini, tena inadumu kwa masaa mawili, ikizidi hapo na tukiwa bado hatujafika baharini huyu jini atatoka na kuwa na nguvu ambazo sitoweza kumzuia tena, tutakufa wote..!" Alitoa maelekezo yule mzee.



    "Sasa hivi ni saa nne, inamana isifike saa sita ya usiku tunatakiwa tuwe tumeshaimaliza hiyo kazi..!" Niliuliza kwa mshangao kidogo.

    "Haswaa.. hemu vaeni tuondoke tusipoteze muda hapa..!" Alijibu na kutoa maelekezo yule mzee, yaani tulichanganyikiwa hadi tulisahau kabisa kama tulikua tupo uchi kama tulivyozaliwa.

    Yule mzee alitangulia kutoka nje na kutuacha sisi tukiwa tunavaa, tulivaa harakaharaka na kutoka nje.



    Mungu wangu..!

    Hii leo sijui itakuwaje, tulipofika nje yule mzee mganga hatukumkuta, ila badala yake tuliweza kuwaona askari wengi zaidi ya kumi wakiwa wameizunguka ile gesti huku wakiwa wametuelekezea midomo ya bunduki upande wa mlangoni tulipokua tumesimama kwa kuduwaa.

    "Mkitingishika tu tunawafyatulia risasi, tulieni hivyohivyo..!" Ilikua ni sauti ya kipaza sauti kilichokua kwenye moja ya magari ya askari yaliyokuwa yameegeshwa mbele ya gesti hiyo huku taa za magari hayo zikitumulika usoni.

    Ilibidi tutii sheria, tulitulia na askari wawili walifika pale tulipo na kutufunga pingu, wakati huo ilikua ni saa tano kasoro.

    Walituchukua na kutuingiza ndani ya gari lao na safari ya kuelekea kituo cha polisi cha Arusha mjini ilianza.

    Gari iliyotubeba mimi na mmiliki wa gesti, ilikua nyuma na kutanguliwa na gari nyengine ya polisi hao, hapo ndio nilipogundua kumbe msafara huu ulikua ni mkubwa kiasi cha kutumia gari mbili za polisi.



    Nilikua najaribu kuwaza ni wapi alipokwenda yule mzee mganga, na itakuwaje kama tutashindwa kufika baharini kumuangamiza yule jini, maswali haya yalinifanya nishindwe kuizuia chuki yangu dhidi ya yule mmiliki wa gesti, ni kweli yeye ndiye aliyesaidia kumpata yule jini, lakini pia ni kutokana na maamuzi yake ya kijinga ya kumuuwa mkewe kwa panga ndio yanatuharibia mpango wetu wa kumuangamiza jini.

    "Huu wote ni usen**ge.. wako..!" Nilijikuta nikimtukana yule mmiliki wa gesti kwa sauti ya juu mbele ya askari huku machozi yakinitoka kwa hasira.



    Tulipofika maeneo ya USARIVA, ilikua tayari ni saa5 na nusu usiku, barabara ilikua kimya sana, ghafla ikaanza kunyesha mvua kubwa kupita kiasi, hadi dereva wa gari tuliyoipanda alilazimika kuegesha gari pembeni kwanza hadi mvua itakapopungua, lakini haikua hivyo, mvua ilizidi kunyesha tena kubwa ajabu, radi zilipiga na kuvunja vioo vya gari la polisi pamoja na kuweka shoti ndani ya gari, ghafla gari ikazima, kiza kikatawala kila mmoja akijaribu kutulia kimya bila kusema jambo lolote kwa hofu, nilipoiangalia saa yangu ya mkononi ambayo ilikua ikitoa mwangaza kwenye kiza, hapo nilichoka hoi, kwani ilikua ni saa sita kasoro dakika kumi na tano usiku, akili yangu ikaenda mbali sana nikahisi ndio siku yetu ya kifo imeshafika.



    Tukiwa kwenye mawazo hayo mara ghafla tuliwashuhudia askari waliokua kwenye gari la mbele wakija huku kwenye gari letu wakiwa wameshika tochi zao huku wakiwa wanakimbia.

    "Shukeni mkimbie jamani.. kuna nyoka tayari ameshawameza askari wenzetu wawili, ni nyoka mkubwa sana kimbieni..!" Alisema mmoja wa askari hao lakini kabla hajamalizia kusema kitu chochote tulimshuhudia na yeye akibebwa juujuu na mkia wa joka hilo, hee kumbe joka lile lilikua na vichwa saba.! Nilipoiangalia saa yangu ilikua ni saa sita kamili usiku, hapo nilishajua ni nini kilichokua kikiendelea, nilianza kusali kimoyomoyo kabisa, maana niliamini kuwa mwisho wangu ulikua umeshafika..

    Lile joka lilimmeza yule askari kisha likageukia katika gari yetu na kuanza kuja wanguwangu..







    Lilipofika katika gari yetu, likaanza kuitingisha gari yetu ili kuipindua atupate kwa urahisi, mara ghafla nilihisi kama majimaji nimeyakalia pale nilipo, nilipozidi kupapasa ndio nilipogundua kuwa kumbe ni askari aliyekua pembeni yangu alikua amejikojolea kwa uwoga.

    Lile joka lilitulia kutingisha gari na kuanza kumkimbiza askari mmoja aliyekua kwa nje ambae alikua akijaribu kumpiga risasi nyoka huyo na kufanikiwa kutoboa jicho moja la kichwa cha pembeni.

    Lile joka lilimkimbiza askari yule huku likiwa linaunguruma kwa hasira ya kutobolewa jicho lake.

    "Jamani tufungueni tukimbie kabla hajarudi huyu nyoka, mkifanya masihara tutakufa wote humu..!" Nilijaribu kuwashawishi wale askari, lakini sikupata jibu kwani ukimya ulitawala mule ndani ya gari, nilipojaribu kuwagusa na kuwatingisha hapo ndipo nilipogundua kuwa kumbe kwenye vita ile nilikua nipo peke yangu, kwani watu wote mule ndani ya gari walikua wamezimia huku mikojo ikiwa imetapakaa gari zima.



    Mungu saidia, wakati napapasapapasa nilifanikiwa kupata ufunguo katika mfuko wa shati la mmoja wa askari wale waoga waliozimia, nilijifungua pingu na kumfungua na yule mmiliki wa gesti, kisha nikamuamsha yule masawe mmiliki wa gesti kwa kummwagia vimikojo usoni.

    Tulitoka ndani ya ile gari na kuanza kutimua mbio huku kila mmoja akielekea na njia yake, nilianza kuingia njia za ndanindani na kuja kutokea katika daraja la MAJI YA CHAI, nilijificha pale chini ya daraja pembezoni mwa mto wa MAJI YA CHAI kwa muda mrefu huku nikisikia kelele za maji ya mto huo tu yakiwa yanapita, lakini ukimya ulitawala sana.

    Nilipoiangalia saa yangu ya mkononi ilikua tayari ni saa tisa usiku.

    Nilianza kuomba mungu kimoyomoyo huku nikizidi kutetemeka kwa hofu iliyochanganyika na baridi ya kukaa pale mtoni chini ya daraja kwa muda mrefu.



    Ilipofika saa kumi alfajiri nilisikia adhana ikiadhiniwa katika msikiti uliokua karibu na maeneo yale ya MAJI YA CHAI, hapo sikusubiri ruhusa nilisimama na kuanza kutimua mbio kuelekea msikitini nikiamini nitakua katika mikono salama.

    Kweli niliuona msikiti na kuona mtu mmoja akiwa kwa nje amevaa kanzu nyeupe, mtu huyo alikua akivua viatu vyake ili aingie msikitini, lakini kama mungu alimwambia ageukie upande wangu na kuniona natimua mbio.

    Nilishangaa kumuona yule mtuu akiwa ameduwaa huku akiweka mikono yake kichwani, nilijaribu kuwaza kwanini anishangae kiasi kile cha kuanza kuniogopesha hata mimi.



    Nikiwa nakaribia kufika pale msikitini, ilikua ni kama hatua kadhaa tu nimfikie yule mtu aliyevaa kanzu, ghafla nilimshuhudia yule mtu aliyevaa kanzu akidondoka chini na kupoteza fahamu, hapo nilizidi kuchanganyikiwa, sasa ilinibidi nigeuke kuangalia nyuma yangu ili nijue kunanani zaidi yangu.

    Mungu wangu.. hata sikuweza kugeuka nilijikuta nikipigwa mtama na kitu kama mkia wa nyoka mkubwa na kunidondosha hadi chini karibu na yule mtu aliyevaa kanzu na kuzimia.

    Nilipomuangukia yule mtu aliyevaa kanzu ndio kama nimemuamsha vile, kwani aliwahi kusimama na kukimbilia ndani ya msikiti ambapo adhana ndio ilikua inaishia kuadhiniwa.



    Nilipokua pale chini nilimshuhudia yule nyoka mkubwa mwenye vichwa saba akisogea karibu yangu kabisa, kisha akapanua mdomo yake na kutapika watu wawili karibu kabisa na pale nilipokua mimi chini, mwanzoni sikuweza kuwajua ni watu gani wale waliotapikwa kutokana na kinyaa cha miudenda nilichokua nikikiona, lakini baadae nikakaza moyo na kufumbua macho ili kuangalia vizuri.

    Mungu wangu.. hakika sikuweza kuamini kwa nilichokiona, watu wale waliokua wametapikwa na joka lile kumbe alikua ni yule mzee mganga pamoja na masawe mmiliki wa gesti ambae tulitengana na kila mmoja kukimbilia na njia yake.



    "Hao si ndio waliokua tegemeo lako..! Huu ni ulimwengu wangu, hakuna atakaenishinda..

    Sasa kwakua haukutaka kuungana na mimi wacha leo nikupoteze.. nilikuja huku duniani kwakua mama yako aliingia mkataba na mimi, na haya leo ndio malipo ya kuvunja mkataba.. ni kwa tamaa zenu nyinyi binaadamu hamridhiki na mlichopangiwa kupata..!" Lilisema lile joka ambalo ndio yule jini.

    "Sasa kama mkataba uliingia na mama yangu ambae pia tayari umeshamuua mbona unaniadhibu na mimi ambae hata sihusiki..? Sawa niuwe tu kwanza nishachoka maisha haya ya kukimbiakimbia kila siku, niuuweee.. mbona unachelewa..!" Nilisema kwa ujasiri mkubwa pamoja na hasira huku machozi yakizidi kunitoka.

    Hee.. kumbe ndio kwanza nilizidi kujichongea, unaambiwa lile joka lilininyanyua juu zaidi kwa kutumia mkia wake na kuniweka usawa wa kichwa chake kikubwa na kutanua midomo.

    "Kwakua wewe ni jeuri nitahakikisha kila kichwa changu kinapata nyama yako..!" Lilijisifu hivyo lile joka na kutanua midomo yake yote saba.



    Kiukweli nilishachoka maisha ya kukimbiakimbia kila siku, nilitamani siku moja niishi maisha ya kawaida kama binaadamu wengine, hata hivyo niliona huwenda maisha haya ndio niliyoondaliwa na mwenyezi mungu ili liwe kama ni fundisho kwa binaadamu wengine, pengine kupitia mimi wengi watajifunza, basi niliikubali hatma yangu na kuanza kusali kimoyomoyo sala zangu za mwisho.

    "Ewe mwenyezi mungu, hakika ya mimi ni kiumbe dhaifu sana kwako, kama ni kweli hatma ya maisha yangu inaamuliwa na kiumbe huyu basi nimeridhia, lakini kama ni kweli upo na wewe ndio kiongozi wa mbingu na ardhi pamoja na ufalme wa ulimwengu huu, basi nayakabidhi maisha yangu mikononi mwako..!" Niliongea maneno hayo huku nikifumba macho tayari kwa kupokea matokeo.

    Taratibu nilianza kuhisi naingia kwenye marenda ya midomo ya lile joka..





    Ghafla nikasikia watu wakiongea kwa lugha ambayo sikuweza kuitambua hapo awali, nilishangaa kuona hata lile joka likiwa halinimezi tena limenigandisha tu kwenye mirenda yake pale mdomoni, hapo sasa ilinibidi nifumbue macho ili nami nijionee ni nini kilichokua kikiendelea.

    Kwa hakika sikuweza kuamini, kumbe sauti zile zilikua zikitoka pale katika mlango wa msikiti, Imamu wa msikiti alikua ameshafika na alikua akisoma Qur-ani ambayo ilipelekea yule nyoka kuganda vilevile kwanza.

    "Bismillahi rahmani rahim..!" Ni maneno hayo tu ndio niliyoweza kuyakumbuka kwa haraka, kwani baada ya kugundua kuwa kuna msaada ulikua umeshafika hata sijui nini kilikua kikiendelea, ila ninachokumbuka ni kuwa nilipoteza fahamu tu.



    Nilipokuja kuzinduka, nilijikuta nipo katikati ya kundi kubwa la wakina mama ambao nao walikua wakisoma dua huku mimi nikiwa nimevalishwa majuba rangi nyeusi.

    "Takbir... Takbiiiirrrr..!" Ilikua ni sauti ya mama mmoja ambae alisema maneno hayo baada ya kugundua kuwa tayari nimeshaamka na nilikua nikijinyoosha.

    "Allahu akbar..!" Ilikua ni sauti kubwa ya wakina mama hao ambapo waliitikia kwa pamoja na kuzidi kunishtua.

    Niliamka nikiwa kama mtu mwenye mawenge vile, mara kimya kikatawala na kumshuhudia mzee mmoja akiingia katika sehemu ile ilyojaa wanawake na kuja kunichukua na kuniingiza katika upande wa pili ambapo niliweza kuuona umati mkubwa zaidi wa wanaume, hapo sasa ndipo nilipogundua kuwa kumbe nilikua msikitini nikisomewa dua.



    "Imamu wa msikiti alinishika kichwa na kuniambia nipige magoti, nami nilitii, kisha yule imamu akaanza kusoma dua huku akiwa bado amenishika kichwa.

    Alisoma mpaka nikawa nahisi kichwa changu kinapata moto, joto lilinizidi mwilini na kujikuta nikianza kupiga kelele za kupandisha mashetani.

    "Lete mafuta ya mzaituni..!" Yule imamu aliagiza, baadae mafuta ya mzaituni yalifika na yule shehe alinipaka usoni mwangu huku akiendelea kusoma dua yake, mwisho kizunguzungu kikanishika na kujikuta nikipoteza fahamu kwa mara nyengine tena.



    Nilipokuja kuzinduka nilijikuta nipo kitandani nimelala, tena kiza kilishaingia japokua sikujua ilikua ni saa ngapi.

    Mara akaingia binti mmoja wa makamo kama umri wa miaka kumi na tano hivi ukimkisia.

    "Asalam alaykum..!" Alisema binti huyo huku akiniangalia mimi.

    Niliishia kutingisha kichwa tu maana hata sikujua nimjibu nini, kiukweli nilikua na jina zuri tu la kiislamu lakini nilikua nyuma kweli hata kujifunza salam zao.

    "Chakula tayari twende tukale..!" Alisema binti huyo huku akinishika mkono kuniongoza njia.

    Tulipofika katika meza ya chakula yule binti alipakua chakula kisha tukala wote mwanzo hadi mwisho, yaani nilikula hadi nikaongeza tena mara mbili, kiukweli sikuwahi kula sana kiasi hiki.



    Baadae aliingia mzee mmoja wa makamo akiwa amevaa kanzu nyeusi, nilipomuangalia vizuri ndipo nilipomkumbuka kuwa ni yule imamu wa msikiti.

    "Unaendeleaje binti yangu..!" Alisema yule imamu baada ya kuona kuwa nimeshamaliza chakula pale mezani.

    "Najiona mwepesi sana kwakweli nawashukuru sana..!" Nilijibu kwa upole sana.

    "Inaelekea ulipitia mitihani mikubwa sana kwenye maisha yako.. pole sana..!" Alisema maneno hayo yule imamu ambapo ndio kama alinikumbusha kufanya tathmini ya maisha yangu, ghafla machozi yakaanza kunitoka, nikaanza kuhadithia juu ya mkasa wangu kuanzia mwanzo hadi mwisho.

    "Pole sana.. Allah atakufanyia wepesi..!" Alisema imamu huyo huku akimwambia yule binti yake akanitandikie kitanda.

    "Kwahiyo sasa hivi nimepona kabisa..!" Niliuliza kwa shauku ya kutaka kujua hatma ya mwili wangu.

    "Wewe ulikua unasumbuliwa na majini, lakini kwa sasa hamna atakaekusumbua kwani binaadamu pamoja na majini wote tumeumbwa na Mungu mmoja, na lengo la kuumbwa kwetu ni kuja kufanya ibada, haya mambo mengine ni ziada tu.. kubwa zaidi usiache kumuomba mungu akuongoze kukuonyesha njia iliyokua sahihi..!" Alimaliza kuelezea imamu huyo, kisha akaniruhusu niende kulala.



    Tukiwa chumbani kitandani, mimi pamoja na yule binti ambae nilishamjua alikua akiitwa Samira, tulikua tukipiga hadithi mbalimbali kuhusu nyumbani kwao, ni hapo ndipo nilipogundua kuwa kumbe yule binti ndio mtoto pekee wa yule imamu na kwa bahati mbaya mama yake alishafariki tangu akiwa mdogo.

    "Pole sana..!" Nilijikuta nikimpa pole yule binti kisha nikamfuta machozi, hata sikumbuki tulilala saa ngapi.



    Nliishi pale nyumbani kwa imamu wa msikiti kwa muda wa miezi kadhaa, ambapo tayari kila mtu alikua akiifahamu historia yangu, wengi walinipenda na kunionea huruma, haswa wanaume ndio walikua kero kwelikweli, yaani walikua wakinisumbua kuhitaji wanioe, ila niligundua kuwa wengi hawakua waowaji ila waliitamani tu bikra yangu.

    Kweli nilikua mzuri na kukamilika kila idara, kuanzia sura, umbo hadi macho na nikisema nikurembushie kidogo tu, wee lazima ukubali, lakini vyote hivyo havikua na faida kama tu sitojitunza na kuilinda heshima yangu, kweli nilishadhalilika sana katika maisha yangu yaliyopita.

    Hivyo nilihitaji maisha mengine kabisa tofauti na yale, lakini pia nilihitaji kuwa na mume ambae atakaeyasafisha maisha yangu mabovu yaliyopita, ni hapo ndipo nilipokubali ombi la imamu wa msikiti ambalo alilokua akiniomba kwa muda mrefu kuwa anioe ili aendelee kuniongoza.



    Kweli, baada ya siku kadhaa tulifunga ndoa ya kiislamu tena harusi ilikua kubwa sana, hadi shehe mkuu wa Arusha alihudhuria katika ndoa yetu.

    Watu walikula na kunywa pia, viongozi na waumini wa misikiti pamoja na vyuo mbalimbali walikuwepo, kwa hakika nilizidi kupata umaarufu kupitia ndoa hii.

    Kila mmoja alimsifia imamu kwa maamuzi mazuri na sahihi aliyoyafanya, hasa baada ya watu wengi kuijua historia ya maisha yangu yaliyopita.



    Basi kama tunavyojua tena, usiku wa ndoa unavyokua, tukiwa chumbani mimi na mume wangu imamu ambae alikua akiitwa imamu Salum, katika kitanda chetu cha futi tano kwa sita, tayari kwa kuianza mechi.

    Mume wangu aliniandaa vizuri sana, hata mimi pia nilimpokea vizuri tu, taratibu akaingiza kichwa cha uume wake katika pango langu.

    "Tobaaaa...!" Nilijikuta nikipiga kelele huku nikishuhudia damu zikiruka na kuchafua shuka..





    Mara ghafla nikasikia maumivu makali sana katika uke wangu, hapo sasa ndipo nilipogundua kuwa tayari bikra yangu ilishatolewa.

    Taratibu nilianza kuizoea ile hali huku nikiendelea kuyavumilia maumivu, ghafla nikaanza kupiga kelele hata sijui ilikuaje, maana nilikua nasikia maumivu yaliyochanganyika na utamu kidogo, hapo ndipo nilipogundua kuwa kumbe tulikua tukifika kileleni.

    Wala hatukutaka kuchoshana, kimoja tu kilitosha kupitisha furaha ya ndoa usiku ule.

    Tulichukuana hadi bafuni na kuanza kuogeshana, kwa hakika nilikua ni mwenye furaha sana.

    Hata sikumbuki nililala saa ngapi, kwani nilikuwa nikiwaza usiku kucha juu ya maisha yangu yaliyopita huku nikiendelea kumshukuru mungu kwa kunionyesha njia sahihi.



    Nilikuja kushtuka ilikua ni saa moja asubuhi, ambapo nilishtushwa na sauti ya yule binti mtoto wa mume wangu imamu salum, alikua akisema kuna wageni walikuja kumsalimia imamu wao.

    Nilitoka nje huku nikiwa nimejitanda kanga, nilikwenda kuwakaribisha wale wageni ambao walikua wametoka katika uongozi wa msikiti, walikuja kutusalimia pamoja na kutupatia sadaka ya waumini waliyomchangia imamu wao baada ya ndoa.

    "Kweli ndoa tamu, mpaka asaiv imamu salum hajaamka..!" Alitania shehe mmoja wakati naingia chumbani kwenda kumuamsha mume wangu.



    "Mume wangu..! Mume wangu..!" Nilijaribu kuita kwa sauti ya upole lakini mume wangu wala hakuitikia, ambapo ilinibidi nisogee kitandani ili nimtingishe.

    "Mume wangu kuna wageni wako.. amka bwana..!" Nilimtingisha huku nikimuamsha lakini pia hakuitikia wala kushtuka.

    Kidogo nikaingiwa na wasiwasi, hapo ilinibidi nimfunue shuka alilokua amejifunika hadi usoni.

    Mungu wangu..

    Hakika sikuweza kuamini kwa kile nilichokiona, nilimshuhudia mume wangu akiwa anatokwa na damu nyingi katika tundu za pua pamoja na masikioni.

    "Mume wangu umepatwa na nini..!" Nilijikuta nikipiga kelele huku nikiwa nalia kwa huzuni, kusikia hivyo wale wageni nao walikuja ndani haraka kutoa msaada.

    Tulishachelewa, mume wangu alikua ameshafariki.



    Watu walizidi kupeana taarifa juu ya kifo cha imamu wao, ambapo baada ya muda mfupi kupita tayari umati mkubwa ulishajaa nje ya nyumba yetu, maiti ilipelekwa hospitali kupimwa na kuonekana haikua na tatizo lolote, ni hapo ndipo watu walianza kuwa na mashaka na mimi, na hasa baada ya kuijua historia yangu iliyopita.

    Binafsi nilianza kuziona chuki za waziwazi kwa baadhi ya ndugu wa marehemu mume wangu, walikua wakilia huku wakilitaja jina langu kuhusika na mauwaji ya ndugu yao.

    "Ewe mungu wangu.. mbona bado unaendelea kunipa mitihani ambayo hata sijui majibu yake..!" Nilijikuta nikimlalamikia mungu kwa sauti ya huzuni huku nikijisahau kuwa nilikua nipo katikati ya ndugu wa marehemu mume wangu.

    "Unajifanya unalia mnafki mkubwa wewe.. muuaji wa kaka yangu na utaona mshenzi wewe..!" Ilikua ni sauti ya wifi yangu Mwajuma dada wa marehemu mume wangu akinisema kwa sauti hadi nilijisikia aibu na kuamua ninyanyuke na kwenda kulilia ndani.



    Kwahakika kwangu ulikua ni msiba mkubwa sana, sikujua ni kwanini nilikua najaribiwa kiasi hiki, kama ni jini si tayari alishaangamizwa, kama ni bikra tayari nilishatolewa, sasa tatizo lilikua ninini?

    Mmh.. mwenzenu nilikua majaribuni.

    Basi baada ya mazishi kupita tulikutana na kukaa kikao cha familia pamoja na viongozi wa msikiti, ambapo mvutano uliokuwepo ni kuhusu mimi kuendelea kuishi pale hadi nimalize eda yangu, wakati ndugu nao waliona sina sababu ya kuendelea kuishi pale.

    Mwisho kabisa hata mimi sikupenda kuendelea kuishi tena katika mji ule hali ya kuwa kila mmoja alikua akiijua aibu yangu, nilikabidhiwa fedha kiasi nikaanze maisha yangu binafsi kwani sikuwa na ndugu wa aina yoyote ile.



    Baada ya siku mbili nilisafiri na kwenda hadi MOSHI, nilienda kuishi kijiji cha MARANGU, hapo nilipanga chumba na kuyaanza maisha yangu mapya.

    Nilikaa pale kwa muda kama wa wiki mbili ambapo taratibu nilianza kuhisi mabadiliko ya mwili wangu, kutapika mfululizo, kichefuchefu ndio usiseme, hapo sikuuliza mara mbili, nilifunga safari hadi hospitali na kuambiwa kuwa nina ujauzito wa mwezi mmoja.

    Kiukweli nilijawa na furaha moyoni mwangu japokuwa sikuwa na uhakika wa maisha.

    Nilianza kufanya biashara ya kuuza pombe ya kienyeji inayotengenezwa kwa kutumia ndizi mbivu pamoja na maparachichi, nilifanikiwa kiasi cha kuyaendesha maisha yangu na kuweka akiba ya mtoto wangu mtarajiwa.



    Nakumbuka ilikua tayari imeshafika miezi nane na nusu ambapo siku hiyo nilikua nimeumwa sana usiku, kulipokucha nilimuomba mama mmoja ambae yeye ni mwalimu anipeleke hospitali.

    Kweli tulienda hospitali na nikapatiwa vipimo.

    Wakati napokea majibu ya vipimo, ghafla niliishiwa nguvu na kujikuta nikipoteza fahamu na kudondoka chini.

    Nilikuja kuzinduka baada ya masaa mawili, nikiwa nimepakatwa na yule mwalimu.

    "Pole sana..!" Alisema yule mwalimu.

    "Asante.. vipimo vinasemaje..!" Niliitikia na kuuliza pia.

    Kabla yule mwalimu hajanijibu, aliingia nesi na kuanza kunipima tena kisha akaanza kusema.

    "Mwanzo tulijua wewe ni mja mzito, lakini kulingana na vipimo vya leo, tumegundua kuwa wewe sio mjaamzito bali una pande la damu tumboni mwako na unatakiwa ukafanyiwe operesheni katika hospitali kubwa, kwani kila siku zinavyozidi kwenda ndio na hilo pande la damu linazidi kukua zaidi..!" Alisema nesi huyo.

    Maneno hayo nilishindwa kuyavumilia na kujikuta nikipoteza fahamu kwa mara nyengine tena.



    Nilikuja kuzinduka nilijikuta nimelala nyumbani kwangu nje kwenye mkeka, baada ya kuamka yule mwalimu aliniaga ya kuwa anaelekea shuleni kwani yeye anaingia zamu ya mchana, huku nyuma na mimi sikuona haja ya kuendelea kukaa nyumbani hali ya kuwa bado sijaijua hatma ya mimba yangu, basi nilijikongoja hadi moshi mjini katika hospitali ya wilaya, nilipimwa na kusubiri majibu.

    Hee.. majibu niliyoyapokea hapa ndio yaliyozidi kunichefua kabisa..

    "Hongera sana dada una mimba ya mwezi mmoja...!" Nilishindwa hata kuvumilia kusubiri nesi aendelee kunipa majibu yangu, ghafla nilijikuta nikidondoka na kupoteza fahamu kwa mara nyengine tena..







    Kuona hivyo, yule nesi Alipiga kelele na kuomba msaada kwa wenzake, walikuja na kunipakiza kwenye machela kisha wakaniingiza chumba cha ICU kuokoa maisha yangu, kwani tayari damu zilikua zikinitoka puani, masikioni pamoja na katika sehemu zangu za siri.

    Ni katika jitihada hizo za kuokoa maisha yangu ndipo ilimbidi mganga mkuu wa hospitali hiyo Dr. Frank aweze kuja kunikagua na kuanza upya vipimo vyangu.

    Wakati napewa huduma hiyo ghafla nikashtuka na kufumbua macho.

    "Just relax okey..!" Aliniambia mganga mkuu Dr. Frank kuwa niendelee kutulia wakati anamalizia kunipima.

    Ni hapo ndipo alipoligundua tatizo langu na kuwaambia wale wasaidizi wake, nilichoka kweli baada ya kusikia majibu ya huyu Dr. Frank.

    " Kadi yake ya kliniki iko wapi..?" Aliuliza Dr. Frank

    "Hakuwahi kuhudhuria kliniki..!" Alitoa maelezo yule nesi aliyenipokea.

    "Dada hii ni hatari, wewe una mimba kubwa tena iliyopitiliza muda, mimba yako inaelekea katika mwezi wa kumi sasa, na wala haujawahi kuhudhuria hata kliniki unadhani tungejuaje maendeleo ya mtoto wako..? Sio vizuri unahatarisha maisha yako mwenyewe..

    Haya mpelekeni kule wodini mkampime na joto lake lipo nyuzi ngapi, kama yupo mbali afanyiwe operesheni..!" Alimaliza kusema yule Dr. Frank ambae ndio mganga mkuu wa hospitali ile ya wilaya kisha akatoa maelekezo kwa wasaidizi wake.



    Nilipewa chai mara kwa mara ili nizidi kuongeza joto mwilini mwangu, na hatimaye ilipofika saa8 ya usiku bado nikiwa katika wodi ya wazazi, ndio ghafla uchungu ulinishika maradufu, nilipiga kelele kama mtoto mdogo.

    Walipoingia wauguzi tayari mtoto alikua mlangoni zamani.

    Mungu saidia nilipata mtoto wa kiume, ila kutokana na uzito wa kilo nne wa mtoto pamoja na kujifungulia kwa njia ya kawaida kwa mtoto mkubwa kama yule, lakini pia maneno ya vipimo vya awali vya baadhi ya manesi kuwa eti nilikua sio mjamzito nina minyama tumboni, na yule nesi mwengine naye alisema nina ujauzito wa mwezi mmoja, basi nilijikuta nikiwa siamini kama kweli nilikua nimejifungua mtoto tena wa miezi kumi, ghafla nguvu ziliniishia na kupoteza fahamu..



    Nilipokuja kuzinduka ilikua tayari ni saa kumi na mbili asubuhi, na ndio muda maalumu wa kuangalia wagonjwa.

    "Leyla.. jamani hongera..! Japo uliondoka bila kuniambia lakini nimeuliulizia mpaka nikakupata, pole sana mwanangu" Ilikua ni sauti ya yule mwalimu jirani yangu, alikua amekuja akiwa ameongozana na watu wawili ambapo mwanzoni sikuwatambua, lakini nilipowaangalia vizuri ndipo nilipowagundua kuwa walikua ni miongoni mwa wale wifi zangu kutoka kwa marehemu mume wangu imamu Salum, hapo sasa ndipo nilipochoka hoi.

    "Huku mmefata nini jamani, na ilihali mimi na nyinyi hatuna uhusiano wowote..? Kwanza mmejuaje kama nimejifungua wakati sikuwahi hata kuwapa taarifa, au ndio mmekuja kuniulia mwanangu baada ya kuvuka mateso na vikwazo vyenu vyote vile..?" Nilijikuta nikiwapokea kwa maneno hayo huku nikiwa na hasira za hali ya juu, machozi yakichukua nafasi yake.

    Ghafla nikakosa nguvu na kujikuta nikipoteza fahamu tena..



    Nilipokuja kuzinduka, nilijikuta nipo nyumbani kwangu sebuleni nikiwa nimelala kwenye mkeka, nilishangaa kuwaona viongozi wa kijiji cha marangu pamoja na viongozi wa msikiti aliokua akiswalisha marehemu mume wangu imamu Salum, wote hao wakiwa wanaitikia dua nzito iliyokua ikisomwa na viongozi hao.

    Walipogundua kuwa nilikua nimeshaamka, waliniletea mwanangu na kuniambia niende ndani kwanza nikamnyonyeshe mtoto, halafu ndio nirudi wanielezee ilikuaje kwani waliniambia kuwa nilikua nimezimia kwa siku tatu mfululizo.



    Chaajabu maziwa yalitoka vizuri tofauti na mwanzo, mwanangu alinyonya hadi akalala kabisa, hapo ndipo nilipotoka kwenda kusikiliza viongozi.

    "Haya nyie wakinamama hemu ingieni..!" Ilikua ni sauti ya mwenyekiti wa kijiji akiwaita wale mawifi zangu waliokua wakisubiri nje ya nyumba yangu.

    "Jamani hapa tumepokea ugeni wa msikiti kutoka msikiti wa MAJI YA CHAI uliopo Arusha, sasa wageni karibuni muje mtuelezee..!" Alimaliza kuelezea yule mwenyekiti wa kijiji.



    "Mimi jina langu naitwa shekh Ismail, ni imamu msaidizi katika msikiti aliokua akiuswalisha marehemu imamu Salum ambae ndio aliyekua mume wa huyu binti LEYLA..!" alikua akitoa ufafanuzi, kisha akaendelea.

    " Siku ya ijumaa usiku, nilioteshwa ndoto na marehemu imamu Salum akinilalamikia kuwa nimeshindwa kuiunganisha familia yake, lakini pia alisema kwanini naitesa familia yake na ilihali taratibu za kiislamu ninazitambua..?

    Kiukweli maneno katika ndoto ile yalinitisha sana, nilipoamka nikiwa najiandaa kwenda msikitini ndio na hawa wadada wawili walikuja nyumbani kwangu na kusema kuwa dada yao mkubwa ambae ndio wa pili kuzaliwa baada ya imamu Salum, amepatwa na ugonjwa wa kupooza viungo vyote kwa ghafla, hivyo anahitaji kuniambia jambo..

    Basi nami nilikimbia hadi nyumbani kwao na kujionea ile hali aliyokuanayo, alianza kwa kuomba radhi kwa makosa aliyoyafanya, alisema kuwa alizitamani mali alizokua akizimiliki marehemu kaka yake kwa muda mrefu, hivyo alikua akitafuta njia ya kumuua kaka yake, ndipo siku hiyo alipoambiwa na mganga wake kuwa njia ya kumuua kaka yake ni kumtegea akiwa hana udhu, kwani mara nyingi dawa zake zilikua zikidunda kutokana na dua za imamu baada ya kushika udhu.

    Sasa siku ambayo imamu alikua amefunga ndoa ndio siku ambayo imamu alilala bila kushika udhu, na hii ni baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa, hivyo aliitumia nafasi hiyo wakati imamu akiwa mchafu na kumtupia jini wake ambapo asubuhi yake kweli tulimkuta imamu wetu amefariki.

    Sasa mbaya zaidi dada yule ndio aliokua akieneza habari kuwa huyu LEYLA ndio aliyemuua kaka yao, ni hapo ndipo ndugu wakamfukuza huyu binti wa watu.

    Lakini pia dada yule, hatujui alipataje taarifa ya kuwa huyu LEYLA ni mjamzito, ila yeye mwenyewe amesema alikua akimfanyia vituko LEYLA ili asijifungue salama, sasa baada ya mimi kuoteshwa ile ndoto ndipo nilipoamka usiku ule na kusoma dua kubwa sana, ndio asubuhi napata taarifa ya kuwa dada wa marehemu imamu wetu amepatwa ugonjwa wa kupooza mwili mzima.

    Juzi wakati tupo kule hospitali kumfata LEYLA, ndio tumepoekea taarifa kuwa baada ya LEYLA kujifungua tu, hivi sasa dada yule pia ameshafariki

0 comments:

Post a Comment

Blog