
Chombezo
: Young PastorSehemu Ya Tano
(5) “Mercedes, we mercy…
““abee”“chukuwa kila kilicho chako na uende”“kuna
nini? Si ulisema tunalala wote”Aliongea mercy huku akiwa mvivu
kutoka“mercy jamani… Mama na Jessica wanakuja huku eti mi
naumwa”“sasa kwanini useme unaumwa jamani”Mercedes alikuwa
hataki kutoka kabisa,…” nakuomba...